SIRI MBONA ELITOKA ZAMANI WASHAZOWEA KUONGA MAREFARE NDIO MAANA DHANA KWA WENZAO
@magechuwa8043 жыл бұрын
Mapovu hayo yanawatoka kaaa😋😋😋🤑🤑🤑
@samwelmangi8433 жыл бұрын
Tatizo lá mishabiki ya Simba huwa haikubali kushindwa sijui kwa nn? MUGALU anafwnya hovyo refer anamwangalia tu mtu anakaa dk 90% mnatukera sana wanasimba
@jaisonmsungu7233 жыл бұрын
Nakuku baliii Sana mzee baba ume ongea kiume kiukweliii
@husseinyusuph54583 жыл бұрын
Kwenye mchezo wa TP walisema tunawasubilia Yanga leo wamebadi lika tena itoshe kusema WAMEYUMBAA
@samwelmangi8433 жыл бұрын
MUGALU please leave our Simba
@fatumamlula44843 жыл бұрын
Tatizo mnaenda na matokeo mfukoni achani wivu
@geraldbagole44943 жыл бұрын
Muda wote Fai toto alikuwa anamshawishi refa ampe Kadi Lwanga not fair tunaomba mechi ya Simba Vs Yanga wapangwe waamuzi wenye umri Kati ya 35 -38 ili akitoa maamuzi yasiwe ya kitotototo!
@khalfanhemed9453 жыл бұрын
Hiyo mirafu angaliwe kachezeshe wewe mechi ijayo
@kosovoawadh83623 жыл бұрын
Mo asajili wafungaji
@kosovoawadh83623 жыл бұрын
Mo baili Sana sajili wachezaji bilion sio milion
@salumrashidi68493 жыл бұрын
Me ni mshabiki wa Simba, ila hongera Utopolo na kwa Simba yetu ile isipobadilika kila tutakapo kutana na Utopolo tutapigwa tuu hata sale hatuipati ,tuseme ukweli tuache ushabiki maandazi yanga walikuwa bora kila idara game ilitushinda na matokeo yake badala ya pila biliani imekuwa pila Rafu tu