SECOND WIFE II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie

  Рет қаралды 479,756

Classic films tz

Classic films tz

Күн бұрын

HEMEDY CHANDE NA M2 KATIKA FILAMU MOJA NANI MKALI ?
Channel Admistrator
Classic Films
Contacts +255759729100

Пікірлер: 459
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Ай бұрын
Nimejifunza ki2 Mungu awape uwezo muendelee kutuilimisha wema inaponza ila tufanye malipo ni kwake Allah
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 4 ай бұрын
Nani km Mungu, hakika akitaka kupa akuletei barua,, nimefurahi sanaa kumuona mtawala na Malik niliwamiss sanaa muda sijawaona.. thanks bro hemed chande kutuletea wao
@user-gu1lg2zr8s
@user-gu1lg2zr8s 3 ай бұрын
MashaAlla ina mafunzo ila swali langu ni, je aisha angekua na uwezo wa kupata mtoto angemruhusu mwenzie kuolewa na mumewe? Sio kweli, kikubwa amekubali mume kuoa kwa sababu ya faida yake pia, mwisho wa siku angeachika tu ila amefanya ili kuinusuru ndoa yake pia sio ati mwenzie apate stara, sio mbaya lakini, lakini sasa ameivuruga ndoa yake mwenyewe zaidi, angezidi kumuomba sana Allah kwa yakin ampe mtoto. Ikishindikana angemwachia mume mwenyewe atafte mke na wakae mbali mbali, isitoshe ulisahau kumshauri Allah kwa jambo lako, ulitakiwa kuswali sana kuhusu ili jambo... Hakuna na hakutowai kua na uke wenza mzuri 💯. Basi kama sio uchawi basi wivu. Sema afadhali wivu zaidi ya uchawi....
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 24 күн бұрын
Ulikuwa kwnye mawazo yngu
@EvaLucas-rc6qg
@EvaLucas-rc6qg 4 ай бұрын
Wapili jamani naombeni like 5 tu,,,,napenda kaz za hemed chande
@user-eo6jx6nq3v
@user-eo6jx6nq3v 4 ай бұрын
Muhtari mov zako nafatiria unaigiza vizur san
@AshaSuleiman-qf4qv
@AshaSuleiman-qf4qv 3 ай бұрын
1122221😅❤​@@user-eo6jx6nq3v😅
@user-bm1oe9lh1m
@user-bm1oe9lh1m 4 ай бұрын
Mashallah tabarkallahu fii ❤❤❤Ina mafunz mazuri n pia iko vzuri🎉❤❤much ❤from Kenya 🇰🇪
@user-bt9rb1id9m
@user-bt9rb1id9m 4 ай бұрын
Manshallah yani mr.hemed kiukweli hua nakukubali yani hii movei natamani iwe ma muendelezo wallah tena haah yani inafundisha jaman nimeipenda sana ❤❤❤
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u 4 ай бұрын
Yani mie namkubali sana hemedy namwenzake uyo daa wamependeza bala nyoote moivo icheza hii kislam kabisa namavazi yame wapendeza hatari
@user-rt3zu3iw3n
@user-rt3zu3iw3n 4 ай бұрын
Imenifunza hii inapaswa kuqngalia kwa umakin jamn mm ni mkrist lkn kun kit kikubwa nimejifunza aise hemed chand na tim nzima mungu awape maarifa zaid na zqid ❤❤❤
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 4 ай бұрын
Mashaallah mungu awazidishie vipaji nyote❤❤😊😊nimeipenda iyo movie🎉🎉hemed chande congratulations 🎊 👏 💐 🥳 tupo pamoja
@RayChausa
@RayChausa 4 ай бұрын
Ameen
@shabani6631
@shabani6631 4 ай бұрын
