Allah awarehemu wato mashekhe wawili awepe pepo kwa huruma yake na jitihada zao amiin❤
@salamamtoro58692 жыл бұрын
Maa sha Allah, Allah awarehem Masheikh zetu
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Ama kwel ardhi imehifadh watu sana...Yaani chozi linakaribia kudondoka kuwatazama watu kama hawa,wamekwenda watu wamebaki watuwatu...!!!allaah awaghufirie mashekhe zetu hawaa.
@nuhumohammed53072 жыл бұрын
Mashalhaa masheh zangu tunanufaika na nyie alha awarahamu
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mashekh walofanya kazi ya dini,allaah awaghufiriee
@allaahumaswalialaamuhamad28252 жыл бұрын
mashalllaah
@Dr-ubaida9652 жыл бұрын
Mashaallah
@al-hidayahonlinetv34472 жыл бұрын
MASHA ALLAH🤝
@Ahmadasshii-raazy88882 жыл бұрын
رضي الله عنهم
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Watu wa balagha wanasikia raha namna mzee anavyozipita kiufundi...maashaallaah mawahabi hawazipati ladha kama hizi.