Рет қаралды 42
Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.
More from SBS Swahili: www.sbs.com.au...
#sbsswahili #swahili #sbsaudiopodcast