Kaka ww ni noma unajuwa mpira vibaya mno na hakuna mtu yoyote kwa hapa tanzania unaekufikiya wengi ni wanafiki2
@Charlesmagita2 сағат бұрын
umeongea point kaka ni kweli mimi mwenyewe yanga yangu sioni yanga robo final kabisa chuma cha mjerumani
@chazlaw673028 минут бұрын
Wee 2lia bhnaa .. kufungwa mara mbili napo kelele..😂😂
@florasele1934 сағат бұрын
Huyu ndo mchambuzi bora Africa mashariki na kati
@GOLDIANEDRICK-sm6xk42 минут бұрын
Kwa Hilo nakusaport kabisa Dube hawezi mfikia guede
@TheresiaFransic4 сағат бұрын
Kumekuchaaaaaa kumekucha 😂😂😂😂😂😂
@renatusbishanga83644 сағат бұрын
Wewe siyo Mwana soka una uchambuzi uchwala wewe ungekuwa kocha ungepangaje kikosi ili upate ushindi Unachezesha timu ukiwa na beki mmoja acha hiyo kazi unapotezea watu muda hata kama umetumwa siyo hivyo.
@jumakalaye2792Сағат бұрын
Proff afukuzwe tena jamani nyie wachambuzi!
@rexgodwill735357 минут бұрын
Mchambuzi wa yanga anayeisifia yanga tangu ligi ianze yanapomkuta 😂😂😂😂.. Nyinyi si ndiyo mnaisifia timu mbovu hamkujua mnaharibu kabisa 😅😅... Mara master Gamondi mara king pacome mara dube 😂😂.. Kiko wapi?
@josephgalandu12839 минут бұрын
Huyu jamaa anaongeaga kama mwenye mamlaka fulani kama Mungu,kumbe hakuna kitu
@comsmkemwa26713 сағат бұрын
Ambokile uwe na akiba ya maneno basi, kwa mara ya kwanza leo ndio nakusikia ukimbeza Gamondi na Yanga, maana umewahi kujimaliza kabisa kuhusu ubora wa Yanga kuwa haito drop.
@MarcusWigenge53 минут бұрын
Bacelona imefungwa ososuna napoli imefungwa na verona na atlalanta real madrid imefungwa na bacelona.Angalia timu zote zinazoongoza ligi ulaya zimefungwa kwa hiyo makocha wabovu 'SHIT'
@NtamamiloGibson3 сағат бұрын
Professor Gamond kawaje tena😂😂😂
@mrishotv55533 сағат бұрын
Huyu ni mchambuzi mzuri
@rexgodwill7353Сағат бұрын
Kikosi kikiwa kibovu hata umlete Messi au Ronaldo bado ataonekana si lolote Acheni kumlaumu aziz wakati timu yote mbovu
@mbaroukkhalfani924440 минут бұрын
Watu kama hawa wanaotoa maoni ya ovyo hawafai .
@DottoroboDotto4 сағат бұрын
Sasa kumechangamka😂😂😂😂😂😂😂😂
@kitovasaidi6753Сағат бұрын
Kuna vitu havina maana kocha anapimwa kwa matokeo mengine ni nje tabia na hulka ya mtu usijumuishe tabia na mchezo sasa kikosi Cha kwanza ni kipi na kisicho Cha kwanza ni kipi? Kujilinda haikuwa na tatizo imelinda vyema ufungaji ndio tatizo usizungunze ili mradi unazungumza
@josephgalandu12838 минут бұрын
Ikifanya vizuti baada hapo utasemaje???
@yuzoooyuso5834 сағат бұрын
Yanga mbovu hata mkitukana haisaidiii pia acheni uchawi kuloga mmezidi kuliko kufanya mazoezi
@christianjohnmwalugaja80903 сағат бұрын
Anachosema Ambokile ni sahihi kabisa. Yaani ni kweli kabisa Gamondi amepaliwa hajui kikosi cha kwanza. Binafsi mimi ni mwanachama wa Yanga mpenzi na shabiki kindaki ndaki wa Yanga. Naomba uongozi wa Yanga wamfungashie virago haraka sana. Gamondi ana kiburi yeye ndiye yeye. Hata alivyo mfukuza mmoja wa wasaidizi wake Gamondi ndiye naona kabisa alikuwa na makosa. Haiwezekani kuwachezesha Denis na Musonda pale hakuna kitu.
@MiziziMti2 сағат бұрын
Acha upuuzi wewe...mtu afukuzwe kwa kupoteza mechi mbili? Nani atamfunga simba mara nne mfululizo
@MiziziMti2 сағат бұрын
Ambokile wifu tu unakusumbua wewe humfikii gamondi hata robo...
@SaidiMohammedi-y4mСағат бұрын
Kwani wewe unafundisha timu gani Tanzania maana wachambuzi wajinga wajinga mko wengi wewe ni mjinga sana wakishinda mtasema yanga hatari uyooo
@HABIBHASSAN-wf5mr2 сағат бұрын
HUYU SASA AMESHINDWA UCHAMBUZI ANAANZA KUROPOKA KTK TIMU HAYO MAMBO NI YA KAWAIDA SANA KWENYE SOKA...HATA MAN CITY KAPIGWA MALA MBILI INA MAANA KOCHA NI MBOVU ?
We mwandishi hujuwi ethics Yako kama mwandishi unauliza maswala ya mobeto na Aziz yaan maswala ya utani unaleta kwenye professional,Kwan ktk Hali ya kawaida unafkili ni kweli mobeto na Aziz wapo couple?
@awiloligola76745 сағат бұрын
😂😂😂 KUMEANZA KUCHANGAMKA 🎉
@johnvedastus30792 сағат бұрын
Huyu mchambuzi wa calibre gani? Uchambuzi wa kwenda na upepo, Gamondi ndiyo huyo huyo alitwaa ubingwa leo wewe unabwabwaja tu. Wabongo tunapenda kuhubiri shari kuliko uhalisia wa jambo. Wewe mbona unacho kiburi tu.
@VeronicaAdam-lx8yd2 сағат бұрын
@@johnvedastus3079😂😂😂😂
@calistgwaydamuy8813Минут бұрын
Wew si ulisema yanga Wana wachezaji wenye quality??? Sas leo unaongea nin?
@BakariHassan-b1k58 минут бұрын
kwani wewe kinacho kuuma ni ni au ndiye unae lipa misha hara kwenda zakouko wakati time ime poteza njote mta kuwa hawafai ila ikianza kupata njote mta sifia
@johnvedastus30792 сағат бұрын
Anzisha timu yako halafu tuone, msituletee vurugu, hata ulaya tunaona timu kubwa zinashindwa tu.
@hassanabdala73834 сағат бұрын
Kwakweli wachambuzi wa Masindano fc ni wanafiki c ndio huwa walikua wakishinda kuisifia Yanga na Gamondi na kuiponda Simba mda wameona bahasha zitakatika wameanza porojo
@DandiGadafi4 сағат бұрын
awa wachambuzi wanakwenda na upepo shenz kabisa😂😂
@JosephChrisant4 сағат бұрын
Bahasha gani?. Unaleta mpira wa kwenye kahawa hapa wakati wenzio wako kwenye mpira wa uwekezaji na sayansi!.
@JumaKelema-s1h3 сағат бұрын
Wachambuzi ni rangi ya kinyonga
@anithawidambe75434 сағат бұрын
UPO SAHIHI SANA TENA KIBU D WALIMTAMANI SANA
@susumantalanta85055 сағат бұрын
Huyu boya hajui sanaa ya ball
@renatusbishanga83644 сағат бұрын
Wewe uache kazi unaonekana Una unazi na Simba.
@anithawidambe75433 сағат бұрын
SIMBA ITAKUWA BINGWA KWA UWEZO WA MUNGU
@amosyjohn31203 сағат бұрын
Mungu ibark young africans iwe bigwa 2024/2025
@renatusbishanga83644 сағат бұрын
Omba ukocha wewe maana inaonekana hiyo kazi ya uchambuzi bado una uwezo nayo.
@FilbertKalembe-fy4oq4 сағат бұрын
Siyo mashaka yanga mbovu kabisa nikwenda kukamilisha ratiba tu
@wilfredmajigo337654 минут бұрын
Umetumwaaaaaa acha unaaaaa
@hassanramadhani148136 минут бұрын
Huyu kweli mnaaa
@Saningolaizer-nt1fz3 сағат бұрын
Nyie wazenge
@jumakibasame32104 сағат бұрын
Hawa wachambuzi fuata upepo, wapiga ramri,
@FilbertKalembe-fy4oq5 сағат бұрын
Wanaokoment hawa achanao hawajui yanga inavyo potea we acha tu tupoteane
@MirajiIssa-sl2li4 сағат бұрын
Wee simba tu boya tu, mpira hujui fara wew, hao majeruhi huwaon??
@lumistarboy849946 минут бұрын
Ujengi kwa matusi ni kweli tumeumia ila matusi ayasaidii Aya ni maoni yake na wew una Yako
@peterchalamila61983 сағат бұрын
Unahoji maswali ambayo umelipwa dogo
@longinomartin60624 сағат бұрын
wewe Ambokilee uchambuzi wako huo needa yanga kampa ushauri wa kitaramu zaidi
@mrishotv55533 сағат бұрын
Eti kujipigia
@BakariHassan-b1k56 минут бұрын
Njinji mahanisi timu mabeki wote hawapo ujinga wako nenda uko kafirwe
@esaworldveg16073 сағат бұрын
Kwenda weeeeeeeee, kazi ya kubadili upepo tuu kadiri ya matokeo mshamba mkubwaaa nyie ndio walee ambao hamna sapoti na timu zenu mguu ndani mguu njeee kaikoch wewe timu tuoneee utaifikisha wapiiiiiiiii
@peterchalamila61983 сағат бұрын
Wewe ni mlopokaji tu katafute fimu yako ukaifundishe gtuachie timu yet.
@matuzyashadrack648524 минут бұрын
Toa ujinga wako kamfukuze mkeo!
@mussamaduka61583 сағат бұрын
mjinga wewe tusingefungwa wewe ni mlopokaji tu
@ibrahimsadick61374 сағат бұрын
Mimi ni mwana Yanga ila tukubali timu ni mbovu
@marcynhumbi35344 сағат бұрын
Yaan Kocha ndio tatizo anavipenzi vyake kibwana tatizo lake ni Nini? Na Kwa nabi alikuwa anacheza vizuri tu
@JosephChrisant3 сағат бұрын
Yanga ni mbovu ukilinganisha na timu gani? Au unalinganisha bora wa Yanga kwa ubora Yanga hiyohiyo?.
@HappyBarnOwl-ug5kt2 сағат бұрын
Kolo bwana
@ibrahimsadick6137Сағат бұрын
@@marcynhumbi3534 hakika ila idars ya ushambuliaji pia waongeze bidii
@TheresiaFransic4 сағат бұрын
Kwel kak zam yao kutimua makoch
@boniphacemasangwa4 сағат бұрын
Kama wewe sio mwanayanga kaa kimya
@VailetyMoses4 сағат бұрын
Pumbavu wewe
@faqueabdala40994 сағат бұрын
Mimi ni mwana yanga wewe unaongea ukweli
@renatusbishanga83644 сағат бұрын
Kwa lipi ukweli Upi
@renatusbishanga83644 сағат бұрын
Kocha ana kosa lolote uwezi kwenda kufanya kikao wakati ukiwa na asira ya kufungwa.
Unaaibisha wachambuzi wa mpira katika nchi hii huna jipya wewe.
@christianjohnmwalugaja80903 сағат бұрын
Yaani anachosema Ambokile ni sahihi kabisa Gamondi huyu Kocha sijui uongozi walimtoa wapi. Yaani Hana nidhamu kwa uongozi. Wanakwita unakataa wito kwani kufika tu na kuzungumza kwa upole kulikuwa na tatizo gani? Nakuomba sana Rais wangu wa Yanga Eng. Hersi chukua maamuzi magumu. Ushauri huu wa Ambokile ni muhimu sana2.