SAMAHANI ASANTE |ep 7|

  Рет қаралды 83,688

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

Пікірлер: 345
@KitaleMkudeSimba
@KitaleMkudeSimba 2 ай бұрын
Toa Maoni Yako 0733 999 999 Whatsp
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 2 ай бұрын
Kaz mzuri San ila tunaomba utuongezee dadek natunaomba utulitee Kwa wakati
@HawaaMkubwa
@HawaaMkubwa 2 ай бұрын
Hongera sana from oman
@ElinaIbrahimu
@ElinaIbrahimu 2 ай бұрын
Tunaomba utuongezee dakika na pia usicheleweshe sana
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 2 ай бұрын
@@KitaleMkudeSimba ndo maoni hayo.
@TeddyAnthony-u7b
@TeddyAnthony-u7b 2 ай бұрын
Mnatuchelewesha sana jamani
@wedrieckomary6059
@wedrieckomary6059 20 күн бұрын
Duh mbn sahifii mwenyew wakawaida xn m mwanz nilijua smart boe xn kumbe duh😱😱
@malengafataki1228
@malengafataki1228 2 ай бұрын
mnafanya kazi nzuri sana tunafuatilia sana sisi wenye tunaishi USA❤👏🏻👏🏻🔥🔥✅
@NyapambaSadokiSango
@NyapambaSadokiSango 18 күн бұрын
Hadi useme USA 🇺🇸 ili wajue upo USA
@rachelKizumbe
@rachelKizumbe 2 ай бұрын
Kuna mda mtu mzima akikukataza uelewe kabisa wanaonaga vitu sisi hatuoni mala nyingi ubishi unatuhalibia maisha yetu bila kujua
@NagibKhamis
@NagibKhamis 2 ай бұрын
Asante Mr kitaleee,kwa umahiri wakooo,kaziii nzuri sana,Kila kitu kiko sawa,mipangilio mizuri na yenyee kusisimua moyo,na kumakinishaaaa,ila muendelezooo tafadhali bilaa kukawia,na piaaa mdaa tuongezeee,,,ikiezekanaaaa kwaniii naonaaa utamuuu wazidiii,tamthilia ulivoidhibiti kwa ujuzii wakoo,,,,,,,,,,,(tukoopamojaaaa) naombaaa usikawie kwa muendelezooo ujaooo,ep 8,,,,,,tuzidi kuonana kwa ep ijayooo,,,,,,,,,kumradhi,,,...samahani na asanteni nyoteee,kwa kazi nzuri,munguuu awabarikii na awafungulie njiaaa ya heri katikaaa maishaaa yenu,,,(usikuuuu mwemaa)
@YusraIrankunda
@YusraIrankunda 2 ай бұрын
Namfatiliya kitale nikiwa burundi🇧🇮 huna kazi mbaya nakufatiliya tangu maneno ya kuambiwa mpaka sasa ✌️
@Jastus100
@Jastus100 2 ай бұрын
Karibu sana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Ай бұрын
Mzee kama namkubali sana anacheza vizuri nafasi yake❤🎉
@PriscaRamadhan-ll8lj
@PriscaRamadhan-ll8lj 2 ай бұрын
Nawapenda san jomn nimefulah ahsante kitale na mungu akubaliki san jomn 😊
@MwanengoMbogo
@MwanengoMbogo 2 ай бұрын
Wakwanza Kuona from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mombasa
@Iris-p3g
@Iris-p3g 2 ай бұрын
Nairobi represented
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno 2 ай бұрын
Uyu shafii ukimwangalia kwa woga kama harmonize vile wanafanana sana
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje 2 ай бұрын
Afadhali nimepata mtu anae sapot mawazo yangu yan kitambo namfananisha
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno 2 ай бұрын
@IsakaMgeje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mi Kila nikimwangalia nasema uyu shafii mdogo wake harmonize au 🤣🤣🤣Sema tu uyu bonge Sana 🤣
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Ай бұрын
Kabisa😂
@ZainabAbdurahman-l2e
@ZainabAbdurahman-l2e Ай бұрын
😂😂😂kweli vooo😊
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno Ай бұрын
@ZainabAbdurahman-l2e 🤣🤣🤣😂
@leahzawadi5104
@leahzawadi5104 2 ай бұрын
Nimeisubiri sana kila siku nachungulia ❤❤❤❤ kazi nzuri sana🎉🎉🎉
@TinaKazungu-k9m
@TinaKazungu-k9m 2 ай бұрын
Hongera sna mkude Simba kazi nzuri,na tizama nikiwa Kenya ❤❤❤❤❤
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 ай бұрын
Sijachelewa sanaaa 😘😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 ай бұрын
Wewe mamakae somo yangu tulia😂😂wataka kuaribu move
