Jamani ghorofa zisizidi 4, maghorofa sio mazuri kwa familia zenye watoto wadogo !! HELLOOO 😢.KWANI Tanzania tumeishiwa ardhi ?
@fatmaabdallah77093 ай бұрын
Zinauzwa tu au pia zinapangishwa?
@NkosieMkunyana Жыл бұрын
Tunaomba number ya sim sisi tupo South Africa 🇿🇦 tutafanya jee
@ShirikalaNyumbalaTaifa Жыл бұрын
Wasiliana nasi kwa namba hii 255736114433
@madalanasri22264 ай бұрын
@@ShirikalaNyumbalaTaifa salama Nyumba ya vyumba 2 ya chini inauzwa beigani
@نَذِيْرْيُوْسُفْ-ح5ع Жыл бұрын
Can foreigners buy one of these apartments? I’m from US .
@lawrencechitalilo8 Жыл бұрын
Yes. You can buy your welcome
@devanse9718 Жыл бұрын
Not really
@geofbeka1669 Жыл бұрын
Huu mradi unapaswa kufanywa nchi nzima, itasaidia Sana kupunguza maradhi ya akili, na magonjwa mengine kwa watu wa kipato Cha chini Kama utalenga kusaidia kundi hilo
@ShirikalaNyumbalaTaifa Жыл бұрын
Tumepokea maoni yako na tutayafanyia kazi karibu sana
@nadhifamshindo6976 Жыл бұрын
hakuna sehemu ya kufulia (laundry) pakuanikia maana balcony ni ndogo na wala hakuna stoo😢
@hpenyika7686 Жыл бұрын
Mimi nahitaji nyumba ya kununua iwe peke yake sio gorofa naipataje?
@seanhussein2 жыл бұрын
Studio apartment bado zipo
@godfreymushi6966 Жыл бұрын
Taja bei ya kila nyumba sasa hutaji bei au ndo rushwa .45 mm kwa nyumba zote au
@zurisana80682 жыл бұрын
Bei gani vyumba 3??
@Sarah-e1o9k4 ай бұрын
Million 45.× 3
@hashimshaban4675 Жыл бұрын
Hyo 45mln ni vyumba vingapi?
@ShirikalaNyumbalaTaifa Жыл бұрын
Ni studio apartment
@joycechuki8258 Жыл бұрын
Na nyumba ya vyumba viwili ni ngapi?, kama hiyo 45M ni studio 🤔🤔
@deoodp18932 ай бұрын
Hii c kweli ,kipato Cha chini studio apartment 45ml,😂😂 hii inchi bwana full mauzauza
@ibrahimabdillah57292 ай бұрын
Hhhhhhhhhhh@@deoodp1893
@kaburumacha315 Жыл бұрын
Je ni lini mnategemea kumaliza mradi? Niliona pahali NOV 2023 lakini sioni mkitimiza hio deadline.
@ShirikalaNyumbalaTaifa Жыл бұрын
Mradi huo unategemea kuisha febuary 2024
@madalanasri22264 ай бұрын
@@ShirikalaNyumbalaTaifa Nyumba Za kununua bado zipo
@valenakomba7686 Жыл бұрын
HIVI HAMNA MAMO MENGINE YA KUBUNI ZAIDI YA KUJENGA MAJUMBA MMPAKA UVUNGUNI WAVITANDA. MPAKA TUNAKOSA HEWAA. YAANI AKILI YA SERIKALI ZETU NI KUJENGA TUU. MNATAKIWA MBUNI MAMO YA MAANA. HAKUNA LOLOTE. UPUUZI MTUPUUUUUUU.
@godfreymushi6966 Жыл бұрын
Maneja masoko fukuza kazi hata sijui ulipataje kazi