Maelezo Ya Sheikh Abdallah Humayd Allah Amhifadhi yamenukuliwa Miaka 9 ya nyuma.
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
Naona una hasira sana na masalafy ungekwenda kwa mashekh wako ukawaambia wasome vitabu vya shkh najmy... @@GOP-Abdallah
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
Masalafy wanaofuatilia mambo wanaelewa kwa nini kumetajwa miaka.... endeleeni masalafy kutuelimisha.
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
@@GOP-Abdallah wewe fuatilia clip na matukio ya fitna katika daawa ambayo ulamaa wetu wa kisalafy wameweka wazi utaelewa.... lakini ukibaki kwa hao wapingaji wa ruduud utabaki mzubao...
@mustaphakawanda41387 ай бұрын
@@GOP-Abdallahfaida ya kueleza kua miaka 9 iliopita nikujulisha umma kuwa haki zimebainishwa mudamrefu ispokua watu wabidaa hawasomi nukuu so before hawaja ongea tayar nasaha zimeshawatangulia!! MUSIJE MUKAONA MASHEKH WAKISALAFI WANAPOTEZA MUDA KUWAJIBU UTOPOLO WENU,! LAA ZAMANI WALISHA BAINISHIWA HAKI.
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص ni usuliddini? Kusoma vitabu vya shekh njm
@amenakenya79936 ай бұрын
BarakAllah fiyk sheikh wetu Abdallah humedi Allah akuifadhi na akulinde na kila shari na awajalie umri tuweze kufaidika Allahuma Amiyn
@ahmedkibet7 ай бұрын
Infact nyinyi ndo mahizbi kwa sababu mmejiekea uhizbi yaani kikuundi mkatengeza kama chama fulani Allah awaongozee
@makhanguwakhutu24087 ай бұрын
Ni kweli hao ndio hizib lakini wajua nyani haoni lakwake
@AbdallahMgomba-ts2ge7 ай бұрын
Da'awa hi ni mwiba wa,Koo kwa waislamu wote wenye uislamu wa mazoea
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
Naaam kabisaa wengi tulikua mahzbi wakianswar ila tumeona hakuna haqq tumejikita kwenye daawt salafiyyah
@salafi.7 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 Allah akuhifadhi akhy nakumbuka msimamo wako hapo mwanzo ulikuwa mkali sana.Pole pole na wengine bi idhnillah watakuja elewa
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
@@salafi. haqq itabaki kua haqq tu kama anavyoeleza duktur anamaanisha mapaka masuffiy maibadh .mashia makhawarij na vikundi vyoote visiradiwe
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
Kuna maswali ameulizwa na Abul fadhwil ALLAH amuhifadh ameshindwa kujibu .duktur wamchongo huyu
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 taja sifa moja ili mtu awe hizb ambayo wewe umeiacha ukawa salafy ,ikiwa wewe si bendera
@SadricAjjam7 ай бұрын
Lakn dini c inamrisha kuwa tufundishane mwema na kukatazana maovu . Unatkiwa unapomuona mwanadamu anapotea kwa njia sahihi unatkiwa umkataze na umuelekeze palipokuw sahihi .Na cio hvyoo sheikh
@ahmedkibet7 ай бұрын
Umekosea ndugu hujajua maana ya salafi vyema
@samirrubeya23797 ай бұрын
Sheikh Dilele Allah Amuifadhi
@sharifsayyid7 ай бұрын
Dr islam anayo yazungumza ni yakweli sema wahusika wa hapa hawaja fahamu mada inayo zungumwa na duktur Allah awafanyie sahali
@zuheorsalim77597 ай бұрын
Masalaf hawaja mfanyia inswaaf dr islam
@ahmadmzoa747 ай бұрын
Ujumbe sahihi. Kama utaacha hasadi na upotoshaji na usulubu mbaya wa ufikishaji utakuwa umefikisha amana.Hata wewe utakapokiuka njia sahihi za Kidaawa utakuwa mzushi pia.Tuache Daawa za kibishoo.
@Abdihassan-gl3py7 ай бұрын
Alllah akuhifadhi
@yakeenramadhan48407 ай бұрын
Yaani mpaka Duktur Islam duuh mumezidiii
@saidmakame88677 ай бұрын
Duktuur Islam ni nani kwani hata asiwe yeye. Mtu yyte yule anaweza kuingia ktk makosa na akarudishwa ktk usawa, Muda ambao si Ma'asuum.
@fundibombazanzbar57177 ай бұрын
Maashaa allh
@Mohammad_shidogo7 ай бұрын
Kwe kwanza mzushi hakuna anaye kujua kama iblis hakuna ambaye ashakuona sura lakini wanaona upotoshaji wako.......Allah Akuongoze wewe Hemeiyd umepondoka hapo mja
@SuleimanHassan-o6f7 ай бұрын
Tumechoka kuambiwa huyo amesema Na yule amesma Twambia Allah amesema Mtume amesema Najmi au rabiy au amani sio huja ya kisheria hata dr islam anaweza kusema
@abubakarmuhammadsaid32447 ай бұрын
Upotofu wa kujizuia kukatazana maovu uliwaangamiza umma zilizopita. Kutahadharishana ni jambo la lazima, sio kuona maovu na kufumbia mdomo.
@abuuyasir12535 ай бұрын
Majadidah wataona uchi wa waislamu wengine isipokuwa kwa maboss zao watawala waovu wa kiarabu that's where they draw the line lakini kwa mtu wa kawaidi utapewa mara radi mara hili lile 😅
@JumaSwalehIdd-nt9gv6 ай бұрын
Huyu shkh sijui ni liibadhi huyû hana akili😭😭😭sijui anasoma kitabu gani
@fauznuhu99817 ай бұрын
Hawawili wa mekuzidi kwa kila kitu kwa hekima na kwa dabu na kwa elimu mana hakuna suna ya maneno ya siyo kuwa na hekima kama wewe hao wote unawasema kina kishiki haufikie hataribo
@ahmadmzoa747 ай бұрын
Ni kweli bidaa hazina kheri kabisa. Ila acheni hasadi na maneno ya hasadi. Acheni tukasa kakundi kenu huku mnapandikiza fitna kwa watu wa kheri. Ndimi zenu kama radi. Mmeifitini Daawat Salafiya kwa kukosa akhlaqi njema.
@yussufhamad37217 ай бұрын
Ah subuhanallah ndivyo ni VP hata wakristo wanaiman waokuwa wako Sawa na ww siuliwaradi mashia ww au sio ww au ilikuwa umelewa shekh Allah amuongoze ww na hiyo shekh mwezako doctor isllam
@saidmohd24917 ай бұрын
Uisalam sahihi ndio mwiba kwa mahizbi
@hassanmohamedabdalla41087 ай бұрын
Vipi saudia umesema kuwa wawo ni serikali ya makafiri, na Maisha walio ongeza na ku punguza aya za Qurani unawatetea?
@Nabiilkhamis7 ай бұрын
Wabaya sana awa salaf
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
Wamesema lini ww jinga
@saidimurisa46007 ай бұрын
Tukana uwezavyo lakini Salafy ni ukristo hadi wana utatu mtakatifu
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@abbaspaziaog2188 ukitukanwa wewe zaidi ya hilo utafurah?
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@Nabiilkhamis kwa lipi ? Upumbavu wa mtu haitukani hakk
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Doctur islamu yypo sahihi,mnaacha kudili na watu wa bidaa,waabudia makaburi (masufi) mnadili na watu wa sunna mnatia upotevuni
@karimdaud39937 ай бұрын
Hii ku comments ndio sababu ya khitilafu na wanaochangia hawana elimu . Ushaauri wanaotoa mawaidha waziie kukoment wafunge . Halafu sisitutafuata kwa kutafuta ELIMU .
@Abdulrahman.847 ай бұрын
Kwani ikiwa picha ni haramu mbona mwa weka picha za watu kisha kuwa kejeli mbona nyinyi picha zenu hazionekaniwi
@abuuaisha61107 ай бұрын
Picha zao ni haramu kuonekana lakini za watu yafaa
@Nabiilkhamis7 ай бұрын
Ss mbona wana sema ni haram mbona katka cm zao wana picha wana TV ndan mwao😊
@omadal17 ай бұрын
@@GOP-AbdallahmashaAllah maneno ya uhakika kabisa
@aboujanomarion61217 ай бұрын
Niwaambie kitu tu huu niujinga mwafanya mkiwapa faida wasiokua waislamu acheni kujifakharisha kwa mitandao jifakharisheni kwa ibada wewe unaeona na ukajibu nikumaanisha wewe wapenda kuskika nakujifakharisha muache ufakhari si suunni si twariqa nyote hamnamaana ambao mnajibizana kujionyesha mwajua kuliko wengine Allah hutukizwa pia mlijue aliesawa niyule amba hupigania ibada na nafsi yake kuitafuta pepo
@nassorkhamis62337 ай бұрын
Kama vile wakiristo mchungaji akisema ndo ivo ivo mm nna mashaka na maslafi hewa hawa@@GOP-Abdallah
@makhanguwakhutu24087 ай бұрын
Mfumo na maswahaba ilikuwa kuwalingania kufari kwa muda wao wote lakini ukiangalia hawa hizibiya wenyewe wanajita salafiy hakuna siku wamewahi kufanya dawa kwa kufar kazi yao kuu ni kujisifu na kukufurisha ama kuwatusi waislam
@mbjunior1667 ай бұрын
Sasa hapa huyu Duktuur kosa lake ni lipi kwa hayo alioyanukuu!? Tuache hasad ndg zang na tuache kukatakata maneno ya masheikh kwa hasad na dhulma Allah ataenda kutuuliza!
@AlhajiMswaki-de3kb7 ай бұрын
Mawahabi wapuuz
@habibasalim30927 ай бұрын
I'm happy to be called wahaby
@habibasalim30927 ай бұрын
Unajua ni ni maana ya wahabi??wahab ni one of the attributes of Allaah, yaani asmaa wa sifat wahab, Allaahumma ya ahad al kahaar Al jabbar al wahab, sasa ukisema mawahabi ni wapuuzi huoni wajipa upungufu wa dini wewe mwenyewe, hehe nafurahi sana nikitwa wahaby
@hafidhwajina67187 ай бұрын
Huyu mwenye chaneli sijui kama ni msomi wa dini
@TheAmadoni7 ай бұрын
Admin wa hii chanel una fitna na chuki sanaa, Allah akuondoshee ya Rab ....
@makhanguwakhutu24087 ай бұрын
Huyu bwana anaitwa hummeid na kundi lake eti yeye ndio muislam safi waliobaki sasa ni kutusiwa tu sasa eti hii ndio dawa ya mtume na swahaba zake
@ismailhussein97347 ай бұрын
Hizudin na Islam wako sawa kabisa huyo Mwenye kuficha sura yake kazi yake kukosoa wake sijui huwa anapokea wahyi?????
@hafidhwajina67187 ай бұрын
Ahlusunnah na ahlul bidaa usawa wao ni upi?
@MR_nurdiin7 ай бұрын
Huyu speaking anaongea vizuri lakini shida yake sijuwi alisoma wapi mana elimu yake ndogo sana.
@mohdkharousy7047 ай бұрын
Elimu yake ndogo lkn maneno yake makubwa
@fauznuhu99817 ай бұрын
Yani hundo usifi?maneno yako ndo wahi?upozi tupo
@ahmadmzoa747 ай бұрын
Hii daawa ina bidaa' ndo maana siku hizi wakishamzulia wana:"turn off comments ".Mnakiuka Usulubu wa kitabu na Sunnah " mnakuwa kama mafarisayo, maneno yenu yakimatanio ni mengi kuliko kubainisha Haqqi. Na nyie ndo mmefanya bidaa' iwe na nguvu kwa usulubu mbovu na majungu,fitna na malumbano.
@nassorkhamis62337 ай бұрын
Sijaona ktk wema walio pita awe salama tu ktk hii dunia kuanzia makhalifa wa 4 wote walipata dhiki ktk hii dini hata hao wanazuoni wengi wao historia zao walifungwa jela kwa kuzungumza haki leo Salafi chana ndevu na kitana chake kdgo na msuwaki wake bas anajiona yeye ndio amefaulu kufuga ndevu tu na kusoma quran n kukashifu waislam wenzako ndio kwel mtu awe bora na kujiona yeye yuwatenda haki?
@ahmadmzoa747 ай бұрын
Salafi Swalih hawakuwa mlivyo nyinyi. Nyinyi wanajiita as a group.Kwa mnawapiga Waislamu picha halafu mnazipiga x mnaandika hizbiyu. Hiyo siyo bidaa'. Acheni kuzizaki nafsi zenu. Mmefeli katika "Principles of conveyance" Wafundindisheni watu Dini "Uislamu Sahihi "acheni majungu na khusuma. Acheni Daawa za kibishoo, fanyeni Daawa kwa Ikhlaas. Umma tunahitaji "Daawat Salafiya" Lakini nyinyi mnaikwaza kwa tabia zenu dhaifu.Acheni vijembe,kuweni na subira, uvumilivu na kusamehe.Acheni mihemuko, we salafi gani unakosa subira?
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Ninyi mnaofanya usalafi kundi la watu maalumu ndo mahizbi na mmekuja na chama kinachopendana wenyew kwa wenyew huo so usalafi ni uhizbi salafi
@hafidhwajina67187 ай бұрын
Bainisha mtu,musimzungukezunguke, Semeni dr islamu kauli yake hiiii ni batwil kwa kadha wa kadha,ila si kufichaficha kana mwamuogopa
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
Wewe waelewa haya maneno ni miaka tisa iliyopita inalingana na batil yake!!! Mbona alipocharazwa na Shkh Abul Fadhl hakujibu hata swali moja??? Pana lilia mambo hamuyawezi fanatics!!!
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص jifunze kuandika kwanza, Pili fuatilia mtu anapozungumza mambo ya dini kwanza lengo kuu liwe kujifunza ,lkn pia ninukulie swali moja mnukuu shekh kasm alilouliza ambalo unahisi lilihitaji majibu, Kisha kusema dr hataki radd ni kumdhurumu, mbona mimi nnazo radd kwa mashia ,ahlul bidaa na madai'a pia, wewe ulitaka aseme fulani anatafuta huruma za watu, fulani ni muongo fulani ni murtadi'i au unataka radd gani, IKIWA WEWE UNAINSWAFU mbona shekh kasm hafidhahullah hakumjibu shekh abu muawiya maswali ya ki'ilmu aliyomuuliza? Au wewe ni shabiki kama mashabiki wengine? Mwenye hii chaneli si mkweli ktk kutuma durs zake ,huwa hayukosmat anasngizia watu na ushahd nnao,
@suleimandaud14027 ай бұрын
kwani dr.Islam atoa maneno yake au alinukuuu maneno ya mwanachuoni pia. Hii video haikuonesha ni mwanachuoni gani alimtaja dr. islam na hii sio haki kabisa
@hafidhwajina67187 ай бұрын
@@suleimandaud1402 ndio maana mimi nasema huyu mwenye chaneli amche ALLAH, anatabia ya kupandanisha mambo akihitaji uthibitisho anmethion nimpe
@Natureo-hr9xc6 ай бұрын
Fitna mpya kwenye uislam ni hawa masalafi jadidi.Badala ya kuwasaidia waislamu kwenye mambo ya msingi wanatengeneza farqa,wanadhalilisha masheikh.Hawa mnaowaraddi wameelimisha jamii,wengine wamejenga madrasa,mashule mahospitali yanasaidia waislam nyie masalafi jadid mmewafanyia nini waislamu? Jitafakarini
@Nabiilkhamis7 ай бұрын
Ukitaka upotee fuata masalaf
@abbaspaziaog21887 ай бұрын
Nani mjinga alokudanganya
@mohdkharousy7047 ай бұрын
Kwanini masalaf????
@amiriburhani46337 ай бұрын
Sheikh huyu anamfuata maneno ya sutadh wake amabye si maasuumin
@makhanguwakhutu24087 ай бұрын
Sasa ikiwa miaka zote uislam umekuwepo bila hawa salafi sasa tangu waanze dawa yao sass yakutusi waislam sasa waulize wamewahi kufanyia dawa makafir ama hii dawa yao yakudhalilisha viongozi waliofanya dawa miaka uislam ukafika penye umefika sasa wewe unakuja unanza kujita salafi na kujitakasa na kuita waislam majina unao wabadika
@majidsaid087 ай бұрын
Dilele kazi yako.kukosowa wenzako.... ishajiuliza wewe huna.makosa ama.kasoro???? Bora toa darsa watu wakuskie..... hao unaowakosowa wana ilmu kukushinda sanaaaa....... mpaka Dr.zakir ushawahi kumkosowa tafadhali kama umeamua kuwa shekhe ongoza watu kwa kuwapa darsa. Hao mashekhe ulioseme wameanguka bado hawajaanguka ile wewe hakuna anaye kutambua lakini watafuta umaarufu kupitia wao..... hivyo ndivyo mtume alivyokuwa akifanya?????
