Shamrashamra za ACT Nungwi zavunja rikodi

  Рет қаралды 39,154

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Nduguzangu hongeren ishalla Mungu atatufanyiya wepetu marahi mpaka IKULU ishalla kwauwezo wake Allah Amina Yarab alamin
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt Жыл бұрын
Hawa sio raihis kutoa nch
@selwanmohmmed8792
@selwanmohmmed8792 3 жыл бұрын
Allah tusaidie wazanzibar huu umma umechoshwa na madhila ya wadhulimati
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt Жыл бұрын
Amina
@tatuali1464
@tatuali1464 3 жыл бұрын
Nimemisi nakosa mwaka huu nakupenda malim sefu💜💜💜💜💜
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
Mwenzako mm omani twasuguwa vyooo
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
@Rashid Juma tutamaliza mkatapa kwanza ndo turudi maendeleo hayaji kwa mwenzi mmoja haiwi mbuyu ulianza km mchicha😂😂ila in shaa allah mungu afanye kheri
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
@Rashid Juma Zanzibar hakukaliki kila mtu na pande yake looh maiaha ya zanzibar yanaumiza
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
@@sgfdhaikuhusu6086 musijali mutarudi
@vanynadymhamad1996
@vanynadymhamad1996 3 жыл бұрын
Tatu Ali sio pekeako hata mm nimemis mikutano ya zanzibar nakumbuka 2015 sikuwcha mkutano hata mmoja wa kampeni za cuf tokea bdo haijakufa cuf
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 3 жыл бұрын
Duh, kweli ccm hawana ushind znz
@mchafakih5078
@mchafakih5078 3 жыл бұрын
Weyan mupo vzuri Allah awape ujasiri zaid
@ahmedbalouch922
@ahmedbalouch922 3 жыл бұрын
Hata iambiwe dunia haimaliziki hakuna kiama ccm haishindi zanzibar . Mwenye nguvu tu lakini kwenye sanduku 25% na hilo wanalijua
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt Жыл бұрын
Sahihi
@sidekomb3448
@sidekomb3448 3 жыл бұрын
Masha allah mpaka kieleweke
@mgeniali941
@mgeniali941 3 жыл бұрын
Tuko Oman tunapitwa act oyeeee muko vzr
@paulnathan58
@paulnathan58 3 жыл бұрын
Uungwana ni kitu cha bure, ccm wakubali yaishe tu! Kwa mazingira haya ni wazi Nyakati zimewakataa! Wasilazimishane na Nyakati.
@ima_tamymy3972
@ima_tamymy3972 3 жыл бұрын
Vibe letu Wazanzibari 🔥💜💜Maalim Shkamooooo
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt Жыл бұрын
Yani htr
@HassanMchoro-nh9gv
@HassanMchoro-nh9gv 8 ай бұрын
​@@FatmaMohamed-zl8lt1
@rudahhakem2668
@rudahhakem2668 3 жыл бұрын
waumie tu tenaaaa mashallah tunapitwa tulokuwa oman
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
Haha utarudi usijali
@murtalla6290
@murtalla6290 3 жыл бұрын
Mackini hata sisi wa Dubai 😔😔😔😭😭
@bimsinani5944
@bimsinani5944 3 жыл бұрын
Nakwambia ila tunakata mauno huku huku ata km tukiwa jikon 😂😂😂
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
😂😁😂😂😁
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
Cye tulopo omani na dubai zetu dua kwa act
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 3 жыл бұрын
Tutokeni kupiga kura 27
@ismameki7355
@ismameki7355 3 жыл бұрын
Tunakuomba mungu marahii tupe tunachokitaka sisi .
@allykassim8941
@allykassim8941 3 жыл бұрын
Ulipo tupo maalim seif. Nimefurahi sana lakini 27. Sote
@brownenas603
@brownenas603 3 жыл бұрын
Mtoto wa mwinyi naona kayaona maji kina kirefu hayawez wanamponza tu,Bora atulie cjamuona
@abdulmalikhamadi8634
@abdulmalikhamadi8634 3 жыл бұрын
Mzaha kando Masha Allah seifu yuwapendwa jaman mola amjaalie mara hii apate Ameen yarabil alamin 🙏🙏🙏
@rastafare878
@rastafare878 3 жыл бұрын
Mimi Huwa sina chama , lakini kinachonifurahisha kwenu Huwa hamuvai uchi , hongereni Kwa kujisitiri
@yussufkhamis9600
@yussufkhamis9600 3 жыл бұрын
Sasa bas dhulma tumechka
@swafiyyasuleyman3924
@swafiyyasuleyman3924 3 жыл бұрын
Jaman raha km zote Act nawapenda sana 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💪💪💪
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 3 жыл бұрын
Ndio mwanangu
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Jamani Mimi sijuii vyamavingapi vinagombea duu
@issaamirishenkarwa3391
@issaamirishenkarwa3391 3 жыл бұрын
Zanzibar awamu hii hawataki mchezo kabisa ase act wazalendo kila heri mkapige kura kwa wingi mkomboe nchi yenu
@fatmabakari6624
@fatmabakari6624 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa act yke
@zuleikhambarouk4282
@zuleikhambarouk4282 3 жыл бұрын
Mikono juu
@kassimugulumu5460
@kassimugulumu5460 3 жыл бұрын
Inadhihirisha kwamba hawawatu wameamua jambo lao.
