Dah! Unajua Sana kaka🙌 points ambazo ziko wazi ambazo hazijasukumwa na mihemko. Hawa ndiyo watu makini wenye madini wa kuchambua soka letu sio wale wapiga kelele. Salute.
@EmmanuelKamala-x5b10 күн бұрын
🎉🎉 baba ninyi ndo wakupewa nafasi kubwa za uwongozi
@davidwatson68219 күн бұрын
Salehe Jembe unaujua mpira, big up
@SabraChipeta9 күн бұрын
salehe umeongea kwel kaka ila Simba na mashabik atuwazi fainali
@saidbakari24089 күн бұрын
SALEHE JEMBE MZEE WANGU NAKUPA HII ITAKUSAIDIA. Msimu ambao Simba SC itafika nusu basi ndo msimu ambao kombe litafka Tanzania
@Eliaskasanya-hm5yk9 күн бұрын
Salehe Jembe anajua sana kuchambua soka. Huyu haongei kishabiki ila anaongea ukweli kuhusu soka na si wanaojiita CHUMA CHA MJERUMANI.
@saidally31610 күн бұрын
Ndio maana mungu anawaadhibu hawa sio watu ni mashetani awafai ata kidogo
@LaurensiaPeter2 күн бұрын
Wachambuzi kama wewe saleh huwa tunajivunia sana wana kanda ya ziwa hasa buchosa 🌹🌹🌹🌹unatisha halafu ukweli zaidiiiii🙌🙌
@MasoudHaji-h4u9 күн бұрын
kichwa cha habari chengine na habari ni nyengine hata Ile ya ambangile pia, naona habari zako sitasoma Tena na nitaomba wengine pia
@SaadIssa-e1e10 күн бұрын
Wanaoipenda Yanga Yao wala hawafanyi hivyo kupiga watu,hao ni machawa tu😮😮😮
@JohnJoseph-qq7ow10 күн бұрын
Yanga niwahovyo sana
@kitaraabdi952910 күн бұрын
We mwamba nakuelewa unajua sana
@harounmaarufu324110 күн бұрын
Hersi mwenyewe ni tatizo
@JodanielMowo10 күн бұрын
Hakika
@JohnJoseph-qq7ow10 күн бұрын
Eee tena
@harounmaarufu324110 күн бұрын
Yanga ina sifa mbaya
@samwelsimon739210 күн бұрын
mimi nikikusikilizaga huwa nakuelewaga sana
@harounmaarufu324110 күн бұрын
Watu wa yanga ndo wanaharibu mpira.
@BachuBachu-mq2ko10 күн бұрын
Usajili unaenelea
@lukasingogo818210 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@joelmichael975210 күн бұрын
Ule ni ushamba wa kupiga watu,yule anajua hatapanda tena ndege ndiomaana ana hasira Utopolo kutolewa.