Anko jay naona hutaki tuku miss huu mfungo wa rama Dhani hongera sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@user-fg1rk5et4p5 ай бұрын
Kazi mzuri kka mungu akufayiye wpsi❤
@josephineuwizeye82505 ай бұрын
❤❤❤❤❤ love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MoshiMoshi-qy8dq5 ай бұрын
Wow ❤❤❤❤ we ankojay acha niseme asante sana maana hautuachi wapweke we appreciate your work 🎉🎉🎉🎉
@sephrinewarenga27455 ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.
@user-rj9mb4yk6l5 ай бұрын
From🇹🇿 Buzuruga mwanza...anko hapoi haboiii❤❤😊
@RoseMbuya-cn5dg5 ай бұрын
Mimi Leo wapili wadau nione like zenu jay pokea maua🎉🎉
@DanielJoseph-te8oi4 ай бұрын
😊
@user-ui6rf8yx7s5 ай бұрын
Wasabaaaa 7 nimewahi kumibora nimoooo❤❤❤❤
@user-nv1eo2en5q5 ай бұрын
From Kenya much love
@user-mm6xo8ye2u5 ай бұрын
Naomben like na mm nimewahi kidogooo
@maryamsaid78385 ай бұрын
Asante ankojay kwakutushushua mzigo mpya tukisubiri muenderezo wa lisa
@margeritaMathieu5 ай бұрын
Nakubali sana ❤❤❤🎉🎉
@Faidhaaley0365 ай бұрын
Nyie wa pili leo😢❤❤
@lilianeerica33185 ай бұрын
Haya tukupe award sasa😁😁😁😍😍😍
@user-tv6ii7pc4z5 ай бұрын
Vumilia mwaya kaa makini na familia ya mumeo 😢😢😢 pole Amaya Mungu akutangulie 💪💪💪💪
@user-jt5tm6dl1g5 ай бұрын
Asante Sanaa anko jay kwa simulizi nzuri ❤❤🎉
@christinemwendejuma44015 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉 from Nairobi Kenya
@user-rc3om5hs9i5 ай бұрын
Ktu kpyaaa asante ankojy mapesa
@MishyYusuph5 ай бұрын
Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, wacha nisikie kafanyaje bint Amaya,usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@user-ov6sw7sd8r5 ай бұрын
❤❤❤Nice story tupondani
@fransiscafransisca38835 ай бұрын
Asa anko we si ungeacha tu,kuliko kugugumia tu hvy jamani ❤❤
@user-cu5ry9nz2n5 ай бұрын
wa kwanza njamani leo🎉🎉
@linnerphilip42605 ай бұрын
Bhbn story zingine uzitunze tu baada ya ramadhan hivi hv hazinog
@user-yl4zp5qd7t5 ай бұрын
Exactly 👏👏
@MishyYusuph5 ай бұрын
Woow kitu kipya nakupendea hivi tu Ankoo😂.
@agnesagnes52885 ай бұрын
Lastborn ctakufa moyo mie ipo ck nitakua wa qwanza 😂😂😂😂asante xn Ankojay❤❤
@zalelbalawy24595 ай бұрын
From kenya
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
Ukiwa kiongozi na kesi inapoletwa kwako utakuwa bwege wa kiwango cha lami kama utajikunja na kusikiliza upande mmoja na kupuuza upande wa pili,hutajua ukweli wowote
@user-lr1kl6qj2y5 ай бұрын
Fundi wewe hongera sana kakangu 🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️♥️
@tinershayo61915 ай бұрын
Ankojay unajuwa unajua tena mpaka unatumaliza tunakupenda wana family ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🥂🌸🌸🌸🌸🌸
@hakizimanatatuhakizimana61865 ай бұрын
Hadi nacheka kwasauti ebana wakuache umeeshim ramadhani
@RoseMbuya-cn5dg5 ай бұрын
Weeeeeee Amaya pole kwa mapito ya mama mkwe
@EvelyneNifasha-zc6jr5 ай бұрын
Leo wa kumi na Tisa naomba laki hâta 30😂😂
@RakaPk5 ай бұрын
Mh mambo ni moto Asante sana anko wetu kwa kutujali ubalikiwe sana
@user-bp8yh1ky7e5 ай бұрын
Yan ww anko j kwa simulizi zko kiboko ubarikiwe san kwa kaz ya mikono yko❤❤❤🎉🎉
@user-jesca-20045 ай бұрын
Nasikiliza kutoka 🇶🇦
@lilianeerica33185 ай бұрын
Ninapenda vile unavyojitahidi kutufurahisha unahakikisha hatupowi japokua uko pekeako😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-mc5wj8zc7y5 ай бұрын
Leo nimechelewa sana Habari ndugu zangu wapenzi
@aumuelly29095 ай бұрын
Ahsante ❤❤❤❤ahsante anko Jay simulizi na wewemtunzi
@musallamomar90365 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊❤❤❤ Ankooooooowww 🎉🎉🎉🎉❤
@KarlyDylern5 ай бұрын
Me nilijua tuu simuliz nzuri ivi iwe part 1 tuuy😅😅 2:06:31
@user-rc3om5hs9i5 ай бұрын
Nilizan rogan kamsarti lisa nakujiunga na maya duu kumbe rohan na amaya asate cna narongani naomba cn asimusart lisa wetu kwa chochote kle
@user-qn2md7qe2g5 ай бұрын
Lisa na Rogan gani huyo jmn unijuze
@EliasMwakanyamale-ru9zt5 ай бұрын
Unaniachaga hoi kwenye kunongoneza jamn anko jay
@user-xg3fq3hs5h5 ай бұрын
Daah Pole amaya
@FadhilunMohamed-je8en5 ай бұрын
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
@yusrambodze38045 ай бұрын
BABIE LOVE hufanyi poa unaeza kuandika simulizi yny mambo ya kikubwa mwezi kama huu unampatia Anko wakati mgumu wa kusimulia😮
@DamariJohn5 ай бұрын
😂😂😂upo hadi huku fanya kazi huko
@yusrambodze38045 ай бұрын
@@DamariJohn 😀😀😀naongoa uchovu mwaya
@user-ku3ud4qb7c5 ай бұрын
Tulimmiss uyu babie love🎉🎉🎉
@radhiamohaa37235 ай бұрын
Simulizi tamu sana ❤❤❤
@Merymtusy5 ай бұрын
Leta hii anko Jay,Lisa inachosha sasa aise
@zuenahz55145 ай бұрын
Anko Jay ulivosimulia hii simulizi 😂😂😂😂😂😂😂umejuwa kunivunja mbavu nimecheka hadi machozi 😂😂😂😂😂
@IkupaMwakibhibhi-jw8py5 ай бұрын
Hee! Jaman anko unazingua Sasa unamung'unya maneno
@zuenahz55145 ай бұрын
Yaani anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwenye kuficha mane nimecheka hadi machozi 😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu miye
@zaminangowa16775 ай бұрын
Jamani anko 😂😂😂😂❤❤❤
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
😂😂😂wewe Ankojay tumefunga bwana hebu ruka vipengele vingine huko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gracenapella6685 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ndio maana anamung'unya maneno mengine,,,, ila nimecheka sana wallah
@shahrayn935 ай бұрын
Tam sna story I say huzuni kibao ila tutafika2 aso m2 ana mungu Amaya,, Allah atakucmamia wataumbuka2 mwishoni😢
@user-tw2ol9xn9v5 ай бұрын
Jamani unanichekesha kweli kama unamajini kichwani😂😂
@JojoSrena5 ай бұрын
Akifika apo pa mapenz. Nimejikuta nacheka kwasauti😂😂😂😂
@user-be2nx5ks2l5 ай бұрын
Ooo ankojy umeamua kutuanzishia nyingine
@user-zv6cg3zw3v5 ай бұрын
Jamani Leo nimecheka paka bax inauma lakini pia inachekesha sana jamani ndoa hizi duuuuuuuuuu haya,
@mirajimohamedchifuno5 ай бұрын
simulizi tamu❤❤❤❤
@MelisaSelena5 ай бұрын
Tamu ila inatia uluma xana
@elizabethkatoko88675 ай бұрын
From kenya much love❤.......
@girukwishakaclaudine53745 ай бұрын
Yan simulizi hii ni 🔥🤭😂🤣🤣
@fatimafoaani22635 ай бұрын
Thanks a lot for a good job nice story ubarikiwe sana kaka yetu ankooooo big salute ❤❤❤🎉🎉🎉
@Salma-zi6hn5 ай бұрын
Haha we uncle achilia acha kutubania haha
@MishyYusuph5 ай бұрын
Watu wa viporo njooni jamanini kitu kipya Anko ashakiachia cha kushukishia nacho shorba😅.