@witnessmaturege2944
@witnessmaturege2944 10 күн бұрын
Usinigombanishe na mume wangu😂😂😂😂😂 asigombanishwe na marehemu 😅😅😅
@AugustaBernardoJosé-n8e
@AugustaBernardoJosé-n8e 2 ай бұрын
Wakwaza ni Mimi Leo jaman naomba laike apa jaman
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi Ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 2 ай бұрын
❤❤wanao kuzunguka ndio wabaya wako 😢😢
@IssaSaha
@IssaSaha 2 ай бұрын
Mko pw kwenye kazi yenu twawakubali sana tena sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@narfatkarama5743
@narfatkarama5743 2 ай бұрын
Mzee kama yupo vizur lkn mgonga wa wachaw nampendaa😂😂
@majidayubu8221
@majidayubu8221 2 ай бұрын
Kitale hujawahi tufelisha salute Sana tatizo lako umaliziaji ndio mziki
@Mkurungwe
@Mkurungwe 2 ай бұрын
😂😂😂huku tulifika enzi zile tutambuaneneni jamani wahuni ni wengi 😂😂😂😂😂
@JaphethChuwa
@JaphethChuwa 2 ай бұрын
Mzee kama Jitu kazziii 😂😂🙌
@ayubukiuya669
@ayubukiuya669 9 күн бұрын
Shafii hajui kuzigiza hajafit 😂
@Shadia544
@Shadia544 5 күн бұрын
😂😂😂Ila babu yake aisha jamaniii ndiyo stelling wetu 😂😂😂
@PhinerJunior
@PhinerJunior 2 күн бұрын
Muvie ni nzr lakni sijaona mnyama ata mmoja zaidi ya nyau inamaana uko akuna wanyama😂
@GilbertSambaya
@GilbertSambaya 8 күн бұрын
Jmn hii nyimb si mtutolee audio yak jmn ht tusikiliz itu farij jmn kak 🎉🎉🎉
@omarmkali3610
@omarmkali3610 2 ай бұрын
Safi sana 🎉🎉🎉🎉
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 2 ай бұрын
Twende na kitalema🎉
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko 2 ай бұрын
Dah braza kaka mkude kazi zako zimenyooka dah sema hii inabidi uimalize zisiwe kama zile binadamu wabaya ilikua bonge la muve
@VeronicaRichard-l8b
@VeronicaRichard-l8b 2 ай бұрын
Huyo shafiii sasa cjuii ana maajabu ganiui😅😅😅
@MaritaMarura
@MaritaMarura 19 күн бұрын
Mzee kiboko lakini watu wake awamuhelewi jamani
@Radhiah-w5l
@Radhiah-w5l Ай бұрын
Kwaio wachawi wana mchangia shafiiii😂😂😂😂😂😂 aoe
@sm_155
@sm_155 2 ай бұрын
kazi nzuri kitale respect bro
@KagosoKagosemba
@KagosoKagosemba 2 ай бұрын
HILI NALO KAMA JEU😅😅😅
@NaomiMjengi
@NaomiMjengi 2 ай бұрын
Hili nalo ka jehu ila uyu mzee😂😂😂😂
@HonestMichael-l2z
@HonestMichael-l2z 2 ай бұрын
Mganga master plan 😅😅😅
@zainabalex9810
@zainabalex9810 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Ай бұрын
😂😂😂
@HonestMichael-l2z
@HonestMichael-l2z 2 ай бұрын
Hahahahaha mzee atak Utan kwenye hela😅😅
@sharifushabani3906
@sharifushabani3906 2 ай бұрын
Duuh aise bonge la story aise sekulu kwa story Dah huna baya ghwe mbala kanzwi inogha sana
@zainabissa7327
@zainabissa7327 2 ай бұрын
😂😂😂mtumbo wa shafii
@SabrinaNurudini
@SabrinaNurudini 2 ай бұрын
Asante kweli kwa movie nzur
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 2 ай бұрын
🎉🎉😂😂Mzee Kama muache mama Aisha akione cha Moto
@winfridathomas7710
@winfridathomas7710 2 ай бұрын
Nilikuwa Nalisubiri Mweeeeee 🤣🤣 haya tuwekee ya 8❤
@nasibukiangai4639
@nasibukiangai4639 2 ай бұрын
Hapo kwny jambo litakuwa limekwishaa😂😂😂
@abdalah-tg5bn
@abdalah-tg5bn 2 ай бұрын
Najiuliza uyu aisha ana umuimu kiasi gani mpaka wa2 waache kazi zao zaid 6
@SapnahAnkway
@SapnahAnkway 2 ай бұрын
Hasid hana 7bu my darling
@abdalah-tg5bn
@abdalah-tg5bn 2 ай бұрын
​@@SapnahAnkwaymmhhh umeniitaje apo ebu iludie my
@Ishermoreogfd9un
@Ishermoreogfd9un 2 ай бұрын
​@@abdalah-tg5bnamekuita darling wake jamani bwana dulla😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@medrinemadeha3415
@medrinemadeha3415 2 ай бұрын
​@@abdalah-tg5bn😂😂😂😂
@DamianLucas-k2d
@DamianLucas-k2d Ай бұрын
namimi ndio nawaza ananini?
@user-tg6tp8hz21
@user-tg6tp8hz21 2 ай бұрын
Huyu shafiii jaman atatuto roho kaaa jama. Had tunataka kuuwana😂😂😂
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Ай бұрын
Kama wa kama❤❤❤
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 2 ай бұрын
Daaah kitale utatuua Kwa mawazo tunalala you tube tunakesha you tube kwasababu ya hii tamthiria
@One_5_l
@One_5_l 2 ай бұрын
Noma sana
@RoseRobert-qd6ip
@RoseRobert-qd6ip 2 ай бұрын
Hhh vicky analeta ugumu kwa doctor 😂😂 apewe kibunda akatoe uchawini
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 ай бұрын
Kazi safi ❤❤❤😊😊 tuna further tuna support na tuna enjoy
@stanleysongo6895
@stanleysongo6895 2 ай бұрын
Kazi nzuri kitale
@yamotomwinyi7217
@yamotomwinyi7217 2 ай бұрын
Kazi nzurii sana mungu akutunzee
@rahmahassan5405
@rahmahassan5405 Ай бұрын
Ila hyu mama nae akufundwa udogoni yan ajui kuchanganua mambo😢😂😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 ай бұрын
Shafii mwenyewe anaefanya watu walogane hata haeleweki 😂😂
@AgnessMalasusa
@AgnessMalasusa 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 2 ай бұрын
𝚢𝚊𝚊𝚗 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚍𝚑𝚊𝚖𝚋𝚒 𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚒𝚜𝚑𝚒𝚠𝚊 😂😂😂
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 ай бұрын
Itakuwa ni nyota ya Aisha sio hata huyo shaffi...😂😂😂
@HenriquesAliguene
@HenriquesAliguene 2 ай бұрын
Kkk😅
@ZakiahassanMbotoni
@ZakiahassanMbotoni 2 ай бұрын
Hiyo shape sasa😅😅
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 2 ай бұрын
No 1 from 🇰🇪 .
@aishajuma18
@aishajuma18 2 ай бұрын
Hili nalo kama jehu😂😂😂
@getrudegeorge2133
@getrudegeorge2133 2 ай бұрын
Ila wachawi awo kina Asumta wanapoish Sasa pabay atal afu wanaloga nyie 😅😅😅
@QueenNelson-y8t
@QueenNelson-y8t 2 ай бұрын
Huyo Shafii mwenyewe sasa 😅😅😅
@tanzaniahumanitycharityand4866
@tanzaniahumanitycharityand4866 2 ай бұрын
Hahahaha hawa wazee jaman watatuua😅😅😅😅😅😅 laki 700000/=
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan 2 ай бұрын
Kazi nzuri wahishene inazidi kunoga
@mamasalhat
@mamasalhat 2 ай бұрын
Anapost unavyo jisikia tutakusanau ujue tutakimbia kule kwa chadoooooo master ❤
@RoseAndreson
@RoseAndreson 2 ай бұрын
Kaka chukuwa mauwa Yako 🎉🎉🎉 una juwa sana
@tatuathumani8913
@tatuathumani8913 2 ай бұрын
Mama aisha thatha kwa ubishi😂😂😂
@mwasitisudi4302
@mwasitisudi4302 2 ай бұрын
Kuchelewa tuuu 😢😢
@MohamedSalum-l5y
@MohamedSalum-l5y 2 ай бұрын
Yan sitamani hata ihishe siokwa utam uwoooo
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 2 ай бұрын
Mogela huo mwili daah unazeeka sasa hivi😂😂😂😂😂
@dullymsomaly3782
@dullymsomaly3782 2 ай бұрын
mama unaharibu movie apoko..ata kam movie ni nzuriii
@BijumaMbwana
@BijumaMbwana 2 ай бұрын
Eeh Aisha wee...mwana kulifind mwana kuliget Aisha skiliza maneno ya wakubwa😢😢😢yatakukuta ulie
@johnmalemi3017
@johnmalemi3017 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana kitale
@malengafataki1228
@malengafataki1228 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥✅👏🏻👏🏻
@SpenciozaKazimili
@SpenciozaKazimili 2 ай бұрын
Natamani kila siku muwemnatoa jmn naipenda
@KiduDesigner
@KiduDesigner 25 күн бұрын
uyu mzee kama ninamkubari sn akoseyi
@WilleWille-t7f
@WilleWille-t7f Ай бұрын
ila babu et ili nalo kama jehu alivo sikia kuhusu kutoa hella😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jaimealberto7595
