Shambulio la Drone nyumbani ladhihirisha udhaifu wa ulinzi na ukumbusho kuwa Netanyahu hayupo salama

  Рет қаралды 6,788

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 212
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 2 сағат бұрын
Neta paka kazi anayo safali hii alizani Rebanoni ni gaza team muslim like hapa muda utaonge inshaallah!
@سعدههوام
@سعدههوام 2 сағат бұрын
Inshaallah ataharish anajifanya yeye ni mwamba kumbe hana lolote akiski Kimora anakimbia 😂😂 lazima na yeye atakufa tuuu
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 2 сағат бұрын
In Shaa Allah ataangamizwa tu huyu mbwa
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 2 сағат бұрын
😂😂😂 Yeye anauwa watu lakini yeye ni muoga wakufa.Ajue njia yake pia yeye nihiyo hiyo hakna atakae bakia.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 сағат бұрын
Yaani nyie watu mnachekesha sana Kwa hiyo mlitaka awepo hapo nyumbani ili auawe interejensia yake ndiyo iliyo mfanya asiwepo hapo coz huyo ni kiongozi mkubwa na siyo rahisi akajifanyia safari tu kama kwenda kunywa kahawa na watu wengine migahawani pia Netanyahu hawezi Kaa tu uneo Moja ambalo linafahamika na watu wote hili lazima mjuwe 😂😂😂😂
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c 2 сағат бұрын
​Sana na ashukuru America mbwa huyo ila siku yake ipo kuuwa tu watoto na wanawake haoni vidume vyenzake vinapambana na wanajeshi
@mozamoza3960
@mozamoza3960 45 минут бұрын
Insha Allah mwisho wake utafika
@Maryam-qe5lb
@Maryam-qe5lb Сағат бұрын
Amina yarabi afe kidhalili duwa muhimu.muslim
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
Inshaallah
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn Сағат бұрын
Akifa nyatanyahu🎉🎉 ntafunga❤❤
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 11 минут бұрын
Wallahi Mimi pia,...akiuliwa ntafunga mwezi mzima nimeweka nadhiri
@hanifa9153
@hanifa9153 2 сағат бұрын
Tunalaani hyu nyau kila siku yarrab tukubalie maombi yetu afe kidhalili kabisa biidhinllah🤲
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Сағат бұрын
Amiin
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Сағат бұрын
Amin 🤲🤲
@mozamoza3960
@mozamoza3960 52 минут бұрын
Allahuma Amiiin thuma Amiiin ya Rabbi
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 41 минут бұрын
Hafi mpaka ukamuue mungu haui Mtu kama unavyo vikiria😅
@sultanadam5529
@sultanadam5529 40 минут бұрын
Nyau kama Nyau
@adnanomary1955
@adnanomary1955 2 сағат бұрын
Taarifa zao zinafichwa sana,hapo lazima watu wamekufa sema sababu media ni zao hakuna kitu tunaambiwa
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 2 сағат бұрын
Hakuna kitu kama hicho Sema furaha yako ni kutaka Israel iangamizwe na hiko kitu hakitawezekana kamwe. Yes Netanyau au Ayatollah wanaweza kuuawa lkn Israel au Iran haziwezi kufutika. So Kimsingi unapaswa kuamini taarifa zote haijalishi zimetoka kwenye upande upi uwe wa magharibi ama mashariki taarifa ni taarifa tu muhimu fanya research zako binafsi ila ukiendesha kimihemuko utabakia hapo hapo ukiaminishwa yasio kweli
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 2 сағат бұрын
​@@timotheothadeomgassa4929Israel ni waongo sana lakini pia ni DHAIFU na wanapigika TU hizo iron dome zinasifiwa Bure TU lakini Kwa teknolojia ya Hali ya JUU ya Hezbollah Israel anatakiwa ajipange sana Kwa sababu mpaka Sasa MKUU wa majeshi luteni Jenerali Herzi halevi haijulikani alipo tangu drone ya Hezbollah iliposhambulia Kambi ya Israel huko Golan heights 🙌
@adnanomary1955
@adnanomary1955 Сағат бұрын
@@timotheothadeomgassa4929 sasa kwann waandishi wa habar wanazuiwa wasiripoti huoni tatizo
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w Сағат бұрын
​@@timotheothadeomgassa4929you think Israel like you or know you must be mugu😂😂😂😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Сағат бұрын
