Tutaendelea kama hivo tuone kama Calvin JR atamgeka mkuu kama Kelvin alivyofanya kwa kasisi chacha Shukran sana
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Kumekucha huku❤❤❤.
@jamilagalus9705 Жыл бұрын
Ya tatu jamani dear 😢😢😢😢 please mwendelezo
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Kumbe raisi ndonyuma yahaya yote loo lkn mbele ya jr atashikwa tuu
@japhetaverin-ou9rp Жыл бұрын
Watatu jaman❤❤❤🙌
@saraasatenisanasimlizimixc9232 Жыл бұрын
Asate sana simlizi mix d oen hy Rais atakiona cha moto mda ukifika
@fatumamatano8216 Жыл бұрын
Swadakta...
@mwanyemimohamed2191 Жыл бұрын
🎉❤
@Rais__772daughters Жыл бұрын
Kufiikia hapo nimechokaaaa🙆♀️msamalia mwema ajitokeze amjuiy Rais wenu😂😂😂
@HareemaMct Жыл бұрын
Raisi kitamkuta jambo we muache t naomba Tina atoke salama apo jamani
@AllySaidi-e7y Жыл бұрын
Hivi Hawa namba Yao mbona waitume
@sellenasellena5475 Жыл бұрын
Nilijua tu huyu Rais wa muchongo yuko nyuma ya hili haiwezekan kilakitu kitakacho pagwa watu wa kijue ikiwa wahusika ni watatu pekee ndio wanao jua hilo jambo😢😢 kweli mnafiki hana alama😭😭
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Huyu Rais ktamramba cku yake Yaja 🙄
@ROSEROBERTROBART Жыл бұрын
Sass kama huyo calvin jackson alikua na wake 2 na kila mwanamke alzaa mtt 1 tena wakike😂😂sass huyu calvinJR alitokea wapi??ama tuseme cal.jr mmk ni yule kata ya majasusi 5 lkn 4 walikifa kwa mlipuko huyo mwanamke ndio alieponea calvin akaondoka nae kumalizia mission fikra zangu hizo sina uhakika
@salmazwallo5920 Жыл бұрын
Ataa nahic ni mtoto wa devota
@salumrashid5153 Жыл бұрын
Yaani hii simulizi tokea episode ya 1 mpaka ya 9 mm nilikuwa siielewi kabsaa lakn sas wamenishawish niende smix app kule maana huku naikosa 😂
@halimashaib9102 Жыл бұрын
Sasa mpenzi km hukusikiliza ulimwengu wa watu wabaya heri ukaisikilize maana ni km mwendelezo. Nemda ukapatane na kasisi cha-cha.... Rashid au Marwan km sijakosea... Brothers wawili magaidi... Thomers baba la mitandao na wengine wengi. Kutamu huko
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
@@halimashaib9102mimi sijasikiliza ulimwengu wa watu wa baya ila hii naielewa huyu kama hajaelewa basi hana ubongo wa kufikilia kwa haraka😂😂😂😂
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Huyu raisi kumbe ndomchafu hata kifo chawaziri alijua sasa alikuwa akijifanya hajui nayy ndoalituma watu wakaue wale saba Halafu mm bado sijaelewaa huyu kevine waleo niyule wa miaka iliopita kweli?kama ni yy sialioa tena wanawake wawili yule mchumba wake na yule mdada aliejipendekeza kwake akapata mimba.haya watoto ni wakike hixo miaka nasahii kelvine angelikuwa na miaka 50 sasa huyu niyupi mana kazi yake yaupanga nikama hii nahuyu sinikijana mdogo ana mama namdogo wake hiii nayoo ngumu kumeza kaka deon atatuambia huyu niyupi.. huyu raisi anasema atamfunga jr haya ajaribu 🤣🤣🤣
@radhiaomary5591 Жыл бұрын
Unajua Maa ya neno Jr wewe? Calvin Jr yaan mtoto wa aliyekua Calvin, ila hapa kwa mtoto wa kiume namm najiuliza alimpataje wakat yeye alizaa watoto wa kike tu