Mungu ikumbuke simba kwa ajili ya Tanzania tukumbuke mwaka huu uwe pamoja nasi asante kwa ajili ya uaminifu wako
@Rojamoo-y9o2 күн бұрын
Timu yangu hiyooooo Ilove simbaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@aminahhuawei11332 күн бұрын
Mungu ibariki simba yetu ameen 🙏🙏🙏🦁🦁❤️❤️❤️
@kalingakalinga8926Күн бұрын
Mungu Ibariki Simba Sports Club Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu Tunakuomba Utujaalie Ushindi wa Point Tatu.
@marthamsacky6973Күн бұрын
Amina
@Vistus-c5h2 күн бұрын
Hukohuko kwao watakiona cha moto simba simba aaaaaaaaa UBAYA UBWELA penda simba upate mambo mazuri I LOVE YOU SIMBA SPORT CLUB
@nuruosward81612 күн бұрын
Good news God protect this gift for simba life we lov you❤❤❤❤
@iddiramadhan2 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya jumapili Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@SharifaShabani-n8z2 күн бұрын
Mungu tunaomba walinde wachezaji wetu pamoja na benchi la ufund,
@ProspaSalumLungwechaКүн бұрын
Kweli huyu jamaa ni comedy 😂😂 nakubali sana Simba nguvu moja
@Esterkomba-ef7ebКүн бұрын
Oyooooooooo mpazu safi sana mungu uwe upande wetu.
@LaurensiaPeterКүн бұрын
Mwemyezi MUNGU awatangulie wapiganaji wetu 🙏🏻🙏🏻all the best
@JoanithaJeremiaКүн бұрын
Naitakia klabu yangu ya simba katika kuukamilisha (ubaya ubwela) .simba nguvu moja
@Yohanankwabi-e9oКүн бұрын
Ubaya ubwelaa wakikaza sanaaaaaaaa dakika zilezile wakikazaaaaa tunapewa penaiti lazima wafe kifo kibayaaaa❤❤❤❤
@WeliksElias2 күн бұрын
Naipenda sana team yangu ya nyumbani nikiwa USA
@najmahamis2 күн бұрын
❤❤
@JohnAlute-bw9fkКүн бұрын
Rudi 🏠....
@DanieliKamwelaКүн бұрын
Uko bongo wew USA wapi
@abdallahsima7351Күн бұрын
SEMA USA RIVER
@RphaelMwambenja-g2g20 сағат бұрын
We jamaa ni mbishi sana kwaiyo unabisha kwamba jamaaa ayuko USA
@dancemachinecrew64802 күн бұрын
Simba nguvu moja all the best my team
@isackismail13402 күн бұрын
Mungu awe upande wetu ❤ simba.
@JacksonLameck-wp4udКүн бұрын
Simba nguvu 💪💪
@mwajumamande847710 сағат бұрын
Naipenda simba sana jmn.....MUNGU IBARIKI SIMBA KESHO TUPATE POINT TATU MPK FAINAL NA KURUDI NA KOMBE...i lv ❤❤❤
@JabiryMboma2 күн бұрын
Mungu barik ushindi simba yet ❤
@mwakabongaedward16512 күн бұрын
All the best my team
@MariamYahayКүн бұрын
Mungu,bariki,timu,yangu,kwamuchenzo,wajumapiri
@MwamvitaKizua2 күн бұрын
Kila la kheri namuona Star mtambo anapita kwa kujiamini inshaallah tutashinda
@ElishaJastin-j8q2 күн бұрын
Kipenda roho changu ubaya ubwela❤
@NyamweziOg-b8b2 күн бұрын
Mungu kwannza 🎉
@AndrewAristaricko2 күн бұрын
Ubayaaa ubwelaa ❤❤
@joshuamwasandube7860Күн бұрын
Mungu wetu mwema, simama na Simba yetu
@JUMARAMADHANI-n1u7 сағат бұрын
Simba. Nguvu moja ebwanae ubaya ubwela..mungu atufanikishie .pwent tatu dhidiya sc .fcs
@KayumuKayumu8 сағат бұрын
Kilala kher ❤ Simba
@rahmakassanga901317 сағат бұрын
❤❤❤Simba nguvu moja
@bigirumanalululouise45402 күн бұрын
Mungu bariki simba yetu🥰🥰🙏🙏🙏
@Elia-ob9nrКүн бұрын
Semaji unajuwa Sana kuelezea mungu akubariki, mungu ibariki Simba "ubaya ubwela"
@SetMohamed-i9y2 күн бұрын
Simba taifa kubwa, inshallah tutapata ushindi.
@cejbeatz2 күн бұрын
Sawa 🎉Sawa❤❤
@ZachariaMwita-bu7rwКүн бұрын
Nguvu moja🔥🔥🔥🦁
@nuruosward81612 күн бұрын
Kama Mabululu na wengine walipigwa hawa wataponaje nasemaje kwao kama kwetu ushindi lazima wachezaji focus timing na umakini na kujituma sanaaaa be care fully second time
@Niclass-f3xКүн бұрын
Simba always one power
@EstaTito-b6hКүн бұрын
SIMBA yangu penda sana❤❤❤❤❤❤❤
@JackMart-l9p2 күн бұрын
🦁❤❤
@PauloMalasoКүн бұрын
Mungu ibaliki simbayangu🙏🙏
@KamgishaAnaniaКүн бұрын
Mungu ibaliki 🦁🦁🦁🦁
@KassimSaid-s3j2 күн бұрын
Allah yupo pamoja na sisi wana simbaaa ..like zenu
@AsengaSigfrid2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@disllayDaviid22 сағат бұрын
Woow Ellie mpanzu de best
@Kaperamjema2 күн бұрын
Kilalaheri mnyama tinawategemea tuponyumaenu tunawaombea simba nguvu moja ubaya ubwela❤❤❤❤❤❤
@KhanashyAlmassiКүн бұрын
Inshallah kwa uwezo wake ALLAH tutapata matokeo aminnnnn
@HasnatMustafa-n1qКүн бұрын
Kila la khery simba 🙏 allah atufanyie wepesi hi.mechi tushinde inshallha 🙏
@IzackfanuelКүн бұрын
Mungu aitangulie simba 🦁 yangu irudi na point 👉👉 3+Amen
BIG TEAM SIMBA SPORT CLUB UBAYA UBWELA ilove you simbaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@dottoAthuman-d1f2 күн бұрын
Kila laheri timu yangu pendwa huko Tunisia ubaya ubwela point 3 muhumu nawapenda wachezaji wote bechi la ufundi na viogozi wote pia na washabiki wote wa Simba Simba nguvu Moja ushindi lazima amina❤❤❤
@dottoAthuman-d1f2 күн бұрын
Asanten viogozi bechi la ufundi Kwa kukamilisha usajili wa Elie mpavu kimataifa mungu awazidishie mlipo pugukiwa awajazie amina
@dottoAthuman-d1f2 күн бұрын
Mwenyezi mungu watangulie Simba nguvu Moja trh 5 Tunisia kurudi na point 3 malaika wa mungu watangulie uwanjani Nuru ikatawale amina
wow just wow mpanzu is the one of the classic critical player and very talented. just imagine camara Hussein kapombe spea fondoh kagoma ngoma Jean mpanzu kibu ateba no one be safe
@KAZMOVIE-g3oКүн бұрын
💯nguvu moja
@RamadhanMohd-q8lКүн бұрын
UBAYA ubwela ❤❤❤
@habibuhabibu9728Күн бұрын
Mkumbushen she malone awe makin aache kupapalika asije kuchoma kama kule
@AllyNzisabiraКүн бұрын
Kweli kabisa
@DeogratiusDeogratiusmagesa-w4z2 күн бұрын
Love ❤simba
@LazarokidulanyaКүн бұрын
Amen, wish all the bext
@NyamitweBonfaceКүн бұрын
Nakubali sanaa
@VeronicaJohn-l5s2 күн бұрын
Ee mwenyezi Mungu ibariki simba
@IbrahimAlharthi-i4dКүн бұрын
Simba deep in our hearts. God Willing, His successful thunderous roars bearing victorys would be he, ard across the continent and elsewhere in the world
@lwimikoyusuph2 күн бұрын
🦁🦁🦁🇵🇪🇵🇪🇵🇪💥💥💥
@ZubeirKhamisiКүн бұрын
Mungu atujaalie ushindi mnono inshaallah
@bilinjengallya86992 күн бұрын
Nguvu moja 🦁🦁
@hawasafiki5222 күн бұрын
❤❤❤❤
@RahmaKhalfani-qp3vc2 күн бұрын
Mungu awalinde awape arya naushindi mnono inshaallah
@MahaSaeed-hf3gsКүн бұрын
Mungu nimwemaa
@peterlyson6436Күн бұрын
All the best mnyama
@SarahMathias-v1g2 күн бұрын
This is simbaaaaaaa
@WaSimba-n6zКүн бұрын
Ubaya ubwela simba nguvu moya
@Mapesa-x3w2 күн бұрын
lov u simba
@hendricksjohn6201Күн бұрын
Mungu awape nguvu askari wetu awalindie tuweze kurudi na ushindi
@NyasanaTv-ol4ix2 күн бұрын
killa laheli katika mchezo huo mungu awape wepesi mshinde kwa kishindo kikubwa
@BeatriceMsophe-k3m2 күн бұрын
All the best my team Ubaya ubwela❤
@GeorgeMwakyusa2 күн бұрын
Naiyombea timu yangu simba sc iweze kupata matokeo mazuri tunis
@JacksonGhanda-v6g2 күн бұрын
Tuna muomba mwenyez mungu atusaidie tushindee iyo mechi inshaalah
@NazilisalumukadeweleNazilisalu2 күн бұрын
Mungu aijelie timu yetu
@MizaDaniel-g5n2 күн бұрын
❤ pend simb yang mm. Naiombea ushind wa mbil
@iddymobae2 күн бұрын
Simbaaaaaaaaaa nguvu moja
@Ommybabaa472 күн бұрын
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 SEMAJI LA FIFA Semeji lenye Degree waambie wachezaji wawe makini Dakika za mwanzo na mwisho waarabu wajanja yao Inshallah UBAYAAA UBWELAA UBAYAAA 🎉
@AlliMohamed-q2y2 күн бұрын
#ubaya ubwela simba nguvu moja ❤❤😂
@AsengaSigfrid2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EliaTishКүн бұрын
Simba nguvu moja
@paulojoseph3350Күн бұрын
❤❤🦁🤲🤲
@SalmaJuma-p7bКүн бұрын
Kila la kheri chama langu allah awape ushindi
@WinnersonMahali2 күн бұрын
Timu konki ni moja tu Bongo..... mnyama,hao wengine washirikina tu
@herimwafulango8606Күн бұрын
KILA LA KHERI SIMBA SC TANZANIA
@athumanibakari23852 күн бұрын
Mungu jalia tupate ushindi WA magori mengi UBAYA UBWELA Simba NGUVU MOJA
@IbrahimJumanne-d5lКүн бұрын
One power
@IreneRaymond-i6fКүн бұрын
Kila la khery simba
@PhilkevinFelix2 күн бұрын
Simba beat those Tunisians 3 nil
@shahamemalenga48382 күн бұрын
Ukweli mechi Ngumu sana kwenye ili Group timu zote zina nafasi ya kufuzu ni nani atachanga kalata zake vizuri tu Simba apate ushindi akifungwa akategememea ashinde Kwa Mkapa anaweza kua na alama 9 na asiende kokote
@SelemaniMachembo2 күн бұрын
Tunaomba mungu awarinde wachezaji wetu
@DiyoShabanКүн бұрын
Simba nguvumoja
@EdsonAlfaeliКүн бұрын
Kila kher mungu atatupigania
@TomasiklistophaMwinukaКүн бұрын
Kira lahery wapambanaji wetu Sisi Dua tu hukunyumbani Simba nguvu moja