@ManirakizaMwamini5 ай бұрын
Jamani tangu nizijue simulizi za anko j leo njo na wahi please naomba like zang
@josephine7535 ай бұрын
Asante ubari kiwe tunaomba Lisa 46 please Ankoj wutu❤❤
@user-wc2lo8yc5r5 ай бұрын
Mwenzangu miy nimemiss lisa kweli😢
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
Khaaa,ni afadhali ya kunyamaza tu na Mungu ataaamua kwa wakati wake
@FadhilunMohamed-je8en5 ай бұрын
Nimeamka jamani mpaka watu wananishanga
@linnerphilip42605 ай бұрын
Kuishi ukweni ni tabu Yaan ndoa haiwez dumu
@saadamohammed74315 ай бұрын
Tnx ancojay we miss you ❤❤❤❤❤
@Nuru95685 ай бұрын
Vle anko jay alivyozoea kutuadisia mambo ya kitandan😂😂😂anavyopata tabu kutuadisia na Ramadan hii😂😂😂
@ankojay_5 ай бұрын
😄😄 we acha tu
@hafsaibrahim66755 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂
@user-nc7cm3zp4g5 ай бұрын
Wa tisa Leo naomba like zenu watu wangu wakenya
@atwiyahussein44705 ай бұрын
Yani Ankoo Jay 😂😂😂😂 acha tu
@jamilarimo55465 ай бұрын
Anko jay ila leo unetuweza kwa hii simulizi
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r5 ай бұрын
Huyu ni maya wa Alvin na ngacha😂😂😂😂😂😂
@user-ku3ud4qb7c5 ай бұрын
😂😂😂
@maryanaya3305 ай бұрын
❤❤ nice
@zawadjustin64335 ай бұрын
Nimekua wa 91😂❤
@maseleenaesleen81495 ай бұрын
Naona notification ya Binti nadhani ni Lisa 😂😂😂
@haikacassy63355 ай бұрын
😂😂😂😂kam mim jamn uwiiii
@ghanimamohammed53055 ай бұрын
Tupo Sawa kimoyo❤️ kilikuwa kishafurahi..... Mh ila haya tu @ANKOJAY tuletee Lisa please 🙏🙏🙏🙏 anko wetu mzuri
@user-ej5rg4yp3t5 ай бұрын
Tumekua addicted na Binti Lisa 😂😂
@medy789t5 ай бұрын
Absolutely 💯
@Lucy-vp8pm3 ай бұрын
Kama mm jamani
@user-lx3bs3iq8t5 ай бұрын
Uwiii me cjuh ningefanyej jamn uy dad
@user-sg1ec1mj6x5 ай бұрын
Anko Jay mapesa hujambo 😂😂😂😂
@user-vl1ts1eh8s5 ай бұрын
Uwiiiii!!!!🙆🙆🙆🙆
@ftimaramadan47485 ай бұрын
Watu wanao ombea mabaya wenzao ni wengi dunia kuliko wema😂😂😂
@user-wc2lo8yc5r5 ай бұрын
Anko nguo zimeunguwa na pasi😢
@ghanimamohammed53055 ай бұрын
Dah! Nilijuwa Lisa 😔😔
@user-bn2ih4so4y5 ай бұрын
Me pia nikajua binti lisa au mwandish lisa mwalla
@user-ku3ud4qb7c5 ай бұрын
Nlijua tangia jana alivyoachia bint Lisa usiku😂😂😂 nlijua kuna mpya
@user-bn2ih4so4y5 ай бұрын
@@user-ku3ud4qb7c mmmh sawa bwana ngoja tyumpe nafas huyu binti amaya
What's happening here. Family issues my foot,,,, Yes Sir anko Jay. Let's go and move on. Am listening here and the ristoy is cool ❤
@jokhajj5 ай бұрын
Anko vip hauna meno😂😂😂😂😂
@WwEe-qc7tc5 ай бұрын
Katika maisha ni vyema kuwa tayari kiakili ,kiroho na kimwili kujikubali na kujipa ujasiri kila wakati na kuwa tayari kwa kukabiliana na na mitihani yote ila kikubwa uwe wakuu nuia kupita na kushinda yote hajalishi utalala miaka mingapi kitandani utafanywa chizi vipi kikubwa kujiamini na kujitambua zaidi kumwomba MUNGU akujalie ufahamu ulio bora na kumweka MUNGU mbele ya maisha yako kila kuchapo na ulinzi wake