SEGERE | FILAMU | GABO {PART 4} YA MWISHO

  Рет қаралды 46,987

Kiatu Films

Kiatu Films

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@Uwamahoro-fefe.15
@Uwamahoro-fefe.15 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kweli unaweza Allah akuwekee wepesi inshaAllah
@sh4138
@sh4138 Жыл бұрын
Asante story nzuri sana,walio fatiliya kwamakini mkapata mafunzo nipeni lnk,🥛🥛nazawadi zake djy🍩🍩
@Kiatufilms
@Kiatufilms Жыл бұрын
Shukran sana
@GiftyMkubwa
@GiftyMkubwa Жыл бұрын
Mungu awabariki Sana na hakika mungu hakawii wala hachelewi atatujibu tu katika hili
@ancillarneema
@ancillarneema Жыл бұрын
Gabo mungu akubariki kwa kazi ya mikono yko kaka❤❤
@asiaabedi7115
@asiaabedi7115 Жыл бұрын
Sambaaa cheee njooni Apa jamani 😂😂😂😂😂😂😂
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 Жыл бұрын
Tatizo la gabo ni moja anajua kuanza movie na kumaliza movie, hongera mkuu
@KarimAbdallah-ee1nc
@KarimAbdallah-ee1nc Жыл бұрын
❤ gabo kaka kwan hapa ndy mwisho wa move hau inaendelea
@soulegadaffy3615
@soulegadaffy3615 Жыл бұрын
💥💥💥💯💯💯💥💥💥💥 Kaz Nzur walai Mola awajalie nyote InshaAllah
@mr_mkey_artist
@mr_mkey_artist Жыл бұрын
Kwakweli movie ni nzuri sana nimeikubali
@alhmdulilah1187
@alhmdulilah1187 Жыл бұрын
Sawasawa kbs kuusu Tanganyika
@فطومفاطمه-ش2و
@فطومفاطمه-ش2و Жыл бұрын
Wow!! Yani Gabo hadi raha mob ❤from Kenya unaweza mpaka unaweza tena
@inclyrics4384
@inclyrics4384 Жыл бұрын
Aiseeeeeeee nimeipenda sanaaaaaa
@oceanlove6691
@oceanlove6691 Жыл бұрын
Nimeifuatiria hii movie nikali sana thanks gabo
@rejobu9723
@rejobu9723 Жыл бұрын
Hakika yapo mengi ya kujifunza m/mungu akubariki sana kwa kazi nzuri na yenye mafunzo!
@HajerSaidAliAl-Nahwi
@HajerSaidAliAl-Nahwi Жыл бұрын
Kumbe gabo ww ni msambaa jaman
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Жыл бұрын
Kaz nzur sana kk dba...mungu ajaalie kaz zako kk
@hassnakhamis3489
@hassnakhamis3489 Жыл бұрын
From 🇦🇪 tupo sambamba mpaka mwisho🎉
@Adtyayash
@Adtyayash Жыл бұрын
Movie zina mafunzo sana hizi mkuu 🤝
@agatamsitu1121
@agatamsitu1121 Жыл бұрын
Najifunza kitu
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 6 ай бұрын
Gabo movie zako zinamafudzo🎉🎉
@nicogihehugue753
@nicogihehugue753 Жыл бұрын
Like zangu jmn wakwanza
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 Жыл бұрын
Gabo zigamba kazi nzuri na ya kuelimisha thumb up
@yohanagodfrey1119
@yohanagodfrey1119 8 ай бұрын
Umewaheshimisha watanga broo
@mutimajo
@mutimajo Жыл бұрын
Toka Burundi niko wa kwanz ✌️✌️✌️
@AbbyKoloko
@AbbyKoloko Жыл бұрын
Gabo unavitu ambavyo ni unique
@jaliamdoe2187
@jaliamdoe2187 Жыл бұрын
Yaan mtiambize Tate na mame mtiambize sana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Kwamoga huuwenda kicheko kwa shujaa kikawa kilio huyu mwenye pesa kenda kwa mapana kijijini kwai watu yashayo mkuta tajijutiya maishani mwake
@hamzaselemani9171
@hamzaselemani9171 Жыл бұрын
Safh Sana wote muliye shiriki
@StevenJohn-ff4fz
@StevenJohn-ff4fz Жыл бұрын
pongez kubwa sana kwako
@sh4138
@sh4138 Жыл бұрын
Duuu.. Prt 3 me sijaiona😊
@lamlajuma3296
@lamlajuma3296 Жыл бұрын
Shukrani kwa muvi mzuri tena yamafunzo
@JoanMponda
@JoanMponda Жыл бұрын
Unaweza gabo
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Jamani mwendelezo tuone itaishaje
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Fanya kweli
@rehemachedi6615
@rehemachedi6615 Жыл бұрын
Mash Allah is nice movie ❤️ is good 👍 👌
@massoudsuleiman-xv7hy
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
karibu mwesie kaya nyiangu
@mukadarmukadar7881
@mukadarmukadar7881 Жыл бұрын
Gabo nakukubali ❤❤❤❤❤❤
@HaiwaMwashiuya
@HaiwaMwashiuya Жыл бұрын
Ahsanteee......❤
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 Жыл бұрын
Watu mtiambizeee
@delimachesa5007
@delimachesa5007 Жыл бұрын
Tate miungu mtiambizeee ekana na iyo dua
@rosechizor
@rosechizor Жыл бұрын
Muendelezo tajir twasubili😊
@vanjizzle122
@vanjizzle122 Жыл бұрын
Hakika Muvii Hiii imekuja kusadifuuu yanayo endelea Ivii sasa katika nchi Yetu baina ya Serikali kutaka kuuza bandarii ya wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿 Hakika Gabo Kila siku unacho kicheza kinauhalisia katika maisha na maslahi mapana ya Taifa letu 🇹🇿
@abdurahmnsobo4810
@abdurahmnsobo4810 Жыл бұрын
Chifu angevaa kiasili angenoga zaid
@johnmshan4017
@johnmshan4017 Жыл бұрын
Nawakubali sana jamani❤❤
@AmeenaM-d2b
@AmeenaM-d2b Жыл бұрын
Kwakwei
@AmeenaM-d2b
@AmeenaM-d2b Жыл бұрын
Nizamkubali
@DickisonJames
@DickisonJames Жыл бұрын
Najua zime mfikia muhusika bila wasiwasi asant san
@EvalistoMwakalobo
@EvalistoMwakalobo 5 ай бұрын
Ila gabo anajua mpka anakela sion muigizaji kama gabo bongo nzima
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 Жыл бұрын
Nzur sana
@ibrahmseif-rx8yq
@ibrahmseif-rx8yq Жыл бұрын
Wa mwesho Leo naomba laki
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 Жыл бұрын
Sio laki bro ni like.
@Majeed_S.k_tv
@Majeed_S.k_tv Жыл бұрын
Nzur
@shaimaaabdallah9053
@shaimaaabdallah9053 Жыл бұрын
Nakukubali gabo❤
@delimachesa5007
@delimachesa5007 Жыл бұрын
Duuu mm ni msambaa ila nlikuwa sijui kuwa Tanganyika ni neno la kisambaa 😅
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 Жыл бұрын
Uzuri wa movie za Gabo unatazama mpaka mwisho
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
Maa shaa allah ❤❤
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Good job❤
@Kiatufilms
@Kiatufilms Жыл бұрын
Thank you very much!
@Mwana-z3j
@Mwana-z3j Жыл бұрын
Kumbe gabo ajua kisambaaa 😂😂😂
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 Жыл бұрын
Hivi gabo ni kabila gani
@Mwana-z3j
@Mwana-z3j Жыл бұрын
@@mwanaidathuman78 Sijajua ndugu
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Anaongea lugha nyingi zana uyu mwamba
@AmeenaM-d2b
@AmeenaM-d2b Жыл бұрын
Mpeni mauwa yake gabo
@massoudsuleiman-xv7hy
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
😂😂😂😂 gabo umeuwa umeuwa kabisa gabo niowe mke wa pili kumbe ukienda kwetu ckuteti gabo ni kweli wasamaa wana mungu ila mila hawaachi
@jaliamdoe2187
@jaliamdoe2187 Жыл бұрын
Nyumbani kwetu mazinde mtiambize Tate mtiambize 🤣
@azizaidd1998
@azizaidd1998 Жыл бұрын
😅😅😅😅😂nimecheka buana
@CasemiroCasemiro-uc3gn
@CasemiroCasemiro-uc3gn Жыл бұрын
👏👏👏
@MamajamesUkwamanigairotanzania
@MamajamesUkwamanigairotanzania Жыл бұрын
Wale wakilindi tujuane
@zainabufaidhi4799
@zainabufaidhi4799 Жыл бұрын
Leo Ina one kana itakuwa ndefu ngoja niangalie ila sija chelewa ana
@agatamsitu1121
@agatamsitu1121 Жыл бұрын
Pamoja
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 Жыл бұрын
Vp kuhusu arie kodisha bandar kita mkuta nini juya mizimu
@kisuwaroCR5858
@kisuwaroCR5858 Жыл бұрын
👊
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@hamzabagilente2118
@hamzabagilente2118 Жыл бұрын
Gd
@delimachesa5007
@delimachesa5007 Жыл бұрын
SHEBUGHE SHEMBEGHA
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz Жыл бұрын
Apo kwenye mtuambize kisambaa murua unaweza kwaky
@georgemchele8719
@georgemchele8719 Жыл бұрын
KWA MCHELE PICTURES
@JoelyMhagama
@JoelyMhagama Жыл бұрын
Hapa wewe uliye kodisha alizi utakiona chamtemakunii
@rosemarenga832
@rosemarenga832 Жыл бұрын
❤❤❤
@HaiwaMwashiuya
@HaiwaMwashiuya Жыл бұрын
Kwann mliki wa sasa anatuuza?? Kwan anajionaje??
@kandykuden6022
@kandykuden6022 Жыл бұрын
💪💪💪👌👌👌❤️❤️❤️❤️😘😘🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@henrypambisa5483
@henrypambisa5483 Жыл бұрын
Bandari
@johnmshan4017
@johnmshan4017 Жыл бұрын
Nawakubali sana jamani❤❤
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@barayansekerasikitusikitu6059
@barayansekerasikitusikitu6059 Жыл бұрын
❤❤❤
@rizikimlebinge796
@rizikimlebinge796 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
DIMBWI | FILAMU | MLELA, NIVA na TAIYA | PART {1}
13:43
Kiatu Films
Рет қаралды 28 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
DOKTA OKOSOVO MOVIE ( JUMA SHIBE, GABO ZIGAMBA & SELESTINE MWAKIO )
1:43:53
Sunshine (with English Subtitles)
1:37:16
Swahiliwood
Рет қаралды 117 М.
SECOND WIFE  II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie
1:21:24
Classic films tz
Рет қаралды 576 М.
TAUSI | FILAMU | MARIAM ISMAIL {PART 1}
32:38
Kiatu Films
Рет қаралды 39 М.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
YahStoneTown
Рет қаралды 143 М.
SEGERE | FILAMU | GABO ZIGAMBA {PART 1}
19:18
Kiatu Films
Рет қаралды 179 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН