Рет қаралды 27,649
Kwaya ya Kristu Mwalimu, Kenyatta University Catholic Community Choir, Christ the teacher Chaplaincy (KU), Chuo Kikuu cha Kenyatta, Nairobi.
Wakishirikiana na Holy Trinity Studio wanakukaribisha kusikiliza na kutazama Wimbo huu unaoitwa SHANGWE ZA NOELI.
Utakapotazama, Yesu akazaliwe katika maisha yako na uzidi kubarikiwa.
Wimbo umetungwa naye Brian Kaka, na kurekodiwa na Holy Trinity Studio.
Mtunzi: Brian Kaka
Organist: Sospeter Murithi
#holytrinitystudios #shangwezanoeli #KUCC #catholicchurch #christmas #kenyattauniversity #kmkmakuburi
© 2023 Copyright KUCC Choir