MWABUKUSI AMUWAKIA VIKALI MAKONDA, AIBUA UPYA SAKATA LA BANDARI"..

  Рет қаралды 44,610

JAMBO TV

JAMBO TV

4 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 122
@geofreysimpepo9945
@geofreysimpepo9945 4 ай бұрын
❤ mwabukusi ni hadhina yenye thamani kubwa Sana katika nchi hii,..👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 3 ай бұрын
Huyu kichaa tu anatafuta ugali wake
@migerajacob581
@migerajacob581 3 ай бұрын
Tungepata watu 100, kama Mwapukusi nchi ingenyoka,, big up bro,, tupo nyuma yko,
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 ай бұрын
KUWA WA PILI BAADA YA MWABUKUSI, TATIZO LA WATANZANIA WEEENGI WANAFIKIRI HAWEZI KUWA YEYE ILA WENGINE 99 NA MH. MWABUKUSI WATAKUWA 100. NI KOSA KUFIKIRI HIVYO!!!
@JaneJennifer-zk7bk
@JaneJennifer-zk7bk 2 ай бұрын
Bila katiba mpya tutakuwa tunapiga kelele tu ndugu yangu ,na ndiyo maana hawajali
@user-zk9fz2xi9z
@user-zk9fz2xi9z 4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana sana mungu akulinde kwa kukosoa nakuelimisha ccm yenye uelewa wa f darasan
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 3 ай бұрын
Mwabukusi, ukigombea uraisi kupitia Chama chochote kura yangu nakupatia asubuhi na mapema
@EbenezerMagari
@EbenezerMagari 4 ай бұрын
Asante Mungu kwakutupa vichwa kama hawa
@jamesmassamakeri2418
@jamesmassamakeri2418 4 ай бұрын
Mwanahabari soma kwanza ndo upate content za kuwahoji watu wenye uwezo Kama hao , hongera advocate
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 4 ай бұрын
Kweli kiongoz ongea ukweli Mungu akulinde
@chedijohn2270
@chedijohn2270 4 ай бұрын
Mwabukusi safiii Mungu akuongezee hekima na,busara Amen.
@hanscmakerdm9943
@hanscmakerdm9943 4 ай бұрын
Muandishi hana anachokijua😅
@user-zr1jf1gb4m
@user-zr1jf1gb4m 4 ай бұрын
Mh Mwambukusi kweli ni mwalimu mvumilivu. Anavumilia kuwafundisha mazuzu
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 3 ай бұрын
Anatafuta Kiki
@DicksonIgnas-pq1rj
@DicksonIgnas-pq1rj 3 ай бұрын
​@@hamisijuma8124ndivyo Machawa ndivyo mnavyo sema
@reginas1832
@reginas1832 4 ай бұрын
Bandari haiuzwiiii Asante sana Mh. Mwabukusi
@user-gu1fu2ud9j
@user-gu1fu2ud9j 3 ай бұрын
Honger sana mwambukusi kutaja ngorongor
@CollinceFrances
@CollinceFrances 3 ай бұрын
Tunakuombea kaka Mwambukusi Mungu hakubari Ila Kua makini na hawa watu sio wazuri
@fabianmnyenyelwa8752
@fabianmnyenyelwa8752 3 ай бұрын
Mwabukusi umesheheni madini, uko vizuri hakuna mwana-ccm anayeweza kupinga nondo zako. bigup bro nakukubali sana
@tegoswadakta8996
@tegoswadakta8996 3 ай бұрын
Asante kwa shule Mwabukusi, asante baba
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 4 ай бұрын
Mwabukusi Hongera kuitetea Tanganyika,
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 4 ай бұрын
Mimi nakukubali Sana mzalendo wa kweli
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 4 ай бұрын
Bro uko poa sana chadema mnawatoa wapi hawa watu wasomi hivi sio vilaza akili zao hazijalala
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 3 ай бұрын
Amkeni watanganyika msidanganywe na wajanja CCM iwe mwisho wake kutawala Tanganyika asante sana mdogo wa mwabukusi
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni 3 ай бұрын
Waziri ajae mwambukusi huyu ni azina ya nchi
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 18 күн бұрын
Mhesimiwa mungu akubariki yeyote atakayeinuka kinyume yako awe adui wa mungu na hao wanaonguka Raisi wetu na kumfanya chukizo kwa wanamchi mu ngu awaaibishe watahayarishwe. Wafedheheshwe
@christinangondi4212
@christinangondi4212 3 ай бұрын
HAKUNA kipande cha Ardhi na Rasilimali za Watanganyika zitakazouzwa kwa watu weupe, milele Amina
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 4 ай бұрын
Tanganyika inawatu wa maana sana
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 4 ай бұрын
Mr. Mwambukusi huyo naye achana naye hana jipya kama hajui ata tamko la maaskofu ni wapi uyo
@ezronhussen5401
@ezronhussen5401 4 ай бұрын
Ccm mbona wana jinufaisha wao tyu
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 ай бұрын
Mwabukusi nakuheshimu kwa kut upatia elimu
@Zanijasy-hy7vm
@Zanijasy-hy7vm 2 ай бұрын
Mwabukusi Nyerere II WA Tanganyika
@ukululegeorge9309
@ukululegeorge9309 3 ай бұрын
mwabukus yuko sahihi,na Mungu amzidishie uhai kwa faida ya watanzaia.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 4 ай бұрын
JAMBO TV hapa mmeingia sehemu siyo 😂😂 huyu siyo Tundu Lissu ambaye mnajitahidi kumtoa kwenye point zake kwa makelele yenu. Huyu mwamba akishimika kashimika kweli😂
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 ай бұрын
YAANI HATA SIS TUTAKUFA KAMA WIMBO USEMAO TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI NA MWISHO UNASEMA TANZANIA UNILINDE HATA KUFA😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
@mwambietv7614
@mwambietv7614 3 ай бұрын
Nchi hii ni inataka watu kama hawa Vivaaa Mwabukusi
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 ай бұрын
NDIO MAANA TUNAJIUNGA KTK MAANDAMANO KUIKOMBOA TANGANYIKA
@Sehewa_Edward_Mohamed
@Sehewa_Edward_Mohamed 3 ай бұрын
Kuelewa ni ngumu Sana. Watu wanataka kanga na chakula tu. Ila huyu mtu ni mwamba
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Hawa waandishi wa habari wa siku hizi kaazi kweli kweli!!
@jesaminzo
@jesaminzo 4 ай бұрын
Kweli kabisa. Yeyote anayeamini kuwa statement ya Bashite ni ndogo, lazima tuwe na wasiwasi na IQ yake
@user-fz3bk6vw2b
@user-fz3bk6vw2b 4 ай бұрын
Nakukunal asant
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 4 ай бұрын
Mungu akuweke
@JumaMbaga-sd5yi
@JumaMbaga-sd5yi 9 күн бұрын
Huyu jamaa anaakili nyingi sanaaaasas na anakuja kwelikweli sio mxaha
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 4 ай бұрын
Mwandishi hatoshi kumhoji huyoo Baba
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 ай бұрын
Wakili msomi Mwabukusi umetisha,kina Lisu mnazaliwa kila siku,safari hii lazima waaibike kwa kukataa kuchutama badala yake wanaamua kukaa kimya nchi ccm ifie mikononi mwao!
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 4 ай бұрын
Shetani hawezi kufukuza pepo
@AmosNabiiAmos
@AmosNabiiAmos 3 ай бұрын
Asante
@lenniefei6710
@lenniefei6710 4 ай бұрын
Tanzania kumbe imejaa mapumba kweli ! Hamna nchi yeyote ulimwenguni eti mkuu wa mkoa ndie hakimu na wakili kwa masuala ya kisheria ! Upuzi mtupu.
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 4 ай бұрын
Kaka mwambukusi ila makonda ndo umechemka sana tena pakubwa Kuna mahakama ya haki Tanzania hio nisiasa sasa mahakama ya Tanzania niyakihuni sana
@barakamanga5502
@barakamanga5502 4 ай бұрын
Duh safari bado kumbe mbichi hii
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 4 ай бұрын
Bungeni yupo msukuma na lusinde msiba mkubwa
@success-only
@success-only 4 ай бұрын
😂😂😂 IQ ya makonda ni ndogo Uko sawa wakili mwabukusi
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 ай бұрын
Mwabukusi❤❤❤
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 4 ай бұрын
Shida ni kwamba nchi hii inamazuzu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Wa kwanza wewe 🥳🥳🥳🥳
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 ай бұрын
UKITAFUTA UMARUFU MTAJE KIONGOZI MKUBWA, NDIO ANALOLIFANYA (MWAMBUKUSI)
@mbungemilanzi8149
@mbungemilanzi8149 4 ай бұрын
Wambieni ukweli hao makafili waache wizi watende haki dunia niya munngu hii wala siyao
@JaneJennifer-zk7bk
@JaneJennifer-zk7bk 2 ай бұрын
Wakati mnapambana bandar zetu zirudi, msisahau kupambana pia ili kupata katiba mpya ambayo italinda raslimali za taifa letu,tusikubaliane kabisa na huu usanii wa hawa wanasiasa wanasema watanzania wanataka katiba mpya mdomoni huku wakijua hawawezi kukubali kwa vitendo maana wanajua uhalifu wanaofanya kinachowalinda ni katiba
@shmohd11
@shmohd11 4 ай бұрын
Meabukusi usipotoshe. Weee unajua nchi mbali mbali duniani zilizo ktk Famme kama Uingereza, Dubai, Kuwa a sovereign State siyo jambo pekee linalongatiwa ktk kuingia mikataba kati ya sehemu ya Dola na nchi ya nje. Does Ireland, as part of United Kingdom, forbidden to enter into agreements with other nations? Je katiba ya UAE haona vifungu, Exclusivity Clauses, zinazoruhusu Emirates kuingia mikataba na nchi za nje? ACHA KUDANGANYA WATU
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 4 ай бұрын
ndugu ulifuatilia hukumu ta mahakamani lakini..? kasikilize majaji walitamka nn kuhusu hao dubai
@Ally-ts5gk
@Ally-ts5gk 3 ай бұрын
Hamna lolote hapo hajapewa mkwanja tu huyo mpeni chase huyo anyamaze wabongo kwa pesa ni noma mikwara tu hiyo jamani tutaona mwisho wake tuombe uhai na uzima tu kwa muumba wetu
@bmdele5816
@bmdele5816 4 ай бұрын
Mwandishi huyo kiazi kabisa, Ajibu kwanza kwa sauti Dubai ni nchi!😊
@christinangondi4212
@christinangondi4212 3 ай бұрын
Wenye Hekima na Busara kama hawa wanaishi mtaani, ILA wenye kichwa cha mwendawazimu ndo wamekalia VITI, very SAD
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 3 ай бұрын
Mwamba nakukubali kujitoa muhanga......lazima tu wakunyamazize...hatujui njia ipi itatumika ...😢
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 3 ай бұрын
Watanzania tufunguke vichwa ccm majambazi mafisadi😅mwaandishi wa ovyo
@PatrickKalinga-yw6kl
@PatrickKalinga-yw6kl 3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@josephandrea
@josephandrea 3 ай бұрын
Mwambukusi usiache kugombea ngazi ya Rais mambo yanyooke unaitetea sana rasilimali za Tanzania
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 ай бұрын
TUAITETETEA NCHI YETU KWA GHARAMA YOYOTE HATA KUFA KATIBA INATUTAKA
@ellyburton6862
@ellyburton6862 3 ай бұрын
Mwandishi na wew kiwango chako ni kidogo mno hujui nn hapo
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 ай бұрын
Ndugu mtangazaji huwe inajiaandaa kabla hujaenda kumuoji mtu kwanza fanya utafiti soma vitabu fukunua ndo saaa ujue kuuliza maswali, saaa wewe unaendatu kila swali ukiuliza huna utafiti,
@profs.a5412
@profs.a5412 4 ай бұрын
Mwandishi weeeeeee😂😂😂
@christinangondi4212
@christinangondi4212 3 ай бұрын
Weweee, kwani hujui kwamba vyombo vya dola vyooote viko mikononi mwa mkulima wa mboga mboga?
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 3 ай бұрын
Ww rofa mjinga bwege unamsema makonda unakili kweli ww
@AsteriaMasika-st5pk
@AsteriaMasika-st5pk 3 ай бұрын
Jamaa naakili za ajabu, duuh
@alexmbeyanje4022
@alexmbeyanje4022 4 ай бұрын
Baba edeleya nakupiga
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 4 ай бұрын
Huyo mwandishi wa Habari naye hajui kitu na siyo mzalendo
@user-yk2ey6xu9g
@user-yk2ey6xu9g 3 ай бұрын
Mwambukusi anahekima saana anaongea hata nawatu wasio na akiri levo zake dr slaa lisu sami mbowe lema labda
@imanimakiyu5146
@imanimakiyu5146 3 ай бұрын
Mwandishi hana data ana maswali alosoma chuoni kwao haelewi yanayoendelea
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 ай бұрын
UNILINDE NAMI NIKULINDE HATA KUFA
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 3 ай бұрын
UFISADI NI MATOKEO YA UTAWALA WA CCM
@CaftyLema
@CaftyLema 3 ай бұрын
Hàpo umesema kamanda
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Mitandaoni Kuna raha Kweli
@wilisonmikate1652
@wilisonmikate1652 4 ай бұрын
Mwambukus apewe maua yake
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 4 ай бұрын
Mwandishi anahoji ujinga! Ukizoea kulala kwenye kitanda chenye kunguni utapata usingizi ingawaje kunguni anaendelea kukutafuna!
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 3 ай бұрын
Watanganyika tumekwisha serekali imebewa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache
@Mwinjilisti966
@Mwinjilisti966 3 ай бұрын
Huyu jamaa Ana njaa ya madaraka Wala siyo uzalendo
@IddiAbdi
@IddiAbdi 3 ай бұрын
Usimshutumu makonda yupo saw nikichwa
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 3 ай бұрын
Jamani mwandishi ulijua unakuja kumhoji nani, au umepewa taarifa ya kushtukiza?
@ZenaMwakalambile
@ZenaMwakalambile 4 ай бұрын
Makonda atawanyoosha nyie.mnajaribu kumsema vibaya lakin wanyonge wanamuamin kupitia maelekezo ya samia.
@NorbertusNyamuga
@NorbertusNyamuga 4 ай бұрын
mh mwabukusi huyo unaefanya nae mahojiano sio mwandishi ni mtu wa chukua chako. ...
@mussamuna900
@mussamuna900 3 ай бұрын
huyu mwandishi hajui amekutana na mtu wa namna gani
@JOHNKKULULINDA-pc6gy
@JOHNKKULULINDA-pc6gy 3 ай бұрын
HIVI, LIPI JEMA, KUKIRI KUWA KUNA MAKOSA YA BAADHI YA WATENDAJI . NA KUAHIDI KUANZA UPYA KUWASHUGHULIKIA ASIO WAAMINIFU.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Tanganyika upi.
@HamisiNguku
@HamisiNguku 28 күн бұрын
Rahidhani ulishasepa mashujaa fm
@Rich_lodrickLodrick_mollel
@Rich_lodrickLodrick_mollel 4 ай бұрын
U
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 4 ай бұрын
Hivi huyu mwandishi kasoma????
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 4 ай бұрын
Huyu mwandishi ana akili sawa,Au anatafuta kiki ya kuteuliwa?
@user-wg6px3nv1u
@user-wg6px3nv1u 4 ай бұрын
Makonda ni ziro katika kratasi je kichwani itakuwa 100 au 50 kichwani?
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 4 ай бұрын
Wacheni urongo wenu, huo ni mtazamo wako...alisema kutokana na hali ya mwananchi wa kawaida hawezi kupambana mahakamani ukiwa huna pesa kwhy ni bora tatizo litatuliwe live 😊
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 ай бұрын
Mjinga hujui na Wala husikilizi ukaelewa!
@bravofundikila965
@bravofundikila965 4 ай бұрын
Rafiki yangu huna uelewa mbona mwambukusi yuko wazi sana.
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 4 ай бұрын
Zwaxwa mmoja hujielewi Bora ukae kimya
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 4 ай бұрын
@@salummohamed2689 wao kipi wanafanyia wananchi...wananchi wako ktk madhila makubwa ya matatizo... Unadhani huyo mwanasheria yuko tayari kasimamia kesi za walalahoi??? Use yr brain sio mnafanya ushabiki usio na maana.
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 4 ай бұрын
@@bravofundikila965 bravo, hujafikwa na shida... Ngoja upatikane na shida utajua hakunaga mwabukus wa Bure kuja kukutetea Bora ya huyo mtatuzi wa shida za watu live, japo mnahisi ni maigizo
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 ай бұрын
Muhandisi hajui chochote masking aibu😂
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 4 ай бұрын
Huyo sio Mhandisi(Engineer) ni Mwandishi asiyejua uandishi!
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 3 ай бұрын
USHAURI WANGU MWABUKUSI GOMBEA UBUNGE ILI UKASEMEE WANANCHI
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 4 ай бұрын
Rais ajae ni mwambukusi uwe raisi wetu wa tanganyika
@reginas1832
@reginas1832 4 ай бұрын
Mwandishi kilaza
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 3 ай бұрын
We huna lolote mbona huendi mahakama ya kimataifa muongo wewe
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 3 ай бұрын
Kama mahakama kuu ilitereza ikabariki uuzaji wa bandari na inafanya uende mahakama ya juu kuhoji Je raia wa kawaida uhakika wa hakizao ziko wapi mahakamani je Kila mwenye haki anapata haki mahakamani bila kupindisha je wanauwezo wa kuendesha kesi sehemu tofauti kwa gharama kubwa Kama ww Kosa la makonda liko wapi kushauri raia wasikimbilie mahakamani bali wasuruhishe wenyewe
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 ай бұрын
Acha porojo wewe ndiye huna akili kabisa .Huo ni uzushi .Achakupotosha watu ..Makonda ndiyo dawa yenu
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 22 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 17 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 22 МЛН