Sema nini kimwaga acha kuropoka ujinga ivi sema kweli iran ipige kwa wiki moja hapo sema kweli hakutakuwa na madhara?​@@timotheothadeomgassa4929
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 2 сағат бұрын
Yani hata afanyaje mwaka huu hatoboi lazima waarabu wamkande tu😂😂😂😂
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 Сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 njoo nikupe🍑 wewe mkaka🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@UkhutyNaaBsjs
@UkhutyNaaBsjs Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Tu Omb
@MahdouMomba
@MahdouMomba Сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@shawegally1367
@shawegally1367 35 минут бұрын
Nimechek sana😂😂😂
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 25 минут бұрын
Wakimkanda itakuwa jamaa wamelipa kwakuwa viongozi wengi wamekufa
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 Сағат бұрын
Alhamdulillah Ipo Siku Yake InshaAllah
@samirmswahili
@samirmswahili 2 сағат бұрын
Maisha yanaanza kua ya stress ya bwana Neta😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Сағат бұрын
Dj smaa aliwaaambia mfumo wa ulinzi haupo kama unavo sifiwa mukaona ana udini leo tena munathibitisha 😂 anawaambia time will tell
@JeanMalilo
@JeanMalilo Сағат бұрын
😂😂😂😂😂 endelea kusikiliza ujinga
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Сағат бұрын
​@@JeanMalilomuda utaongea😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk Сағат бұрын
​@@salumabdallah2990mda gan uko mnaisha 😂😂😂😂
@bashiryusuph7109
@bashiryusuph7109 Сағат бұрын
namkubali sana DJ asmaa
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 37 минут бұрын
​@@JeanMalilosasa jitu lenyewe unaitwa MALILO unaanzaje kuwa na akili,Ha baba Yako aliwahi kusema anajuta kukuzaa galasa.😂😂😂nilicheka saana na Leo ninazidi kumuamini
@Muhidinikibwana
@Muhidinikibwana 2 сағат бұрын
kiufup nyetapaka siku zake zinahisabika inshallah 🙏
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 2 сағат бұрын
Huyu mbwa na yeye awindwe Hadi afe asione raha kuuwa wenzake t
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 2 сағат бұрын
Kuna siku tu naye atakufaa tu hakuna atakaye baki
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 25 минут бұрын
Akifa tutapata jembe au kabla ajafa Kun mzaz wk mmj atakufa ndo utajua netanyau yup yup wazaz wk watafutk kabla yk
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 10 минут бұрын
@@Daudimakaza-s1v hata nawe pia utakufa tena wewe ndio utanza kufa kabla ya mzazi wangu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Сағат бұрын
Kwa uwezo wa allah hatoboi inshaallah
@charlesmagulu
@charlesmagulu 2 сағат бұрын
Bora afe Benjamen Netanyau
@mahmoudmzee-pr3vs
@mahmoudmzee-pr3vs Сағат бұрын
Kak usijal atakuf tu mda ytaongea kama anavoua ndugu zetu
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 55 минут бұрын
Huyu NAEanaitwa Chal mkristo kabisa NAE anashabikia mmh makibwa
@johnmike6059
@johnmike6059 Сағат бұрын
Ubaya uisha kwa ubaya na watampata tu nae atauliwa kama anavoua wenzake muuaji mkubwa uyo
@YussufHaji-g1j
@YussufHaji-g1j 2 сағат бұрын
Safi Sana tumemchoka huyo nyau mpumbavu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 сағат бұрын
Binafsi naona Netanyahu asipoacha hii vita atapoteza maisha muda wowote sisemi leo au kesho
@jaymandy8136
@jaymandy8136 33 минут бұрын
Waarabu wanatakiwa kumuua huu mbwa pia
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 сағат бұрын
Kwanin drone Haikumfuata na kumuuwa benta paka😢😢😢
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 2 сағат бұрын
Marekani naona soko la Silaa za Marekani likiporomoka 😂😂😂
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 сағат бұрын
Marekani ni mganga wakienyeji ambaye dawa zake zimefubaa washirikina hawafanikiwi tena
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 сағат бұрын
Iposiku atapasuka tu hawezi kuuwa kila siku anauliza wajermani kiliwapata nini kwauonevu walookuwa nao zamani?
