Hata nidharauliwe nitabaki na wewe nisaidie kuvuka kwenye mto wa madharau Mungu wangu.... It really keeps me going
@veronicangendo70802 жыл бұрын
Nimbaki na ww 😌 nikumbushe Baba 🙏😪😪
@severahmkunde50504 жыл бұрын
Dada Mungu akutunze sana ... sina maneno mengi nmebarikiwa sana sanaaaa
@SarahMagesaOfficial5 жыл бұрын
Asantc you cane wote mliyo ckiliza wimbo huu Mungu awabariki sana na awahudumie wapendwa nawapenda lakini naombeni maombi yenu ili niendelee kumgusa Mungu na Mungu awahudu min
@juliusndiwa2015 жыл бұрын
Tuko pamoja Dada.
@esterrichard83524 жыл бұрын
Yesu akutangulie my huu wimbo unaujumbe mkubwa sana hsa kwenye maisha yngu aise
@tabbywamtz5014 жыл бұрын
Pokea hitaji la moyo wako mtumishi wa mungu🙏🙏
@madamsteve73014 жыл бұрын
Count me in
@ElizabethNdinda-qz1fb4 ай бұрын
Hello
@esterrichard83524 жыл бұрын
Hii nyimbo dah kwakweli imenigusa sana barikiwa sana dda
@violahkirwa70104 жыл бұрын
I love your songs ....anytime nikiskia nafarijika Sana moyoni mwangu.Asante yesu
@happinesspessa93907 ай бұрын
Barikiwa Mpendwa kazi nzuri Mungu akuinue zaidi na uzidi kunyenyekea kwake daima
@anethsungu92754 жыл бұрын
Barikiwa sana dada huu wimbo unanifariji sana ktk magumu ninayopitia
@kennwafula92644 жыл бұрын
Wimbo unaujumbe mzito kweli akuna mwingine ila nikubaki na mungu tu
@SilibwaHaggai7 ай бұрын
Wimbo wa baraka wa kuinua mioyo be blessed mtumishi wa Mungu Sarah umekuwa baraka kwa wengi🙏🙏
@ghchhgufy4081 Жыл бұрын
Ooh hallelujah nimebaki na wewe MUNGU wangu
@sallymerepu2143 Жыл бұрын
God bless you Sarah it's so blessing song ,I will keep on listening.
@EDWINBWANA4 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali Sana saannaa
@georgekimasa73934 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema ktk wimbo huu
@charles0tieno8094 жыл бұрын
kazi nzuri sarah. Mungu akuongoze uendeleze hudumu hii muhimu. Hongera kwa kazi akiyari
@joykanana43082 жыл бұрын
May God bless you Sarah,, nimesikia ii wimbo Leo and so touching hadi nikalia,, though have a lot in my life that are happening but I trust in God and everything is in God's hands,
@RoseMutheu-u8wАй бұрын
Rose. Mutheu
@georgeoindoachieng87484 жыл бұрын
Kazi safi sana ya kumtukuza Mungu na kuwahimiza waumini
@JulianaJames-o3p4 ай бұрын
❤❤ 0:00
@janetkalu38709 ай бұрын
Mungu akumbariki sana mamaa kwa kazi y mungu
@marykariuki3118 Жыл бұрын
It true, I remain with my God.... Kwa kila Hali.....
@michaelwambua51995 жыл бұрын
Sarah, nakosa ya kusema, lakini ninajua mafuta ya Mungu juu yako itasaindia wengi na mimi ni mumoja wao asante sana, Mike kutoka Nairobi Kenya
@serahmaneno76144 жыл бұрын
sarah you are blessing to my life. sitachoka kusikuliza nyimbo zako mama
@edithgesare4181 Жыл бұрын
Nilikua sijakujua mungu ila nimekujua Sasa...I love this song...wapendwa tubaki na mungu...Mara nyingi tunatanga mbali naye ila anazidi kutuita kupitia kwa damu ya mwanawe
@juliasmwampashi4784 жыл бұрын
Wimbo mzuri balikiwa dada siwezi mwacha huyu Yesu
@iam_buyoywa11 ай бұрын
here for the message and blessings
@janefferasidanto4464 жыл бұрын
Ntabaki nawewe Mungu,,,blessed one Sauti inapendeza,,,inafutia.
@madamsteve73014 жыл бұрын
I love you girl dont leave Jehovah please whenever you feel down know i do pray for you gal your are such a blessing
@shadrackkwemoi56045 жыл бұрын
Mbali na kutia moyo na kuhimiza, wimbo huu unafariji haswa unapokumbana na majaribu na changamoto kwa njia moja au nyingine. Barikiwa sana dada Sarah.🙏🙏
@maryben46755 жыл бұрын
Ohh a very good and inspiring song. nimebarikiwa saana na huu wimbo mungu akubariki Sarah
@estherliavule81842 жыл бұрын
Feeling blessed with the song.
@CarolineMkolo Жыл бұрын
Aky hii song hunijenga mbaya sana tu
@simonmutinda47154 жыл бұрын
Love the song so encouraging...keep fire burning Sarah.Mola akupe hekima ya kutunga nyimbo zaidi
@hildasyombua45415 жыл бұрын
Nimebaki na wewe nisaidie, nimebaki na wewe, nikumbushe, hallelujah, Dada Sarah, this song encourages me, Mungu akubariki.
@SarahMagesaOfficial4 жыл бұрын
Hilda Syombua Asante
@evanmaniac25494 жыл бұрын
Kazi poa mdada piga injili na hii design ukisonga songesha mbele Yesu yupo mama lipua lipua gospo❤
@JoelKikuvi-vg1qg5 ай бұрын
Onchestra international
@JoelKikuvi-vg1qg5 ай бұрын
Ken wamaria
@jacintakatumbi78524 жыл бұрын
Waaah nitabaki n wewe tu mungu,thanks a very encouraging song I say
@SarahMagesaOfficial4 жыл бұрын
Jacinta katumbi Asante
@JamesKariuki-b1s11 ай бұрын
Here aim I'm so depressed by life but I heard the song sing somewhere and i was so blessed my the lord bless the artist for encouraging me🎉
@ericmuriuki58965 жыл бұрын
Very inspiring song Sarah.
@kellywilson12304 жыл бұрын
My life is embarrassing this song comforts me
@leahnjenga57984 жыл бұрын
Am inspired by your song dia
@AmosBula-eq1nq11 ай бұрын
Your blessed mama❤❤❤
@ogirwaenterpries14464 жыл бұрын
Amen.Big message.Kubaki na Yesu in all scenarios. Nimehisi upako zaidi....
@blessedfay7 ай бұрын
Can't get enough of this song. God bless everyone who looks upon Him. Bless you my sister
@zawadisangawe88755 жыл бұрын
Amen dadangu nitabaki na we we Mungu,yaani umeniokoa kupitia nyimbo zako
@SarahMagesaOfficial5 жыл бұрын
Zawadi Sangawe Asante mpendwa acha Mungu akuhudumie
@wiltermoraa17504 жыл бұрын
@@SarahMagesaOfficial dada barikiwa sana umenguza moyo wangu sana
@labanalice543 жыл бұрын
Av heard that song today for the first time. I like it 👌👌
@a_melly2 жыл бұрын
This song deserves million views.
@thomasmutiso5666 Жыл бұрын
❤love it personally
@b.n.malemo4 жыл бұрын
i love the message in the song may God bless you and lift you more higher Sarah your destiny is going to be great . All praises and honour unto the lord
@Benakingoina7 ай бұрын
Amazing 😍
@FraidaFredinard Жыл бұрын
Mungu azid kukuinua Kwa viwango vya juu umeniimbia ninayoyapitia na kunifarij mtumishi wa Mungu
@odettekamariza38974 жыл бұрын
Be blessed sister. kweli nabalikiwa na nyimbo hiyi.
@SarahMagesaOfficial4 жыл бұрын
odette kamariza Asante
@estherachieng95885 жыл бұрын
Nimetafuta huu wimbo kwa muda mrefu hadi nikauliza. Mum Eva mwalili weeeee thanks so much sweetheart ilove the song Everytime I listen to it machozi inanitoka is so touching And is all about my testimony Thanks Sarah 😘😘😘😘
@enidcherugut95114 жыл бұрын
Powerful song. Sarah may good God bless your ministry
@AlexkomeAbel-zh3mi7 ай бұрын
❤B blessed always
@norahsingombe2658 Жыл бұрын
I will always remain with God in my heart
@lydianingala27294 жыл бұрын
Mungu akubarika dada.unakibali nimepeta sana nyimbo hii maana mm niyatima na nimengi nimepitia lakini nikatumbua kua mungu hajaniacha .asante sana ubarikiwe
@PeterKipkoech-xj8yv2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ hpo ndipo nahifunza nijaripiwa nitapaki na weeeere🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@miria6593 жыл бұрын
Sister Sarah your songs are a blessing God bless your ministry
@RisperKavuo-yf6gz2 ай бұрын
Ata nishushwe chini na nidharauliwe nitabaki na Mungu milele AMINA...😢😢
@staceyvickie6270 Жыл бұрын
God bless you dear
@maryilusa25384 жыл бұрын
Indeed I fell touched with this song the moment I hear it at milele FM,
@maryfranciscasimiyu23182 жыл бұрын
One God knows about tomorrow,🙏
@a_melly2 жыл бұрын
Wow so blessing.
@hillarymudaki19155 жыл бұрын
yes it doesnt matter how challenges push you to the wall in life, unapokua na mungu atakuvusha. His word is very true and he never lied to us. 1 PETER 5:10 . I choose kubaki na wewe mungu, i decided i will cry no more...he wiped my tears on the cross
@janenabwire66295 жыл бұрын
Nilikuwa sija kujuwa mungu wangu sasa nimekujuwa mungu wangu.
@trusttrue32944 жыл бұрын
Ameeeeen....am still here enjoying this song🙇🙇🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@tegemeaemanuel98114 жыл бұрын
Niende.wap mm barikiwa san
@janetmbatha52384 жыл бұрын
Very powerful and quite encouraging song. God bless you sister Sarah
@elphasmahila70945 жыл бұрын
HONGERA SARAH.Niliutambua mara ya kwanza MILELE FM @ 5:00 am by EVA MWALILI. I always RE-PLAY. We weeeeeeeeeeeeeeeeeee.
@donatuskinyua5 жыл бұрын
me too had it from milele fm by eva mwalili..moto sana
@andrewnyamai36305 жыл бұрын
Me too I heard it milele by evah mwalili I really like it...but it's not in Tubidy...en in KZbin u can't download it
@janeapiyo97825 жыл бұрын
Hi nyimbo hinanibariki sana ninapoiskiza
@SarahMagesaOfficial5 жыл бұрын
Jane Apiyo Asante mpenzi wangu
@SarahMagesaOfficial5 жыл бұрын
Andrew Nyamai thenks my friend
@ivynesainah59783 жыл бұрын
NYC song indeed I like it
@donatuskinyua5 жыл бұрын
@SARAH MAGESA this song blesses me so much. ..Mungu akuzidishie
@christinenguku9772 жыл бұрын
I have just listened to this song today and am blessed
@marymugambi84072 жыл бұрын
Ooh am in tears 😢 just listening to the message in this song lady you are blessed you touched my soul
@roildonelson51374 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dadangu huu wimbo unanibariki sana haki tena sana be blessed my dear sister upenyo kwa tele mbele yako na uduma kwa ujumla amina.
@SarahMagesaOfficial4 жыл бұрын
ROILDO NELSON Asante
@lovenessmwamengo70902 жыл бұрын
Nimebaki na wewe bwana Mungu nisaidie nivushe .
@nyongeelvis60145 жыл бұрын
indeed am feeling blessed by this song i also new this song at milele fm gospel sunday by Eva Mwalili anyone still watching in 2019 ....
@mirriamwanyonyi74444 жыл бұрын
Kweli Sarah May God bless you 🙏🙏🙏🙏
@zarrthepatientladydavid7455 жыл бұрын
Amen...the song touches my soul...so much....nimebaki nawe mungu
@chakhabuka1449 ай бұрын
Bwana yesu hakika Kwa Yale magumu nimepitia walinitoroka lakini nilibaki nawe Mungu wenye wivu usiyechanganywa ukanishindia
@catherinesongwah48734 жыл бұрын
Am always blessed by your songs
@robertmangira2255 жыл бұрын
wimbo huu umenibariki sana
@serahwangari948711 ай бұрын
Sema kubarikiwa
@titusmutuku85865 жыл бұрын
Wimbo unaguza kweli be blessed and continue blessing us
@titosebene80695 жыл бұрын
This song is more than good cjui nifanye kituipi ujazwe utajiri wa kiroho Napesa ambazo azihesabiki kwa mikono be blessed Sara I love you more.
@jacobnzomo38974 жыл бұрын
Sarah this is a very nice song
@psalmsalices61043 жыл бұрын
This woman can sing1🤩🤩😇😇
@KorirBonii-sx1dr7 ай бұрын
Tukuache wee yesu twende kwa nani??😢❤
@kevinsinclair12225 жыл бұрын
I first heard this song in a funeral service of a person I didn't know. And I cried. Finally, I get to find it. For those who believe in the reincarnation, we'll meet our loved ones in the next world.
@marybridgite92623 жыл бұрын
I hope we meet our loved one who left😭💔my heart aches each day crying every night... I miss mum😭 and hope some day I get to be happy to the situation..nimebaki na Mungu 😭
@othayasfinest.2 жыл бұрын
@@marybridgite9262 I'm here mourning mom too,I miss her💔💔😭😭can't believe I will never see her,can't imagine I will never hear from her.It is tearing me down into pieces.😭😭😭.it is still a dilemma to me 😭😭😭💔💔💔.This life is so unfair.
@leonardouma95045 жыл бұрын
Very much touching,be blessed Sarah
@sheilahawuor8334 жыл бұрын
Love this song..really inspiring.. May God continue uplifting you sarah
@peninahkoki91674 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi,,,nishike mkono niende n ww hii safari,,,
@EstherlemuyaLemuya-zg5ys18 күн бұрын
Nikumbuke mungu atawanikatae nitabaki na wewe mungu❤❤❤❤❤❤
@leahmaina86574 жыл бұрын
Keep it up Sarah magesa..
@linahkavaya24704 жыл бұрын
This song is just a blessing to m. Very touching. God bless u sarah more
@juddiewandera2 жыл бұрын
June 2022 still listening to this song, I am soo encouraged. Hata nidharauliwe na wanadamu nitabaki na wewe Mungu. Asante kwa kuwa rafiki asiyeweza kuniacha Yesu
@elizabethgwitaba33294 жыл бұрын
Touchable song......Amen
@JackJack-zl1ir4 жыл бұрын
What a wonderful song with beautiful message
@robertomayio46694 жыл бұрын
A wonderful song. Ultimately God is our brightest HOPE AGAINST HOPE. GOD BLESS SARAH
@SarahMagesaOfficial4 жыл бұрын
Amen
@afandilucy76955 жыл бұрын
Wow I love this song,nmetafuta hadi nkaupata
@lightnesssikawa1412Ай бұрын
Nitabaki na wewe, nisaidie Mungu wangu 🧎♀️🧎♀️
@nuonchepmweno75765 жыл бұрын
Si nimetafta hii song sana..I didn't know the singer na radio stations hawasemi....nwei I thank i got it now,it's a blessing to my soul
@SarahMagesaOfficial5 жыл бұрын
amina Barikiwa
@gloriachelangat56744 жыл бұрын
Thanks Sarah Magesa for this wonderful song...it really blesses my soul.Love it so much