“Serikali mnatufikisha mahali pagumu sana kwa mambo madogo ”-Spika Ndugai

  Рет қаралды 98,695

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Spika wa Bunge Job Ndugai ameieleza Serikali kwamba inaenda kulifikisha taifa mahali pagumu sana kwa kushindwa kumaliza tatizo la ongezeko la bei ya mafuta ya kula nchini na wakati huo amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage kuja na majibu ya tatizo hilo Bungeni haraka iwezekanavyo.
Kauli hiyo ya Spika imekuja baada ya Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe aliyetaka kupata majibu ya Serikali kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta hayo ambapo Waziri Charles Mwijage alimjibu kwamba jambo hilo linashugulikiwa ingawa kwa sasa kuna mvutano umeibuka baada ya meli mbili zenye mafuta kuzuiwa bandarini.

Пікірлер: 147
@hassankaluta8864
@hassankaluta8864 6 жыл бұрын
spika leo umeamka salama kweli sisi wananchi ndio tutaumia big up ndugai leo nimekupongeza kwa moyo wote
@iddikibwana6930
@iddikibwana6930 6 жыл бұрын
Hongera sana Spika . Ukiendelea hivyo serikali itasimamiwa vizuri
@alenykavindi3228
@alenykavindi3228 6 жыл бұрын
Mungu akubariki Ndugai msema kweli mpenzi wa Mungu miaka yoote nilikuwa nakuona haufai leo umefuta makosa yoooote .Endelea hivo hivo baadae ugombee upresda
@saidasalim2791
@saidasalim2791 6 жыл бұрын
Ninakila sabab ya kukupongeza spika umefanya kaz nzuri Leo naomba uwemkweli sikuzote safi sana
@selemankilawa1589
@selemankilawa1589 6 жыл бұрын
spika ck zote ungekua hivo na wabunge wrote aman ya kweli Tz ingetamalaki haki ingeshamili hongera sana MTU akifanya vizuri anastairi kupongezwa endelea hivohivo
@nasseral-maskari9852
@nasseral-maskari9852 6 жыл бұрын
Spika ameongea point ya maana sana. Asante sana mheshimiwa
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 6 жыл бұрын
Wabunge mnge kuwa hivi kila siku wakai nnchi ingekuwa tajili hii ,Spika bonge la jembe hongera sana
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 6 жыл бұрын
Sawa mheshimiwa kama nyeupe nyeupe kama njano basi njano tusizungushane hongera Spika
@rabielulomi8607
@rabielulomi8607 6 жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza nimeshuhudia Bunge hili likifanya kazi kama muhimili unaojitegemea. Bigup sana Speaker
@ibrahimally6455
@ibrahimally6455 6 жыл бұрын
Leo ndugai nimekuelewa sna umeongea vzur sna
@shownewsdiamond1942
@shownewsdiamond1942 6 жыл бұрын
Alipoamkia spika leo akalale hapohapo tena nakesho awe hvi
@zulfazame6871
@zulfazame6871 6 жыл бұрын
😁😁😁😁
@johnlulandala9029
@johnlulandala9029 6 жыл бұрын
simbaaaa
@ayubnsajigwa1037
@ayubnsajigwa1037 6 жыл бұрын
Ndugai unaaanza kukomaa ukiendelea kuwa hivyo Bunge linatakuwa BUNGE
@jeverinopembe7945
@jeverinopembe7945 6 жыл бұрын
Ayub Nsajigwa Tunaumia saaana
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Ayub Nsajigwa ndugai nikama kinyonga anabadilika kila cku
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 6 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa kugundua uongo huo mungu akuzidishie discover hiyo
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 6 жыл бұрын
Aisee mheshimiwa Spika umeongea neno zito sana ushauri wazingatie nakusimamia wanachokisema ili wananchi tusi babaike
@kyaro5945
@kyaro5945 6 жыл бұрын
Mh Ndugai sikujua kama wew ni mkali hivyo. Hongera sana mh. thnk you umesema ukweli unaouma
@ernestkibulei2060
@ernestkibulei2060 6 жыл бұрын
Spika Leo kweli umeisimamia Serikali yetu kikamilifu
@salimungulo3870
@salimungulo3870 6 жыл бұрын
Very nice, kna muda napenda sana viongoz wakweli au wanaotoa hoja kulingana na hali halisi ya maisha ya watz kwa sasa
@geraldnashokigwa517
@geraldnashokigwa517 6 жыл бұрын
Congratulations, J. NDUGAI-----!!
