Naona Simba tumepigwa......Banda hamfikii miquisonne hata nusu daaaah😭😭
@nikolaushamis82963 жыл бұрын
Hatal Sana kwakua tnandoto yakubeba klabu bingwa tunge mubakiza Luis Mana nimchezaji bola kwa simba
@veronikadalali72513 жыл бұрын
Aaaaaash' mtamsahau Konde boy
@kacherosimba57623 жыл бұрын
Baada yaku sajiliwa leo nime kuja kumuangalia lakini kumpata mtu kama konde boy hakuna tena jamani dah tuta pata tabu sana 😥😥😥😥😥
@allymwakibinga4423 жыл бұрын
Banda tumpe muda anaweza kuipambania Timu ya Simba na tukafika mbali pia
@ramadhanmalala72933 жыл бұрын
Umuhim WA mtu hauzibwi na mtu mwingine
@mariapialakanje34463 жыл бұрын
Dah jmn hiii Tz ni rahaa sanaaas Tz hizo pasi jmni hadi raha unakuta ukitamani wapaziane tu psi mpk kwenye goli duhuuu
@cosmasmachia52693 жыл бұрын
Namuangalia peter banda hapa
@rehemafundisha58293 жыл бұрын
Huyu banda ni kifaa ww
@mariapialakanje34463 жыл бұрын
Dah mpaka mpenja imebidi atukane duhuuu ila Jmn Tz mnacheza vizuri mpaka Rahaa,utazanishia ni Simba tu iko uwanjani daah
@ezekielandirea8683 жыл бұрын
😂😂😂😂we simba damu damu
@walterkasimila723 жыл бұрын
Jamni peter banda ni mchezaji mzur tyu anavyoonekana me nadhani tusubiri simba day
@aliybakar1103 жыл бұрын
Kwan simba day nilini ?
@oscarkanenge60153 жыл бұрын
Shabani lamadha
@afterfull-time13483 жыл бұрын
Wanacheza kama simbaa
@agensimwakalukwa39513 жыл бұрын
Banda motoo
@doreenemanuel12183 жыл бұрын
Hooooooooooopl
@emanuelkamaghe26473 жыл бұрын
Banda kweli ni mashine
@haridshaban27163 жыл бұрын
Tena mashene haswaaaaaà
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
Banda 10 ndio sawa na konde boy
@duliduli52103 жыл бұрын
😆😆 kweli kk
@Samirane-b7m3 ай бұрын
Kkkkkkkk🎉😂🎉😂😢😂
@afrinmlungilo95793 жыл бұрын
oy mbona banda wakawaida jamani
@eyasitiayubu62713 жыл бұрын
Mbona banda simuoni au hayumo
@zakarialusambo42993 жыл бұрын
Acha usenge wwe utopolo
@michaelchirwa91383 жыл бұрын
Malawi inajuwa mpila bhana
@alhaddadygamazy70233 жыл бұрын
Ila ndo washalala
@selector7283 жыл бұрын
Mpira sio mpila 🚮
@calvinmcharo98073 жыл бұрын
Chibanda we're looking for you...
@madahamakoye27233 жыл бұрын
Jaman Simba 2mepigwa kwa pita banda
@official_phay7202 жыл бұрын
Unajuw mpira ww
@cabowabo47393 жыл бұрын
sidhan kama hii mech ni sahihi kumuangalia huyu Banda.. maana malaw wenyewe aanacheza sana eneo lap inaonekana wanataka kucheza mpira wa kuwavuta taifa star wakimbize anyway huyu dogo inaonekana ana displine ya mpira.. anapokea anatoa anatafuta nafasi.. sema kwenyw ubishi na mbio kama za mikson hana kabisa.. sio mchezaji wa kumfanye beki asipande mbele
@vumiliasimanamagu42293 жыл бұрын
Kwa Malawi bora chimwemwe kwa Banda Simba wameingia mkengeeee