@Muhidinikibwana
@Muhidinikibwana 2 сағат бұрын
😂
@BreezyMnyama
@BreezyMnyama 2 сағат бұрын
Jidanganye 😂😂😂😂😂
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 Сағат бұрын
​@@BreezyMnyamakwani mkuu wenu wa majeshi luteni jenerali herzi halevi Yuko wapi tangu shambulizi la drone ya Hezbollah 😂
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Сағат бұрын
Kifo kitamtokea tu Kam sio kw kombora, namn yyt ile itamtokea tu in shaa Allah
@raydanfrenk
@raydanfrenk Сағат бұрын
Ww utakufa et 😅😅😅😅 mnatandikwa kama mbwa koko
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Сағат бұрын
Poleni sana😂😂
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 24 минут бұрын
Atakufa baada ya kazi ya kuangamiza Magaidi kukamilika😂😂😂
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 16 минут бұрын
@@modestwenceslaus9 Lakin ndio atakufa huy ndugu
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 32 минут бұрын
Mda utaongea 2
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 2 сағат бұрын
Tutafute pesa, tumuombe Mungu atujalie amani ktk nchi yetu idumu tuwaombee na wengine wanapitia vita,.tusiwe washabiki wa vita vya wengine.
@AlexanderLacazet
@AlexanderLacazet 2 сағат бұрын
Tafuta pesa wewe ndo limbukeni wa pesa
@alphamenson3784
@alphamenson3784 2 сағат бұрын
Umesema kweli, vita si kitu kizuri
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 51 минут бұрын
Tutatafuta pesa neta akikatwa kichwa. 😂😂
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 14 минут бұрын
Sawa hayo ni mawazo yako.mimi siko timu israel wala gaza, Ukraine au urusi. Ninachojua ni kitu Kimoja vita haijawahi kumuacha mtu salama. Na hata ungekuwa una nguvu kiasi gani na vifaa vya kivita vya kutosha ila ukiingia kwenye vita lazima na wewe upate madhara. Ndio maana ninawakumbusha unaweza kushabikia kwa sababu vita haipo kwako. Ona watu wa gaza wasio na hatia wanavyoteseka,israel pia hivyo hivyo, congo na nchi nyingine nyingi.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Сағат бұрын
He's never and will never be safe anymore
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 сағат бұрын
Netapaka kazi anayo
@rehemaally8128
@rehemaally8128 Сағат бұрын
Me sidhani kama ucku ana pata usingizi huyu baba damu za watu wasio na atia zina mlilia sana ipo siku isio na jina nae ata kufa tuu😢
@Bahati47
@Bahati47 Сағат бұрын
Kawaida yao taarifa zao Zina fichwa sana hii nikutaka kuonyesha uma kama wako vizuri sana lkn kiukweli wanajeshi wanakufa sana Gaza jamani
@bladetvke
@bladetvke 32 минут бұрын
DJ SMMA amekuwa akisema kila siku kuwa iron dome ni dhaifu lakini tunapinga.
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 29 минут бұрын
Jiulizen kwnn hakuwepo
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 Сағат бұрын
Kama anavyouwa wenzake na yeye atakuja kuuliwa
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 2 сағат бұрын
Usikute nyau kachapwa wanafucha😂
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 16 минут бұрын
ipo siku atapatikana ata kma anajificha kwenye mitaro kama panya...atapatikana tu
@AbdallahEji
@AbdallahEji 37 минут бұрын
bora linge uwawa hili zee mwaga damu
@jayvannykhalifa5095
@jayvannykhalifa5095 2 сағат бұрын
Ingelikua Hesbollah wanaitaji kuua Raia wasokua na hatia ka Jins wanavyo fanya Israel bas Hesbollah Ingelikua ishafany hivo sabab uwez wanao haya mtahukum wenyew ni yupi Gaidi
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c 2 сағат бұрын
Hawawezi wale ni vidume Acha tuone
@salumomar5234
@salumomar5234 Сағат бұрын
​@@kayagoAziza-z2csio wale ata wewe na mama ako akilipiga kombora anakupata
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 43 минут бұрын
@@jayvannykhalifa5095 kitu usichokijua ni kwamba Israel kambi zake za kijeshi zimejitenga na watu ila hao hesbollah wanatumia makazi ya watu wamechimba maandaki chini ya nyumba za raia so ni ngumu kukosa kuwadhulu raia na haiwezi kutokea wajitenge na raia maana wataisha dakika tu inakuwa ngumu kuwa maliza ote kwa sababu wanajichanganya na raia wao
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 32 минут бұрын
Walitudanganya sana kua wao ndio hatali duniani kumbe choo 2
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 сағат бұрын
Yani huyu Netanyahu ame mzidi hadi firauni kwamauwaji firauni alikuwa akiua watoto wakiume huyu huyu Netanyahu sio wanawake sio watoto sio wazee anawaua tu alfu kuna wapuuzi wana furahishwa na anyo yafanya huyu 😭😭😭😭ukweli sio family yako tu alafu wamagharibi wanijifanya wanatetea haki za kibinadamu hamna chochote wanawaua watu na kuwaita magaidi lakini ukichunguza hawaja uwa watu kama Netanyahu
@emmadora7848
@emmadora7848 2 сағат бұрын
😂😂😂😂 wakati mshateseka kupita maelezo
@salumomar5234
@salumomar5234 Сағат бұрын
Potele bondeni sisi tumtaka yeye tumuweke kwenye bucha la nyama tumkate kate
@MatumlaMatumla
@MatumlaMatumla Сағат бұрын
Wangepiga hospital vs masoko vs shule tuone
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 2 сағат бұрын
Udhaifu WA myahudi na mmarekani umejulikana licha ya propanda na uongo wanao tangazia watu mwisho wao unakaribia
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Сағат бұрын
Safi sanaaaa 😁😁😁😁 amenusurika mara ya pili anakwenda akhera
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 2 сағат бұрын
Hakuna maswali wamuaa watoto wanawake na yeye atakufa tuu
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 33 минут бұрын
Nyie waisram msilinganishe na netenyau
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 27 минут бұрын
Mkiwa mnapigwa na israel amkawii kulia mby zaid majesh yen ayajitokez front ko tunapiga mpk raiya
@Msafirimakini
@Msafirimakini 3 минут бұрын
Ilan ni nchi hatari sana
@msholozizuma5428
@msholozizuma5428 17 минут бұрын
Kuani uyo Netanyau kuani Nani Asife Anukia Umauti Punde tu siku zausoni Mtanambia. Niko apa🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@MahdouMomba
@MahdouMomba Сағат бұрын
Finally, THAAD proves itself to be failed
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 сағат бұрын
Wache waizrel wajifanye wajanja wakuonea dunia hawana ujanja wowowte huu sio wakati wakutawalana ni wakati wa kuheshimiana na kuheshimu sheria za dunia
@AllyMohamedi-ne4dw
@AllyMohamedi-ne4dw Сағат бұрын
Wanasema hawa jamaa wana akili sana?! ..... Hahahajhahaha
@kouswayisaidahamada9979
@kouswayisaidahamada9979 Сағат бұрын
Hapo sky anaumia akiskia wayahudi wameshi dwa kweye angle flani hhhhhhh
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 39 минут бұрын
Ilitakiwa na yeye auawe ili heshima ijengeke. Asikae kwa mazoea akidhani yeye hawez kukugusika.
