SHANGWE LA LISSU BAADA YA MWABUKUSI KUSHINDA URAIS WA TLS | MGOMBEA MWENZIE AMPA TANO MWABUKUSI

  Рет қаралды 22,060

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@nasramusaro
@nasramusaro Ай бұрын
Hongera Mwabukusi naona nuru Tanzania Mwenyezi Mungu akusaidie
@Victor-im7uw
@Victor-im7uw Ай бұрын
Hongere wakili mwambukusi kwa ushindi
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Hongereni sana kwa ushindi hongera pia kwa kijana wangu wakiri msomi revocatus kaunda juniio kea kuthubutu kugombea pongezi nyingi kea kushiriki bills yoga umeoyesha ukomavu nawapenda sana hongera wore walioshiriki kugombea hats ambao kura hazijatosha omni langu watanzania wanyonge tunawategemea sanabkafanyebi kazi kwa ushirikiano uadilifu na uaminifu kwa masilahi ya nchi mungu awalinde pongezi kwa lisu mgwaibtunawapenda sana
@gangan4618
@gangan4618 Ай бұрын
Hongera, wakili Mwabukusi... Viva Mwabukusi Viva.
@emanuelihango8515
@emanuelihango8515 Ай бұрын
Hongereni sana wanasheria wetu wa Tanzania naombeni simameni kwenye kweli mnayoijua
@henrynicholaus3977
@henrynicholaus3977 Ай бұрын
Hongereni sana
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y Ай бұрын
Mh mwabukusi hongera sanna
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Ай бұрын
Asante lissuuu
@ObadiahIbrahim-xy9rz
@ObadiahIbrahim-xy9rz Ай бұрын
Hongra sana baba Mwabukusu vita. umepigana. Sasa kazi keako Tunaimani na wewe
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm Ай бұрын
Bukusi ooooeee . Fanya kazi baba pangua mkataba mibovu
@rabiakitigwa9120
@rabiakitigwa9120 Ай бұрын
Hongera sana MwabuK
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Sasa TLS muungane na vyama taasisi,wanaharakati na wananchi wote ifunguliwe kesi ya 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n Ай бұрын
Hongera wakili wewe umekomaa
@ymohammed963
@ymohammed963 Ай бұрын
Hata wewe unafaa kuwa kiongozi uko vizuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👍👊✌️.
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Ай бұрын
Revocatus safi sana mwenyewe alikua anamkubali mwabukusi safi sana
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Tatizo la nchi hii ni ccm hawataki haki ni janga la taifa
@user-hc9ps3fs8l
@user-hc9ps3fs8l Ай бұрын
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Ukiukwaji wa sheria unatokana na wenye taaluma yao ( wanasheria) kununuliwa na systems za nchi. Mwananchi wa kawaida ktk nchi huamini wanasheria wapo kwa niaba yao wata "act at most good faith" . Kwa hiyo mwanasheria popote ulipo ujiulize je ukiukwaji upo? Punguzeni kupigana "mitama" wanasheria hadi mnatafuta haki mahakamani. Kampeni za kistaarabu hakika ndio sifa kubwa kwa uchaguzi huu na hongereni kwa hilo. Watanzania sote tujifunze hapo ktk chaguzi zitakazofuata. Usimuumize mpinzani wako wala kumhujumu kwa njia yoyote ile iwe kwa matusi, kejeli, kumhujumu kimwili, ( shambulio) kiuchuni nk kwani uongozi si magomvi. Uchaguzi huru na haki utawale.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Nimependa kauli yako. Very smart opinion!
@MathiasSongoyi
@MathiasSongoyi Ай бұрын
Anatufaa na agombee urais wa jamuhuri ya muungano kwa kupitia chama anachokiamini,atasimamia vizuri mali za watanzania na rasilimali zetu za nchi.
@user-yl8dv7bv9y
@user-yl8dv7bv9y Ай бұрын
Congole tls Kwa uchaguzi huh na uhuru wa haki. Tunatamani hata uchaguzi wa selikari za mitaa na ule wa mwakani wab2025
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Kumbe tuamini muda wowote hata chadema tunaenda kushinda hongera sana mwabukusi
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Two head of tanzania state in power force voice in Tanzania population without fear appear on tanzania face without fear leader in ccm leadership is mwabukusi and tundundulisu vary brave brain but question on me is how this peaple going to be protected by full security because ccm leadership they will be following they vary close use different machenizim crush them hope of tanzania people worching them vary close because we tanzania are good forget history backwards of eduady sokoine muringe tanzania people you should be wise remember history of good people who had been voice of tanzanian people and what was happening there are big challenge we have to see what happened also to tundundulisu let be wise into our national history of good leader on tanzania people and rezalt
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Well said
@AKWILINEKAWISHE
@AKWILINEKAWISHE Ай бұрын
MUNGU AKUSIMAMIE KAKA YETU.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Reliable protection comes from Almighty God!
@Victor-im7uw
@Victor-im7uw Ай бұрын
Watu wa ngorongoro Hakuna muelekeo huko ila ni wanafik wacha wanyee hiyo kikombe
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 Ай бұрын
Nyota njema uonelana asubuhi
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Yani mtu akiwa mkweli basi kosa ndo kashakuwa kiongozi na icho mnachokisema 😂😂😂😂
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Ай бұрын
Sasa TLS naona itasimamia misingi yake ya kuisaidia wananchi.
@Victor-im7uw
@Victor-im7uw Ай бұрын
Hongere wakili mwambukusi kwa ushindi
@Victor-im7uw
@Victor-im7uw Ай бұрын
Hongere wakili mwambukusi kwa ushindi
@Victor-im7uw
@Victor-im7uw Ай бұрын
Hongere wakili mwambukusi kwa ushindi
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11