SEHEMU YA 6: MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI

  Рет қаралды 8,542

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 264
@mediization
@mediization Жыл бұрын
Salaam alaycum shekhe Mohamed Iddy Abuu Iddy baraka Allah muelemishe huyu shekhe Mohammed Isihaq kwa tabia yake ya kusingizia marehemu na kutoa aibu zao kua sio jambo zuri na sio katika mafunzo ya dini yetu
@MursalKhamisi-fx5hh
@MursalKhamisi-fx5hh Жыл бұрын
Mashallaah shekh abuu idd. watandike bakora hao mawahabi mpaka wajifunze vyema uisilam.
@MuslimKilalo
@MuslimKilalo Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah tunafaidika sana yaan sana na usiwaache hawa mawahab weeng tu ktk hao mawahab hawatak kusoma ila wanapewa msimamo tu na ujinga mwing tu
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Shukran shukran sanaa shekhe twa kufwatiliya kwa karibu sana shukran
@Ahmed-l7k7k
@Ahmed-l7k7k Жыл бұрын
Shukran ilikuwa siwajuwi mawahabi kumbe niwatu wafitna.
@YusufMatianyi1388
@YusufMatianyi1388 Жыл бұрын
Shiekh Muhammad Abuu Idd Nakupenda kwa Ajili ya Allah in shaa Allah, Allah Akuzidishieni kheri
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Sufi hili
@abdallahshelufumo4602
@abdallahshelufumo4602 Жыл бұрын
Maa Sha Allah Allah akulipe kheri sheikh kwa Juhudi zako hizi
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp Жыл бұрын
Mashallah jazaka Allah khaira unawaweza kweli kweli hawa jamaa zetu...... nawanaona kwenye comment sections povu linawatoka kwa uchungu wa dawa
@FarajiAbdallah-yw2wn
@FarajiAbdallah-yw2wn 11 ай бұрын
بورکت العلامة ابو عید اخوک الغالی فی الإسلام الشیخ فراج
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 11 ай бұрын
Naombeni masufi mumnunulie shekh lenu feni jasho litamuua
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 ай бұрын
Tunakufuatia kwa makini shekh Ahsant
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 11 ай бұрын
Huyo sishe Muhammad ayubu
@yusuphsaad4349
@yusuphsaad4349 Жыл бұрын
Shukran sheikh letu kwa elimu nzuriii mnooo.... Endelea kutuelimisha zaidi na zaidi...Allah akuwezeshe tuzidi kuiona nuru na tutoke gizani
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Vilaza ndio wanao muona mjusi laki. Twamuona mvurugajituu
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 Жыл бұрын
Sasa kuna elim gani anatoa hapa w ulimsikia akinukuu hata kwenye quran au sunna
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Huyu Muhammad ied Hamna kitu mtupu sema makhurafii wao sababu wanakariri Mambo Sasa waona msoomi lakin Hana Aya Wala Hadith
@shabannyange-x6l
@shabannyange-x6l Жыл бұрын
Mashallah,Kaz nzuri sheikh,na sisi Matwaalibul-ilMu Tunastafeed,,ALLAH Akujaze kheri🤲
@WastarYoussuf-wb7fz
@WastarYoussuf-wb7fz Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe Muhammad iddi hizo darsa zako zina umuhimu saana mimi nakusapoti sana ili kizazi cha sasa kielewe uislamu ulivyo vurugwa na mawahabi
@maftuhihassan3114
@maftuhihassan3114 Жыл бұрын
Shukrani shekhe
@abdullah-eq3lt
@abdullah-eq3lt 11 ай бұрын
toa elimu shekh wangu
@majidiabdi424
@majidiabdi424 Жыл бұрын
