Misa ya Mt. Anna | Bwana Utuhurumie - Fr. G. F. Kayeta | Mass | Sauti Tamu Melodies

  Рет қаралды 407,269

Sauti Tamu

Sauti Tamu

Күн бұрын

Kyrie, Misa ya Mtakatifu Anna - Fr. G. F. Kayeta
Missa Anna
#SautiTamu #Zilipendwa
Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
Tazama pia nyimbo nyingine kutoka kwa channel hii kama Watumishi wake baba wangapi waliopo, Atawala Milele, Msisimko wa Sifa na Nitakutuza Mungu na nyingine za St Paul's Students Choir University of Nairobi. Kupata kusanyiko kubwa zaidi la nyimbo za kwaya Katoliki fuatilia pia Channel ya Rajo Production au Holy Trinity au Tanganyika Production upate nyimbo maarufu kama vile Mimina Neema (Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi Dar-es-Salaam) maneno matamu, Bwana Unibadili na Shusha baraka.
unaweza imba vipindi vyote vya misa kwaresma, pasaka, majilio, n.k
Misa ya Mt Anna ni mojawapo ya misa maarufu zinazopendwa sana Africa mashariki. Misa nyinginezo zenye umaarufu ni Misa ya Mt. Matilda, Misa Mwanampepo, Misa ya Yakobo - Fr Kayeta, Makoye, Misa Kariobangi, Misa Fadhili, Misa taita, Misa Centenery, Amecea Mass, Guadalupe, Nyundo (FAN) na Misa Upendo
{ Bwana Bwana, Bwana utuhurumie,
Utuhurumie Kristu utuhurumie
Utukufu, kwa Mungu Mbinguni,
Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema
Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza
Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana) ....
Waimbaji wote wametoka Chuo Kikuu cha Nairobi

Пікірлер: 253
@mkabetiyimbinao2897
@mkabetiyimbinao2897 4 жыл бұрын
Hii ni kazi nzuri sana sifa kwa mtunzi na waimbaji, mbarikiwe sana. Tuleteeni na ila ya mt. Yakobo by fr Kayetta G
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante. Tutaifanyia kazi
@mkabetiyimbinao2897
@mkabetiyimbinao2897 4 жыл бұрын
Sauti Tamu Jitahidini jamani maana mmetutamanisha.
@onika5633
@onika5633 3 жыл бұрын
@@SautiTamu Are any of these wonderful songs on Spotify?
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Haki hii Misa inatoba kubwa sana inahuruma inayouma inakumbusha mbali mbaka moyo unanyanyuka
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina
@EuniceWangui-xt3yo
@EuniceWangui-xt3yo 11 ай бұрын
Thank you Jesus. This song is very powerful. I keep on listening to this song. As I prepare for the heart surgery please Bwana ni hurumie I believe in you lord. All is well 🙏
@joanamukhwana8211
@joanamukhwana8211 8 ай бұрын
I said a prayer for you.. I hope the surgery went well.. Praised be Jesus Christ !Now and forever and for all ages Amen.
@cubicalmn8754
@cubicalmn8754 4 жыл бұрын
Misa tamu kuisikiza na kuiimba.....Hongera Sauti Tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante
@johnleon201
@johnleon201 3 жыл бұрын
Utuhurumie Bwana Kristo Kristo Utuhurumie Eeewe Kristo Kristo Utuhumiieee
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@oscarbagambe1132
@oscarbagambe1132 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sauti za safi za kumuimbia Mungu . Mungu awabariki katika uinjilishaji.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe pia
@maselejustine7236
@maselejustine7236 3 жыл бұрын
Hongera sana,kayeta na tone tamu sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Shukrani, ubarikiwe
@barrews
@barrews 3 жыл бұрын
Best wishes nice kyrie God bless you
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Roberto
@GracethimothNdendya
@GracethimothNdendya 9 ай бұрын
Niceeee🎉❤❤❤❤
@isaacrenatus7985
@isaacrenatus7985 3 жыл бұрын
Waaooooh tunabarkiwa kuptia nymbo nzri Mungu atukuzwe binadam tuokolewe 🙏 Kaz nzr
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@simonatamboogoti9650
@simonatamboogoti9650 2 жыл бұрын
Awesome singing. The Mass is one of the best👌
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you
@annakulanga5415
@annakulanga5415 4 жыл бұрын
MT. Anna uniombee... najivunia ukatoriki wangu ❤❤🙏🏼🙏🏼
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏amina
@governorwetu5383
@governorwetu5383 Жыл бұрын
We celebrate your efforts in spreading the word. May God continue showering you work with blessings.
@SautiTamu
@SautiTamu Жыл бұрын
Thank you so much. Blessings to you too Governor wetu
@johnmwanandenje8885
@johnmwanandenje8885 4 жыл бұрын
Catholic church hyms Heal.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
true
@sauti_za_kuimba
@sauti_za_kuimba 4 жыл бұрын
Sauti Tamu, safi sana, hongereeni waimbaji wote
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante Sauti
@lenahabraham6624
@lenahabraham6624 4 жыл бұрын
Sauti tamu tamu😍😍😍😍
@nestorykissima7202
@nestorykissima7202 4 жыл бұрын
Nzuri sana hii. Vitu vingi vizuri havijarekodowa, hasa hizi Misa. Thanks
@kisibowarioba456
@kisibowarioba456 4 жыл бұрын
Sauti tulivu
@maximilianlongino4650
@maximilianlongino4650 4 жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji sauti zimetulia Mungu azidi kuwabariki
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏Asante
@stephenmuthokaitumo6770
@stephenmuthokaitumo6770 4 жыл бұрын
Wonderful ,, smart voices,well harmonized,,....am from Kenya mwalimu wa kwaya ya mtakatifu Paulo taveta mjini,,nimekubali utunzi was fr,,waimbaji jongeeni Sana,,....tafadhali nauliza Kama naweza pata mziki wake ili nasi tuimbe hiki kipindi Cha kwaresma,,tafadhali,,...imeutafuta kwa Swahili music notes sikuupata,,naomba mnisaidie
@daviswilliam4016
@daviswilliam4016 4 жыл бұрын
Stephen muthoka notes zimewekwa katika ukurasa wa WWW.SWAHILIMUSICNOTES.COM unaingia kisa una search mt.anna by fr.kayetta
@irenegatiba8411
@irenegatiba8411 3 жыл бұрын
Beautiful beautiful
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante Irene
@anselmimwatebela4186
@anselmimwatebela4186 4 жыл бұрын
Safi sana !! Mungu Amlaze mahala pema Msafwa huyu Gregory Kayeta wa Mbeya Tanzanania kwa utunzi uliotukuka
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina
@davidamundala9720
@davidamundala9720 4 жыл бұрын
Muzuri sana iyo wimbo wa kuomba huruma kwa Baba Mungu. The God bless you for this valuable work. Bwana utuhurumie sisì wote wenyi zambi. Alphonse Marie.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina na ubarikiwe kaka Alphonce
@castoryjoseph7841
@castoryjoseph7841 2 жыл бұрын
Mmetisha kwawimbo huu BG up
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Shukrani sana, ubarikiwe
@Collinscj
@Collinscj 4 жыл бұрын
Hongera vijana wetu
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asantee
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 4 жыл бұрын
Safi sna hizi misa zimesahaurika sana , na hapo ndiyo tunatangaza Melodi zetu zenye Utulivu, hongereni.
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 4 жыл бұрын
Haijasahalika kaka...... Ni moja ya Misa ngumu hivyo inahitaji ufundi wa hali ya juu yaani kuanzia mwalm.... Mwimbaji na organist mwenye uwezo!!! Mara nyingi pia ni kipimo Cha kukua kwa kwaya mkiimba inavyotakiwa!!!
@robertbigwanyi2409
@robertbigwanyi2409 4 жыл бұрын
Tumusif yesu Kristo wapendwa katika bwana Wimbo huu ni mzuri sana binafsi nimeupenda
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Shukrani. Ubarikiwe
@wanjalaopwora4040
@wanjalaopwora4040 4 жыл бұрын
This is the Mass of the century... Kazi nzuri Munywoki & St. Pauls
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante sana Counsel
@Onesmus8301
@Onesmus8301 3 жыл бұрын
Hii song inaeza fanya mtu atubu mpaka thambi ya asili.... Great work sauti tamu..
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@felicianholle3010
@felicianholle3010 4 жыл бұрын
Bwana awabariki sana kwa sauti nzuri najivunia ukatoriki wangu
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe nawe pia
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 4 жыл бұрын
Jamani hii seti sitaisahau, wakati naisolve kwa kinaenda, hongereni wanakwaya, mtakatifu Anna utuombee.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina
@irenegatiba8411
@irenegatiba8411 3 жыл бұрын
Kristu Kristu part beautiful
@ansbertanthony9337
@ansbertanthony9337 4 жыл бұрын
Nzuri,,mkiweza weken misa nzima🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante kaka, Tutajitahidi, tufanye yote
@nicholasmwanzia776
@nicholasmwanzia776 4 жыл бұрын
Nitashukuru sana. Kwanza utukufu.
@ansbertanthony9337
@ansbertanthony9337 4 жыл бұрын
@@SautiTamu 🙏🙏🙏
@nicholasmwanzia776
@nicholasmwanzia776 4 жыл бұрын
Asanteni sana. Mzidi kubarikiwa.
@pilisungwa6072
@pilisungwa6072 4 жыл бұрын
Wao,naipenda Sana hii misa jmn hongeren
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante
@jemagillo380
@jemagillo380 4 жыл бұрын
Naipenda sana misa hii,mungu awabariki sana
@georgegitau6428
@georgegitau6428 4 жыл бұрын
I love all these songs by sauti za kuimba site
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thank you George
@jeanm.2973
@jeanm.2973 4 жыл бұрын
This is the best of all. Sauti zenu ni poa tu sana. Thanks be to Jesus
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante sana
@jeanm.2973
@jeanm.2973 4 жыл бұрын
Tunabarikiwa tukiwa USA pasie
@modestussanga5413
@modestussanga5413 4 жыл бұрын
Bwana utuhurumie,nzuri sana hongereni wanakwaya
@joymo2799
@joymo2799 4 жыл бұрын
I'm in love with this Bwana utuhurumie.. God have mercy on us and us the good way.... who else is here on January 2021
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thank you Joy
@oscarbagambe1132
@oscarbagambe1132 4 жыл бұрын
Mmeimba vizuri, hongera kwa uinjilishaji akika mmeimba kitaalam
@edouardhitimana7981
@edouardhitimana7981 3 жыл бұрын
Muna Kipaji kizuri sana Mungu Aendeleye kuwaongezeya Mamlaka Amen
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Shukrani Oscar
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Edouard, ubarikiwe
@nyngb5
@nyngb5 4 жыл бұрын
Asante sana kwa Video nzuri mbarikiwe sana
@andrewmsunga9425
@andrewmsunga9425 4 жыл бұрын
Hakika ni Misa nzuri sana
@asoomsadly4713
@asoomsadly4713 3 жыл бұрын
So wonderful thanks dears
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Asoom
@philipmushi8095
@philipmushi8095 4 жыл бұрын
Safi sana, sifa kwa Mungu, mpangalio mzuri wa sauti, mziki mtamu mnoo, mtunzi hongera
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏 ubarikiwe mkuu
@aggiedennis564
@aggiedennis564 4 жыл бұрын
Kuna vitu vi vi ni.ependa ktk bii kwaya kv. Mpangilio wa saui mwonekano wa waimbaji videk nzurk nhimbo ni a zamani kn mmsziimba kwHyo vocal zikonkana kama mpya, very nics, i wizh kama invepata the whole album of yous
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante Aggie, tutapost nyimbo nyingine zaidi
@gustavkunkuta6733
@gustavkunkuta6733 3 жыл бұрын
Ahsanteni sana waimbaji na organist kwa utulivu na bila madoido, na hivyo kutuletea zawadi ya wimbo bora sana wa ibada.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Be blessed
@Chacha_magonka
@Chacha_magonka 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amina
@samwela.kasamalo2113
@samwela.kasamalo2113 4 жыл бұрын
Fr. G. F. Kayetta you are the one and only
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Very talented composer
@jollynedokwara9112
@jollynedokwara9112 3 жыл бұрын
Dainess you made to love Roman catholic songs and all things related to Rc.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Be blessed
@dr.rogerstemu2081
@dr.rogerstemu2081 3 жыл бұрын
Nzuri sana
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Shukrani Dr
@AOB446
@AOB446 4 жыл бұрын
Sauti tamu sana,mbarikiwe
@norbertmutuku6167
@norbertmutuku6167 4 жыл бұрын
Beautiful voices by beautiful people . Fr. Kayeta’s compositions are always inspiration. I look forward to the other parts of Misa ya Mt. Anna.
@musichealsTz
@musichealsTz 4 жыл бұрын
Naipendaga sana hii misa.
@paulcarlos2523
@paulcarlos2523 4 жыл бұрын
nice work, well articulated! everything is perfect. bila shaka ametuhurumia
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina🙏
@christopherlopeyok7622
@christopherlopeyok7622 2 жыл бұрын
it such a blessing song,good
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you Christopher God bless you
@francisooko5121
@francisooko5121 3 жыл бұрын
Nyimbo zenyu tamu kila wakati
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante Francis
@beatusidama6233
@beatusidama6233 4 жыл бұрын
Hongereni kwa uimbaji mzuri.
@mathiasmateru9977
@mathiasmateru9977 4 жыл бұрын
So nice. Voices arranged very well.
@jemagillo380
@jemagillo380 4 жыл бұрын
Hongereni sana
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 4 жыл бұрын
O God strengthen my catholic faith.
@upangamwanje346
@upangamwanje346 4 жыл бұрын
hongereni sanaaaa!
@jennifernamata6772
@jennifernamata6772 2 жыл бұрын
Wonderful! Thx
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Welcome, be blessed
@charlesjohanes5747
@charlesjohanes5747 4 жыл бұрын
Proudly Catholic
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amen
@textileengineer6213
@textileengineer6213 3 жыл бұрын
Great. Contulations Sauti tamu. Recording superb. within the theme
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante
@annamalunda2732
@annamalunda2732 4 жыл бұрын
Mtakatifu Anna uniombee Am proud of this Mass
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Amina
@cornelnamzosha2466
@cornelnamzosha2466 2 жыл бұрын
Yaan,sichoki kuwasiliza
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Shukrani sana Cornel. Unarikiwe
@felistaskabunda6052
@felistaskabunda6052 4 жыл бұрын
Nice song s interesting
@lynettembeti1249
@lynettembeti1249 Жыл бұрын
I LOVE THIS
@mukaimaithya170
@mukaimaithya170 2 ай бұрын
Wow
@GO-wr3de
@GO-wr3de 4 жыл бұрын
I have interviewed the 18 who disliked and realized they mistook the dislike button for the like button 😊.good work
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Exactly. Wengi huwa hawajui difference ya buttons
@GabrielSiluyele
@GabrielSiluyele Жыл бұрын
Simply wonderful. EKLESIA KATOLIKA
@cornelmail3465
@cornelmail3465 3 жыл бұрын
Nice as always God bless your children.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Amen
@fayamina2560
@fayamina2560 4 жыл бұрын
Beautiful composition sweet voices cool video
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thanks Amina
@mukaimaithya170
@mukaimaithya170 2 ай бұрын
So sweeet
@pondapapa8371
@pondapapa8371 4 жыл бұрын
Tops! God bless you....how you sing in my heart!
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
God bless you too
@davidkomba3868
@davidkomba3868 4 жыл бұрын
Kaz nzur sanaa
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Asante sana
@juju_gamerplayer
@juju_gamerplayer 2 ай бұрын
Parecem anjos cantando. Muito bonito!
@justusbarasamuloboti4466
@justusbarasamuloboti4466 4 жыл бұрын
Avery good song n good voice balanced
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thank you Justus
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 4 жыл бұрын
O God strengthen my catholic believes.
@symonblackie7665
@symonblackie7665 4 жыл бұрын
love your voice
@michaelbileko
@michaelbileko 3 жыл бұрын
Nice song,so wonderful. Amazing voices.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you Michael, be blessed
@samuelkimani5482
@samuelkimani5482 2 жыл бұрын
Nice voice blending
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you
@samuelkimani5482
@samuelkimani5482 2 жыл бұрын
@@SautiTamu most welcome it's my 2nd music class but your songs are inspirational
@petermusyoka4163
@petermusyoka4163 2 жыл бұрын
Nice songs
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you
@godlistenmatilya5429
@godlistenmatilya5429 4 жыл бұрын
Excellent!
@barrews
@barrews 3 жыл бұрын
Nice Kyrie
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante
@ferdinandomondi5958
@ferdinandomondi5958 4 жыл бұрын
Nice singing
@donarsene
@donarsene 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mselanondo5148
@mselanondo5148 4 жыл бұрын
Video nzuri bana
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Ubarikiwe🙏🙏
@gustavkunkuta6733
@gustavkunkuta6733 3 жыл бұрын
Very well sang and played.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Thank you
@johnkabingaombasaakakjohnn4240
@johnkabingaombasaakakjohnn4240 4 жыл бұрын
Beautiful
@coletha7441
@coletha7441 2 жыл бұрын
Love this song god bless us all 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Amen
@shadrackmabula
@shadrackmabula Жыл бұрын
@@SautiTamu good
@almasibet638
@almasibet638 4 жыл бұрын
This is very wonderful💞
@josephkikuni9631
@josephkikuni9631 4 жыл бұрын
Ce chant m'inspire beaucoup
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@johnmtesi5632
@johnmtesi5632 2 жыл бұрын
Well done
@SautiTamu
@SautiTamu 2 жыл бұрын
Thank you John
@samuelmuathe9678
@samuelmuathe9678 5 ай бұрын
Wow mko poa
@ericmoses9577
@ericmoses9577 4 жыл бұрын
Awesome voices from singers ...very pleasing to ears till all the body
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thank you
@happynessjoseph7341
@happynessjoseph7341 3 жыл бұрын
It arouses emotion
@SautiTamu
@SautiTamu 3 жыл бұрын
Asante
@okongostephenv5421
@okongostephenv5421 4 жыл бұрын
Seeking God's mercies
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@agnesmonyoro2187
@agnesmonyoro2187 4 жыл бұрын
Keep up, you 'll be blessed .
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Be blessed too
@cellestinenyingi7033
@cellestinenyingi7033 4 жыл бұрын
Wow..... This is so sweet.
@SautiTamu
@SautiTamu 4 жыл бұрын
Thank you
@philip3184
@philip3184 4 жыл бұрын
The harmony is excellent!
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
BWANA UTUHURUMIE - MISA MT ANNA.--(FR. G. KAYETTA)
3:39
sherrif studio.
Рет қаралды 6 М.
Catholic misa #mix096  Best of  BWANA UTUHURUMIE Songs na Dj Wyma aka Babayao
32:10
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН