Poleni sana ndugu zangu .... uka ndugu mtangazaji fanya mazoezi umekuwa kibongo mzee baba
@SophiaKamgunda2 ай бұрын
Pole sana Mwanangu M/Mungu awalinde nakuwakinga kila aina yaUbaya
@FatmaAlabri-lz2cw2 ай бұрын
Tunamuomba M'Mungu awalinde na awarudishe wakiwa hai na salama
@shabaniiddy54652 ай бұрын
Eeeh mungu wangu tulinde na uwasaidie walio potea😢😢😢😢😢
@latwibujuma2 ай бұрын
Kama hawatutaki ni bora zaidi watuuwe wote kwa pamoja wabaki peke yao kuliko uchukue ndugu mmoja uache maumivu na majonzi kwenye familia za watu hii damu inayo mwagika haitawaacha salama wallah naapa Mungu atawalipia kwa yote mnayo tenda harafu mtu anasema haya matukio ni yauongo sio kweli, Mungu atahukumu kwa yeyote anaye husika kwenye hili jambo linaloendelea Tanzania 😭😭😭
Lkn pia mkumbuke kuna wafanya biashara wauza figo na main na bandama
@AishaHussein-en3wf2 ай бұрын
Jamani tujifunzeni kitu,tukiona hali kama hizi,tusishangae tu,tuchukue namba za gar ,maana hali inatisha
@saudalilingani9264Ай бұрын
Bado tu hawajapatikana mpk hii Septemba 5:18 sbb tukio hili lina mda
@maryombella2409Ай бұрын
Mungu simamaa sisi wenyew hatuwezi onyesha ukuu wako Mungu ili watu wajue kuwa ww upo
@haskao772 ай бұрын
Nimeipenda familia yao. Wote wanashirikiana japo ni watoto wa mama tofauti. Journalist is very compassionate, wengine wakihoji kama wanamsuta wanaemuhoji.
@patriciacarlo72362 ай бұрын
Hii nchi 😢sijui tunaelekea wapi
@shanimbaruku20712 ай бұрын
Dah😢
@AishaHussein-en3wf2 ай бұрын
Yani watu tumekuwa wanyama sana
@zamBakar-y3j2 ай бұрын
Eeh! Mwenyezi Mungu tulinde na hivi vitendo vya kikatili
@khamushamad88572 ай бұрын
Poleni Sana Mungu mkubwa atahukumu apa apa
@SalamaNautharАй бұрын
Ee MUNGU Wangu tusaidie yarabbi
@SalhaRamadan2 ай бұрын
Ewe mola wetu tunaomba tulindie ndugu hawa waliopotea subhanallah haya majanga yanazidi sijui shida ni wapi😢😢😢😢
@InjiliyaUfalmetv2 ай бұрын
Hizi Ni siku za Mwisho Usalama wetu nikwa YESU tu ,Tubuni kwa Maana ufalme wa Mungu unekaribia
@IbniAbbas-yz3kt2 ай бұрын
Unaandika vitu visivyo endana na maudhui!hovyo kabisa
@adellaishengoma53012 ай бұрын
Kabisa aisee😓😓😓😓😓
@StelaJohn-nj5yf2 ай бұрын
Hallelujah🙏
@Mary-fs4mc2 ай бұрын
@@IbniAbbas-yz3kt Ila wewe si ungenyamaza tu jamani kama hujapenda alicho comment😂😂
@InjiliyaUfalmetv2 ай бұрын
Uharibifu au Kutekwa ,Umwagaji wa Damu unaotokea Ni Dhambi kuzidi duniani Wewe Kama hutaki kutubu waache wenzio watubu Maana kila mtu atabeba Msalaba wake ,Mungu skusaidie Ujue nyakati tulizopo
@neemareuben3112 ай бұрын
Huyo shem anajua ukweli wa kila kituuuu wallah kuwen makin
@renatuswilson15772 ай бұрын
Polisi wanafanya kazigani? Nchi za wenzetu, Raia mmoja Taifa Zima linasimama mpka apatikane. Huku kwetu nikawaida. So sawa aibu kwa Taifa na viongozi maana hakuna Kauli yeyote.
@frolencejovenary6672 ай бұрын
I like this journalist, he knows how to interrogate very well. Au huyu jamaa ni wakofia. Anajua kuoji vizuri yaani. You capture the story inside out
@sophsoph47402 ай бұрын
Sjui kwann tunaogopa jmn yan ASKARI WAMEKUA NDO WAKUOGOPWA JMN SAS RAIA WATAKIMBILIA WAP JAMANI 😢😢😢
@JJTSUPERCLEANER2 ай бұрын
MUNGU YUPO CHAMOTO WATAKIONA KISA WAO WANANA MAMLAKA! ILA YUPO ALIYE NA MAMLAKA KULIKO WAO, MUNGU NDIYE MKUU! ATAWASHUGULIKIA TU HAO MAHARAMIA...WAASI WA NCHI...
@latifamubba1002 ай бұрын
Wakenya wan wez sijui tuka wakodi waje kutusaidia
@ukhtyrehemaabdy28302 ай бұрын
Hii nchi sijui inashida gan wajomba zangu wametekwa toka tar 28/12/2023 Yaan had Leo hawajaonekana Wala hakuna dalili sijui tunaelekea wapi dah😢
@KhadijaMasoud-m6u2 ай бұрын
Toa taarifa bc ht ktk vyombo hivyo vya habari pia
@neemareuben3112 ай бұрын
Mmmmmh nyie nyie nyie nyie mbona mambo mazito nyie aiseee serikal serikal yangu naomba sanaaa angalien haya majanga ni mengi sanaaa jaman
@bintmrisho35262 ай бұрын
Hao serikali ndo wanaefanya haya. Yote
@MaryNdondole2 ай бұрын
Ila huyo mwandishi anapandia panda sana Maneno..mhusika anashindwa kujielezea vizuri...mpe nafasi
@SudyMpanda2 ай бұрын
Yaani mi mpaka nimezima data
@judithtitomalyeta40002 ай бұрын
Dogo anauchungu sana pole sana
@JosephAgustino-f9z2 ай бұрын
Huyohyo shemeji ndio muhusika wa yote
@HamisiMatola-fs2gn2 ай бұрын
Pole sana
@bakariomari24omar212 ай бұрын
Hata mm nina kakangu tuna jina moja baba mmoja mama tofauti.
@khadijamansoor74152 ай бұрын
Poleni sana
@neemareuben3112 ай бұрын
Kwa nn msitrak iyo namba aiseeeee😢😢😢
@cheiknamouna20582 ай бұрын
Kuna wale Wengine wanne nao wauza cm walipotea kitambo sijui ni mwaka Jana hadi Leo hawakupatikana na gari Yao ikatelekezwa barabaran😢😢
@EvangelistJsolomonMkwataАй бұрын
Nini tena hawanduguzetu Mimi nawafahamu kabisa kwani kitu gani kimeikumva tz
@saudalilingani9264Ай бұрын
Hawa bado hawajapatikana hadi hii Septemba 2024 yaani nimewakumbuka tegeta wenzangu
@abdallahashajuma12812 ай бұрын
Dunia sasa inatisha sana anapojuja tu akadainyeye ni polisi usikubali kuwafuata mpaka uwaonebwajumbe wa eneo lako
@sauda45052 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu dah dunia hii 😢😢
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Hichihi. Tz ni hatari sana amani ishatoekwa kwa binaadam vitaya kimyakimya. MUNGU. tutetee wajawako
@ChainesBoufee2 ай бұрын
Chiyumba unafanya kazi kubwa sana m/mung akulinde na akupe afya njema.
@EmanuelMbandi2 ай бұрын
Tz hakuna police hapo hao wamezoea lushwa bila hongo hawataweza kukusaidia dh
@MaallymAbdallah44Ай бұрын
Pole
@dottokulwa70752 ай бұрын
Hv mbona kwasasa kumekua namatukio sana serekali ikowapi jaman hii nchi inakwenda wapi jamani kilakukicha natukio niombe viongozi waselekalini jaman sie niwatu wachin sana selekali mtusaidie jamani tunaishi naisha gani kama tupo parestina jamani duuh?
@RahmaShonaАй бұрын
Minaomba mungu kira siku aturinde waje mana akuna wakuturinda apa duniani zaidi yako naomba mungu ushushe paraa zito kwa wote wanefanya aya mambo yamauwaji na utekaji na ubakaji pia awashushie baraa zito nawao waone jee inanoga
@bintmrisho35262 ай бұрын
Uyoo. Shemeji ni tapeli
@maimukanabora87512 ай бұрын
Mungu awasimamie
@gowekogoweko58032 ай бұрын
Na kweli. Mganga wa kienyeji atapatia wapi pinguu
@TheSalma19992 ай бұрын
Wameuliwa hao na oluşu wow
@SalhaRamadan2 ай бұрын
Familia ya watoto 16 wanazungukwa na shemeji yao hakuna hata mmoja anatoa wazo la kwenda police kweli??? Subhanallah yarrabi😢😢😢😢 Watu tubadilike
@hafsasaif80042 ай бұрын
Kazi iendelee Samia Anaupiga mwingi watanganyika Uwa Awajawai kujielewa Acha Wawamalize😂 CCM
@rukiamziwanda7458Ай бұрын
Shemeji ana husika
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Ila huyu mkaka anatumia hakir nyingi San,pia pole sana
@snipershort69882 ай бұрын
Upelelezi uanzie ku track izo namba zao zilipoitia mara ya mwisho
@totonata53842 ай бұрын
Mwandishi unafaa na una jua jinsi ya kuhoji. Watanzania wanatakiwa wajifunze ku record pale wanapoona watu wanachukuliwa.
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Shemeji abanwe tu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@TatuHusseni-hs7mu2 ай бұрын
Huyo shemeji yake ndo muhusika mkuu 😊
@firdausqutty20672 ай бұрын
Mbona matukio haya yalikua yameishaisha? Kwanni yamerudi tena halafu kwaharaka sana jamani!! Mama Samia simama nahili kiukweli nimaumivu makali sana.
@AnnaMarko-k9t2 ай бұрын
Uchaguzi jamani
@firdausqutty20672 ай бұрын
@@AnnaMarko-k9t tutaogopa hta kutoka sasa
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Kweli mganga wa kienyeji anachukua watoto wa mtu jamani Mungu tusaidie kuna kitu gani hiki mbona wanadamu hatuna hofu ya Mungu
@ElizaYanga2 ай бұрын
Mungu tunaomba utuhurumie waja wako
@SalmanMughal-lq5lt2 ай бұрын
Aamina
@AnithaThadeo-n2i2 ай бұрын
Kwahyo saiz wanatuteka mpaka sisi watu wazma,sitaki lift zenu tena mm ntatembea2 🚶🚶🚶
@sophsoph47402 ай бұрын
😂kimbia mwenzangu
@TatuHusseni-hs7mu2 ай бұрын
Upo kama mim😂😂😂
@barikilangoy47372 ай бұрын
Kamata huyo shemeji na huyo usalama wa taifa wanajuana wakibinywa vzuri wataongea
@dotnatajoseph26202 ай бұрын
Huyu shemeji yenu anahusika Kwa asilimia 99 inabidi abanwe atasema
@hajramakwiro28302 ай бұрын
Ukute hawakuwa hata polisi hao😢😢😢
@FatumaSaid-t4r2 ай бұрын
Pole kijana unawapambania ngdzako.
@davidpaschal7782 ай бұрын
Mnatoaje pessa kishamba ivyo
@JohnJoseph-qq7ow2 ай бұрын
Nchi ngumu hii tumuombe MUNGU sana
@NeemaUrasa-u4yАй бұрын
Namba za simu zifatiliwe hakuna namba iliyosajiliwa bila vielelezo vya nida kuwakamata watekaji anaotumia simu ni rahisi tu
@neykombe8831Ай бұрын
Alafu bunge linasema akuna utekaji Yani ukwel ni kwamba mapolice ndiyo wanachukua watu je wanawapeleka wapi na jela zimewekwa za nn km wanachukua Sheria mkononi na sio mtu mmoja serekali nayo inakaa kimya me nashemej yng hvy hvy mpk tushahisi wamekufa
Pole cn mungu tu awalinde ss hivi nchi yetu Tanzania haina tena Amani wala Usalama roho mkononi cjui tunaishi vp km wenyewe pesa wana ulinzi ss wahali ya chini tulindwe tu na mungu matukio kl cku
@janengowi-lt9gu2 ай бұрын
Mtangazaji vp unaingilia maongezi sana
@bintmrisho35262 ай бұрын
Hata mie ananikera kweli
@MaryNdondole2 ай бұрын
Anakera sana
@khamisjuma85012 ай бұрын
Tanzania ya samia
@KhadijaMasoud-m6u2 ай бұрын
Huyo shemegi yenu anahusika atiwe hatiyani
@hafsasaif80042 ай бұрын
Wanauliwa wanaenda kuzikwa mapolin vijana Mnauliwa bado naipenda CCM
@theoriginals32402 ай бұрын
Mimi enyewe nitakae mkamata na simu yangu atapotea hivyo hivyo
@abdallahashajuma12812 ай бұрын
Yaaraby wasimamie waja wako hawa uwaokoe huko walipo kwani wewe ndie muweza wa kila jambo
@DeogratiusMwizarubi2 ай бұрын
Daah!
@MonicaKaskaz2 ай бұрын
Ni shemeji kahusika
@Lundege_Hips2 ай бұрын
Shemeji ndie Muhusika ila kwa hapa Tz Sijui
@dignakanje4508Ай бұрын
Sasaivi htusomibtaarifa zamaendeleo yatanzania,miradi mingapi imefunguliwa,Bali tunona utekaji uwaaji,waganga wakienyeji kuuwa watu watoto,viungo kutolewa,jmn kama nchi tunaenda wapi,viongozi wtu wenye dhamani yausalama wananchi wenu mko wapi jmn.waziri wtu masauni sema kitu nawatanzania ,miyoyo inavija damu inalia .Uzazi unauma jmn.
@@JohnJoseph-qq7ow haya ccm imekujaje apo watu wanazungumza mambo ya msingi unazungumza pumba tu
@PrinceHendry-hp8vv2 ай бұрын
.ndo chama tawala chenye kuunda serekali yenye ubazazi wa kuteka watu hovyo ila mtatafunana tu wapi makonda
@AliphonceMartina2 ай бұрын
Wewe ndiyo unaongea pumba ndugu yangu hujui kama CCM Ndiyo katiba ya inchi tatizo letu watz tumekuwa Wanachama wa viama badala ya kudili na kuangalia viongozi bola hii CCM ck ikituachia inchi yetu ndiyo ck watu tutakuwa hulu@@MashaMbwana
@ZuinaAidi2 ай бұрын
KK inatakiwa ashikwe yule mwanamke anajua kila kitu
@hidayahidaya-vd3zeАй бұрын
Watu wajiange ikionekana gari limekuja hkuchukuwa MTU bassi hiyo gari watu wafatiliye na watu wasiondoke mpaka mupigesimu polisi kisha ndiyo wawachukuwe
@selemanisalum7685Ай бұрын
Hicho kikosi kazi kwa sasa kinatumika viɓaya
@OG_20Ай бұрын
haya ni madhara ya polisi kubeba watu kiholela yanasababisha hata raia kujichukulia sheria mikononi...sasa hapa tuna uhakika gani ni polisi wamewachukua...pengine ni raia tu wamejichukulia sheria kama vyombo husika
@JOSEPHMwakibinga2 ай бұрын
Kwa kweli ole wenu ninyi mnaoteka watu. Sijui ninyi mtakaukia duniani. Hivi mnaowafanyia binadam wenzenu. Ueni sana watu. Sijui ninyi mtaenda wapi! Pingu wanamiliki polisi raia wanarusiwa kumiliki? Wahusika ni polisi.
@saidalhinai11312 ай бұрын
Mfanye matanga hao wameuwawa ni serikali na polisi wanajua yote hayo lkn hawataki kusema ukweli lkn mungu ataleta hukumu kwa wao madhalimu
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Kwann haukuuliwa wewe ?
@JJTSUPERCLEANER2 ай бұрын
Mungu yupo atawshulikia hao mahalamia! Hakuna aliye na nguvu wala mamlaka kuliko Mungu.
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Joman huyu mwandishi hapana sijamuelewa kabisa kaaa hayo maswali
@soberhousetv22452 ай бұрын
Duh
@Sidrasidra6362 ай бұрын
Hiyo imeisha tandikeni kilio tumesha elewa nilicho jili
@walinaziontime73002 ай бұрын
Ee MUNGU ionekanie Tanzania 🇹🇿 Bwana naomba utupiganie
@Sophia-w5k4i2 ай бұрын
Akamatwe uyo mwanamke anajuwa kila kitu
@khamushamad88572 ай бұрын
Huko Dar kunatisha
@anastaziamathias8861Ай бұрын
Ujaiona ya Yule alotekwa huko Mwanza? Tena stand ya bodaboda?
@Jacklinejohn72 ай бұрын
Yan hii kesi yenu bana yani mmeshindwa kujuwa nani anahusika huyo shemeji yenu 😢