Nipo Saudi Arabia kiukweli nawapata vyema muko smart sana kwenye hiki kipindi kiukweli 🫡🫡🫡.
@AliSalim-yu4mo6 ай бұрын
Kama uko ktk Hajj basi shughulikia haya Tu !
@DuuSaid6 ай бұрын
Mtu kumpa nguvu yeye wakati yeye anashida zake tele hawezi kutuletea wema sisi wazanzibar bara wanashida zao tele .imefika wakati tushulikie yetu wazanzibar tusiendelee kupotezewa muda mungu katubariki neema nyingi yanini kujizulumisha utaifa wetu haki zetu nyingi zimepotea hata timu yetu ya taifa Zanzibar imeshindikana kucheza kimataifa ...
@MassoudAmour-qj1og6 ай бұрын
Kazi mzuri Zanzibar kwanza
@buchbeats53376 ай бұрын
Kiswahili Utaratibu kitanganyika mchakato
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar6 ай бұрын
Tupate interview ya Mansor na Salim Kikeke
@mohdalliy6566 ай бұрын
Imfikia wkti hata hmu y kuish nchi kwtu xx km Wazawa htun hmu kw7bu y Maish wnaytlteA CCM😢 WAZANZIBAR Tuamknii tuwe wmojaa Tuungne n tshikmanee tuw ktu kmojaa Yni htun hat Team y Taifa Wllah😢naumiaa
@RashidHaroun-c2j6 ай бұрын
Wacha upumbavu uwo maisha hayatengenezwi na CCM na ukiona hamu huna tafuta sehemu inayo maisha mazuri kama wahamiaji wenzio wanavo fanya wee umeng'ang'ania hapa tu
@ahmedjaad49403 ай бұрын
@@RashidHaroun-c2j mpumbavu ni wewe kijana kwa kudhani anaekutawala hahusikiki na hali yako ya kimaisha.