Wewe nimchambuzi wa mpira wengine niwachambuzi maandazi uko vizuri kaka
@apostleisaacnyika4669Ай бұрын
Nakuelewa Sana Salamba Uko Vizuri Sana 🙏
@mossessimon2493Ай бұрын
Uko vizuri prof🎉🎉🎉
@OS-pf6opАй бұрын
Yes, hawatakiwi kuunguza nguvu nyingi kwenye mechi za mapema wakati bado kuna kazi kubwa sana mbele ya safari. Hakuna timu iliyocheza na Yanga bila ku park basi!
@GeraldodingoSamson-ck5rxАй бұрын
Mko vzr sana pia una busara katika kuchumbua mpira
@EmmanuelMrimi-v1rАй бұрын
Ongera broo
@IsaacFredyАй бұрын
Kwa kweli Salamba Tv mnahitaji tuzo kwenye kz yenu mnaweza.
@AliJuma-vh3osАй бұрын
DAH, SALAMBA UNAJUA , NI MIONGONI MWA WA WACHAMBUZI WACHACHE SANA WA UKWELI TANZANIA. WENGI WA WACHAMBUZI NI WABABAISHAJI.
@GODFREYMWAKASITUАй бұрын
Huyu mchambuzi anajua mprira mti wenye matunda lazma upigwe mawe KAULI YAKO NI MOJA TU YANGA NDIO KPIMO CHA UBORA WA TIMU ZOTE ZA NBC PL, YANGA ni SI UNIT ya timu zote MCHAMBUZ UNAUJUA MPIRA NA NI MBOBEVU WA UCHAMBUZ NAKUPA KONGOLE
@RashidiIssanamagonoАй бұрын
uchambuzi ni kipaji salamba mpo vizuri
@perepetuajohnАй бұрын
YES, BROOO, PONGEZI KWAKO🎉🎉🎉🎉🎉
@Grayson-gq8hzАй бұрын
Uwongoo bhanaa
@EmmanuelMrimi-v1rАй бұрын
Yanga bingwa
@chuchumeta8374Ай бұрын
Uko smart sana.nimekuelewa
@perepetuajohnАй бұрын
Asante kaka, waambie hao WACHAMBUZI wabovu wasiojua mpira na mashabiki wa makolo tutaanza na hao makolo na wengine watafuatia😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@stevensosipitaАй бұрын
ACHA HAO WAJINGA WAKUBWA WAJIDANGANYE ETI YANGA KIWANGO KINASHUKA NA KUJITAPA YAKWAMBA UBINGWA WANAUTAKA TENA POLENI SANA MAKOLO JUZI TU DODOMA JIJI IMEWATOA JASHO HADI REFA KATOA PENALT YA MCHONGO KUWAPA USHINDI MNGEKUWA BORA SIMNGEMFUNGA HATA BAO 2-3-4 ?
@alphoncealmack9240Ай бұрын
Yan acha waendelee kuamini kuwa Yanga imeshuka kiwango alafu waje uwanjani wakiwa na maana tutawamudu 😂😂😂kitachowakuta tumuachie MUNGU mwenyewe
@alphoncealmack9240Ай бұрын
Yan acha waendelee kuamini kuwa Yanga imeshuka kiwango alafu waje uwanjani wakiwa na maana tutawamudu 😂😂😂kitachowakuta tumuachie MUNGU mwenyewe
@Yassirjuma-i1cАй бұрын
Kaka sis lengo letu wkariri kma kiwango cha yang kmeshuka,coz wajiachie ili tuwatumbue vzr kma walivyopangiw kikosi kweny yanga day. Kilichokja kuwaokoa waropokaji ni refa tuh
@saltechnologiesco.ltd.2377Ай бұрын
Hata Dosa nae kawa na akili za kikolo😂😂😂
@EmmanuelMrimi-v1rАй бұрын
Atar
@dr.edmundbmgeni486Ай бұрын
Well said. Kuna siku tutaonyesha makasiriko
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Ukweli kabisa wanapaswakuelewa🎉🎉🎉
@pambaboniface1199Ай бұрын
Wengi wao wanosema hayo...ni wale wano ongwa na baashi ya timu ili wawaseme vibaya Yanga ili kujifisha kwenye kivuli cha kuwekeza kwenye majungu.....mashabiki wa Yanga hawana pressure A kipumbavu ambazo zinatengenezwa na hao waxhambuzi makanjanja....Ukweli umeongea vizuri sama
@nseyantemiАй бұрын
Umesema kweli mkuu
@AnjelaMasakiАй бұрын
Nakuelewa sana
@thomaslyimo9556Ай бұрын
Professor wa maokoto uko vzr
@NeemaDaniel-j3gАй бұрын
Umeongea vizuri sana tena mashabiki wakuelew kwa undani kabisa
@AbasskhalfanАй бұрын
Nimekuelewa Bora uwambiye mana wameanza kutuzarau makolo
Wachambuzi tanzania wamebaki watatu tuu huyu jamaa ,mwanduke na kesy
@WilfredMwakatenda-it7oqАй бұрын
Hicho kitu wanachokitaka watakipata si wanataka 5 tena? Tar 19 sio mbali tutawapatia
@KarokiaNdirango-lj3wfАй бұрын
Yanga tunataka timu inayocheza open football ili apasuke mengi ila kuna watu watakuja kufa magori mengi
@januarysila1569Ай бұрын
uko sahihi mzee wa maokoto
@OmaryMwinjuma-x1iАй бұрын
Dominic unajua mpira Kaka kuna vibaraka wanataka kuivuruga yanga hawataweza.
@GervasNdegeulayaАй бұрын
Salamba nimekuelewa
@DenisSanga-bj5udАй бұрын
Unaubongo wa dhahabu kaka
@hassaniabdi3991Ай бұрын
Upo saii sana
@mackchacha4114Ай бұрын
Unaforce goli 1 😂😂😂😂😂, salamba hana data alishindwa azam tv wakaona bora aende maana hakuwa na mkataba
@twahaarusi4191Ай бұрын
Simamia ukweli salamba watajifunza tuu kuchambua
@GeraldodingoSamson-ck5rxАй бұрын
Na mchome mapovu
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Simba waliwashinda Dodoma jiji goli 3 au 4?
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
si ndo hapo!!! Unajua maumivu na mateso ya miaka 3 si mchezo ...yamewapagaisha watu mpaka wanajitoa akili...ni MIHEMKO TU YA KUTAKA KUJITUTUMUA NA KULAZIMISHA KUBADILISHA MWELEKEO WA UPEPO...
@GeraldodingoSamson-ck5rxАй бұрын
We aipate haya magoli hawana uwezo
@AllyAthumani-m1kАй бұрын
Huyu mchambuzi namba wani Tanzania
@AntoniJuma-i5bАй бұрын
Wenichawa wayanga njaainakusubua
@saidikabalain8923Ай бұрын
Upo vizuri sana mzee
@Mariam99-ld4gwАй бұрын
Tena wanasema vibaya baya sio vizur
@hockingsshangali1747Ай бұрын
je ni mashabiki au ni wachambuzi uchwara hao ?
@lourykibuduАй бұрын
Tanzania hakuna wachambuzi Bali ni wapiga nyeto wastaafu waliopo kwa jili ya maagizo Fulani kwa niaba ya watu Fulani
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
kwa comment yako hii ya kimhemko ni wazi kwamba ww ni miongoni mwa wale ambao mmekuwa mkiteseka for the past 3 years 😆😆🤣🤣😂😂
@GodwinRobert-fy5mwАй бұрын
Mwambie baba yako akachambue
@robertmaroaАй бұрын
Saf cna
@AbdullahKilindoАй бұрын
Wanaolalamika ni wewe na washabiki wa yanga
@madukaj.j.6999Ай бұрын
Ni kwamba. Yanga alikuwa na kiwango kikubwa sana watu wanaopolalamika wanaona kuna dalili za kushuka kiwango. Hili lishawahi kuwakuta simba waliamini kuwa wao wako top top kumbe wao wanashuka kiwango. Salamba unaongea vizuri lkn nakwambia kiwango cha yanga kinaahuka na kiwango cha Simba kinapanda
@VictorRamadhani-yx2riАй бұрын
Subili ligi iwe moto utajua mpira tu hulazimishw kuelew Leo