Рет қаралды 4,693
Kama unaitaji kucheza seben guitar rhythm and solo guitar kwa urahisi usikose kutazama hii video from mwanzo hadi mwisho.
Somo hili liko kwenye key D#major our progression ni 1 4 1 5 tena usisahahu ku subscribe kama huja fanya tena ku like na share ili masomo ikawafikie marafiki na kuwasaidia ili wapate kucheza guitar kwaurahisi. asante sana tunaitaji comment yako hapo chini ili turekebishe ama tuongezee chenye utasema mtazamaji bye bye.