Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
@sylvestershaib3527 Жыл бұрын
Samahani Mwl,,Mimi nina uhitaji wa kujijua kuwa nipo sauti ya ngapi maana naimba japo sijawahi kufundishwa na Mwl yeyote,,napenda nijue mimi nipo sauti ya ngapi kati ya 1,2 au 3 mimi ni Kijana wa kiume Msaada wako Mwl.
@Joremimusic Жыл бұрын
bila samahani, utanitumia Voice Note ukiimba wimbo usizidi dakika moja, ili nikufanyie Tathimini ya Sauti yako. Utanitumia WhatsApp +255 755 340 532.