@adammwaihojo1671
@adammwaihojo1671 3 жыл бұрын
Duuh hii nyomi ni noma seif ikulu hiyo Kama Mandela arafu unastaafu
@ahmedrashid3357
@ahmedrashid3357 3 жыл бұрын
Allahumma amin amin amim amin
@hamadsobo304
@hamadsobo304 3 жыл бұрын
Hakuna diamond hapo ni wazanzibar tu
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
Hatufatilii wasanii tunataka sera na ushundi chezea zenji wee haya na wafanye dhulma tuu
@Oman-tt1hn
@Oman-tt1hn 3 жыл бұрын
Ccm kwishwa kwisha kabisa nyang'a nyang'a kifo cha mende
@brownenas603
@brownenas603 3 жыл бұрын
Cjamuona mgombea urais wa Zanzibar au ndio keshakubal yaishe???heee ccm kazi wanayo uchaguz huu mtamu kwelikwel
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 жыл бұрын
Zanzibar huaga hawana shobo na wasanii
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@saidvoali6586
@saidvoali6586 3 жыл бұрын
Daah mambo ni moto
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
rahaaaa💜💜💜💜💜💜
@abdullahsultani4377
@abdullahsultani4377 3 жыл бұрын
Tusitegemeane kuona frani ataenda nakuona inatosha tujitokeze tukampigie kura zakimbunga kumbuka kura yako nimuhimu sana kwa maalim sefu na tundu lissu tusikose pia tulinde kura zetu
@FatmaMohamed-zl8lt
@FatmaMohamed-zl8lt Жыл бұрын
Hii nyimbo nikiiskia nakosa raha kwan nipale maliim seif akicheza
@abdullahsultani4377
@abdullahsultani4377 3 жыл бұрын
Kila mmoja siku hiyo amuamasishe mwenzake hata kwa kufoward sms au kupigiana simu kuhakikisha tunapiga kura zakimbunga kwa maalim sefu na tundu lissu pia tulinde kura zetu
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 3 жыл бұрын
Subiri ufungiwe WEYANI
@adammwaihojo1671
@adammwaihojo1671 3 жыл бұрын
Kwa kosa gani hapo? Kutujuza ni dhambi
@henrymushi8340
@henrymushi8340 3 жыл бұрын
Mbna unateseka bro, Nchi hii ipo huru
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 жыл бұрын
Yani huyu maalim hachuji, yaani hayo mahaba, zanzibar waweke serikali mseto, ili hawa wananchi watulie. Serikali ya ccm na act. Tulinde amani.
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 жыл бұрын
Na ndio Katiba ya sas ya Zanzibar,
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 3 жыл бұрын
Nice
@sihabasihaba9366
@sihabasihaba9366 3 жыл бұрын
Pambe pambeeeeeeeeee
@hasanihsmadi
@hasanihsmadi Жыл бұрын
Act
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
💜💜💜💜💜💜💜💜
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Wambie ss wapemba tulio nje tunamiss hiz kazi
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
Leo iyo maukhti na masheikh imekuwaje
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
Bibi ww upo
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
@@abdullahhaji8779 Nipoo harakati tu za hapa na pale
@henrymushi8340
@henrymushi8340 3 жыл бұрын
Corona ilikuja kutujulisha kuwa kuna nyakati mpya za mabadiliko kwaiyo watu wajiandae kisaikolojia, watu wakishindana na nyakati mpya watakutana na Adhabu kubwa sana ya Mungu, kwa sasa tupo nyakati mpya ya Uongozi Tanzania.Mungu Tubariki......
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
@@rukiasalum631 ok
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Жыл бұрын
Ba hamadi aje aombe radhi
@talibally8743
@talibally8743 3 жыл бұрын
Jamani amani kitu muhimu itkuwa hain haja kumchagua kiongoz ikiwa amni hmna n vixur tuelewa kun maisha baada y uchaguzi
@sihabasihaba9366
@sihabasihaba9366 3 жыл бұрын
Pambeeeeeee3
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
APA ccm wajipange siyo siri tena
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 3 жыл бұрын
Du Hata bara hakuna aliyewahi kufanya mkutano kama huu
@masturamansoor7497
@masturamansoor7497 3 жыл бұрын
Full shangwe
@Oman-tt1hn
@Oman-tt1hn 3 жыл бұрын
Kitu kipo ufukweni hicho karibu na soko la nungwi lakuuzia samaki daa maalim seifu namara hii ushindi niwako kuliko mwaka 2015 inshallah
@aliissahongerababanazenjit6824
@aliissahongerababanazenjit6824 3 жыл бұрын
Kumbe na nyinyi masjangingi yamejaa
@sihabasihaba9366
@sihabasihaba9366 3 жыл бұрын
Pambeeeeeeeeeee
@mmangakombo2410
@mmangakombo2410 3 жыл бұрын
Tumeshashinda wana act tunasubir kuapishwa tu panapomajaaliwa
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
Tunaomba iwe hivo lakini ikiwa wizi ikikithiri basi hamna mpango
@mamymamy7938
@mamymamy7938 3 жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 na waibe tu
@gilbertcaptain6884
@gilbertcaptain6884 3 жыл бұрын
Kumenoga znzbar wakizingua muandamane nchi nzima
@bintyussuph4979
@bintyussuph4979 3 жыл бұрын
Usituchonganishe.
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
@@bintyussuph4979 huchnganishwi unaambiwa ukweli
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 3 жыл бұрын
Tuna waomba mtunze Amani ndungu zetu, siasa isitupeleke watoto wetu washidwe kusoma Mama zetu washindwe kujitafutia lizki na vijana tushinde kuijenga Zanzibar, Nina Imani ipo siku mwenyezimungu ata sikia kilio chenu Ila Jambo la msingi ni Amani, na wana wa Zanzibar wengi niwaumini wa dini ya Islam, na waislam wanatakiwa kupigania jihadi Dini tu, wala sio jambo lengine siasa zisiwagawe Baba zetu mama zetu, wajomba, mashangazi, viongozi wa dini, vijana wenzangu kuanzia leo mkiwa makwenu himizaneni Amani, kwani shali na mikosi ni njia ya sheitwani Kwani hata hizi siasa ni mambo ya magharibi uko uraya, kwakuwa tunaishi katika umati Mohamad, kuna mitihani mingi tunaiyona moja wapo hujitokeza kwenye siasa Na kwenye siasa hakuna kumswalia mtume, wala kusoma Qur'an Ajabah hivyo siasa ninjia za ibirisi kwani kuna mambo ya hovyo mengi sana ndio mana Nawaomba atakae soma hii comments naomba ikariri insha'Allah
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Hakki kwanza then amani
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 жыл бұрын
Sio Jihadi Dini tu ila hata Haki inapiganiwa
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Duniani katika mambo ya kisheitwa hakuna haki nisikuongopee, Haki inapatikana katika uislamu pekee na umriy qiyama na nchi inayo ongozwa katika misingi ya dini ya uislam, sasa Zanzibar hakuna Dolla ya uislam. Hivyo katika maswala ya umaghalibi haya kutoka uraya haki ni asilimia 50, na ukitaka kuitafuta haki utalazimika, kijitoa kafara kwa Damu, umasikini ulemavu, dhiki, njaa, ukame, umauti,magojwa ndio madaam upate haki kwani Siasa ni njia za ibirisi
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
@@mack_vita_onyango8409 kama haki haipiganiwi kwann walipinduwa🤗
@mwadinimwadini4068
@mwadinimwadini4068 3 жыл бұрын
Amani Na Haki Ni Watoto Pacha Hakuna Haki Hakuna Amani. Na Hapo Hakuna Kurudi Nyuma
@masturamansoor7497
@masturamansoor7497 3 жыл бұрын
Full shangwe
MANSOUR AWASHIKISHA ADABU WAANDISHI WANAODAI AMEKIMBIA VITA
5:21
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
TUTAWAFIKIA WASIOKUWA NA UHAKIKA WA KUFIKIWA
4:39
ZECOZanzibar
Рет қаралды 61
SHAIRI.MALENGA MWAGARSHI AKIKUZA TECHNOLOGY
5:04
Hamisi mwagarashi
Рет қаралды 20 М.
HII HAPA NYIMBO NYENGINE MPYA YA ACT WAZALENDO ILIKOSHA NYOYO ZA WENGI
5:08
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 9 М.
Njooni mutambe na ACT
2:21
ACT MEDIA
Рет қаралды 1,9 М.
Tuulinde Muungano - Tanzania AllStars
7:07
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 353 М.
TULIKUMBUKE NENO LA KOMANDOO SALMIN
1:28
Bin Seif
Рет қаралды 104 М.
Mkutano wa Kampeni ACT Wazalendo Nungwi - Maalim Seif
26:56
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 3,9 М.