Kama Mzize anabaki basi mshahara wake upande ufike kiwango ambacho wangemlipa
@FahadAbubakari-y3f13 күн бұрын
Aliomba aongezewe mshahara wakina licado momo wakaanza maneno ooh aheshimu timu awe mvumilivu haya sasa waheshimu wamuwekee mzigo
@reinfridlipili566613 күн бұрын
Tuache na timu yetu na MCHEZAJI wetu, hujui masuala ya ndani ya KLABU!
@TishaniUlanga-bj3nx9 күн бұрын
Unajuaje kama hajaongezwa??
@AbelyMagu9 күн бұрын
Usitudaganye brother
@paulnyingo731613 күн бұрын
Madini ya nguvu sana fact tupu😊
@lutakiiza467111 күн бұрын
krementi akiitajika gongo au zambia nituona nibora kiliko kuitajika na waharabu bado kiwanga chake kinaitaji kuangaliwa san lakini ukimlazimisha kwakuwa nipesa basi unauwa kiwango chake na nyny nyageuka na kucheka na kumtukana alishindwa chama na mikisni mkawatukan
@GwamakaAmosi13 күн бұрын
Safi
@jossporahmsw842014 күн бұрын
Wanamfelisha tyuu😂😂😂
@reinfridlipili566613 күн бұрын
Yanga hawakurupuki kama Simba!
@carlsonshedrack576212 күн бұрын
Ni lazima muelewe yanga nilazima itumie pesa kubakisha nyota wake laa sivyo ita ingia sokoni kutafuta nyota wengine kwa gharama kubwa. Na pia watachukua muda kuzoeana na kuzoea mfumo na ligi yetu. So kumuuza mchezaji nilazima iwe imekuja ofa isiyoweza kukataliwa napia mkiwa mmeona mbadala kwani wakileta ofahiyo maanayake kumpata kamahuyo kwingine ni gharama zaidi ya hiyo. Wa Tz tuache mawazo yakijinga
@lutakiiza467111 күн бұрын
muache kudanganya wachezaji wa ndani mzinze bado san nyinyi mchzaji mnamsifia ikiwa amefunga mechi 2 mnamsifiiiiia nakuanza kupandambeguna yamajivuno akialibu maanza kumtukana
@salumkatembo444114 күн бұрын
Unge dadavua vizuri coz mpira wa miguu ulikuwepo kabla ya huo mwaka yaani ulianzia CHINA na huko magoli yalifungwa pia
@MuslihiShafii14 күн бұрын
Lakini yanga kumuachia mchezaji ngumu
@reinfridlipili566613 күн бұрын
Wana AKILI nyingi kuliko Simba
@omariaman781813 күн бұрын
Wana akili ndogo kuliko simba sema wanauoga mwingi kuliko simba