Рет қаралды 4,888
Tunatoa pole nyingi sana kwa wadau na wapenzi wa muziki wa injili kwa kuondokewa na gwiji wa muziki wa injili ndugu yetu na mwalimu wetu SAMSON KIBASO aliyefariki siku chache zilizopita. Hapa ni kuenzi maisha yake toka kwa comrade wake GIDEON KASOZI.