Daaaa chandim namuona mbali sana anaonekana atafata nyayonza mkojani
@zebedeemkallah56109 ай бұрын
Kazi njema , mafunzo na burudani tele.Hongera🎉 Wakuu.
@HajiMaster329 ай бұрын
Wa Kwanza Mimi Leo kama unamkubali Mkojani GONGA LIKE HAPA
@magariabdallah80669 ай бұрын
😅😅😅😅chandimu kawa jiniazi😅
@alish21829 ай бұрын
Mchojqni jimependa apa kbx❤❤❤❤❤❤❤
@MR_RAMSATZ9 ай бұрын
naomba like zangu jamani from Tanzania
@KassimKhalaid9 ай бұрын
Apa viola umeact kweli mmpenzi kulia tu bwana mwenyewe boya tu
@hbaba.9 ай бұрын
Mkojan fanya mazoez kitambi hicho au ndio ukojani huo
@MunawwarSaidi9 ай бұрын
Mkojani utaniachishaa hadi nimeunguza nyama leo 😂😂😂
@AishaSaleh-qt1cf9 ай бұрын
Sijakuzoea hivyo mkojan mbona humtii makofi huyo kiumbe anakupanda kichwan😂😂😂😂
@taslimpluscargo67539 ай бұрын
Mkojani anajua sana....na chandimu ni kama mtoto wake kweli wanaendana sana
@GervasWikedzi-mn3jy9 ай бұрын
Hii kali sana mkojan kumuweka na Ringo afadhal kdg 😂😂
@hashimshafiy56149 ай бұрын
Aaah we mkojan ni Zaid ya talented man
@jamespetro30149 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ila mkojani na chandimu bwana🎉
@mlangaliromwenda69459 ай бұрын
Nimeipenda sana hii Movie. Ila inavyo onekana Mkojani atamuowa Ver
@ClaudeBalizi9 ай бұрын
Wa kwanza kutoka South Africa jamani nipeni like zangu
@GodMunisi9 ай бұрын
Natamani sana kuja South Africa..mnisaidie
@AishOmmy9 ай бұрын
Nimepata mwenzangu wa south Afrika oyooo🎉🎉🎉
@rademm89249 ай бұрын
South Africa ya vingunguti
@NasraMohammed-o4z9 ай бұрын
Mkojani yaani siwezi amini kwa subra hii yaani umecheza movie bila makofi kupiga chandimi😂😂😂😂😂😂
@alexshabani20129 ай бұрын
Mkojani namkubali kama mze majuto yani una act kama yeye
@AbelFrancis-ww7cb9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mkojani unatembeaje et shob
@alish21829 ай бұрын
Chandim anapenda jimqma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KhayratHabau9 ай бұрын
Mkojani uko vizur kwenye dini mashaallah❤
@kipiliextra44189 ай бұрын
Apa full package Burundi na elimu mkojani Kaka we kiboko 12 ifate mda hu
@FatumaHamisi-sr6yj9 ай бұрын
Kizazi cha tiktok 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saadkhamis5119 ай бұрын
Big up mkojani walai hakuna kama wewe
@gaspermwasalemba35379 ай бұрын
Mkojani na Chandimu jau saana😂😂😂😂😂
@Mchomejr9 ай бұрын
Mkojani uko juu bos 😂
@hbaba.9 ай бұрын
Wanawak wakipenda wanapend kweli jamani
@InnocentArmadillo-do9vm9 ай бұрын
Team mkojani gang muko vizuri sana 💯💯 💯
@AngelEdwin-t9m8 ай бұрын
Selemani kama selemani😅😅😅😅😅
@feisalzungu90179 ай бұрын
Mkojani atachukua mzigo huu mtakuja kunambiaa
@alinassor3919 ай бұрын
