Tunaomba mtuongezee dk kidogo Wanao ungana nami tujuwane kwa like
@marykilindo1413Күн бұрын
KWELI KABISA
@kambikashama4619Күн бұрын
KAMA RAMADHANI KAMA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 SUPER TALENTED MUNGU HAKUWEKE INSHALLAH
@SherryAdamКүн бұрын
Huyu mzee hajawahi kunuangusha penda saana kitale mbunifu hatariii hii ni firee jmn❤
@bakarimilanzi9521Күн бұрын
Kama Ramadhan Kama,Huyu Mzee anajua afu anajua tena, M/Mungu ampe maisha marefu sana tuendelee kufurahia sanaa yake 🙌🙌🙏🏾
@BinKassim-vl8kyКүн бұрын
Uchawi noma sana kisha kuna roho ya kichawi Mungu atulinde sana
@mshambaused3840Күн бұрын
Wachawi sio uswahilini tu had madaktar Wachawi usimwamini kiumbe chini ya dunia muamini Allah t
@batihubadiy3106Күн бұрын
Mzee Kama mwamba Sana Yaan tukubaliane hapa Team Mzee Kama kiboko yao
@TinaKazungu-k9mКүн бұрын
Team mzee kama gonga apa
@HIDAYAKAMPAKASAКүн бұрын
nyie mwambieni mzee kama mie siwezi ishi bila yeye😂😂nampendraaaaa
@elihudykinguwiman189Күн бұрын
Niko wakwanza samahan 🎉❤❤❤❤
@ScolaNalleКүн бұрын
Mzee Ramadhani 🔥🔥🔥Mwamba Kabisaa
@robsondalink6206Күн бұрын
Juhudi zenu haziwezi kuwasaliti, mtafika mbal sana ❤❤❤❤
@AwoshyКүн бұрын
Mdogo wangu acha utoto 😂😂mzee anajua sanaa 🙌👏
@pascalkomba8574Күн бұрын
Daaaaaaa hiiiii movie kali sana jamani yaani kwanza wimbo wenyewe tu unasisimua sana hongera sana Kitale
@roseafrael75Күн бұрын
Asante Kitale kwa kazi nzuri ,,mzee Kama Ramadhan Kama anautendea haki uhusika wake vizuri 🎉
@AliceSidi-d3nКүн бұрын
❤❤❤❤ mzee kama 🎉🎉🎉
@shakiraally6380Күн бұрын
Salute Mr Kitale lkn usicheleweshe mambo mazuri kama haya ya mzee kama mpe sini nyingi tuzid kumuona let go team mzee kama ❤❤
@hironduarte6123Күн бұрын
Jamani wa kumi Leo nipeni haki yangu
@saumuwendo466021 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 kama Ramadhan kama asante kwa maneno yako🎉
@MontanahCocktailКүн бұрын
Mzee kama noma team mzee kama tujuane hapa like zakutosha nawapenda
@simu_fasterКүн бұрын
Mzee kama ramadhani kama🎉
@RehemaSaidi-p4bКүн бұрын
huyu mzee na mukubali sana❤❤
@MeshackBalongelwaКүн бұрын
Kazi nzuri sana mwamba kital ❤
@DanjaloMwiluКүн бұрын
mzee hanatisha babu wa aisha huyo noma
@esterfranck51413 сағат бұрын
Huy mzee noma sana aseee🎉🎉🎉🎉
@allymahabuba4671Күн бұрын
Mjukuu wa mzee kama apa
@حليمهالبلوشي-ز5ثКүн бұрын
Mzee kama ww unanifuraisha sana babu❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@johnmalemi3017Күн бұрын
❤❤❤kazi nzur team mzee kama
@Boniphaceshayo5Күн бұрын
Hako ka wimbo kamenirudishia mausiano yangu na mke wangu AHSANTEE
@LaitiMipikoКүн бұрын
😃😃😃😃
@sekondianacletus4537Күн бұрын
😂😂
@TedylaurenceКүн бұрын
😂😂😂
@Jamilajuma-z2wКүн бұрын
Heeee 😂😂😂😂😂
@Boniphaceshayo5Күн бұрын
@@Jamilajuma-z2w asante
@shabanjabiri2087Күн бұрын
Kama Ramadhani Kama Unajua Sana Mzee Wangu👏👏👏
@vailethmtawa3478Күн бұрын
Babu yangu angekuwa kama mzee kama 😊😊😊😊😊ningeenjoy sana
@SalumuKilimaКүн бұрын