Wewe Muhammad idi - Badala ya Kufuga Ndevu kama Mtume WETU wanyowa Ndevu tuuu ili USO WAKO UE kama Wakina MAMA
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww Жыл бұрын
Huna uwezo na hutokuwa nauwezo,endelea kutetea hirizi,,ila tunamuomba Allah akuongoe,
@FadhiliJumbe
@FadhiliJumbe 6 ай бұрын
Assalamu alaikum ndugu zangu nisaidieni Namba za simu za huyu shekhe wetu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 11 ай бұрын
Wewe sheikh hujuwagi daawah INGINE story zote ni mawahabi 🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Sufiiii development jeupe
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz Жыл бұрын
Dah mtihani huu eti huyu pia eti nimsemaji wa waislamu
@IssaAbdallah-r9z
@IssaAbdallah-r9z Жыл бұрын
Sheikh faida kubwa tunapata endelea Allah akutie nguvu
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp Жыл бұрын
Muhammadi Idd we kiboko, Jazaka Allah khaira.........MTU KUSHINDWA KUKUELEWA WEW ANASABABU ZAKE BINAFSI ENDELEA KUREKEBISHA UFAHAMU NASIKITIKA KAZI UNGEBIDI UIYANZE MAPEMA DA ! UCVUNJIKE MOYO HATAKAMA MASHEIKH WENZAKO WAPO KIMYA.........KAMA MWANAFUNZI NINAYENUFAIKA NA MAFUNZO YAKO NAKUKUMBUSHA KABLA YA KUANZA KIPIND UWEKE NIA KWA AMALI YAKO HII MALIPO YAKE MAKUBWA SANA NAHOFIA UCJE YAKAPOTEA MBELE YA ALLAH ......... WAKO ONLINE STUDENT HAMIDU M MTANDIKA KUTOKA RUFIJI
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Ww ni jaahil sheikh
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp Жыл бұрын
@@mbjunior166 understanding logical statement
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Siushafunzwa- kwenye darsa kwa uzuri..jinsi ya kuidhibiti bid'aa.....
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 Жыл бұрын
Wanatupotezea muda kweli mashekh kama hawa namna wanavyo puyanga
@aslamswalah7852
@aslamswalah7852 Жыл бұрын
Fuga ndevu kwanza ndio usmame mbele yetu utupe ilmu
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 11 ай бұрын
Huyu Shekh ni kiboko ya Mawahabi ndo maana matusi mengi kwenye comment ila ALLAH ampe umri mrefu ili washke adabu mawahabi
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Жыл бұрын
Unachokuongelea hukijui mzee iddi sisi mawahabi hatuachi daawa ya kisalafi
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. Жыл бұрын
Mashaallah sheikh,endelea kuweka wazi ukweli mana kuna vijana wanafuata mkumbo bila kujua ukweli ulivyo
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi Жыл бұрын
Huna hoja , mwalimu wa UISLAMU ni Mtume swalla-llahu 'alaihi wasallam na wala hatukupewa ruhusa ya kuwatii baba zetu,mama zetu na yeyote mwengine huku tukawa tunamuasi Allah na Mtume wake ,hivyo usiwatishe watu kwa kuwaambia kuwa MAWAHABI kama unavyowaita wewe kuwa wana dhambi ya kuja kujibu mbele ya Allaah kuwa waliwagawa watu .
@allyfundi6405
@allyfundi6405 Жыл бұрын
Allah allah nimekuelewa, San shekh allah akubaariki
@seifkhalfan1881
@seifkhalfan1881 Жыл бұрын
Shekh ittaqillah kuna hiriz ambazo mnazikubali Acha siasa na kupenda ukubwa askari kanzu
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Huyu sheikh anafanya jambo ambalo itakuwa vigumu kwake kuikubali haki hata kama ataitambua....
