Hao hawakuwa wanasiasa bali walikuwa watafuta ulaji
@adelinelyaruu30365 күн бұрын
Wasaka tonge
@rosetreffert41795 күн бұрын
Kabisaa
@DaudSuday-v5c5 күн бұрын
Waondoke wote wapokea lushwa hatuwakaki
@TrustElbashil5 күн бұрын
Aende safari njema alikuwa ccm mda mke wake Yuko ccm nenda hamna lolote huyo ndani ya chadema ulikuwa mzigo
@salama11135 күн бұрын
Magugu katikati ya ngano ndo hii😂😂😂😂
@ndogoroedson1995 күн бұрын
Aisee ngano inaondoka chadema yanabaki magugu kama ninyi ambao hamna impact kwa wananchi!😂😂😂
@RichardbituroMakole5 күн бұрын
Aondoke huyo mkewe si ndo anakula pesa za uma kupitia ubunge wa kujifanyia? Lisu ana watu wasicheze hapo watz tumeelewa nani mpinzani.lisu ni kiongozi tz one day.
@msokainno5 күн бұрын
aondoke.tu team mbowe na covid19
@adelinelyaruu30364 күн бұрын
Huko waendako wapo wenyewe kama hawajui
@ChristerKok5 күн бұрын
Hasifikirulie sana kama ni mwanachama wa Chadema wa dhati hataondoka,kama alikuwa kwa ajili ya ulaji aende tu njia ni nyeupe.Mme wa Esta Matiko.
@mbwanahasan29716 күн бұрын
Waende zao washibia matumbo yao wanamkimbia jembe atapanga safu mpya
@mfwimiekayuki86925 күн бұрын
Walijiandaa vibaya siyo lazima kuwa CHADEMA.Asafiri salama.
@PhilipoMwita-b2x5 күн бұрын
Nitaarifa nzuri sana
@QaahtaQaahta5 күн бұрын
Nafikiri hawa tangu mwanzo walikuwa NI CCM. SI RAHISI MPINZANI WA KWELI KURUDI CCM. ANAWEZA KUACHA CHAMA FULANI CHA UPINZANI AKAENDA CHAMA CHA UPINZANI AU ATAANZISHA CHAMA CHAKE
@HappinessMazera5 күн бұрын
Huyo hakuwa mwana siasa bali alikuwa mchumia tumbo yeye aende zake huko ccm
@knight67575 күн бұрын
Duuh...hawana aibu ...wanameza matapishi zao😂
@lucianakweyunga81875 күн бұрын
Kila anayeondoka hafai kwa Sasa watupishe, ...chama nilikuwa kichafu Sasa kinakuwa kisafi.....hao watu siyo wazur waende zao
@adelinelyaruu30365 күн бұрын
Njia ni nyeupee😅😅
@andrewkitema98385 күн бұрын
Wote wanaohama Chadema kwasababu ya Mbowe kushindwa uchaguzi ni kielelezo tosha kwamba walikuwa ni wanufaika binafsi wa uwenyekiti wa Mbowe. Hawakuwa Chadema kwasababu ya itikadi na falsafa ya chama. Kwasasa wanaona hawawezi kupata tena walichokuwa wanapata ndani ya Chadema Mbowe akiwa mwenyekiti. Hawakuwa Chadema kusimamia hitaji la wananchi na wanachama ambao kwa majority ndio wameamua Lissu awe Mwenyekiti wa Chama wa nyakati hizi. Kuchukia mabadiliko ya uongozi ni kuonyesha kwamba wao walikuwa hawakerwi na zile kauli kwamba Chadema ni Saccos ya Mbowe na kwamba ni chama cha Wachaga kwa vile tu wao walikuwa wananufaika kupitia uwenyekiti wa Mbowe. Siwapendi wanasiasa wabinafsi
@JeremiahKaliwa-h1w5 күн бұрын
Aende tu wabaki wanachadema wa kweli.
@JuliusAkida5 күн бұрын
Wapambe wa lisu mnasimango sna kwa wenzenu,mbona wakati wao wanaongoza hamkubaguliwa,nyie leo mnasema wenzenu kama hamuwajui,
@andrewkitema98385 күн бұрын
@JuliusAkida Hakuna mtu anawabagua mzee, kama ni kubagua wao ndio wabaguzi kwa kuona hawawezi kufanya kazi na Lissu ambaye walikuwa naye Mbowe pakiwa Mwenyekiti. Kwa mfano Salimu Mwalimu kama kweli anaamua kuondoka Chadema kwa vile tu Lissu ni Mwenyekiti binafsi atakuwa amenisikitisha sana. Nadhani nitakuwa sahihi nikisema kilichokuwa linamfanya awepo Chadema ni maslahi binafsi aliyokuwa anayepata chini ya Uwenyekiti wa Mbowe ambayo anaona sasa hawezi kuyapata tena chini ya Lissu. Kwani kama kujiunga kwake na Chadema kulitokana na itikadi na falsafa ya Chadema kubadilika kwa kiongozi hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuondoka kwenye chama.
@roypeters98295 күн бұрын
Aende tu mbona
@jacobsamgabo80455 күн бұрын
Hiki chama kimeingiliwa tetesi tu mnaanza kutukana kama anazushiwa je?kweli lisu kazi anayo kama wafuasi wenyewe utafikiri wavuta bangi😂😂
@Neema-qm9kk5 күн бұрын
Hahaaaa
@RomanMwinyi5 күн бұрын
Uyo kavidi boya ww iki chama sio ccm Cha Wala lushwa mimba ww apa ukiwa mlalushwa nenda ccm ndio walipo Wala lushwa uko mmbwa ww
@gsplundi13275 күн бұрын
Wakati wake umeisha aende too
@halimamasai22345 күн бұрын
Kumekucha 😂😂😂😂
@marymremi10515 күн бұрын
niliwaambia kitakachofuata kama mbowe ataondoka chama kimebakia watu wasio na busara kimepoa hakina nguvu huwa Mungu alimweka mbowe mkaleta siasa za kudhalilisha watu wengine mnajiita nabii mtamkumbuka
@antonyndinga88905 күн бұрын
Lisu oyee,magugu yaondoke tuu
@albertinamichael61235 күн бұрын
Hao walikuwa mapanndikizi wa CCM
@salminmayla5 күн бұрын
Hao ndiyo walikuwa mamluki, walikuwa wakituchelewesha, Bora kuwa na watu wachache walio wazuri kuliko kuwa lunfo lawatu halafu linajaza fitina tu mara watu watekwe Mimi na wasisi na Hawa wanaweza kuwa wanajuwa mambo ya siri
@KelvneJeremia5 күн бұрын
Hatutaki wanasiasa wenye tamaa acha waondoke
@jamesbayo19105 күн бұрын
WANACHAMA. WANAOONDOKA CHADEMA NI. VIBARAKA . ACHENI WAONDOKE CHADEMA NDIYO ITAIMARIKA. ZAIDI. HAO WAGANGA MATUMBO. WAONDOKE HARAKA .
@saimonisichimata85595 күн бұрын
mimi huyu jamaa sjawahi mwelewa Chadema aondoke tu kamaanataka
@joshuaswai82035 күн бұрын
Sio kweli
@margarethpolepole74385 күн бұрын
Hao walikuwa walamba asali lazima tu waondoke Chadema ilikuwa ineshakufa
@ELIAMbise-sy5ue5 күн бұрын
Aende kabisa. Huyu ni mtu wa maslahi.
@maryhando2275 күн бұрын
Aende tu.
@HasaniBile5 күн бұрын
Hayo ni magugu yesu aliyasema tutaona na kuwajua wahusika ambao ni magugu,
@robertedward19925 күн бұрын
Aende kule ccm ,akamfate mke wake huko
@ZaidAKissinza5 күн бұрын
Kama ni kweli basi hii ni hatari, BON VOYAGE
@teresiagama35785 күн бұрын
Wana Lao jambo hao!! Mwanasiasa bora.angebaki!!!
@muhsinikoki40605 күн бұрын
wejama nimuongo sana
@makumbistaford14895 күн бұрын
Tutajua ukweli kauli zao siku za usoni
@aminattai26765 күн бұрын
Wanaijielewa wengi hawawezi kubaki CHADEMA kwa ajili ikiwa kiongozi anautambuwa ushoga maana yake kila kiongozi kwenye CHADEMA itabidi aungane na lisu kwa hili,uyo mua America mwenyewe kalipinga hili itakuwaje lisu analitambuwa na kwa faida ya nani? Wa Africa hatuna asili hii lisu linamfurahishaje hili mpaka aliunge mkono?
@songeza5 күн бұрын
Mtaongea mengi na wengi watatoka chadema maana hazungumzii mema bali kutukana wafu na kumsakama Rais hiyo sio siasa ni chuki binafsi
@andrewkitema98385 күн бұрын
@@songeza Wote wanaomtukana Rais wachukuliwe hatua za kisheria ili kuikomesha hiyo tabia na umma uelezwe kabisa hawa wametukana Rais matusi haya.
@makumbistaford14895 күн бұрын
Mbona walisema baada ya uchaguzi hakuna kuhama inakuwaje tena?
@kirungekirunge59205 күн бұрын
Akiri za kuambiwa changanya na zako Lincoln wakashindwa nini kwenda kumuoji mpaka watuambie walichosikia kiboko ya njia ni kigogo yule ajawahi kutoa habari ya kusikizwa kama hawa wanao jiita Lincoln wazushi
@MshauriKigwinya5 күн бұрын
Na Mimi nasema hao ni wanufaika wa pesa za mama Wacha waende
@Ahmedseif-l5g5 күн бұрын
uongo huo
@kirungekirunge59205 күн бұрын
Lincoln kila siku wanawaondoa wanachama
@abrahamuisrael61615 күн бұрын
CDM ni wabaguzi wa dini,, dadeek zao
@andrewkitema98385 күн бұрын
@@abrahamuisrael6161 Watu wa aina yako mna hatari sana kwa amani ya nchi. Haifai hata kidogo kuhusianisha maoni ya watu na imani ya dini. Bado kidogo utaanza kusema kwasababu ni Mzanzibari. Mwalimu Nyerere alituasa sana juu ya mambo ya dini, ukabila na hata ukanda. Unaweza kudharau na kuona ni mambo madogo lakini yana hatari sana kwa mstakabali wa amani yetu. Unajua namna ya kupokea mambo na uwezo wa kuyachanganua tumetofautiana. Mwingine anaweza kulibeba jambo kama alivyolisikia bila kulitafakari halafu akalisambaza kwa namna ya kuchochea na madhara yake yakawa ni kwa nchi.
@verdianabanabi22055 күн бұрын
Wewe endelea kuota utatangaza uliyoota.
@nabii-zc1hm5 күн бұрын
Covid 19 nao out
@JohnJacob-k6e5 күн бұрын
Aende tu hamna shida hao ni wasaka tonge ccm mtu huwezi hama chama kwasababu ya mtu.
@PaschalMallya-x4n5 күн бұрын
Kama c Millard habari hii batili
@AshuraNyamnyam5 күн бұрын
Swala cyo covid ila maneno yamezidi , vijembe utazani wako kwenye mdundiko , siasa za kusutana bora aondoke maana itakuwa vijembe mpaka lini kwastaili hiyo wataondoka wengi
@Selemlaki1325 күн бұрын
Yeye hana jibu hata Moja la hayo maneno au vijembe mwanasiasa Gani huyo asye weza kujibu hoja hata moja
@Selemlaki1325 күн бұрын
We rudi tu kwenye taaluma yako ya utangazaji siasa huiwezi
@EsauMwanguku-t5n5 күн бұрын
Msaliti mke si mbunge wa wale 19
@WiliamKundi5 күн бұрын
Mwache aende
@michaelmshighati84325 күн бұрын
Aibu Salim Mwalimu unapenda CCM ? Shame to you.
@rashidmohd1155 күн бұрын
Km wataenda kuunga juhudi watatupa uthibisho wa wazi kua waliramba asali
@verdianabanabi22055 күн бұрын
Bado unahitajika cdm.
@sebastiansalamba3135 күн бұрын
Wasaka tonge utawajua tu na bado
@EllyAmanieli-o5u5 күн бұрын
salum mwalimu mtu makini
@HABIBHASSAN-wf5mr5 күн бұрын
CHADEMA NI CHAMA AMBACHO KINA WATU WA AINA MOJA NI WABAGUZI SANA SANA SANA HII NCHI NI YETU SOTE AIWEZEKANI CHAMA KIKAWA NA WATU AINA MOJA CCM NDIO BORA KINA WATU AINA ZOTE BILA UBAGUZI
@RomanMwinyi5 күн бұрын
We shoga ujielewi Sasa jitu Lina kula lushwa ana kandamiza wana chama Sasa ana faida gani boya ww
@JumaWaziri-d5x5 күн бұрын
Ondoka apo yamebaki matusi kashfa uzanzibar na utanganyika tu
@Selemlaki1325 күн бұрын
Kitu gani kinamfanya aondoke
@dismasmtui7295 күн бұрын
Upinzani sio kitu chepesi, kwenda CCM ni kushusha hadhi yako!!!
@estachengula39025 күн бұрын
Msiondoke salumu shetani asiwatawanye kwa mda huu ni mda wa mafanikio
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps5 күн бұрын
Yupo sahihi anakwepa genge la lisu
@simonsadala23865 күн бұрын
Chadema ndo inaenda kuzikwa wenye akili wote wataondoka watabaki walevi tuuuu 😂😂😂😂😂😂😂