Wuehh,a very anointed album, nyimbo zinagusa moyo wa mcha MUNGU.
@BenardMutembei-h1m2 ай бұрын
Good song with a great message.
@dorcaskimanthi66482 ай бұрын
I listen to these songs over and over again.... They are of much blessings to me...Mungu akuinue sana
@rehemashariff31192 ай бұрын
Ameeeen Bwana nipe ushauri nipo tayari sitamani vya watu maana sijui amepata vipi eeh Yesu wewe ni mwenye utajiri wa kweli Mungu akubariki yaani naona wewe mtumshi Mungu amekupa kibali cha utunzi nyimbo zako zina ujumbe sana ubarikiwe mno
@godstimepropheticandmiracl35642 ай бұрын
AAAAAAAAMEN, KWA MUNGU HAKUNA HARAKA WAKATI WAKE NDIO MNZURI
@Frederick-tv3fp2 ай бұрын
may God uplift you🙏
@JaneMmbone-fd9jb2 ай бұрын
May God protect you from evil spirits,
@NekesaWanyonyi-fu9tq2 ай бұрын
Waaaooo so powerful message may God bless you 🙏 huu wimbo wa nikama nakufananisha inaeleza historia ya maisha yangu siwezi choka kuuskiza hadi natokwa na machozi 🙏🙏nabarikiwa sana sana kazi nzuri dada nyimbo zako zina ujumbe na mafundisho wacha mungu akubariki na abariki kazi yako 🙏🙏🙏🙏
@JacintaAmuria2 ай бұрын
Thank you so blessing to my soul.
@godstimepropheticandmiracl35642 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU MIMI SINA HARAKA NAKUTAKA WEWE
@winfredangastin21172 ай бұрын
Hapo sasa , kanyangia hapo dada, the lady of christ 🎉❤
@AngelaChelangat-c8c2 ай бұрын
May God bless you
@joanwalubengo86752 ай бұрын
Yaani nyimbo zako hunibariki sana dada Sarah.Wacha Mungu aendelee kukuinua katika viwango vya juu ❤
@ChristineAmi-lv8lg2 ай бұрын
Halleluyah 🙏 🙌 nikiwa na Huyu Yesu sina haraka
@annesonye49772 ай бұрын
My own mum has done it again ❤❤❤❤am so prouud of you darling ❤
@elizabethmueni-st7lm2 ай бұрын
Amen.Kaa kwa Mungu na hautawai kosa material mtumishi wa Mungu. Wewe ni wabaraka kwa wengi.
@danielndivo2002 ай бұрын
Barikiwa sana sister
@WilliminaOjiambo2 ай бұрын
Bariki wa sana mpaka mafuta wa bwana Mungu aishiye hoi ni kali
@Millieykitawa96522 ай бұрын
❤❤❤ nabarikiwa
@alexseunice91702 ай бұрын
God Bless You Our Sister In Christ ❤ What your delivering I Accepted in Heavens Inspiring And Uplifting Soul's More than Just a Song this a full testimon how God Can Change a situation in our Life's🎉🎉❤❤🙏🙏🙏
@erickmeshac31352 ай бұрын
Hakika unaimba vizuri zaidi
@agneskavumbi71332 ай бұрын
Nyimbo zako zanipa moyo sana...God bless you mamaa
@yvonnejoyce2 ай бұрын
Amen 🙏 nice song
@JohnNgala-df8kt2 ай бұрын
Polepole ndio mwendo❤❤
@frankJacksonmusakali2 ай бұрын
THE FIRST SONG IS AWESOMMMME! WAITING FOR THE VIDEO