@salummwita5824
@salummwita5824 6 жыл бұрын
Umeongea fact sana ndugai naomba kla cku uwe hvo uongoze bunge kuicmamia serikari ipasavyo na kuishauri serikali na kuibana serikali kwa manufaa ya watanzania na taifa kwa ujumla, nmekupenda sana leo, endlea hvo mzee wangu
@paschalnyabatende4385
@paschalnyabatende4385 6 жыл бұрын
Kwa hiyo Mh. Spika anamaanisha Waziri kadanganya!
@ernestkibulei2060
@ernestkibulei2060 6 жыл бұрын
Kwa hili la Wizara ya Ardhi na Maji Rais Kama anawaona wanayoyafanya ,anagusa mulemule,Hongera Rais
@naomymagambo5855
@naomymagambo5855 6 жыл бұрын
Mh.spika leo kaukosha moyo wangu
@deogratiusogunde4108
@deogratiusogunde4108 6 жыл бұрын
Watu wangu wa Nguvu @AyoTv hizo adds za mitume na manabii na zingine (kama zipo) nafikiri zitatupunguza wengine kuwafuatilia...zinaondoa flow ya habari zenu. Nadhani mnaweza kuangalia namna nyingine ya kuwatangaza watu wenu wa nguvu kama hawa mitume.
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 6 жыл бұрын
Spikaaa now you are talking 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿UBARIKIWEE SPIKAAAAAAA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿MUNGUU AKUBARIKIIII 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒
@zahoramour3344
@zahoramour3344 6 жыл бұрын
Zanzibar tuliwakataza wasilete sukari bara kwa sabab sukari inayozalishwa Zenj haitoshelez mahitaji ya Zenj. Nadhan na bara nao wajikataze kuexport mafuta maana hawajitoshelez kimahitaji. (Kama ndio ilikua hoja juu ya Zanzibar)
@bakariomary7479
@bakariomary7479 6 жыл бұрын
Sikuzote ukiwa mkweli na muwazi safi sana
@kfastak
@kfastak 6 жыл бұрын
Spka wanamshangilia.. mawazir wakija na upuuz Wana sahnglia ... Yani wabunge wa wa CCM ni waajabu mno!
@haneyrashidy5481
@haneyrashidy5481 6 жыл бұрын
hahaha yni ni shida
@mohamedbakari2833
@mohamedbakari2833 6 жыл бұрын
Bon
@selemaniseja6328
@selemaniseja6328 6 жыл бұрын
Bongo Tz
@salummwita5824
@salummwita5824 6 жыл бұрын
Uccm na upinzan kwny maendleo hauna nafc bunge likiendeshwa hvo mungu wangu kla mtu atafanya kz yke ipasavyo, serikali itafanya kz yke Barbara cz bunge linafanya kz yke, mungu libaliki bunge letu mungu mbariki rais wetu mungu bariki taifa letu Ameen
@christophernzige3913
@christophernzige3913 6 жыл бұрын
Yani NDUGAI Leo,sijui malaika wamekutokea ,
@wilfredmfuru1677
@wilfredmfuru1677 6 жыл бұрын
kweli leo hongera
@salimkheri3057
@salimkheri3057 6 жыл бұрын
Umeongea point spika... T.R.A kuna watu wapo kwa ajiri kupoteza malengo ya raisi
@justicemichael4907
@justicemichael4907 6 жыл бұрын
Daaa spika pia mimi leo nime kukubali kwa kusimamia maslah ya wanyonge ukweli hali ni mbaya kwenye swala la mafuta na sugar jaman twafaaaaaa
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 6 жыл бұрын
Ndugai Sema Sema usiogope sema
@williamsonbais9131
@williamsonbais9131 6 жыл бұрын
spika Ndugai.hii hoja iendelee mpaka mwisho.kisha wananchi, tupate majibu upesi, pia bei zishuke na sisi wananchi tuone kweli bei imeshuka . chai hainyeki siku hizi..
@jumamohamed7720
@jumamohamed7720 6 жыл бұрын
For the first time Ndugai shkamoo baba
@professorjoma2364
@professorjoma2364 6 жыл бұрын
Nlivhogundua TRA wapo sawa ila hao wakaguzi hawako sawa unamwambia TRA apige kodi ya maguta ghafi akati anaona mafuta kamili haiwezekani TRA SIMAMIENI MNACHOKIONA
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 жыл бұрын
Hapa Spika umeongea vizuri
@saidbanga
@saidbanga 6 жыл бұрын
Hii hata mimi nimeipenda sana yaani sipati picha angekuwa analiamua hili magufuli saa hii kashawazingua wote kwa sababu wapuuzi
@jensennashon6147
@jensennashon6147 6 жыл бұрын
mimi nilishasema Mhe spika Ndugai hujawahi kuniangusha. just BLACK & WHITE mchana kweupeee
@djunction4127
@djunction4127 6 жыл бұрын
Leo umeongea busara ktk siku zote
@ungonelamapunda4908
@ungonelamapunda4908 6 жыл бұрын
hili bunge likiamua kusimamia serikali ipasavyo nchi itasonga. serikali inafanya mambo mengi ya hovyo.
@muhammadalmasikawaya7228
@muhammadalmasikawaya7228 6 жыл бұрын
Sasa namuona spika halisi na sio kibaraka wa mtu fulani
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 6 жыл бұрын
Mimi ccm ila mwijage sikupendi ubabaishaji mwingi,spika Leo umenikonga nyoyo
@jameslyimo1368
@jameslyimo1368 6 жыл бұрын
Mr franswa j4 angalau kidogo
@professorjoma2364
@professorjoma2364 6 жыл бұрын
Oneni udhaifu wa wabunge wa ccm waziri anashangiliwa msimamizi anashangiliwa spika anashaliliwa mmmh kuna walakiniii
@godlistenmmbando9666
@godlistenmmbando9666 6 жыл бұрын
Sipka mungu akuongezee ujasiri Mara dufu. Leo umeongea Mtumishi
@joycentongani388
@joycentongani388 6 жыл бұрын
,kweli umesema spika ifike mahali usimame kwa miguu yako km hivyo. Mungu akubariki.
@mohamedsasma7664
@mohamedsasma7664 6 жыл бұрын
Spika kwa hili nakupongeza Sana !wataalamu wapo ubabaishji ndio tatizo na uoga wa hovyo ambao hauna tija!
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 6 жыл бұрын
Ndungai leo umekuwa mtu mzuri ajabu
@happymerry8735
@happymerry8735 6 жыл бұрын
safi sana spika.
@abdillahmbinga7481
@abdillahmbinga7481 6 жыл бұрын
waziri gani uyo.anakula pesa zetu kutuletea ujinga huu.wizara iyo apewe msukuma maaana ana akili kuliko uyo .
@amaniamani1129
@amaniamani1129 6 жыл бұрын
Huyu jamaaa ata simwelewagi huwa anaongea mambo mengi tofauti na point
@musamutambuki4154
@musamutambuki4154 6 жыл бұрын
Ulikuwa wapi Ndugai? Hii ndio kazi ya Bunge
@vicentmboro3990
@vicentmboro3990 6 жыл бұрын
Apo ni iyo meli na maanara zimepina na bado haki haijapatikana. Swali la kujiuliza je vip hawa wafanyabiashara wa maduka ya kawaida? Hii T.R.R ni janga kwa wafanyabiashara wa Tz jmn
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 6 жыл бұрын
shikamoo spika
@clt9914
@clt9914 6 жыл бұрын
Lazima nchi iepuke kuingiza wafanyabiashara bungeni. Bungeni wafanyabiashara wanaingizwa kwenye kamati za maamuzi na maamuzi yao yanakuwa ya kibiashara. Nani asiyejua waagizaji ni wadanganyifu?? Tuache biashara ya udanganyifu. asiyeweza kuacha, aondolewe ndani ya biashara muhimu.
@erickhaule8680
@erickhaule8680 6 жыл бұрын
hilo tangazo LA mwanzo promo hadi kwenye mambo ya dini jamani zote hizo sadaka tu
@nasibumbiro5526
@nasibumbiro5526 6 жыл бұрын
Spika unge wasimisha hao wabunge wanao piga kelele ili usikie wanacho waombea wananchi alafu una wapa jibu kama hilo nao wajisikie haibu
@TheHalmoe1
@TheHalmoe1 6 жыл бұрын
Millard Ayo Tv, Hili Tangazo la Mitume Mwanzo wa Kila Clip Lina Tuboa.
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 6 жыл бұрын
asante ndugai .
@evanstweve7720
@evanstweve7720 6 жыл бұрын
wizara hii kuna shida kubwa sana, sukari, mafuta ya kula, mmmmmmh bala
@josephathikiharatu4695
@josephathikiharatu4695 6 жыл бұрын
tuna umia kweli
@abdillahmbinga7481
@abdillahmbinga7481 6 жыл бұрын
mzee umeniboa sana.kwa mini umwazuia kuuza sukari bars alafu sisi tukauze nje.sisi ndio tuna shida Zanzibar he.jibu swali.vinginevyo tusiuze pia tuone tabu wanayoioata wazanzibar
@obadiahkisonga9193
@obadiahkisonga9193 6 жыл бұрын
Speaker ulikuwa wapi? Fanya hivi kila siku, bunge litaitwa bunge siyo huo usanii tunaousikia siku zingine.
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
wabunge wa ccm upumbavu umewakilia kooni sana nyie kila kitu makofi mnaboa sana
@frenkwaitinyi8726
@frenkwaitinyi8726 6 жыл бұрын
hawa wabunge wa ccm mda mwingine nashindwa kuelewa huwa wanawaza nn
@subramashs2236
@subramashs2236 6 жыл бұрын
In kweli
@ernestkibulei2060
@ernestkibulei2060 6 жыл бұрын
Mnachanganya habar zaidi ya moja ktk clip moja,haipendezi
@edwardmakonge3371
@edwardmakonge3371 6 жыл бұрын
hapo kuna jsmbo.nani aaminike kwenye enzi hizi za rushwa??tra nafikiri wako makini kuhakikisha kodi halisi inalipwa. wayapeleke yakapimwe nje.bado nskumbuka suala la makinikia tulikuwa na chombo cha serikali kilichokuwa kinasimamia lakini kikatuangusha.na hii biashara ya mafuta ina wafanyabiashara wakubwa sana na lolote linawexa kufanyika.tra kujiridhisha sio dhambi hata kidogo.
@hamisjay966
@hamisjay966 6 жыл бұрын
Waziri anatoa majibu rahisi sana kwenye maswali magumu sana
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 6 жыл бұрын
Hii ndo raha ya kutambua majukumu yako , Ndugai umeonesha ukomavu wewe ni kiongozi. Utakatifu haupatikani Kwa kukesha kanisani . Hata mpagani aweza kuwa mtakatifu, utakatifu ni matendo unayoyaishi duniani.
@elishareuben5690
@elishareuben5690 6 жыл бұрын
God save Tanzania....!
@lucamgovano5416
@lucamgovano5416 6 жыл бұрын
Hongela sipika siku zote ukiwa hivyo silikali itanyooka hogongela sana sipika.kwaleo nakupongeza
@peterkandonga4603
@peterkandonga4603 6 жыл бұрын
Luca Mgovano tutumie mitandao ya kijamii kutoa mawazo chanya yenye tija kwa taifa tutaijenga nchi yetu kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo
@alveusjohnmarenge1025
@alveusjohnmarenge1025 6 жыл бұрын
Kwa hapa spika kaonyesha maana halisi ya mhimili wa Bunge.
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 6 жыл бұрын
TRA wamezoea rushwa na jeuri imewazidi
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 6 жыл бұрын
Ndugai oyee kwa kauli tam
@yasinjames556
@yasinjames556 6 жыл бұрын
Huyu waziri sioni nafasi yake kwa hcho cheo yupo ili mda usogee akaombe kura tena very poor minister
@belsonabel4570
@belsonabel4570 6 жыл бұрын
Duuu kwa style hiii du
@kefawales8187
@kefawales8187 6 жыл бұрын
Wakati waziri anasema nimesikia makofi, spika nae anasema wabunge makofi sasa sijui wanaunga hiki na kukataa kipi
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 6 жыл бұрын
Mnafanya siasa za uongo kwenye maisha ya watu,hivi JPM anapomaliza mambo haraka na angepata watu km yeye wananchi wasingepata shida.Wapo mawazir watakao mkwamisha mh JPM kwa kuongea uongo huku wakisingizia mambo mbalmbal ambayo yanapelekea wanach kuichukia sana serikal ya TZ,watu wanakua tayar hata kuhama kwenye nchi nyingne kutokana na maisha kuwa magumu na wabunge wetu wengi kushangilia tu na kupiga makofi huku ushabiki wa kimaslah binafsi na vyama ukiwekwa mbele
@dhulkadmadara5751
@dhulkadmadara5751 6 жыл бұрын
Tangu huyu jamaa ingie bungeni leo ndio kaongea maneno ya maana.
@mosesmollel1319
@mosesmollel1319 6 жыл бұрын
kweli mh spika waambie ukweli serekali
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 6 жыл бұрын
Sio mafuta tu,hata cement,bati nk,viko juu maisha magumu
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 6 жыл бұрын
unajua nimenunua Fungu ladagaa 1500 badala 1000
@robertjunior9916
@robertjunior9916 6 жыл бұрын
Ccm wananena kwa lugha
@joelnassari105
@joelnassari105 6 жыл бұрын
Bussiness man wanachezea TRA...Wahindi wanatuumiza
@edwintaitaz6147
@edwintaitaz6147 6 жыл бұрын
Nimefrah sn kuona spika kalivua joho la uccm nakuwa spika huru kutetea haki za watz
@goodlucktalami3163
@goodlucktalami3163 6 жыл бұрын
kwann mnaagiza wkt ya kwenu mnauza nje kwann msitumie haya ya kwetu adi kutosheleza nchi yetu?
@godlovebenezeth9916
@godlovebenezeth9916 6 жыл бұрын
Ukitaka kujua wabunge wa ccm ni vilaza watizame anapoongea waziri wanapiga makofi anapoongea spika wanapiga makofi sasa unajiuliza wako upande gani kukosoa hawamo kurekebisha hawamo wao kazi kupiga makofi tu
@geraldmstaulo9819
@geraldmstaulo9819 6 жыл бұрын
Huyu Ni Ndugai au ni Tundulisu?
@stephenmassawe218
@stephenmassawe218 6 жыл бұрын
hivi waliokuwa wanamshangilia waziri ndio hawahawa wanaomshangilia spika?
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 6 жыл бұрын
ndio hao hao kaka😂😂😂😂
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 6 жыл бұрын
Hivi Ndugai ameokoka? Naona leo umekaa kitaifa. Kwa utaratihu huu Sasa bunge ni la wananchi na wala si la watu wenye matakwa yao.
@Hamy1109
@Hamy1109 6 жыл бұрын
Mhe. Ndungai safi sana! Jukumu na wajibu wa kutetea Watanzania unapaswa zaidi kufanywa na CCM kuliko mtu mwingine yeyote. Kwa mwendo huo Mhe. Spika utatupa matumaini makubwa sana sisi Wananchi. Ndungai Anatosha!
@sungakhalifa974
@sungakhalifa974 6 жыл бұрын
Hamidu Mkama Wewe ni KUMA,yaani watu tunaomba haya mambo ya uchama yasiwepo hapa nchini lakini bado mpumbavu mmoja wewe unaleta uchama kwenye mambo ya kitaifa. Ina maana watanzania wengine hawana uwezo wa kuliletea maendeleo taifa lao? Isee umeniudhi sanaa,fuck you.
@selemanisaid2214
@selemanisaid2214 6 жыл бұрын
spika naaza kukuelewa kdogokdogo chapa kz mzee
@abdillahmbinga7481
@abdillahmbinga7481 6 жыл бұрын
mzee ndugai pigs hapo hapo ulizia kuusu sukari Zanzibar plz
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 6 жыл бұрын
binge ni wako watu ndio ndio hawajielewi
@kenjunior3443
@kenjunior3443 6 жыл бұрын
THIS IS TZ
@edwintaitaz6147
@edwintaitaz6147 6 жыл бұрын
Mm najiuliza hawa wanaopga makofi wako upande gani mana kwenye ishu yakijinga wanapga makofi ishu ya maana pia wanapga.😂😂 wabunge we2 bnaa..
@papafikiri
@papafikiri 6 жыл бұрын
edwin taitaz unajuaje ni makofi ya watu walewale
@davoo2555
@davoo2555 6 жыл бұрын
Ndio muelekeo huo tulikua tunaujua, mkishawamaliza wale wanaowakosoa nyie wapinzani, mtaanza kupingana nyie kwa nyie na sio kwa mslahi ya umma bali kwa maslahi yenu wenyewe.
@stephenmassawe218
@stephenmassawe218 6 жыл бұрын
Mawaziri kama hawa ndio mizigo kwa serikali, mheshimiwa Rais anatakiwa kuwaondoa haraka mawaziri kama hawa.
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 6 жыл бұрын
Ili ndo Bunge Sasa, ata mkitoa live lakini mkiwa Serious kwenye mambo ya msingi ivi sawa tu.
@subramashs2236
@subramashs2236 6 жыл бұрын
Umesema ukweli
@amiajo2846
@amiajo2846 6 жыл бұрын
eti mafuta yanayozalishwa nchi hatatoshelezi mahitaj ya nchi..!! lakin bado mnauza marigafi nchi za nje
@kfastak
@kfastak 6 жыл бұрын
Ami Ajo Yani hovyo kabsa
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 461 М.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
DIAMOND AKITAMBA NA UZI MPYA WA YANGA🔥
0:56
Millard Ayo
Рет қаралды 1,7 М.