Ndio m.mke mweusi Ana mapenzi ya kweli maana anahofu ya kuachwa na akiachwa bc atachukua mda kupata mwengine na m.mke mweupe anajua akiachwa weupe wake ni rahisi kupata mwengine
@MwambaHeri9 ай бұрын
Sijuwi kama niko wangapi nipeni maua yangu 🎉🎉🎉🎉
@rashidiUlimwengu9 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza leo mkojan gang
@jackoboabunuasi-hb4qc9 ай бұрын
Selemaniio unanifurahishaa sanaaa
@LAURENTMSAFIRI9 ай бұрын
😂😂😂😂 mkojan bwana
@OmanOman-dn6dj9 ай бұрын
Kama kuna mtu ana tabia ya Sele basi tutachomwa moto sana😢😢
@badicali10449 ай бұрын
Chandimu utakuja yaipia kwa yote😢
@Sharifa-jx7fv9 ай бұрын
Honger❤❤❤ mkojan
@harithsaid18349 ай бұрын
Mkojani filani zote hii umetisha from muscaty oman
@FaidaFrank8 ай бұрын
Sele utamkumbuka huyo dada😢
@eshamohd72684 ай бұрын
Ati v v v😂😂😂
@rehemaally81289 ай бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu please🙏🙏
@SadikeyBikyeombe-sw7ec9 ай бұрын
Anko jani katisha🎉🎉🎉
@shabaniddy51379 ай бұрын
Chandimu sie tupo pale
@Zasc0-729 ай бұрын
Hatali 😂😂
@cyprianyinnocenty20029 ай бұрын
Em t0en maon s0 kusem wakwanza mimi
@glorymungure77409 ай бұрын
Wa pili jamani
@hbaba.9 ай бұрын
Sele kama hamonaizi kwa majimama
@DerrickLaizer-do5hf9 ай бұрын
Mambo ni fire from kenya
@hbaba.9 ай бұрын
Tena black beauty wana mahabba mzee we acha tu
@Movieslover09409 ай бұрын
Mkojani ata Kama movie lakin muwe mna tumia akili uwezi muacha mtu njiani vile una kuja huku una ongea mda wote huo unge peleka hospital au nyumbani then ndio umfate sele
@abdulmohd68809 ай бұрын
100% sure🎉
@rachelkihaka92049 ай бұрын
it's true
@maulidubaya16429 ай бұрын
Song kali sana yn
@masudmrisho62999 ай бұрын
Wangapi mim😊
@djangrezke4469 ай бұрын
Team mkojani hoyee!!!
@SaborosoDaNacira9 ай бұрын
Chandimo você é muito mão e depois vai se arrepender
@YUYUHfilms20239 ай бұрын
🎉🔥🔥🔥
@rabaiayubu20429 ай бұрын
Dah sele😢😢😢😢
@dotoomary68899 ай бұрын
Huo mshati wa mkojan
@fatumaselemani38079 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤
@jovintosssi32879 ай бұрын
Wakwanza leooooo
@skysuleshfootballnews27419 ай бұрын
Oya iyo nyimbo koi iachie mapema nimiielewa kazi
@hamisahamisa58969 ай бұрын
Wahi mm from Oman
@Gamba819 ай бұрын
Good good 👍🏾
@Aikenya2549 ай бұрын
Nipo hapa from 🇰🇪
@GiverLiquid9 ай бұрын
😀😀😀😀
@mariamfritsi49439 ай бұрын
Asanteni mpo vizuri sana. 24.04.24.
@MosesMunene-j5u9 ай бұрын
Wale wanao Angalia Hadi mwisho ndo tuna comment tujuane
@Ujumbewadini9 ай бұрын
Tutowe somo kidogo kwa mkojani na kwa wengine: talaka moja mwanamke hatolewi kwenye nyumba pia eda sio siku 90 yani miezi 3 bali ni hedhi tatu kwa anaepata hedhi na ambaye hapati hedhi ima kwa udogo au kwa kufikia umri wa kukata tamaa na hedhi huyo ndio anakaa eda miezi mitatu. Na Allah ndio mjuzi zaidi.