SHABANI MPIRA PESA AGEUKA MBOGO KISA MASHABIKI WA YANGA KUWATAKA WALIPE VITI/ ACHARUKA

  Рет қаралды 5,560

CHAPESA MEDIA

CHAPESA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@saudangalleni388
@saudangalleni388 3 күн бұрын
Kwel kabisa kaka
@MirajiMohamed-be1qc
@MirajiMohamed-be1qc 3 күн бұрын
Hilo tatizo haliweziisha kwa mashabiki hawa kwani mpk ss hawajui kasoro zao. Niwachache wenye kujitambua
@alyBojan
@alyBojan 3 күн бұрын
uyuu. mmzee kuuma
@leonardfungo
@leonardfungo 3 күн бұрын
Haiwezi kutokea Simba kufungiwa mashabiki wa Simba hatuna recodi hizo za hovyo kimataifa ndio maana tunatuzo ya mashabiki bora mwisho kabisa taarifa ya kamisaa wa mchezo ikitoka ndio mtajua wachezaji wanampiga kocha nani kafanya vurugu.
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 3 күн бұрын
Huyu koro akili za nguruwe pori kweli maneno yoote unailalamikia yanga tuh kwan sisi ni fifa au mwarabu au serikali usilie lie lipa viti vya uwanja na ni kawaida yenu kung"oa viti zungumzia mtalipaje viti.😂😂
@SimonMlughu
@SimonMlughu 4 күн бұрын
Nakukubali shabani mpira pesa wape ukweli
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 3 күн бұрын
NI kweli Simba s.c. wana mashabiki bora kwa kung`oa viti kwa Mkapa na mtapewa tunzo yenu mda si mrefu
@tosh7671
@tosh7671 3 күн бұрын
Kwani ukiwa Simba lazima uwe mpumbavu kama chokoe
@ashambozu6038
@ashambozu6038 3 күн бұрын
Yanga mashabiki weng wananjaa tu
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga 3 күн бұрын
😂❤
@JumaHUssi
@JumaHUssi 3 күн бұрын
Kubwa jinga. anaulizwa masuala ya simba anaongelea klabu nyengine. Kamera xinaonyesha wanaongoa viti, bado anakanusha. Muandishishi, hivo unategemea majibu gani, kwa kuuliza masuala la ya yanga wakati huyo jamaa nyuma yake kuna nembo ya simba.
@davisbwatwa115
@davisbwatwa115 4 күн бұрын
hayo ndo maneno ya busara simba iwajibike kwa kuwa ndo walikuwa wenye shughuli mengine waachieni caf
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 3 күн бұрын
Mbona Mnajitoa Ufahamu Mpira Mmecheza Nyie Na Mwarabu Wenye Uwanja Wanataka Mlipe Ss Nyie Watafuteni Waarabu Nyie Ndio Wenyewe Na Nyie Ndio Wenye Dhamana Ya Uwanja
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 күн бұрын
Kaka shabani nimekuelewa.
@AllyKimeme
@AllyKimeme 3 күн бұрын
Mwalim yanga ni jipu
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 3 күн бұрын
Tatizo kuvunja viti viti
@HamisiRamadhani-p2d
@HamisiRamadhani-p2d 3 күн бұрын
Na hakuna mwana yanga wa ku vaa sanda haitokei hilo mnalo angaikeni nalo
@ShomariAthumani
@ShomariAthumani 4 күн бұрын
Paka wajalalani mchome sikauri njema shabani
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 3 күн бұрын
Sasa Nyie Watu Wa Simba Mtalalamika Mmeonewa Alie Kabidhiwa Uwanja Nani Mmepewa Uwanja Umekamilika Mmebomoa Viti Nyie Mnataka Viti Walipe Yanga
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 3 күн бұрын
Kwani Simba wakilipa wewe unapata shilingi ngapi? Hatuungi mkono viti kung'olewa lakini oongeeni kwa Nia njema mkiamini kuwa mashabiki wa Simba walilazimika kujitetea baada ya kushambuliwa.
@NasraKambimtoni
@NasraKambimtoni 2 күн бұрын
Kunamijitu mungine haijiherew ss uyu anakum au unamtukan madam na ndg zako wa wakike ww ni mweu kama uyu anakuma basically na wew unayo taira ww mwe nzio anaongerea mpira wew unaret matu
@HamisiRamadhani-p2d
@HamisiRamadhani-p2d 3 күн бұрын
Weee unaongea kwa kufurahisha watu, haujui kama ule uwanja mmekodi mnatakiwa muukabizi kama mlivyo kabidhiwa, huyu mulilo kajichanganya waarabu ishirini wanavunjaje viti mia mbili na hamsni na sita wacheni upotoshaji na sio mara ya kwanza hii sasa ni ya tatu kama una kumbu kumbu
@ashambozu6038
@ashambozu6038 3 күн бұрын
Yanga mashabiki weng wananjaa tu
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 119 М.