Namuona Shekh juma wa Islaah Allah Ampe umri mrefu
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo 4 ай бұрын
Mashaallah kazi nzuri sana hemedi mungu akuzidishie Imani na kipaji
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 ай бұрын
Maasha Allah Baraka Ya Allah Mloshiriki Bonge La Move Mungu Awazidishie Maendeleo Yenu Muweze Kufunza Watu Siko Zote Uwambiwa Aduhi Ya Mwanamke Ni Mwanamke Mwenziwe Leo Nimeamini
@UbumwemediaSevenTv
@UbumwemediaSevenTv 4 ай бұрын
nimekawa ila wapendwa wa bongo movies naombebi like
@alinyamawi2968
@alinyamawi2968 4 ай бұрын
Maa shaa Allah yaan nmefurahi mwanzo mwisho kazi maridadi kabisa
@hidayyahalhabshy4622
@hidayyahalhabshy4622 4 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah mabrook Alf mabrook nmeipenda Mashaallah hemed igiza movie hizi nzur mafunzo Alhamdulilah ina stara waeza angalia na watoto mashaallah shukran kwa ukumbusho
@user-pv5xn6vc1w
@user-pv5xn6vc1w 4 ай бұрын
MashaAllah Tabarakallah mafunzo mema kabisa ila shida ya ukewenza naiyogopa sana wampokeya mwenzio vizuri baadaye yakurudia mwenyewe
@shaabanmakame9162
@shaabanmakame9162 4 ай бұрын
Hemed chande namkubali sana ila Leo nimkosoe kidogo t kwenye kivazi alicho vaaa kanzu ukivaa uvae suruali yake la km hauna suruali basi uvaae nguo ambayo haitaonekana chini siwe ndefu
@user-ky7mq5pm7h
@user-ky7mq5pm7h 4 ай бұрын
Mashalla move imeweza xn mungu awazidishie maisha marefu tuzidi kupata nyengine zaidi
@user-cr6mn4ks5f
@user-cr6mn4ks5f 4 ай бұрын
Masha allah hizi ndio movie zamafunzo tunazopenda❤❤🎉
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 4 ай бұрын
Nikweli sana❤🎉
@user-jn8wk9il8j
@user-jn8wk9il8j 4 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
@anitawilson857
@anitawilson857 Ай бұрын
Kweli❤❤
@user-ru2ky5jz8w
@user-ru2ky5jz8w 4 ай бұрын
Aisha nakupenda sana. Uko mwana Mke muzli sana. Hemed. Unaceza vizuli sana narafiki yako. Angecoka kwa maneno unge mwambia alakini hawezi kukuaca
@mayatione6
@mayatione6 2 ай бұрын
Mashallah move nzur na unamafundisho mea ya dini ya kiislam.Allah ataline wanawake wote wa kiislam tuwe na moyo mzur mwema kama bi Aysha ameen.kazi nzur sana sana
@AhmedAhmedkhalfan-vl8ci
@AhmedAhmedkhalfan-vl8ci 4 ай бұрын
Kama unamkuba hemed chande gonga like
@NfalumeRachide
@NfalumeRachide 4 ай бұрын
Assalama alekom
@user-tk6fe6ve6z
@user-tk6fe6ve6z 4 ай бұрын
Tuletee movie mpya sai bna
@user-cw1zc9vr1t
@user-cw1zc9vr1t 4 ай бұрын
Wakwanz mm namkubali Sana chande
@user-zb6zk1mr5t
@user-zb6zk1mr5t 4 ай бұрын
Jee uhalisia anaweza kutokezea mwanamke kama Asha
@user-xt9wk7nh8y
@user-xt9wk7nh8y 4 ай бұрын
Gh​@@NfalumeRachide
@Fauziabeja-uy8ty
@Fauziabeja-uy8ty 4 ай бұрын
Mashaallah movie nzuri Sana Na yenye mafunzo.hakika mwenyezi mungu hatupo mja wake.
@haleemahhamisi2534
@haleemahhamisi2534 4 ай бұрын
Chande amecheka sana mwisho mashaallh mungu awaongoze team chandw🎉🎉❤❤
@SAKINAJUMA-ey8qd
@SAKINAJUMA-ey8qd Ай бұрын
Leo nimekomenti, umeua yaani mmeonyesha maadiri ya hali ya juuu❤❤❤❤
@umumuhammad1352
@umumuhammad1352 4 ай бұрын
Mashallah film nzuri ya maadili mazuri,hizi ndo Zina mafunzo mazuri zinazofaa
@JamilaJumanne-rc8hk
@JamilaJumanne-rc8hk Ай бұрын
Masha Allah movie nzuri sana I wish ingekuwa na part two tukaona maisha yangekuwaje baada ya misuko suko hii,, baada ya kujifungua,,
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq 2 ай бұрын
Malik Mbna ujaoa 😂😂, oa na ww nije harusi , Mbna ww uowi waambia wenzako tu 😂😂😂😂, we pia ushakua baba tafuta jiko n ww ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉
@Ruth-cm7wr
@Ruth-cm7wr 4 ай бұрын
Mashallah what a wonderful filam 👌 guys you're so special to us ❤ Big love
@DenisPeter-bb3qz
@DenisPeter-bb3qz 4 ай бұрын
HEMED unafundisha meng San 💯💯💯💯 so weka mwendelezo wa series ya jesca
@user-bo6ol6mw3p
@user-bo6ol6mw3p 4 ай бұрын
Maaashalaa kazi nzuri san
@HellenMwanzuga
@HellenMwanzuga 4 ай бұрын
I like your video uko mzuri kaka hemed❤
@user-fr4lj7jw9g
@user-fr4lj7jw9g 4 ай бұрын
Nyie uyu jamaa Yuko sawa kweli🙏weekeni likes zenu hapa kama mnakubali hemed
@DonnaLareine-lm3ks
@DonnaLareine-lm3ks 4 ай бұрын
Mashallah iyi movie mmeicheza vzr pia umetumiy ubunifu mkubwa big up brother umeupiga mwingi ❤❤❤❤❤
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 3 ай бұрын
Wallah mwenyez mungu ajaallie iwe nisehemu ya mema yenu mmewekeza katika kher kizaz na kizaz kitajifunza
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 4 ай бұрын
Huyu Mdada w hapa kw Muktar MBONA amevaa Rozal thn anasema anaswal Kivip inashndkana kuwa na uhalisiaaa
@FiridausRashidi
@FiridausRashidi 4 ай бұрын
Mashallah medi umewaza nn kutoa movies nzuri sna yani
@kidydee5044
@kidydee5044 4 ай бұрын
Mimi namkubali sana nikiwa kenya mombasa bamburi mbona mimi nafatilia movie zake sana Mungu akuzidishie broo🔥🔥🔥
@vkivurugecomedy1496
@vkivurugecomedy1496 4 ай бұрын
Hongereni sana aseee mnajua sana hadi mnakera
@shemutigang
@shemutigang 4 ай бұрын
Hongera kaka piga KAZI Allah akusimami🎉🎉🎉
@user-qh9jj5xz3p
@user-qh9jj5xz3p 4 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah huu ndio uislam 🎉🎉🎉❤❤❤
@user-cj3zw6rj9o
@user-cj3zw6rj9o 4 ай бұрын
Chande hiz move za kiislamu zinakupendeza Sana mashallah
@user-gu1lg2zr8s
@user-gu1lg2zr8s 3 ай бұрын
Mbona hio kahawa kwenye kikombe kikubwa mno.. Sijamalizia kuangalia lakini uyu aisha maskini hajui akishaolewa mwenzie lazima uwivu utamu ingia tu, Acha nifatilie nione mwisho wake.... Wamjua sabra kwa mambo mengine ila sio kwa kushare mume.. Kheir insha'Allah Acha nitizame mpaka mwisho
@user-dw7nd7ri5y
@user-dw7nd7ri5y 4 ай бұрын
M2 Masha Allah umenenepa mpaka umebadilika sura
@HuseniSabiti
@HuseniSabiti 4 ай бұрын
Fupi tamu. Asanteni wake wenza. Asante shekhe
@Josphinasebast-mf7ld
@Josphinasebast-mf7ld 4 ай бұрын
wanaokubali mv za hemed zote gonga like hapo tujuane jmn
@Anita-b4s
@Anita-b4s 17 күн бұрын
❤🎉jamani ndugu zangu mnafanya kazi zenu vizuli naomba kujiunga nanyie
@user-kx9jk6uc9o
@user-kx9jk6uc9o 4 ай бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie movies zko.
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 4 ай бұрын
Dada Aisha Hongera kwa Huruma Yako Allah wadada wakiolewa wa pilii Ndio zao kutia Dawa,, kwa chakula wapendwe wao wakasahau Wema Wako Ulio ufanya kabla
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Wakwe wakubwa mara nying sana ndo wanakua wakorofi, itokezee kweli kweli wake wadogo kua wakorofi sio sana yaani.
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 4 ай бұрын
Mashaallh ❤🎉🎉 hongera sana kaka kwa kazi nzuri
@hussainalajmi5511
@hussainalajmi5511 4 ай бұрын
Michezo yote nangaliya ila hii nimependa mar x 100000000000 inamafunzo haswa❤
@MwanakombomohammedKimbonja
@MwanakombomohammedKimbonja 4 ай бұрын
Kweli mwanamke mpuuzi huvunja ndoa yake kwa mikono yake na marafikri tu ❤❤❤😊
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 ай бұрын
Masha Allah hongereni sana kwa kazini nzuri 🎉🎉😊😊
@josephdeogratius4921
@josephdeogratius4921 4 ай бұрын
Huyu Aisha amenikosha sana asee Mashaallah ❤❤❤❤
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 4 ай бұрын
Nime kubali kazi lkn pongez kwa b Aysha love u❤❤
@user-ot1ym4fy5o
@user-ot1ym4fy5o 4 ай бұрын
Mashaallah Hemedy Jazanda 😂 Allah akuzidishie umaarufu wampangilio wa filamu zako zaburudisha nakuelimisha pia,marafiki tuchangue jamani mabanati
@vickydan2869
@vickydan2869 4 ай бұрын
Sema waigizaji wahiii movie wote wameiva❤❤
@user-zv8ru1pq5z
@user-zv8ru1pq5z 4 ай бұрын
Kwakwelii mov zako nazikubali 🥰😘👍
@Mwanapili-p5q
@Mwanapili-p5q 14 күн бұрын
Wallai Aisha hongera mamaa umeweza mashaallah but ingelikua kwel usingekubali mm mwenyewe siwez hata kidogo much love your movies Hemeby chande big up broo kama wakubali movie zake nipe likes baxi jamn 😢😅😅😅😅
@SofiaRashid-cc9mh
@SofiaRashid-cc9mh 4 ай бұрын
Tanzania wote wange igiza ivi wakiwa kwenye sitar raha san mungu angetujalia kila kit
@user-tf7bp5fd2r
@user-tf7bp5fd2r 4 ай бұрын
Mashaallah mungu awazidishie
@mishimwazabe
@mishimwazabe 3 ай бұрын
MASHAALLAH movie nzuri yenye mafunzo,from KENYA Haki Team Hemed mko Vzr❤
@AnasaAthuman
@AnasaAthuman 4 ай бұрын
Mashallah movie zako nazipenda sana
@thumalove1886
@thumalove1886 4 ай бұрын
Nimeipenda ina mafunzo bt hapo pakuishi nyumba moja wakewenza mm hapana bora kila mmoja hawe na kwake😂😂😂
@LisztharaldLizzy
@LisztharaldLizzy 4 ай бұрын
Me nitaua 😂😂😂
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 ай бұрын
💯💯💯💯
@emmanuelmachiya034
@emmanuelmachiya034 4 ай бұрын
one love nakubar sana movie zako sema unaachelewa sana kuwekaa kazi
@everlinekenga437
@everlinekenga437 4 ай бұрын
Mashallah movie nzur❤❤❤
@SadaMohamed-xl9rc
@SadaMohamed-xl9rc 4 ай бұрын
Mashaallah movie nzur sana na ina mafunzo
@SaidCharo-tm5tp
@SaidCharo-tm5tp 4 ай бұрын
Masha Allah! Movie yko nzuri sana
@user-lt4db8df6e
@user-lt4db8df6e 4 ай бұрын
Mashaa AllAh nmependa hiyo Aisha
@FatumaMwavyema-sv8ro
@FatumaMwavyema-sv8ro 4 ай бұрын
MashaAllah movie nzuri sana ❤❤🎉🎉🎉
@saidshatta827
@saidshatta827 4 ай бұрын
Mashallah Allah azid kukupa akili hii hii nduguu yaangu❤❤
@user-so1pr6hi7v
@user-so1pr6hi7v 4 ай бұрын
Una baya chande🎉🎉🎉
@MyMobile-ee6iv
@MyMobile-ee6iv 4 ай бұрын
Mashallah, ji funzo kwa wanawake ambao wanakta tamaa ya kupt mtoto,mungu ndo kila kitu ,akitaka kupa hakuandikii barua ,ukup kwa wakt wake, kikubwa tuwe na iman , inshallah kher nice move
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 4 ай бұрын
Na masha Allah amenenepa
@fathmarama
@fathmarama 4 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤ i like this movie
@user-wo7ry8id3r
@user-wo7ry8id3r 4 ай бұрын
Marshall ah...napenda video zako...keep it up
@user-gq8xd2bx9l
@user-gq8xd2bx9l 4 ай бұрын
MashaAllah ❤🎉 hongerani sana
@AnnaMandia-fw1lt
@AnnaMandia-fw1lt 4 ай бұрын
Nampendaa sanaa na kazi zakee❤❤❤
@esterhenry3328
@esterhenry3328 4 ай бұрын
Siwezi kukuacha hemed Chande ulio nipo✌️✌️
@KajenezaAboubacaruthaimin
@KajenezaAboubacaruthaimin 4 ай бұрын
Masha allah mnanifurahisha sana
@HalimaSharif-yw6xw
@HalimaSharif-yw6xw 4 ай бұрын
جزاكم الله خير
@JodaJoda-vb1zi
@JodaJoda-vb1zi 4 ай бұрын
Much love❤❤ movie keep it up
@user-ru2ky5jz8w
@user-ru2ky5jz8w 4 ай бұрын
Malik. Nakubali sana
@UmukunziRamura-ur9zc
@UmukunziRamura-ur9zc 4 ай бұрын
Yaa Allah nimecherewa Walla ❤❤I was missing you
@rayaali9082
@rayaali9082 4 ай бұрын
Masha Allah hongereni sana
@MaryMahenzoKazungu
@MaryMahenzoKazungu 4 ай бұрын
Somo zuri hongera❤️❤️
@user-ps7fr9sq6m
@user-ps7fr9sq6m 4 ай бұрын
Mashaallah bi aisha yuko vizur❤
@user-fe8od1uw4j
@user-fe8od1uw4j 4 ай бұрын
Maashaa allah kazi nzur 🤲🤲
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah nmelia kwa fyraha somo yangu amepitia wakati mgumu ila.allah kareem kaleta rehma zake 😢❤jamani wanawake tuacheni shirki ukimkuta mwenzio kaolewa wa kwanza mpende mpe heshma zake😢 aisha nakupnda sna❤💖😍😘🌹 Allah azidi kukulinda huko ulio somo yangu 🙏hongera hemed n malik mumejuwa kuigiza filamu nzuri sana ina madili mema❤🎉🎉🎉🎉
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 4 ай бұрын
Wow mashallah mashallah Allah awajalie kla la kher inshallah ❤❤❤❤
@user-vp4yf4gx5w
@user-vp4yf4gx5w 4 ай бұрын
production 100% Quality and director yuko powa sana
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 4 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤
@EsterSaidi-gx3xo
@EsterSaidi-gx3xo 4 ай бұрын
Good movie ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c 4 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@user-og6jy1lq7w
@user-og6jy1lq7w 3 ай бұрын
Nili fikiria sana mlipo angalia hii filamu kwani so kila mtu ni wa kumuamini tu ktk ushauri si kwa wanawake wala wanaume kwani unae mzania sie kumbe ndie mwenye muelekeo kwako na unae mzania ndie ndie anae waza kuku didimiza cha umuhimu ni kuwa‼️🇹🇿..
@1czay
@1czay 4 ай бұрын
To much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤🎉🎉🎉
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 4 ай бұрын
Hongeren sana ❤❤❤
@user-dw7wq9wm4z
@user-dw7wq9wm4z 4 ай бұрын
Waliopenda kicheko cha hemedi twende pamoja😂😂😂😂
@aminakatana8721
@aminakatana8721 4 ай бұрын
❤love sana from kenyan
@ashamohammed3827
@ashamohammed3827 4 ай бұрын
MashaAllah
@hanaphMsagati
@hanaphMsagati 4 ай бұрын
Mashaalah. nami Allah anijaalie mke mwema ❤
@user-uz3nu3pc4i
@user-uz3nu3pc4i 4 ай бұрын
inshaallah utampata 2
@hanaphMsagati
@hanaphMsagati 4 ай бұрын
yeah natumaini hivyo
@FatmaSalim-dl7fe
@FatmaSalim-dl7fe 4 ай бұрын
In'Shaa'Allah hiyo duaa kwetu sote.
@muniraramadhani1557
@muniraramadhani1557 4 ай бұрын
Nipo hapa
@hanaphMsagati
@hanaphMsagati 4 ай бұрын
@@FatmaSalim-dl7fe sawa
@athmankhatibu7976
@athmankhatibu7976 2 ай бұрын
Himv imetoka clear beautiful
@RukhaiyaNassir
@RukhaiyaNassir 4 ай бұрын
Asanteee chande
ANITHA FULL  MOVIE / HEMEDY CHANDE
1:37:47
Classic films tz
Рет қаралды 159 М.
NEW TAHARUKI SEHEMU YA 1.   ENGLISH SUBTITLES
15:00
Classic films tz
Рет қаралды 115 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
SIKUJUA (Swahili Feature Film) - FULL MOVIE
1:05:49
Mararu Film Production
Рет қаралды 85 М.
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💕💕 NA WAKE WENZA PART 1-5 love story
1:00:14
Jacob Stephen & Jackline Wolper  & Aunt Ezekiel, | SIGNATURE 1 |
1:24:11
Bongo Cinema
Рет қаралды 1,5 МЛН
SHAHADA PART 1 FULL MOVIE (bongo movie) islamic movie
49:51
Sinema za kwetu
Рет қаралды 128 М.
PERFECT WOMAN
1:14:25
hemedy chande TV
Рет қаралды 310 М.
FAKE LOVE 1 Chande Full Movie
1:11:10
Taswira Media
Рет қаралды 93 М.
TAHARUKI II MKOJANI VS HEMED CHANDE II (EP 01)
24:12
Classic films tz
Рет қаралды 247 М.
PLAY BOYS  ( TATTOO )  HEMEDY CHANDE / TONNY TATTOO / M2
1:32:51
Classic films tz
Рет қаралды 353 М.
MZEE  WA  SWAGA 1//JB/WASTARA JUMA/THEA/WELU SENGO/CASIE KABWITA
1:04:48
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН