Serikali Kuokoa pesa ya kuagiza mashine nje

  Рет қаралды 70

SIMULIZI ZA SAUTI

SIMULIZI ZA SAUTI

2 жыл бұрын

Taasisi ya uhandisi na usanifu mitambo Tanzania (TEMDO )imebuni teknolojia mbalimbali ikiwemo majokofu ya kuhifadhia miili,vitanda vya kujifungulia wakinamama ,pamoja na viteketeza taka katika hospitali, ambapo watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa ya kununua teknolojia hizo zinazozalishwa hapa nchini badala ya kuagiza nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mkuu wa TEMDO, Injinia Prof. Frederick Kahimba wakati akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kwa lengo la kujionea teknolojia mbalimbali zinazotengenezwa ikiwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo kwa waandishi waliopatiwa elimu namna ya kuandika habari za Sayansi na teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH).

Пікірлер
Treni yawasili Arusha baada ya miaka 30
3:03
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
MADUKA YAFUNGWA ARUSHA KISA KODI "HII VIDEO IMFIKIE RAIS WETU"
7:55
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 833 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Maharage Jesca Tiba Nguvu za Kiume
5:59
SIMULIZI ZA SAUTI
Рет қаралды 575
5G ndani ya Tanzania |Ipoje kasi yake?
4:53
SIMULIZI ZA SAUTI
Рет қаралды 295
Masai Land: Hoteli ya Kitalii Iliyopo Jijini Arusha
2:53
Global TV Online
Рет қаралды 20 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН