Haleluya watu wa mungu muwe na usk mwema mungu wa mbinguni awaatamie kama kuku aatamiavyo vifaranga vyake.
@Sautiyajangwanisdachoir198720 күн бұрын
Amina sana
@zabronndaki2383 жыл бұрын
Mungu anatukuzwa Sana Julia nyimbo zenu mbarikiwe
@rahabujohn26915 жыл бұрын
Nawakumbuka Mwaka 1999 mlipokuja Musoma.wekeni ile Albam ya kukataa ukweli.napenda nyimbo zenu sana.dhambi imeisha ila dunia, kundi kubwa lile la washindi, kweli Mungu wa ajabu, nazipenda sana
Gostaria um dia vocês vir em Mozambique província de tete,sou adventista do 7 dia e sou fã de esse grupo, pêlo menos nos salvar com esses cânticos que nos leva perto do nosso senhor Jesus Cristo,ouiça o meu pedido favor@@Sautiyajangwanisdachoir1987
@williamkirway46204 жыл бұрын
Waimbaji wimbo wenye ujumbe kujiandaa kabla ya kufika nchi ya ahadi kanaani 18-12-2020 William cresent kirway toka Haydom-manyar.
@adammachuma67414 жыл бұрын
Mungu nibaliki kupitia huu wimbo amen ❤️
@stellamoraa50483 жыл бұрын
Time nyimbo zilikua n roho mtakatifu
@sany_v48863 жыл бұрын
Nyimbo hz huwa nazipenda saana mungu ashukuriwe
@Sautiyajangwanisdachoir19873 жыл бұрын
Amina mtumishi Wa baba
@abrahamkibona70384 жыл бұрын
Kweli nyimbo zenu ni nzuri
@daudis.shimba16006 жыл бұрын
Bwana awabariki sana mzidi kusonga mbele kwa kuugeuza ulimwengu umtazame yesu kupitia nyimbo hizi
@SAYIMAKENZI-rr3gz6 ай бұрын
MUNGU awabariki Kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya
@daudydaud5 жыл бұрын
Mwokozi wetu yapige maji tuvuke bahari shamu... Nabarikiwa sana wapendwa 🙏
@listersakalani49482 жыл бұрын
Nimekubari mko juu saiti ya jangwa
@bidafumbuka8556 жыл бұрын
Nmependa sana Yesu aliingia kwenye nyimbo za jangwan nikaokolewa
@Sautiyajangwanisdachoir19876 жыл бұрын
Amina sana Bida, Mungu aendelee kukubariki.
@jumagitti70006 жыл бұрын
Nawapenda sana. Mungu awaongoze .
@kabulandibya80016 жыл бұрын
nabarikiwa sana na nyimbo zenu MUNGU awaongezee mibaraka
@sapulanecarlosbucha50710 ай бұрын
Thanks for Song ,Amém amem
@johnnjungekahari33563 жыл бұрын
Amina
@albertkorir36342 жыл бұрын
Maintaining my faith . God bless your Choir
@oscarmashishanga3307 Жыл бұрын
BWANA awe nanyi siku zote hata malango ya Yerusalemu yafunguliwe na kukaribishwa... Nasi tunaomba tuwepo hapo Kanaani ya Mbinguni...
@shilungumoshi37325 жыл бұрын
Mungu awatumie sana! Mnanibariki sana
@esthernyabuto38456 жыл бұрын
Ooo mungu awape nguvu huu wimbo unanigusa muno had I nahisi kama yesu you mulangoni tiyari
@kistelugisi34576 жыл бұрын
Hongereni sana sauti ya jangwani. Hakika tunabarikiwa kupitia nyimbo zenu. Ila tunaomba na nyimbo za zamani kama vile mwanamke gani, ujira wa watakatifu, lulu fedha na dhahabu nazo mziweke katika KZbin channel yenu ili tuweze kusikiliza na kubarikuwa. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutangaza injili yake.
@Sautiyajangwanisdachoir19876 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe wako kiste, tutaufanyia kazi kwa karibu zaidi.
@mamajusimoshi6706 жыл бұрын
Hakika!! Mungu azidi kuwatumia,nami nahitaji kupata album zenu zote,naomba tuwasiliane kwa 0756891190,matunda ya nyimbo zenu ni roho nyingi kuongolewa,mm nikiwa mmojawao!!
israeli waleo ni sisi shamu tumekaribia mnanibariki sana
@dayomagayane56866 жыл бұрын
Nazi nzuri watumishi wa Baba
@juliusnyanungu7293 жыл бұрын
Thanks for your amazing songs
@HusseinHassan-f3z4 ай бұрын
❤❤❤❤
@omarnobeye78876 жыл бұрын
tuna miss sanaa mambo mapya ya jangwan mnatubariki sanaa
@Sautiyajangwanisdachoir19876 жыл бұрын
huu wimbo ni album mpya
@omarnobeye78876 жыл бұрын
Ushirika Adventist mtuwekee nyingine bas tuzidi kubarikiwa
@Sautiyajangwanisdachoir19876 жыл бұрын
tutaweka sio mda mrefu, kumbuka ku subscribe na kugonga kitufe cha kengere ili tukiweka upate taarifa
@omarnobeye78876 жыл бұрын
Ushirika Adventist OK sawa mbarikiwa zaid
@jumagitti70006 жыл бұрын
Nyimbo zingine za zamani kama kisha kikaona myama akitoka baharini. tunazitafuta.
@selestinakitura40776 жыл бұрын
Mbarikiwe watu wa mungu
@matiascharels79265 жыл бұрын
Mbarikiwe
@musamigabo56016 жыл бұрын
God bless you all....
@mosesmutua27694 жыл бұрын
Kindly upload Mwokozi yesu uliniita by sauti ya jangwani
@Sautiyajangwanisdachoir19879 ай бұрын
Muda kitambo tutakuwekea hapa wimbo wako pendwa. Bwana akubariki
@joelmoturi30472 жыл бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@frenkrobert29476 жыл бұрын
Tunabarikiwa hakika!
@HafashimanaLevis-rp5ru Жыл бұрын
Safali ya wana Israel
@deomayunga7536 жыл бұрын
Amen
@imitekererezeihabanye86812 жыл бұрын
Mahubiri haya yanabatilisha maamuzi kuhusa chanjo yaliyochukuliwa na makundi ya uongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato ambao waliyaamua maamuzi hayo bila mamlaka ya kuyaamua. Maamuzi hayo yanabatilishwa, washiriki wakapewa rufaa ili kuwa wa kipekee. kzbin.info/www/bejne/i5PSdoCAa6eFaKs
@johnnkwabi73766 жыл бұрын
naile album ya kwanza ya sauti ya jangwani iweke itapendeza zaidi
@Sautiyajangwanisdachoir19879 ай бұрын
Ombi limepokelewa. Bwana akubariki
@kilasaelisha63496 жыл бұрын
nice weka zingine
@Sautiyajangwanisdachoir19876 жыл бұрын
Asante, Ntaweka soon!
@mikaelpeter93436 жыл бұрын
nahitaji kanda hii wapi nipate 0787076338 mamba yangu