Asante Sana Sarah mke wangu alifarijiwa Sana na huu wimbo wazazi wake walimkana na kumfukuza nyumbani huko ukambani lakini mungu Ni mungu huo Ni ushuhuda wa kweli ni baki na wewe mungu wangu
@mwajumaerias98818 ай бұрын
Amen Mungu ni mwaminifu
@SaraMagesa2 ай бұрын
Amen
@carolinemukhaya63942 жыл бұрын
Asante nyimbo sako sinabariki moyo wangu barikiwa Sana ni caro
@Judith-qv7vj Жыл бұрын
Nazidi lunar Ikiwa ninapoendelea kusikia nyimbo zako Mungu azidi kukupa kibali cha kutupea ujumbe UBARIKWE❤
@johnavigoke32232 жыл бұрын
wewe ni mungu uliye nichagua,naomba pigana nao wanao pigana nami,it's morning blessing kweli
@evaakyoo30092 жыл бұрын
Nimeutafuta huu wimbo mbaka nimejisika kulia ..asante mtumishi kazi nzuri machozi yanashindwa kujizuia nakupenda
@johnkeoch40112 жыл бұрын
Nyimbo nzuri xna mungu akubariki
@faithraziki-ln2ec Жыл бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana mungu azidi kukuinua kiwango Cha juu
@leonardokemwa30942 ай бұрын
Your voice raises my spirit within me.God bless you sister.Continue with that confidence God has put in you to bless, so inspiring.
@francisabenego70352 жыл бұрын
Nyimbo zako za nitia nguvu (hivi nilivyo kanikubali) barikiwa pamoja n jamii yako
@aloizmercy50022 жыл бұрын
Haki ubarikiwe Sara
@waliaulaelicah2317 Жыл бұрын
🙏
@josephatnyaenya4173 Жыл бұрын
@@waliaulaelicah2317🎉😅
@offgridwatts Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kupitia nyimbo zako,naomba Mungu akuzidishie neema na baraka pamoja Jamii yako
@isayasangija85872 жыл бұрын
Mungu wambinguni azidi kukutumia zaidina zaidi my sister' nyimbo nasikiliza na ina nibarikimuuno 🙏🙏
@brigidkamau28152 жыл бұрын
Ni Mungu tu tumebaki na wewe,Uilinde,, inchi yangu, ya Kenya,, pamoja tuwe na Amani. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@diananthike52702 жыл бұрын
whenever I feel like giving up I always listen to your songs mommy and zinanibarki sana,be blessed 🙏🙏
@erickkenyatta73032 жыл бұрын
Nikiwa chini, nyimbo zako hunitia Imani, Mungu akutume zaidi.
@philipsonit.32032 жыл бұрын
Nabarikiwa kila niskizapo nyimbo zako kila nifanyalo ,nikiwa kazini,nikiwa natembea ,but mungu akuinue saidi GOD BLESS YOU
@TonyDelabiere Жыл бұрын
Ndugu amen!
@FatumaKashindi-l3h5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama yangu
@FatumaKashindi-l3h5 ай бұрын
Inatiya moyo kweli ubarikiwe sana mtumishi
@KeziahAtieno2 ай бұрын
Umenitoa mahali ukanieka mahali ninashukuru dadangu hii nyimbo Joo mwaaaaaa
@alexmalijani20122 жыл бұрын
kazi nzuri ,mungu akuinue
@samid1937 Жыл бұрын
Ubarikiwe mamaa nyimbo zako zanitia nguvu na kunisaidia sana
@rukiangole50432 жыл бұрын
Mungu mwema akubarik sana mwimbaji wetu kwasab nyimbo zako zinatupatia faraja sana
@janetkalu3870 Жыл бұрын
Mungu bariki sana kwa nyimbo zako MUngu akuzisishie kibali chako popote uendapo ufanisi kwako
@mariamsulubu2 ай бұрын
Amazing voice with very strong massage...nitabaki naww MUNGU
@selinaonyang08952 жыл бұрын
Usinyamaze baba🤲
@samwelabel34303 ай бұрын
Kweli wengi wetu tumeachwa lakini huu wimbo ni nguzo muhimu kwa maisha yetu
@raelmudavadi93712 жыл бұрын
🙏 nyimbo zako hunipa matumaini be blessed mama
@dimbwidimbwi Жыл бұрын
I realy love this song it realy motivates me be bleesed mummy.Jesus i will never leave even if am rejected i will still love you♡♡
@MavelyneOnyancha6 ай бұрын
Nyimbo zako zanitia nguvu sana. You're blessings to many of us.
@akhendabonface1953 Жыл бұрын
One of my best performers. May God continue blessing your work.
@neemamsuya84972 жыл бұрын
Barikiwa nyimbo zako ni nzuri sana
@evansdouma5 ай бұрын
Welcome Kenya,one of favorite songs,,, on my play list
@faustinokyando74392 жыл бұрын
Hakika ni wimbo unaogusa sana moyo wa ndani. Ninapousikiliza hakika nashindwa kuzuia machozi yangu. Ubarikiwe sana mwimbaji. Na mimi naamua kubaki na YESU.
@nancykathambi-c9kАй бұрын
This is the best message :nimebaki na wewe Mungu univushe 2024. Very inspiring song that reminds me of his faithfulness
@MagdaleneMuthama-og6el Жыл бұрын
Very powerful song it really healed my heart while i was in very painful moments may Almighty God bless you more and more
@shirukabkofficial50222 жыл бұрын
Pingana nao mungu wa Hannah
@user-ro3qm8oi6dntv7 ай бұрын
I love your song nikisikiza nabarikiwa kabsa
@periswayua99272 жыл бұрын
Kumbe uko hivi yesu verypowerful song l like it niceGod bless you so much
@fabianmainchanyangachika50172 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@patriciangonyani91085 ай бұрын
Sister Sarah Magesa ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri za kuongeza Imani na kutia Moyo ...Mungu akuinue kiwango kingine kikubwa mnooo❤
@ikutwaeverline9040Ай бұрын
I was almost falling away from salvation but when I first listened to these song surely I meant up my ways upto date I said nisaidie nivushe be blessed mum pastor you restored me back to my Creator
@sarahebei10 ай бұрын
Am soo much better reformed by your song 😢be blessed and may God bless you 🙏
@tabithata14072 жыл бұрын
No matter what comes on my way l w rely upon the lord a lone be blessed sister
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Aki husikiza hizi nyimbo zinanitia nguvu❤
@rosemburu30812 жыл бұрын
Song very inspiring especially thix season that have lost my dear mum 2 weeks ago
@Michael-nl6lr Жыл бұрын
Nambalikiwa na nyimbo zako sa nitia nguvu ya kusoga mbele
@joshuakimwogo30452 жыл бұрын
Asante sana kwa nyimbo Zako za nguvu Mungu akutendee mema
@adijahscout87492 жыл бұрын
Siz, acha Mungu atende jambo katika huduma yako , naona uepo wa Mungu
@marklenana43942 ай бұрын
God bless you my sister. I love you so much nyimbo zako zanitia nguvu san❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@winfredwambua17592 жыл бұрын
Mungu nimebaki na wewe nikumbuke🙏
@ThomasMashaka-c7b Жыл бұрын
Thanks to God. Sarah ur a blessing to us through ur songs may God continue using u as his vessel.
@IreneMwangangi-fk5po3 ай бұрын
It's a blessing to listen to your music 🙏🙏🙏
@AFUNEKEVIN37202 жыл бұрын
God knows how to use his people ,,actually He does more than we pray,,
@MarthaNjoki-b2u Жыл бұрын
Through this I decided to surrender my life to Jesus because he can't disappointed me
@juliasurum16312 жыл бұрын
Am remained with you only fight for me lord
@benedictotieno82 жыл бұрын
He is only Lord you only daddy .. Thanks for this inspiration ... Servant of the Lord
@mahijamikael36522 жыл бұрын
Amen Mungu amekupaka kafuta
@ithukurodgers90092 жыл бұрын
Wow!only God who can take control of everything....naomba nimbaki nawe Jehova
@Rose-to2qg2 жыл бұрын
Thank you my sister,this song of nimebaki nawewe, imenibariki sanasana. Be blessed.
@AlexAlex-kf1eg6 ай бұрын
Sisali Wala siswali lakini nyimbo zango zinanikongo moyo Sana hasa Ile ya Yesu nipe funguo❤️🙏
@sarahmukhobi2622 жыл бұрын
You are a blessing sister, your songs gives hope,be blessed
@NdayishimiyeFrançoise-n7c6 ай бұрын
Nemezaliwa fille umoja nawakaka Saba Léo tunabaki tano wamenikana tena Sisi ni yatima Muniombe Mungu asinyamanze
@jbosibori12345 ай бұрын
❤
@PeterOkopio Жыл бұрын
Wau!! Blessing songs glory to God❤❤❤
@dungufilm13522 жыл бұрын
Hua sichoki kusikiliza nyimbo zako mtumishi hua barikiwa sana mtumishi.
@edinahmokaya66052 жыл бұрын
I can't get enough of this song it blesses me a lot and it makes me hold my faith strongily and look upon Jesus christ on the cross who is the best friend forever who can't get tired of me or leave me no matter what , may God bless you and use more to preach the gospel trough your blessing and uplifting songs SARAH🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BabraLuvuno2 ай бұрын
Wooooow nyimbo hii inani bariki sana🙏🙏Mungu akubariki sanaa Sarah magesa
@cessnyarkamba21202 жыл бұрын
Once I listen to this song tears come out it really blesses me🙏🙏🙏be blessed as you continue to praise our God.
@georgesfortune76462 жыл бұрын
Thank.you.jesus.for.my.sister.sarah
@alexmasika68452 жыл бұрын
this song make me cry when Jesus was on the cros ,may God bless you sister.
@faithtimamu9832 Жыл бұрын
Amen nafarijika nkisikiza nyimbo zako mama❤ mungu akubariki
@moureenmaangi3542 жыл бұрын
Nyimbo zako sanitia nguvu sana ubarikiwe sana
@stephanieaquino89332 жыл бұрын
My all time song when ifeel I'm down and heartbroken
@ireneayuma83132 жыл бұрын
Am blessed this evening wd ur song amen nmebakitu na wewe mungu
@nimrodmunisi4003 ай бұрын
hongera sana dada umeniinua kwa huduma yako
@marykwamboka52522 жыл бұрын
Barikiwe sana nyimbo sako sanibariki moyo wangu sana
@salehwelimo32932 жыл бұрын
Pia mm mungu akubariki ww
@jenniffermwangangi32332 жыл бұрын
If there is asong so touching its this blessed me so much God bless you sera
@Stevemulle98982 жыл бұрын
God bless you abundantly for wonderful songs 🙏🙏🙏
@georgemambo2415 Жыл бұрын
You always deliver 🙏🙏 though I haven't seen you pregnant 🙏🙏🙏
@thoyamusha Жыл бұрын
❤ nyimbo zako zanitia nguvu saaaana zina nipa faraja mahili popote nitakapo enda
@janetjacob13662 жыл бұрын
Kweli...ntabaki na BWANA
@phelisterpatrick98682 жыл бұрын
I have been trying to search this song but finally I got it ,playing and replaying it ,am so blessed and uplifted for the inspiration and composition of the song hakika nitazidi kubaki na Mungu wangu!
@marykwamboka52522 жыл бұрын
Amen
@jetouteba82012 жыл бұрын
@@marykwamboka5252 lol P
@fabricewezamambo18972 жыл бұрын
Mungu akubari dada
@judithshikuku46452 жыл бұрын
Hakika nimebaki na wewe mungu wangu
@rosemaryowory5710 Жыл бұрын
Hakika ninabarikwa kila ninapousikiliza huu wimbo GOD bless you so much 🙏🙏🙏
@lydiamusiomi57562 жыл бұрын
Thanks for the touching message
@Alphonsinedjoaly9 ай бұрын
Kwakweli wewe ndiye mwanzo n'a mwisho wa maisha yangu njoo kwa kunisaidiya, usingeli bakiya kimya kwangu
@paulinenabangi3982 жыл бұрын
Glory be to God nimetiwa moyo
@danielndumba46962 жыл бұрын
Blessed by your songs more gace
@belindamukabane2091 Жыл бұрын
Thanks for the songs it inspires alot
@Phedester9 ай бұрын
Nimebaki na ww tuu😢😢😢 3:59
@hillarywillis35422 жыл бұрын
I'm blessed with this...May God bless your ministry
@denniskimeu12832 жыл бұрын
Thank for blessing people with a good gospels songs
@cynthiamulei66052 жыл бұрын
Usinyamaze mungu wangu ❤️
@robisammeytv75472 жыл бұрын
Am proud of our own Kuria lady.
@pascomugambi Жыл бұрын
Not only Kuria lady but she is an international lady pliz.Don limit her.Infact she ours all
@winfredwambua17592 жыл бұрын
Nyimbo zako nizuri sana,barikiwa dada
@philomenamesimesi27382 жыл бұрын
God bless you my sister nyimbo zako zaniinua kiimani mesi kutoka Kenya
@janemomanyi7 ай бұрын
Am blessed nice song I like all your songs they have a good masege inanisongesa karibu na uso wa bwana Amen🙏🙏🙏💕💕💕
@MillicentAuma-cl2on10 ай бұрын
Have witness something important in your songs that am not alone bt with my only father Jesus.shalom
@AnnoyedDinosaur-gm5sf4 ай бұрын
The best message for me today.keep going far sarah.
@adetichaahgyminstructor.47822 жыл бұрын
Amor Sarah, Ruoth ogwedhi💙
@HARONMBENE2 ай бұрын
Msisimuko wa nyimbo za kututia moyo na kutusongeza karibu na mungu
@hesbonagole4606 Жыл бұрын
Real inspiring continue blessing us through your songs be blessed