🎉🎉🎉❤ tuna wapenda sana kaz nzur
@Kingofficial-filmКүн бұрын
Good job my brother you doing good 👍🎉🎉🎉🎉
@mshambaused3840Күн бұрын
Wazee waliojaliwa uono kama mzee ramadhan kama wapo ila wachache mmnoo. Hatar babuuuuuu😅😅😅😅😅 kitale Hongera tunajifunza. Wanataka like wanatia wingiii
@batihubadiy3106Күн бұрын
Sana Kaka Wazeee Kama hawa ni wachache mnooo
@alfredmwanza9900Күн бұрын
Acha utoto bwana mdogo wew😅😅
@KingBuh23 сағат бұрын
@@alfredmwanza9900ebu nenda 😂
@KagosoKagosembaКүн бұрын
17:03 ACHA UTOTO MDOGO WEWE HAHA EMU NENDA BANA... Kama ramadhani kama 🔥🔥
@clemensiadaniel8479Күн бұрын
Kiboko Yao kazi nzuri sana sna sana jama. Wapewe maua yao🎉🎉🎉🎉🎉
@hamisinassoro695323 сағат бұрын
nyie huyu mzee kama anauprofesa ndani yakeee ✔️🔥🔥
@GodriverOswald-h1wКүн бұрын
Jaman hv humu tunaweza tukamkuta chill mbele au ndo clamo alimuiba mazma😂 weka like tunaommiss kibwana mwinyi mkuu kurukutanta mantetele
@RitahRitahsamvicКүн бұрын
Mzee huyu n 🔥🔥🔥🔥🔥 mutuletee EP haraka haraka
@zalhathasaid2060Күн бұрын
Tunaomba mtuongezee dkk jmn❤
@ALIMOHD-bk9lrКүн бұрын
Mzee KAMA anaona anakwambia "acha utoto"😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bushiringanyala3164Күн бұрын
Daaaa ni kali sana sema inachelewa sana mzee
@One_5_lКүн бұрын
Noma sana kitale king of filams from moro town
@Faraji-n5cКүн бұрын
Nimekubali hiyo acha utoto mzee kama😂😂😂
@Chinguile-r2hКүн бұрын
Tunaomba utwekee ratiba ya lini utakuwa unarusha kipande kinachofuata, tunabahatisha to sasa.
@tarerich5099Күн бұрын
Kweli mwamba
@KisyampuMlumbaКүн бұрын
Ndio tunaomba kulijua ilo
@softlee9536Күн бұрын
Bonyeza notification bell ikitoka tu lazima taarifa upate
@AmoniMhileКүн бұрын
Si uwe online kila siku.😂😂😂
@mabingayusuphКүн бұрын
Movie Kali sana inamafunzo mengi sana
@lucyalto7320Күн бұрын
Movie nzuri sema mnatuma kafupi ongezeni dk basi
@YasriRajabu-b2uКүн бұрын
Jamn hata lik kumi wanao mkubali Babu
@TalentStar-q2oСағат бұрын
Yani w achatuu
@Hadija-b8bКүн бұрын
Yan leo imenoga kwa ajili ya mzee kama😊😊
@gadafimuemede2985Күн бұрын
Kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿
@ZakiahassanMbotoniКүн бұрын
@@gadafimuemede2985 ndo inch gn
@FaridaKaremboКүн бұрын
Mzee nakupenda pure❤❤❤❤
@mayaashassan3918Күн бұрын
Acha utoto mdg wangu 😂😂😂😂duh mzee kaumbuka adi huruma😂😂😂
@titomtaula4898Күн бұрын
Mzee kama mwamba sana
@BarakaMangi-d3jКүн бұрын
Anaitwa mzee kama Ramadhani kama, Awache utoto sio 🤣🤣🤣
@Milenium-r8gКүн бұрын
Mzee Kama ww n kiboko chukua ❤❤❤❤❤❤
@CharlesEmmanuel-ez2imКүн бұрын
Unyama mwingi 😂😂😂 nyingine isichelewe sasa
@jamhuriyawambapanajiКүн бұрын
Bab karud Kwa Kasi ya ajubu Leo wa Kwanzaa like nyingi
@bakariwambua4371Күн бұрын
Asubuhi mbich leo unaachilia kitu hicho big up
@DamarisDuuTausiКүн бұрын
Mzee kama ubarikiwe sana popote ulipo.nakupenda sana huu mchezo niwako macho yote yanakutazama wewe mzee wangu kwa kazi yako nzuri.nakupa hongera sana.