@jaimealberto7595 2 ай бұрын
Wa kwanza naomba like
@fadhilyussuf322
@fadhilyussuf322 2 ай бұрын
Leo me nd wa kwanza ❤❤
@GraceKibelenge
@GraceKibelenge 2 ай бұрын
Mimi sasa sijui uwa nakuwa wp😅 ira kitu moyo unapenda
@faizahFay-c3y
@faizahFay-c3y 2 ай бұрын
Sijachelewa sana leo 😂
@Cynthiacycy-h5h
@Cynthiacycy-h5h 2 ай бұрын
Mama Aish kichw maji😂😂😂
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@IddiIddi-m2q
@IddiIddi-m2q Ай бұрын
Shafii kafanana na harmonize
@MarianNdunde
@MarianNdunde 2 ай бұрын
Waafrica Sasa, hawaelewi mpaka aone 😢😢
@ZuhuraFatum
@ZuhuraFatum Ай бұрын
Wachaw hawana ela wanaingaika🤣🤣
@Kaka_kenny
@Kaka_kenny 2 ай бұрын
Aisha anajua sana kuigiza (pure Talent)
@ElizabethJohn-r1q
@ElizabethJohn-r1q 2 ай бұрын
Mhhm anayegombaniwa sasa maajabu
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 2 ай бұрын
Wao
@JasminMuhq
@JasminMuhq 2 ай бұрын
Nzuri❤❤
@DianaRobert-j4q
@DianaRobert-j4q 2 ай бұрын
🎉🎉
@justinjosias2997
@justinjosias2997 2 ай бұрын
hii movie kwa wadada usiingalie kama movie haya matukio yapo kwa jamii zetu
@mwajeyamry
@mwajeyamry 2 ай бұрын
Haswa kwenye kipengele Cha kuazimana nguo weeeee hatar Tena hatari
@almasiabdallah3563
@almasiabdallah3563 Ай бұрын
Mbona mdogo wangu umeweka Namba za kweli
@aishabuwahassan4651
@aishabuwahassan4651 2 ай бұрын
Safi sana mkude simba❤
@AngelMorgan-j9e
@AngelMorgan-j9e 2 ай бұрын
Inachelewa sana jaman😢 tuwaishie kidogo bas
@MousaAmos
@MousaAmos Ай бұрын
Mpka nmefka apa cjaelew sabb za aisha kuwa na hao maadui wote
@BLACKOFFICIAL_TV
@BLACKOFFICIAL_TV 2 ай бұрын
Good 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@nesterkilongumtwa4288
@nesterkilongumtwa4288 2 ай бұрын
Kwann aisha ana maadui wengi hivo
@RayaSafari
@RayaSafari Ай бұрын
So sasa nimepata ufahamu kumbe hichi chama cha wachawi na twaishi nao na kula nao duuu😮
@BlancoGram
@BlancoGram 2 ай бұрын
😂😂ila hawa wazee wananitoa akili hata kama ndio Uchawi so kwa Namna Hii Aseh!.
@SalhaAbdallah-kd3xp
@SalhaAbdallah-kd3xp 2 ай бұрын
nmewah na mie leo❤
@IssaSaha
@IssaSaha 2 ай бұрын
Mko pw kwenye kazi yenu twawakubali sana tena sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gayanestory4357
@gayanestory4357 2 ай бұрын
❤❤❤
@KelvinNaftal-q6g
@KelvinNaftal-q6g 2 ай бұрын
Kamakuwigiza. mnajuwa. wabongoh
SAMAHANI ASANTE |ep 8|
19:58
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 85 М.
SIRI YANGU ❤️ | Starring #MALAIKA #MATUTU
24:20
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 58 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
SAMAHANI ASANTE |ep 6|
21:19
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 89 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 9|
19:04
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 84 М.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Hajra Kidoti
Рет қаралды 262 М.
SAMAHANI ASANTE  EP 23
16:02
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 91 М.
SHEM KAMA SHEM 😋 [ PART 1 ] Full Episode
42:22
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 199 М.
SANDA JUU YA KABURI EPISODE 11     #mwasi #movie #trending #kakoso #film
18:24
SAMAHANI ASANTE |ep 10|
21:47
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 90 М.
SONAA FULL MOVIE HD
5:42:25
kp wa Aquino
Рет қаралды 558 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН