I'm in love with this song especially the second stanza. It carries alot of hope.
@DorcaChacha-t7q9 күн бұрын
🙏🙏🙏
@NeemaMtobesya-t9f15 күн бұрын
Uimbaji wenu ni mzuri sana naupenda sana nafurahi sana ata mwonekeno wenu hakuna ata aliesuka hakika mbarikiwe sana
@UCURURUKE17 күн бұрын
Sorry. KZbin channel uhuisho na matengenezo
@paulmboje267720 күн бұрын
Hatimae leo 1/1/2025 nimeupata huu wimbo Wabarikiwe waimbaji wote na watu waloshiriki katika kuandaa huu wimbo wenye ujumbe wa wokovu🙏
@wiseman01723 күн бұрын
nalipanda kwaya hili sana mw😍
@BeatricePrince-q6x23 күн бұрын
Ameen
@barakaisack56524 күн бұрын
Hngr sana solorist na waimbaji wote Kwa kazi nzuri unayoifanya BWANA AWABARIKI SANA
@japhetdaudmaneno844024 күн бұрын
Tokea Oman,Mbarikiwe jangwani SDA choir nawapenda nawaombea, MUNGU awatumie..pia naombeni wimbo wa Daniel tunduni mwa simba, "..Na wimbo Usiku wa manane duniani 🇴🇲🇹🇿🔥
@YusraMasaluАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏
@PeterOsward-hb7zfАй бұрын
Nawapenda sana wana na Binti za Mungu ,ombi langu wimbo wa Musa na mwanakondoo unatusubiri ng'ambo ya mto
@EmmanuelKungukuАй бұрын
Thanks saut ya jangwan
@patrickmucembi6794Ай бұрын
praise be to God, may our almighty Lord keep guiding you in preaching the word via the very nice songs, be blessed 🙏🏻
@alphayomogunde7828Ай бұрын
Mungu wetu awape nguvu na awarinde nyote kwaya hii ya sauti kutoka changwani. Salamu kwenu kutoka hapa Lenana ngong Rd Nairobi Kenya.
@Sautiyajangwanisdachoir1987Ай бұрын
Amina wasalimie Wanakenya.
@DismasDeus-u4mАй бұрын
Mbalikiwe sana watu wa Mungu tuendelee kutimiza ndoto za bwana wetu yesu kristo ambazo ni tuwemashahidi ulimwenguni kote.🙏🙏
@jacksoncharles6239Ай бұрын
Blessed ❤
@kipchorngwonektiroto457Ай бұрын
What these Adventists are singing are what are written by E.G. White.They don't come from the Bible.One serious thing about it is that Adventists think they are biblical!
@MohamediJuma-u6lАй бұрын
❤
@Yohana-n6mАй бұрын
Nawapenda sana naendelea kubarkiwa asantee
@SAFINANDINAYO-z3vАй бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SAFINANDINAYO-z3vАй бұрын
Amen ❤❤❤❤
@SAFINANDINAYO-z3vАй бұрын
Amen ❤❤❤❤
@japhetdaudmaneno84402 ай бұрын
Jangwani huwa mnanibariki sana,lakini naomba wimbo wa Daniel tunduni mwa simba naupenda sana
@Sautiyajangwanisdachoir1987Ай бұрын
Ujumbe umepokelewa Mtu wa Mungu
@japhetdaudmaneno8440Ай бұрын
@Sautiyajangwanisdachoir1987 Niko Asia -Oman 🇴🇲 lakini nikisikiliza nyimbo zenu nahisi uwepo wa MUNGU sana
@danielmboje87512 ай бұрын
Nyimbo nzuri,jangwani wangeendelea na utunzi kama huu, wangekuwa mbali sana.
@ImaniChisunga-d7w2 ай бұрын
Amen
@justusomori68282 ай бұрын
Good
@josphatmagana2 ай бұрын
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli
@josphatmagana2 ай бұрын
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli
@Cleopa-e6x2 ай бұрын
Ahsante kwa kuweka Imani yangu imara zaidi Amina.
@dansonbussutimediaproduction2 ай бұрын
Dah wimbo mzuri sana ujumbe makini sana nimeipenda
@SamwelPBhuhimila-k3l2 ай бұрын
❤
@DeogratiasKibendela-rb6ts2 ай бұрын
Ameni Mungu zaidi kuwainua
@Elishapetro-m9h2 ай бұрын
Nawapenda❤
@MariamMangalu2 ай бұрын
Naomba Siri ya mafanikio yenu, kwa monekano hajapungua kabisa, Bwana azidi kuwabariki!!
@JosephShalukoo2 ай бұрын
❤
@JosephShalukoo2 ай бұрын
❤Mubarikiwe sana
@themessengertz12372 ай бұрын
Amina watu wa Mungu, Kuna wimbo wenu mpya naona Kipande tu Whatsap unaombwa "Mwovu Shetani Anatenda kazi kwa kasi ya ajabu, Anajua muda wake umeisha!" Naomba kuupata wimbo mzima
@TiffernyPhilip2 ай бұрын
Mbarikiwe sana. Mnanikumbusha mbali sana❤❤
@naomikisaba57852 ай бұрын
Nimekubali jina la yesu nimekubali ni kuu mno❤
@NihorimbereMireille2 ай бұрын
Amin
@thesabbath29043 ай бұрын
Mbarikiwe sana Sauti ya Jangwani
@pagiMussa3 ай бұрын
Niliutafuta sana tangia niusikie kizota net event, mbarikiwa
@DanielLushiba3 ай бұрын
Mungu awabariki sana maana mliimba nyimbo zenye ujumbe mzito AMEN.
@musamigabo56013 ай бұрын
very interesting song for worshiping God....may the Lord bless this choir ...
@musamigabo56013 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu watumishi wa Mungu
@mathiasndaki3 ай бұрын
Haleluya watu wa mungu muwe na usk mwema mungu wa mbinguni awaatamie kama kuku aatamiavyo vifaranga vyake.
@Sautiyajangwanisdachoir1987Ай бұрын
Amina sana
@BensonMolely3 ай бұрын
Mungu awabariki sana na awape marifa sa❤❤❤
@ewaterservices4023 ай бұрын
Mch zephanih peter makorongo chemba waimbaji hawa nyimbo zenye mafundisho kweri wabaekiwe