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 46 секунд бұрын
warabu ni washenzi
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 39 минут бұрын
Siwapeleka mfumo juzi t wakasema unatisha hatari imekuaje tena
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 4 минут бұрын
Mambo ni yamoto apa ukanda wa kati atakuja zamishwa mtu kwenye maji
@Msafirimakini
@Msafirimakini 4 минут бұрын
Kama baba anapigwa vipi watoto
@khadi-z4o
@khadi-z4o Сағат бұрын
Ameisha Huyu Mshenzi Wavile Siyo Mungu Yeye Aaah"Waarabu Watamtandikatu Huyu Mshenzi Wa Kipoland.
@Clex-f5s
@Clex-f5s 21 минут бұрын
Piga huyo Netanyahu😅
@mrishoally55
@mrishoally55 2 сағат бұрын
Kila kitu kita toweka when is insha Allah
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Сағат бұрын
Al lah moon God.soma dini Yako vizuri.
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 31 минут бұрын
Waarabu watamla kiboga manina 😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Сағат бұрын
Atahamia america
@MudyBoss
@MudyBoss 42 минут бұрын
Huyu umbwa netanyahuuu lazima afe vyovyote itavyokuwa
@mazaramatucha
@mazaramatucha Сағат бұрын
Kwa kweli ni dhaifu ila hadi sasa Nasralah, Haniya na Sinwar wameenda
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 6 минут бұрын
Wao hawatangazi ,wanatangaza wa wenzao kujionesha ni wababe
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 52 минут бұрын
Netapaka ni muuaji lazima Watu wajuwe saivi watu wanajuwa mbinu zote zakivita sio kama zamani sasa ukimya ya watu isimfanye uyu muuaji afikiri watu wanamwogopa anavyo fanya muaji yakimbari inch zaidi ya mbili bila hata uruma hata Mungu anamchukia huyu… Eeh Yesu kristo tueoushe nahizi vita. Huyu mzayuni netapaka shetani mkubwa anaua watu wasio kuwa na hatia ila wanaoshtumiwa ni magaidi wao wakimshambulia hata hawaui raia kama yeye (wanao jiita wayaudi kumbe ni sinagogi lashetani)
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 сағат бұрын
Hawa si wamepewa mtambo mpya hawa Tena kulikoni drone ikapenya😂😂😂
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
😂😂
@MahdouMomba
@MahdouMomba Сағат бұрын
THAAD ilisinzia kidogo
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 24 минут бұрын
@@MahdouMomba 🤣🤣
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Inaonyesha kabisa vita ikianza na iran watapewa kitu inauma na iran kama naona baden akitowa tu macho yake madogo 😁
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 2 сағат бұрын
😂😂 eti leta nyau leta paka jibi sanura zana akayabu atakufa kifo ca kutapatapa insha Allah huyo bring cat
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 Сағат бұрын
Hao ni hesibollah, unadhani Iran watamkosa? Wajichanganye kulipiza kisasi akatwe kichwa
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 сағат бұрын
HYO NYUMBA HAINA WAFANYAKAZI😅😅😅😅😅
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
Kuna malobot tu ndio yanafanya kazi😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Сағат бұрын
😅😅😅😅 kuna mapaka
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Сағат бұрын
Mtasubiri saaana mbona nyumba iko saaafiiiii kwani drone zenu hazichukui picha kama ya israeli iliyopiga picha wakati inamuua GAIDI NO 2 jana?
@kouswayisaidahamada9979
@kouswayisaidahamada9979 Сағат бұрын
Iran aliwambia kuwa hizo iron dome na thaad haziwashtuwi hhhhg
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 2 сағат бұрын
Hesbullah na Hamas wangepiga makaz ,shule na masoko toke mwanza israel ingenyooka
@AlexanderLacazet
@AlexanderLacazet 2 сағат бұрын
Yani skufich kila siku nawambia iran naa hezbullah pigeni masoko Yao na mashule Yao na watoto wao na wazee wao na mikundu Yao wangenyyoooka israi wa mchongo
@lodvee1717
@lodvee1717 2 сағат бұрын
Israel kuna waislamu wengi tu ambao ni raia na wengine ni wageni niliwahienda na tour guides wetu walikuwa wawili wote ni wapalestina
@JosephMuriuki-n6i
@JosephMuriuki-n6i Сағат бұрын
Mingi atamushaidia
@goodlegacytv5068
@goodlegacytv5068 Сағат бұрын
Walimesa wanaulinzi imara wa anga
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Сағат бұрын
Hakuna lolote kama wameshambulia kwann ajafa hata mtu moja kwenye familia. Wadishi wanataka wale bado zenu . Kama wanauwezo wamue wiziri mkuu wa Israel. Huo uongo mkubwa
@NzingulaSonda-lo1qc
@NzingulaSonda-lo1qc 12 минут бұрын
Acheni uongoo😅
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 9 минут бұрын
Vituo vyote vya habari vimetangaza ,
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Сағат бұрын
Hata kipindi Cha vita vya marekani na Iraq yikuwa ivyo ivyo mara marekani anapigwa mwisho wake muliona wenyewe
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Сағат бұрын
Hezbullah walipigana vita na hao jamaa 2006 nenda fatia nini kilitokea
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 2 сағат бұрын
Sioni wakiishi kwa amani labda waue warabu wote
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 2 сағат бұрын
Saf san
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 сағат бұрын
Israel hamna kitu
@user-gq8ox7wb7f
@user-gq8ox7wb7f 2 сағат бұрын
Mimi naona niwenyewe wamefanya hivo.maana si rahisi ila kama ni kweli basi hao jamaa hawana lolote zaidi ya uongo tu.
@uwimana6533
@uwimana6533 2 сағат бұрын
Waraabu hawatomuacha salama huyu mzee
@mirzah117
@mirzah117 Сағат бұрын
Yan wanachokosa hezblah ni intelligence tu wanakua hawajui viongozi wakubwa wakiyahudi wako wapi ...ila kiuwezo wameonesha uwezo wanao
@khalifeamani7742
@khalifeamani7742 2 сағат бұрын
Tutamkamata tu muache aruke ruke iko siku yake
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 2 минут бұрын
Maelfu ya wazayuni wametorokea ulaya walikotoka..hali ikiwa tete ivi wanakumbuka wao sio wenyeji wanarudi kwao ulaya😂...yani wote wanamiliki uraia wa uingereza,marekani, Germany,italy na nchi zingine za magharibi...afu wanasema ni wenyeji wa ardhi ya Palestine....ata jeshi lao, Israel ni taifa pekee duniani kote ambapo jeshi lao linakuja "kupigania nchi yao afu wanarudi kwenye nchi zao..."😂yani wanakuja kutetea nchi yao,kisha wanarudi nchini kwao EUROPE 😂... They come to protect "their country" and then go back to their countries 😂.... Kikiumana wote wanarudi kwao ulaya...😂
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 2 сағат бұрын
Nlishasema kuna siku huyu watamuua kuna majinga yakaniulza atafikiwaje wakiamini yy top but Leo nawaongezea kitu huyu siku akaenda frontline kwel vitan hata kwa kuwasalimu wanajesh wake bas wapalestina watamchuku tu ogopa sana wale wanamgambo
@SarhaSaid
@SarhaSaid Сағат бұрын
Itafika tu siku yake inshaallah
@ManchesterTz
@ManchesterTz 2 сағат бұрын
Namalizia JALIBIO HILO Lebanon wamefungua NJIA Israel wapige mpaka KWENYE makazi au IKULU kwasababu wameshapata kisingizio na ninawasiwasi Lebanon na Israel Mpango wao ni mmoja au Ndani ya Lebanon yupo Mossab anaetengeneza chokochoko hizi zikae vizuri hili Israel hapige popote
@ManchesterTz
@ManchesterTz Сағат бұрын
Kuna SIKU utasikia Rais wa Lebanon na Watoto na Mke wake wamelipuliwa NYUMBANI msilaumu na msiseme tutalipiza
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 Сағат бұрын
Israel hapigani na Lebanon anapigana na Hezbollah wakimuuwa rais watafanya jeshi la Lebanon nalo lipigane
@ManchesterTz
@ManchesterTz Сағат бұрын
​@@mustaphahassan589 Ni kweli hila Hawa wanatuchezea akiri.
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Сағат бұрын
Je hizbollah walikiri kuwa wamefanya shambulio hili? Au ni mchezo tu unapangwa
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 2 сағат бұрын
Kunawale mbumbumbu wanaofkrgi hawa jama n dhaifu nataka kuziona comment zao hapa tuone wameshafkia maturity ama bado wanaendelea kujikojolea
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 2 сағат бұрын
WATU HAWAJUI HIZI NI PRAPOGANDA ZA KIJESHI SUBRI MUONE
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 2 сағат бұрын
Hauwezi kulinganisha Israel wenye uwezo wa kuzuia some rockets and drones na Hezbollah wenye kila bomb ya Israel haina hasara ikilenga shabaha
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p Сағат бұрын
Hii Chanel imeshakuwa ya udini😂😂😂😂😂😂
@SamSamwel-p2z
@SamSamwel-p2z Сағат бұрын
😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Сағат бұрын
Thaad😂😂 iran juzi kasema thaad tunaijua kitambo na tumeitangulia kitechnologyia hiyo ni vita ya kisaikologia lakini thaad chenga
@salumomar5234
@salumomar5234 Сағат бұрын
Hahahahhaa
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 2 сағат бұрын
ULINZI HAKUNA IZRAIL WALIKUWA HAJAPATA MIKIKI MIKIKI TU..
@KassimMwembe
@KassimMwembe Сағат бұрын
😅😅😅😅 unaweza kuwa na misimamo mikali hata nyumban kwako lkn watu wako wakareport kinachoondelea, huyu kafiri tutajipigia siku sio nying hatumkosi mara 4 huyu kwanza siku hizi vitu vinapenya mpk chumban kwao huko😅😅😅.
@salumomar5234
@salumomar5234 Сағат бұрын
Ahahahahhaa
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 2 сағат бұрын
Mtego huo.. israel wana akili sana hawa jamaa😂😂😂
@RAKIIMRAKIIM
@RAKIIMRAKIIM 2 сағат бұрын
Mtego Gani Sasa 😂😂😂 Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Mlioaminishwa Israel Aiwezekaniki 😂😂😂😂
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 2 сағат бұрын
​@@RAKIIMRAKIIMkenge ilo😂
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 2 сағат бұрын
sawa mtego mbona mpaka Leo mkuu wao wamajeshi hajaonekan tok siku Ile ya kichapo ndani ya Kambi ???????
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o Сағат бұрын
@@SAYMOEKARIM mbona ameshaonekana sana, na siku ya tukio yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kuelezea tukio.. Fatilia
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 2 сағат бұрын
Hivi huyu mchambuzi akili kisoda...yaani et israel inaweza kuchukua hatua baada ya shambuliohili...hatua wamechukua na watachukua hezbolaa maana viongoz na raiazake ndo wameuwawa na wanauwawa na israel..ko unapotoa maoniyako epuka ushabikiwako kwahao mashoga.
@GeremihJuma
@GeremihJuma 2 сағат бұрын
Kufa na wewe unaua watoto wawatu bila huma Kisingizio magaidi wakati wengi wao niwanawake na watoto na raia wa kawaida zero afe nae habiyela huyo
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Сағат бұрын
Iron dome 😂😂😂😂
How drone technology is changing warfare | BBC News
16:46
BBC News
Рет қаралды 128 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 622 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Hiroshima - the unknown images
52:01
La 2de Guerre Mondiale
Рет қаралды 12 МЛН
Israel Says It Killed Hamas Chief Yahya Sinwar
6:26
Bloomberg Television
Рет қаралды 2,2 М.
The Muslim Prophet: #1 Sign That the End of Times is Upon Us | Bek Lover
33:49
Best of Danny Jones
Рет қаралды 135 М.
Why the U.S. Military Spends So Much Money
28:24
Johnny Harris
Рет қаралды 2 МЛН
CHAGOS ISLANDS | Britain’s Strategic Defeat?
13:55
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 24 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.