@kanudamaduhu3345Күн бұрын
Mzee Kama angewafungua macho waone wote Kama yeye🤣🤣
@MpogoziКүн бұрын
LEO NIMIMI😅😅😅😅😅😅😅WEKENI LIKE APO😅😅😅
@HalimaZiggyКүн бұрын
duh hio kali yaan unajifunga mwenyewe aisha ww 😢😢😢
@AisheryMohamedyКүн бұрын
Namkubali Mzee kama amenifurahisha sana ety acha utoto
@USWAZITVONLINEКүн бұрын
Kaka Kitale ubora wa video uongezeke
@LyidiaRupiaКүн бұрын
Ila uyu mzee🔥🔥
@WinnyGeof-n9bКүн бұрын
Ongeza dakika bna iwe hata nusu saa
@musakizakaКүн бұрын
Mzee kama,never disappoints🎉
@hassanjuma6144Күн бұрын
Mzee kama Ramadhan kama ❤❤
@ashirafabraham4330Күн бұрын
Mzee kama😁😁😁🔥🔥🔥💯
@frankthomas6509Күн бұрын
Hongereni picha ninzuri inavutia lkn mnacherewa kutoa mpka unapoteza kumbukumbu
@billylovebillybillylovebil580Күн бұрын
Yani huuu mzee yupo vizuri na Enjoy haswa pale napo mona kwenye movie yeyote anayo igiza🤗😍 saluti mzee kamaa
@IdrissJumanneКүн бұрын
Muda umekuwaa mfupii sana at ebu jalibuu kuonhezaa kdg at
@DidaAlly-iz1itКүн бұрын
Nipo sambamba mpaka nione muwafaka wa wachawi 😂😂😂😂😂😂😂 mpaka kiwaIambe
@AminaAbdallah-d1g7 сағат бұрын
😂😂😂
@chrisenciaChilatoКүн бұрын
Nakubali mzee ishi Maisha marefu
@aminahhuawei1133Күн бұрын
Mzee kama mungu akuweka baba yangu unajuwa mnoooo❤❤❤
@BernardNahimamaКүн бұрын
Mda somulefu nikuwa mwanga nipo najinfunza kutumia uchawi haaa
@NagibKhamisКүн бұрын
Asante sanaaa Mr kitaleeeee,kazi nzuri,tumefurahiaaa sanaaa, nazidii kukupa shukrani kwa mipangilio yakooo,tukoooopamojaaa Mr kitaleee na muhimu kabisaa tunasubiria muendelezoooo,tukoo sababu yakoo na tunakufatiliaaaa Kila hata,tafadhaliii tuongezeee mdaaa mbelee katika tamthiliaaa hii,(usikawie kuachilia muendelezoo,pls)achilia filamuuu itambaeee
@sofiaabdallah8741Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mam aisha na mama shafii kitawramba
@LaitiMipikoКүн бұрын
Huyu mzee angekua, baba au babu yangu , nisingeteswa na walimwengu
@shamimabuutwalbКүн бұрын
😂😂😅
@SabrinaYasin-q6qКүн бұрын
Hii siyo movies huu ni uhalisia kabisa hii ni zaidi ya muvi
Kila cku natamn kucoment lkn nkosa maneno ya kusema aisee kitale hakuna kazi yk ambayo cjawahi kuifatilia unajua kaka wew ni mtunzi bora bora mno Mungu akubarik sana
@HaliethYona12 сағат бұрын
Mzee kama ramadhani kama aninikosha vibaya mno🔥🔥
@TanzaniaislamicgangКүн бұрын
Ongezeni dakika jamani Halafu pia mnachukua muda sana kueka But all in all MashaAllah hii series ni zaidi ya shule
@clementbonifasi3515Күн бұрын
Bonge la movie. Kitale unajua. Hasa Mzee kama. Ndo kaua kabisa. Mzee Yuko vizuri sana..🙌🙌🙌
@mohdabdi41579 сағат бұрын
Kama Ramadhani kama💪💪💪💪💪
@MariamHamisi-ti9vbКүн бұрын
Mzee kama nakupenda sana
@AminaAbdayКүн бұрын
Mzee kama Yuko vizuri sana
@salivian07theartofbeadsand21Күн бұрын
najifunza vingi kaka big up
@mickmichael3734Күн бұрын
wa kwanza leo
@MudySuleКүн бұрын
Mkudesimba yani moves yoyote ile ukimshirikisha mzee kaama.haiwi mbaya .kwakweli