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Hajielewi huyu😀
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
SHEKHE ABUU IDDY UPO SAHIHI KILE KITABU KWELI KINAONESHA KUWA MAULID NI BIDAA NA SIO IBADA LAKINI YANAFAA YANAJUZU NA YANADALILI KATIKA DINI ILA SHEKHE MUHAMMAD IS-HAQ ANAWAAMINISHA WATU KUWA KILE KITABU KINAPINGA MAULID NA SHEKHE MUHAMMAD BURHAN AMEKUBALI HILO ILA UKWELI NI KWAMBA LENGO LA SHEKHE MUHAMMAD BURHAN NI KUONESHA HAQQI KUWA MAULID NI BIDAA NA SIO IBADA LAKINI YANAFAA YANAJUZU NA YANADALILI KATIKA DINI
@HamisaMiraji-q9f
@HamisaMiraji-q9f Жыл бұрын
Wanaokomenti baadh yao hwajui wanachoongea,,,shekhe asem kweli,,,
@SleyumSalim-pq9pr
@SleyumSalim-pq9pr 11 ай бұрын
Siwezi kumtii baba kwa kumnunulia bangi,au kumtii baba kwa kumnunulia pombe usipotoshe watu wakamuasi mw MUNGU wakamtii baba mzinifu
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Mawahabi wapo hapa sjui wameitwa na nani kuna kusikiliza apa wamekasirika sanaa
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 11 ай бұрын
Wajibu wajigamahanisi hao
@hajihajihaji8351
@hajihajihaji8351 Жыл бұрын
Pole shekh
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Muhammad Idd mwambungo ndio jina lako huna jipya porojo sasa hapo utajibu Nini sasa maneno makavu tu kama kijiweni utashuka lipi sasa halafu ukiongeaga hutulii unaruka ruka unanichekeshaga sana
@riddi676
@riddi676 6 ай бұрын
Hoja inajibiwa na hoja na dalili, vinginevyo ww ndo utakuwa unapiga porojo
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh Жыл бұрын
Ila masufi na yakin ili jmaa linajua ukweli ila wanapenda vyeo kama wapumbvu tu ili jinga kweli
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 Жыл бұрын
ما شاء الله وبارك الله فيك
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 Жыл бұрын
Twamsubiri amalizey hicho kihere here chake na ushuzi wa ngomani ndio tumnyooshe atakoma, huu utakuwa ndio mwisho wake kukaa akaongea maneno yasiyokuwa na faida yoyote katika jamii.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Nyinyi majahili wakiwahabi acheni kutisha watu.sisi twawajua ndani nje maana tulikuwa hukohuko.kwahiyo hamna uwezo wakujibu kielimu hoja hata moja
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Hoja iko wapi humo😂😂😂
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Wewe subiri amalize hizo porojo zake kama majahili kama wasomi itajuilikana wakati huo, atauhama mji, au atakaa kwa adabu.
@binaamour318
@binaamour318 Жыл бұрын
Abuu I'd uc ache endelea kuwafahamisha mapungufu yao Mana wanadhani hii dini imeshuka kwao na wao wanafahamu sanaaa kuliko sheikh wwte ambae wao wko tofautie ki itikadi back kwao nafac hawana
@salimmohamed3603
@salimmohamed3603 Жыл бұрын
Masufi wote wanakujua kwamba watafuta sifa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haya jahili mwengine wakiwahabi huyu hapa.badala yakujibu hoja anaanza kumzungumzia msemaji.hapo ndo utajua mawahabi wanaakili fupi
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Жыл бұрын
Bidaa za Kiwahabi ni nyingi sana
@mustaphaabbas2545
@mustaphaabbas2545 Жыл бұрын
Sijaona jamaa mwenye matatizo kama huyu ?? Hivi kuna zama ya zamani inayomzidi Mtume ?? Zamani gani ya wazee wako na masheikh zako wewe inayomzidi Mtume ﷺ.
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 Жыл бұрын
Saaafiiiii sana jembe unatisha sana
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f Жыл бұрын
Hebu zugumza ushia Kundi lenye upotofu Ama unaowaita mawahabi Niwatu wenye nguvu kidawa sana katika miji wanasomesha Nyinyi fujo lenu ni kukuguswa maulid
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Жыл бұрын
Yaani Dah huyu jamaa ni bora anyamaze anazidi kujidharaulisha wallah
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haha mawahabi kwa kujipa moyo tu. Wewe kama unaona anajidhalilisha jaribu kujibu japo hoja moja ndo tukuamini.tahadhari tu usije ukajikojolea kama bachu
@duh-yr2lj
@duh-yr2lj Жыл бұрын
Kwani kiti cha moto mbona shekh hatulii😂
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Kiboko ya mawahabiiiiioo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
Hili jamaa jahili kweli kweli hata mtume s.a.w kabla ya utume alikuwa pamoja na jamaa zake wakiamilina kata maisha ya kawaida ulipokuja utume walifarikiana
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Acha uongo dalili zipo nyingi mtume mahammadi s a w alikuwa akishirikiana na makafiri katika harakati za kidunia
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Жыл бұрын
​@@tanzaniaonmzamiloon8627ndo mana na sisi hatuwez kushirikiana na nyinyi katika maulid na hitma na k.z. Kwa sbb mko kidunia zaidi
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
​@@tanzaniaonmzamiloon8627 wewe ni jaahil hukuelewa comment ndio tatizo kukimbilia kucomment kabla hujasikiliza vedeo !! HAPO AMEJIBU QAULI YA HUYO MZEE IDD ALIVODAI KUWA AHKUSUNNA WAMEKUJA KUGAWA WATU NA WAZEE WAO !! NDIO MAANA AKAAMBIWA HATA MTUME ﷺ NAYE ALIVOKUKUJA ILIKUWA NI SABABU YA KUTENGANA NA BAADHI YA NDUGUZE WALOKATAA HAKI
@selemanishabani463
@selemanishabani463 Жыл бұрын
safi sana shekh piga nyundo zakutosha
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Umerudia kuvuta bangi???
