Kazi nzuri sana nasubiria ikimalizika tuone ndio tujuwe kunaendaje.
@siashayo86766 ай бұрын
Kazi njema. Ningeshauri kwa kuwa kila chumba ni master, hicho choo ya public kiwe ni choo tu pasiwe na bafu. Sitegemei mgeni aje kusalimia kwa muda mfupi atake kuoga.
@aishajuma50795 ай бұрын
Uko vizuri sana nigekuona mwanzo ila duu acha tuu😢aya maisha
@rajabhamis7595 Жыл бұрын
Umeeleweka Engineer....ila itapandeza Iwapo utashisha Uzi mzima mpaka coz ya 3
@ashaashaa19594 ай бұрын
Masha allah ❤❤❤🎉
@josephndoghwe2722 Жыл бұрын
Nakubali mr house shosho
@dannymagana7954 Жыл бұрын
Ina uzuri sana nimeipenda
@caleblangat-k8n2 ай бұрын
wapi plani yake ama mchoro
@NkeshaChabhilonda3 ай бұрын
Hapo hapana nyumba haiko sawa IPO chini sana utafikili nyumba ya kijijini japokua kijijini Napo wamestuka unavojenga nyumba ya mtu boss tafakali kua baadae kutakua na ongezeko la nyumba ktk hayo maeneo