hili zoezi la kukuza PUMZI na kukaza misuli ya tumbo ni njia ya kukupeleka wewe kuwa na panchi kubwa katika Uimbaji wako, hivyo lizingatie sana. zaidi tuwasiliane +255 755 340 532.
@isackmwasumbi19 күн бұрын
Mubarikiwe sana mziki mtam unabariki sana pro johnson yusuph
@Joremimusic19 күн бұрын
Ameeen mdogo wangu. Mungu akutendee mema hapo mbeya. nakumbuka sana ile kazi yako tulifanya. ule wimbo wa SIFONGO.
@isackmwasumbi19 күн бұрын
@Joremimusic amina bro barikiwa sanaa
@Joremimusic19 күн бұрын
@@isackmwasumbi Amen
@amontukiko260020 күн бұрын
Good music
@Joremimusic20 күн бұрын
Asante sana mtaalamu wangu wa Bass pale Kijichi Sda Choir.
@lameckmachumu432221 күн бұрын
Naaaaam hakika ni safi sana
@Joremimusic21 күн бұрын
Ameeeeen na Yesu yuko tayari kutufanya kuwa safi tena SAFI SANA.
@jerrycharles993021 күн бұрын
safi saana 😊😊kama ulivyo wimbo
@rosenyambita194621 күн бұрын
❤safi Sana, bonge ya wimbo
@Joremimusic21 күн бұрын
Asante sana mdogo wangu. endelea kubarikiwa .
@Joremimusic21 күн бұрын
@@rosenyambita1946 Ameeeen Mungu atukuzwe.
@JANETHMAKWAYA22 күн бұрын
Mim naimb saut y kwanz lakin naimb kw kupanik nifanyj IL niondokan na hii Hal
@Joremimusic21 күн бұрын
Karibu sana Janeth. tuwasiliane +255 755 340 532, kila kitu kinawezekana.
@rosenyambita1946Ай бұрын
Ñaendelea kujifunza. Asante sana Mwl
@JoremimusicАй бұрын
Karibu sana
@JerevanyJaqueАй бұрын
Yes Mungu ni wa ajibu sana
@JoremimusicАй бұрын
na hafananishwi na chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
@JoremimusicАй бұрын
...na hafananishwi na kitu chochote. Mungu ni wa ajabu zaidi
@FaithRaphael-iv8qnАй бұрын
Njema
@JoremimusicАй бұрын
Karibu sana
@EliyaWilliamOfficialАй бұрын
Naitaji kujiunga mnapatikana wap?
@JoremimusicАй бұрын
Karibu sana, nafasi bado zipo, tupo Dar es Salaam - tuwasiliane +255 755 340 532
@rosenyambita1946Ай бұрын
Nahitaji kujifunza..
@JoremimusicАй бұрын
Karibu sana Darasani. tupigie +255 755 340 532
@RoseAthuman-ht9loАй бұрын
Je kunywa maji ya moto kunasaidia saut
@JoremimusicАй бұрын
Maji ya moto sio sahihi, maana yatakuunguza, huwa tunatumia MAJI YA UVUGUVUGU - yanasaidia SANA. Maana koo la Muimbaji linatakiwa liwe na unyevunyevu masaa yote, na hiyo inafanywa na Maji ya Uvuguvugu. KARIBU TUJIFUNZE.
@cynthiaetaba2 ай бұрын
I can Soprano and alto
@JoremimusicАй бұрын
Mungu akubariki sana
@wilsonkombeyeri46232 ай бұрын
Hongela sana mwalimu kumbe watu wa muziki mupo
@Joremimusic2 ай бұрын
Asante sana Mr. Wilson. ndio banah, tupo kabisa. Karibu.
@wilsonkombeyeri46232 ай бұрын
@Joremimusic asante sana mwalimu, mimi ni mcheza kinanda pia ila kwa jinsi unavyoeleza wewe kwa kweli ni njia ya kipekee kabisa, naomba Mungu ikipatikana hata bundles nitakutumia.
@rosenyambita19462 ай бұрын
🎉 safi Sana
@Joremimusic2 ай бұрын
Barikiwa zaidi
@bintimaria36392 ай бұрын
❤
@Joremimusic2 ай бұрын
Asante sana
@kwayaviwawaparokiayabashne92812 ай бұрын
Hongera Sana mwalimu
@Joremimusic2 ай бұрын
Asante sana, tunaweza kuwasiliana zaidi 0755 340 532. karibu sana
inawezekana kabisa, tuwasiliane 0755 340 532. Karibu sana tujifunze.
@SavoliTz-nv1eb3 ай бұрын
🎉🎉
@Joremimusic2 ай бұрын
pamoja sana
@LeonsiSilveri3 ай бұрын
Kwanini nipoimba wimbo wakutua sauti inaisha kabbla ya wengine nanifanye nini kuwa sawa na wengine?
@Joremimusic2 ай бұрын
hapo unakuta unawahi kuishiwa pumzi, hivyo basi jifunze jinsi ya kutumia pumzi katuka uimbaji.
@Yana_queen19 күн бұрын
Huna pumzi…au hutolei sauti tumboni
@AmossYoachim4 ай бұрын
😂Sasa bass tutaimbaje tufundishe
@Joremimusic2 ай бұрын
hahahahaaa, tutajifunza tu Mkuu, Karibu darasani
@DianaHamis-w2i4 ай бұрын
Mimi nikiimba sauti ya pili sauti inaharibika nikitaka kuimba sauti ya kwanza tene
@Joremimusic2 ай бұрын
hapo unatikiwa kwanza uijue sauti yako ni ipi, tuwasiliane 0755 340 532
@Astarco-je9gj4 ай бұрын
Sauti hii ni ngumu
@Joremimusic2 ай бұрын
sio ngumu, ukifundishwa unaiweza.
@elizabethrenny23094 ай бұрын
Mungu akubarika xan una uwezo mkubwa
@Joremimusic2 ай бұрын
Ameen. Barikiwa zaidi. karibu tujifunze wote.
@ShukuraniWilondja4 ай бұрын
Kwa wale waliyo kuwa na mwanya mbele watafanyaje kwenyemazohezi ahaya
@Joremimusic2 ай бұрын
tunawapa zoezi mbadara
@ShukuraniWilondja4 ай бұрын
Ubarikiwe umenipa raha moyoni
@Joremimusic2 ай бұрын
Amen. Barikiwa zaidi
@JailosuwezoDavid5 ай бұрын
Unagusa panapo gusika ❤❤
@Joremimusic2 ай бұрын
Karibu tujifunze zaidi.
@EDWARDJOSHUA-p2r5 ай бұрын
mimi naimba saut ya tatu
@Joremimusic2 ай бұрын
safi sana, iendeleze kwa kufanya mazoezi sahihi
@OdaBihimana-do6rb5 ай бұрын
Asante sana mwalimu Mungu akubarikisana kwakipaji ulicho pewa na Mungu.Mimi naimba sauti ya 1)sprano 2) Tenor 3) artho.Mimi ni lijikuta Niko nahizo sauti,Mungu kaniumba nazo ila naitaji ujuzi ili nijue kuimba zaidi.Sijawahi pata mwalimu wakunifundisha,please nisaidie.Nakutegea kutoka USA.
ifanyishe mazoezi sahihi utashangaa maajabu ya Sauti ya Tatu..
@truthspeaker20625 ай бұрын
Habari daktari Nina tatizo la muezi sita sasa . Nikiimba au kusoma kitu au utenzi naishiwa na pumzi haraka sana a natumia nguvu sana kusoma na sivyo nilivyokuwa kabla . Nimeamua kupumzika kwa miez 2 bila ya kusoma kitu wala kupaza sauti .bado ttz lipo pale pale nikisoma kitu kwa sauti kama vile utenzi naishiwa nguvu na sauti hutoka kwa shida sana . Na pia nahisi kama pumzi zimeisha na pia nahema sana mhemo wa kuchoka. Naomba msaada wako.
@Joremimusic2 ай бұрын
pole sana kwa tatizo hilo, hilo tatizo liko nje ya uwezo wangu. nakushauri uende Hosptali uonane na Doctor kwa uchunguzi, naamini utapata tiba ndugu yangu.
@PaulMuro-f3q6 ай бұрын
Asante sana bro, somo zuri na melody ya wimbo ni nzuri mnooo
@Joremimusic2 ай бұрын
Asante pia. karibu tujifunze zaidi.
@rosenyambita19466 ай бұрын
Nitakufatilia mwl
@SabatoPetro-h1k6 ай бұрын
Kaka njoo na SoMo hili tena kwa undani zaidi
@Joremimusic2 ай бұрын
sawa sawa, nitalifundisha tena kwa upana, asante kwa ushauri.