@abdullahmasakata1707 ай бұрын
Akhui kweli hawa jamaa wao hujipa ujuaji na wao hata wakikosea hawakosoleki na hii sio tabia ya uislam sahihi wala sio suna.
@saidrakwe87277 ай бұрын
shegh mafuta kazi kubwa nikujadili watu,,hana kazi nyengine!! na atajadili tu watu wadini ila kiongozi wa serikali hawezi hata siku moja kuwakosoa!!
@saidshariff96007 ай бұрын
Mwajichokesha hamna huja wala hikma ya kufanya dawa kazi ni maradi tuuuuu
@yunusadam40167 ай бұрын
كلامك غير صحيح ياشيخ اذاكانت شخصايخطى فلاتصوبه بالله عليك
@user-abuhassanshabiby7 ай бұрын
يظهر صاحب القناة حظه من العلم
@user-abuhassanshabiby7 ай бұрын
@@GOP-Abdallah لا والله، صاحب القناة أحد إخواننا الراغبين في السلفية والسنة، غير السالكين نهج أهلها في طلب العلم، فهو مشتغل بما لا يفيده ولا يفيد غيره، فلعله يشتغل بما هو أنفع، وفّقنا الله وإياه للخير.
@abiabi93537 ай бұрын
Haha maneno mazuri.lkn niwanasihi mawahabi kabla hamjakosoa watu kwanza jipimeni uwelewa wenu na elimu sana. Mara nyingi utashangaa fatuwa za mawahabi niiinyume na Quran na suna ya mtume.bali mambo yao mengine ni comedy na vichekesho hata akilini hayaingii.niwape mfano mmoja. Ibn taymiyah anapomfananisha Imam Ali na Firauni hivi kweli hili linaingia akilini? Wengine wametoa fatuwa mtu akili wadodo kama nyoka auliwe. Sasa hivi ni vituko vya mawahabi alafu wataka eti kurekebisha watu
Abiabi Ni SHIA GOLO anaepitia pitia mitandaoni kuwatukana Masheikh wa ulinganizi wa Salafi Ni Kijana Mjinga aliyekosa maarifa ya Uislam wake
@abiabi93537 ай бұрын
@@SalumuMatimbwa Haha wewe wahabi kweli. Hivi na wewe unakubali.kuwa Imam Ali anafanana na Firauni?
@ahmadmzoa747 ай бұрын
Kuna watu wapotoshaji.
@ahmadmzoa747 ай бұрын
@@abiabi9353Acheni uongo.
@yahyaelriyyamy7057 ай бұрын
Mbona mnasambaza picha za viumbe hai. Au kuna namna fulani inaruhusiwa salafi kufanya hivyo. Maana Chanel nyingi za kisalaf hupost picha za watu sometimes hufanya kuziba macho je hapo inakua halali . .kwa nini masheikh wa kisalafi hawapostiwi lakini wengine wapostiwe na masalafi
@Kekulebenzene7 ай бұрын
Upumbavu mkubwa watu waache misingi ya dini waanze kuongopea umma kwa maslahi yao halafu waachwe tu? Shia aachwe? Sufi aachwe? Khawarij aachwe? Watu wanafundisha kufuru waachwe?? Pumbavu zenu Mtaendelea kupigwa radd mpaka muache upotevu wenu na murudi katika njia ya sawa
@yassernoah89847 ай бұрын
Eti salafiii 😂😂 puuzi kabisaa sui mtakaa lini hii dini muielewe asee wanajikutaga malaika hao na kujiekea ukundi flani wa ajabu Wallahi hakika dini mmeifanya ngumu sana kwa waislam