Leo Mimi wakwanza kutoka Tanzania 🇹🇿 ndugu yangu Kama una mkubali shadow amazing naombeni ata like 10🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@dayanaanna7278 Жыл бұрын
Aoyvud7hdgk
@KafrogyPep Жыл бұрын
Sonia🔥🙌🏾🙌🏾👊🏾 Namkubali sanaaa Huyu mdada.. Anajua sanaaa Alafu hatumii nguvu nyingi Kutangaza kipaji chake.. Mashaallah.. Inshaallah atafika mbali
@josephsananga6573 Жыл бұрын
Sonia bwana akuongoze katika kazi yako💞😍
@Abdulhamid_Suleiman Жыл бұрын
We dada hayo Macho yako yanatisha kkaah 😂
@dayanaanna7278 Жыл бұрын
Wtigdfi
@salumiddi6500 Жыл бұрын
Leo wa kwanza nipeni like zng
@IbrahKapinga-nv9xv Жыл бұрын
Sonia ni mzuri na rey mashallah
@JescaFelix Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana shadow
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Shadow unazidi kukua nakumbuka nimeanza kukutizama ukiwa na 9k subscribers Leo una 54k 🔥🔥🔥🔥🙌🙌 100k utafika2 Hongera
@marwagabrielmwita4947 Жыл бұрын
Hii imeanza vizuri na inakaa kupendeza mbo ni moja ya filamu zinatamba kama sogodo, jini mahaba, siku tatu baada ya kifo, mangamungamu na big boss tia bidii dogo nawafuatilia sana toka Nakuru Kenya ❤
@KARISASYRIA Жыл бұрын
angalia na zuhura mketema bro pamoja na malkia husna ni kali sana
@samwelimoshi5614 Жыл бұрын
Ww n mtazania najua upo uko kenya
@marwagabrielmwita4947 Жыл бұрын
@@samwelimoshi5614 yap Niko Kenya na Mimi ni Mkenya halisi bro ila napenda sana sanaaa za tz
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Mwendelezo uwepo jamaniii hii series itakuwa hits❤❤❤
@dayanaanna7278 Жыл бұрын
S t 9relwk
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
Iam here to represent my country We love this characters🇹🇻🇹🇻🇹🇻
@dayanaanna7278 Жыл бұрын
Dux9s
@chugaboytz7763 Жыл бұрын
Nakubali Sana 🎉🎉
@kennykonde9722 Жыл бұрын
Sure shadow uwezo bro
@SaudaAdam Жыл бұрын
Shodaw jmn umalizie ile penz la msukule
@AhmadYaks Жыл бұрын
Sonia unaweza
@AnnahEnock Жыл бұрын
Kil mtu wa kwanza aya me wa mwishooo wapewe maua yao team shadow
@shamyalley2091 Жыл бұрын
⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️
@shikumabula8219 Жыл бұрын
Kwamba vipi mkeo kikojozi 😂😂😂
@usumanezana1775 Жыл бұрын
Nakubali kazi ila inauma sana kama mke wako anaumwa Ivo na kumbuka wana sema rafiki yako ndio adui yako
@kadegeolesaita6515 Жыл бұрын
Mh mbn Kali hiii
@fatma4768 Жыл бұрын
Kazi iko poa sana ila shadow umeanza kupaka kitaulo
@aliseif564 Жыл бұрын
Kicheche na clam ni diamond na harmonize wameamua zao hawachilii project wameacha kina chesko wa trend
@Motalenttz-z4r Жыл бұрын
Sonia leo amepatika kwl yani
@PitroipaGuillain-l5z Жыл бұрын
Nakukubali sanaaa shadon kazi kazi
@IlumbiloOrgene-zb5xo Жыл бұрын
Nakubali sana mn 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@appolonation Жыл бұрын
I am here to represent my country Rwanda 🇷🇼!!
@samwelimoshi5614 Жыл бұрын
How I can come to Rwanda my friend
@ChadiaIrankunda-ye7ri Жыл бұрын
Love from chadia irankunda to burundi
@mbwilojenipha8741 Жыл бұрын
Nimeipenda nzuli san❤❤❤
@everdhekay4924 Жыл бұрын
Kazi nzuri👏🇰🇪
@ironcrab4511 ай бұрын
Keep it up shadow
@elizabethmahenzo7220 Жыл бұрын
Next please 😘😘😘
@JamilaBatenga-be7qq Жыл бұрын
Nawakubali miaka Mia
@gadafimuemede2985 Жыл бұрын
Nimeipenda 🙏🏿🙏🏿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@merryananias Жыл бұрын
Kaz nzur pambanen sana
@vicentsalum4884 Жыл бұрын
Shadowa nakubali kazi zako ndg
@geraldnjau7186 Жыл бұрын
Nairobi nawakilisha like nami nijisikie💪
@chadracknshimirimana4761 Жыл бұрын
Mbona mikojo mingi kiasi icho ama kweli ni ugonjwa huu😢😮
@QUEEN_VERO30 Жыл бұрын
Wakwsnza kuihona hi video nimimi npeni mauwa ya ngu🔥❤️
@matugavoi4080 Жыл бұрын
Niambiye
@chantalmariesony2996 Жыл бұрын
Part 2 please shadow
@rachelmalekano7155 Жыл бұрын
🎉ya pili iko wapi shadow
@simbagerard-zx2st Жыл бұрын
Aise Love from 🇧🇮🇧🇮
@Bivany96 Жыл бұрын
💥🌼🌸#Bivabny
@cretrinomz Жыл бұрын
SASA apo ni tatizo nenda kwa cassimo mganga
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
Sema kwel napenda kaz zako shadow
@magnibrondi3152 Жыл бұрын
Jamani kituko mujini anunuliwe pampas
@BelterGervas-br5mb Жыл бұрын
Jmn mbon hna muendelezo sasa
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Doh
@maiyasalenjashi2352 Жыл бұрын
Ha poleni jamani nihali ya maisha
@UR-Christiano-q2e Жыл бұрын
Ndio maisha tu napitia kiuhalisia hii tunaomba muondelezoo