@allyissa2000
@allyissa2000 Жыл бұрын
Anauziwa na wazazi waki
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 Жыл бұрын
Mwamadi idi umerudia kuvuta bangi nini??maana majibu yako ya kimtaani mtaani isiyo ya kielimu Kwasababu 1wakati maswahaba wanafanya mambo kipindi cha mtume na mtume kunymaza iyo nimoja katika wahyi Kwasababu lau km yange kua ni mabaya mtu ange wakataza kwakua mtume hawezi kunyamazia jambo mabaya je kwasasa kuna mtu anae teremshiwa whyi ilitujue yale tunayo yaleta kua ni mazuri ??? Alafu unasema kwamba njia ziko mbili katika iyo hadithi ivi ni mwana chuoni gani wa hadithi alie kutangulia katika ufahamu huo unao leta ???mbna mambo ya Di unajibu kihunihuni ivi ??
@mrafm7285
@mrafm7285 Жыл бұрын
Wewe shekhe una chuki na watu wa Sunna lkn bure yako tu njaa tu inakusumbua
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe jahiki wakiwahabi jibu hoja usilete mambo ya chuki au kupenda hapa haihusiki
@Sunnahchannelkenya
@Sunnahchannelkenya Жыл бұрын
Imam Shafi na wengineo walipinga bid'ah je wao pia ni mawahabi😂
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Ona jahili huyu wa kiwahabi hajui hata asemalo. Kila mtu anapinga bidaa,lkn hamna uwezo wakuthibitisha kuwa maulidi ni bidaa
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Umevuta bangi ya wapi sheikh wangu😀😀? Maulidi sio badaa😂😂😂😂
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Жыл бұрын
Sasa unajibu nini. Wewe mwenyewe humuigi mtume kwenye tabia za kuguga ndevu . 🎉
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Unaongea kwa hojja nzito sana allah akulipe sana mwalim wetu
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Жыл бұрын
MWLM WETU ABUU IDD LETE NONDO .. HAPA NIMEKAA NA DAFTARI NAANDIKA MATIRIO TU .. MANA HAWA MAWAHABI NI MAKAFIRI WALLAH
@mohamedimcheni2068
@mohamedimcheni2068 Жыл бұрын
watu wa fitna mawahabi
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Жыл бұрын
Halafu mawahabi wengi ni waongo halafu hawajasoma akisoma aya 2 tu anajiona ana ilmu kwa aya 2 halafu hawajui kutafsiri
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb Жыл бұрын
Hatari Muhammad Iddi hata maana ya bidaaa hajui!!!!!mtihani sana
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe jahili wakiwahabi tu.hukui hata usemo
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Ww ndio msomi ambae hata kuandika kiswahili tu huwezi😂
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Mtihani sana kwa kweli😂😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@mbjunior166 Haha comment yakiwahabi utaijua tu maana akili yake fupi haina uwezo wakuona mada husika.wao hujaadili vitu vya kitoto kabisa.
@MwaraRamadhani
@MwaraRamadhani Жыл бұрын
kwanza kupangilia maneno t shekh unaonekana huwezi hebu tutokee hapa kafundishe watoto wako nyumbani
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Huyu hachaneni naye...si ushamuona....mifano anavyoitoa....Vipi ataongoka kama ako hivi....hata mtu ambaye anamuogopa Allah tu anaelewa kwamaba shk huyu hana haja na ukweli kabisa...ameifanya dini ni yeye ashinde hata kama ako kwenye uongo.....YAANI NI.KAMA MWANASIYASA....
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Sanamu uondoshe
@salumally663
@salumally663 Жыл бұрын
Naomba kuuliza..kabla ya huu unaizwa "UWAHABISM" Walikuwa wakiitwa nani...Naamini kama hawa wanaosingiziwa wapikuwepo kabla...naamini hivo...
@SAIDIJUMA-no8zx
@SAIDIJUMA-no8zx Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4fYaoqfo9JqpNksi=Poak8Q61vA4AYBrc
@ramseyferouz9724
@ramseyferouz9724 Жыл бұрын
Khawaarij
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz Жыл бұрын
Nilichogundua huyu ni jaahili sana mjinga hana ufahamu wa elimu bali anatetea ujinga na ushindi wa kishabiki hana hoja za kielimu ni jaahili murakabu sikiza hizo hoja zake pumba kabisaaaa
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Hata anazungumzia nn haeleweki😂😂😂
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz Жыл бұрын
Hawaa za nafsi zimemkubuhu
@abdallahkuppa6322
@abdallahkuppa6322 Жыл бұрын
Lete hoja kama yeye, kama huna hoja wewe ndio mwenye Hawaa za nafsi
@fay9687
@fay9687 Жыл бұрын
Katafute kazi ya kufanya kama umekosa kazi Baba zimaa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Comment yako tu inathibitisha kuwa wewe ni wahabi mwenye akili fupi
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 11 ай бұрын
Hiyo ni ktk kazi bora kwa zama hizi
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Si une mbele Sh Ibnu Isa'K
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Жыл бұрын
Ww dhekhe nenda kasome kwa kasome kwa kasim mafuta
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Atafuta umuftiiii lakini sahau
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz Жыл бұрын
Mtume swallahu alaihi wasallam alipolingania watu ilipelekea baba na mtoto kuuwana kwahiyo mtume swallahu alaihi wasallam alikua hafai kwasababu watu wa Makka walikua kitu kimoja alipokuja mtume swallahu alaihi wasallam wakatengana na wakawa maadui baina yao Acha ujinga wewe unaropoka tu
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi Жыл бұрын
Hiyo ta'ala katika salamu umeitoa wapi? Mtume Muhammad(swalla-llahu 'alaihi wassalamu) hakuifundisha na unawapotosha watu .
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni bora anyamaze tu
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb Жыл бұрын
Muhammad iddi anawatageti waislam wale wasijua kitu kabisaaaaa ,ili awazubaishe lakini mwenye mwangaza hata kidogo anaona mauza mauza mtupu
@twalibmohamed2494
@twalibmohamed2494 Жыл бұрын
Daawa salafiyyah inaendeshwa Kwa Elimu Sio Kwa ujaahil.
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 Жыл бұрын
Selemani Kichema nakukumbusha kuwa haya Matusi yakuita Waislamu wenzako Wajinga usipotubia utakutana nayo katika Daftari lako... Jitahidini kuficha Jazba na Chuki muwe salama... Allah atufqnyie wepesi na atusamehe makosa yetu Aamin
@MursalKhamisi-fx5hh
@MursalKhamisi-fx5hh Жыл бұрын
Neno MJINGA sio tusi. angesema neno MPUMBAFU ndio tusi. kwahiyo elewa neno mjinga si tu. mjinga ni mtu asiekua na elimu ya kitu fulani.
@jumaajambiamusa8214
@jumaajambiamusa8214 Жыл бұрын
waaaallaah na mm nawaona pia tuna swali nao katik mskt yakitwalika mm nashaangaaa mm naona,usiwaache kbs mawahabii
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Жыл бұрын
Skh hawa mawahabi wanapewa pesa nyingi na mayahudi ili kuwagawa waisolamu wanatumiwa na wao wanakubali kutumiwa
@rashidikibuna8575
@rashidikibuna8575 Жыл бұрын
Waambie hao mayahudi waliojificha katika kimvuli Cha uislamu kwamba tumeshawagundua
@abuushaymaajuma1211
@abuushaymaajuma1211 Жыл бұрын
Elimuyenyewe hamnakitu
@allyfundi6405
@allyfundi6405 Жыл бұрын
Wewe una elimu gan sasa ya kumshinda huyu chizi wewe
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Sufiiiiii devu jeupe
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
😀😀😀
@SmilingCupcakes-sv8bm
@SmilingCupcakes-sv8bm Жыл бұрын
JOMBA TOA DALILI BANA ACHA STORY
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe wahabi ulikuwa umelala nini.hukusikia ukitoa dalili.au ulitska dalili za kafiri ibn taymiyah
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Жыл бұрын
MPUMBAVU ANABAKI KUWA MPUMBAVU MPAKA KUFA KWAKE SASA HUYU MOHAMED IDDY NI MPUMBAVU NAMUOMBA APUNGUZE UMBUMBAVU WAKE KUWALISHA WATU UONGO AMBAO UPO NJE YA KITABU MUNGU
@abuushaymaajuma1211
@abuushaymaajuma1211 Жыл бұрын
Hana hoja anabwabwanyatu
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Hali hii niyakustaajabisha....sijui inasababishwa na nini....ni kwa alili ya Allah ama ni kwa ajili ya nini....mbona kusipatikane ukweli kwenye kunukuu na pia kuwazungumzia wale ambao niwapinzani...kwa kiasi hicho....Ni ajabu kabisa...
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe wahabi hueleweki
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Hata mtume alishtumiwa kuagawa watu hiyo sio hoja
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe wahabi huna hoja hapo.kama unajiweza jibu hoja
@HamisaMiraji-q9f
@HamisaMiraji-q9f Жыл бұрын
Hizi comenti wangekomenti wajuzi ,,,lakini anchoongea shekhe na baadh ya komenti ni vitu viwili tofaut
@jumamaulidi8023
@jumamaulidi8023 Жыл бұрын
Maarifa yako ya kufanya uchunguzi Nimadogo sana 1..unafanya uchunguzi huku una jazbah 2.. wakati wakufanya huo uchunguzi weka ataasub pembeni
@SleyumSalim-pq9pr
@SleyumSalim-pq9pr 11 ай бұрын
Toa majibu ya kielimu,eti kwenye miskiti yao hawataki maulidi😅😅😅
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 Жыл бұрын
Hizi video zitabaki kama kumbukumbu kwa siku za usoni
@IssaAbdallah-r9z
@IssaAbdallah-r9z Жыл бұрын
Endelea sheikh tunakuelewa san sisi wansfunzi Allah akutie nguvu wala usikate tamaa na kurudi nyuma
@MuslimKilalo
@MuslimKilalo Жыл бұрын
Mawahab weng sio watu waelim wao mawahab hawwasomi bali wanapewa msimamo tu na na ujingaa mkubwa sana hao
@ShaibuMbwamkuu
@ShaibuMbwamkuu 11 ай бұрын
Tunakuunga mkono waislam wooote wenye elimu ya ufaham tunajua unasema kiti gani kwa wao mawahabii toa elimu,,,naomba naomba namba uko
@alybinmana6197
@alybinmana6197 Жыл бұрын
Sasa sheikh Muhammad iddy mbna sheikh alhadi alisema kuwa huna radha ya sheikh Muhammad ayoub je na hii imekaaje
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Hajielewi yeye mwenyewe wala haelewi anaongelea nn😀
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Жыл бұрын
Skh usipate tabu hawa mawahabi wanafadhiliwa na mayahudi ili kuuvuruga uislam wanapewa pesa nyingi na yahudi ili kuwagawa waisilam
@HamisaMiraji-q9f
@HamisaMiraji-q9f Жыл бұрын
Unaeleweka
SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:05:09
MUFTI AZUNGUMZA MAZITO KUWAAGA WANAFUNZI 40 KWENDA MOROCCO KUSOMA
26:57
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
Suratul Al Munafiqun  - Qari Muhammad Muhiya - Maqam Ajam
5:22
NI Nani AL HABIB AHMAD BADAWI
10:52
MADRASATU SHAMSIYA TV
Рет қаралды 874
DHIKR,AKIWAKONGANYOYO,MURIDKILWA,USTADHIMARIJANI
6:25
MAFURAHA TV
Рет қаралды 7 М.
KUTUKANANA KATIKA DAAWA TUTAFIKA? SHEIKH WALID ALHAD
22:20
BABDEO MILADU
Рет қаралды 248
MAKONDA AMLIPUA LISSU: "Lissu ni MBEA, HANA KABA!!!!!"
13:51
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 5 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН