SHARIF SWALEH AL AHDALI ALEZA KARAMA ZA DARWESH SALIM MTI MKAVU

  Рет қаралды 9,804

Kiungiza TV

Kiungiza TV

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@eshasalim1471
@eshasalim1471 17 күн бұрын
Ameen yaa RABB 🤲🏽😭💔
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 25 күн бұрын
Allah Akbar. Dunia hii ina neema nyingi sana zilizotuzunguka sisi wanadamu, neema ambazo huwezi kuzijua mpaka neema hizo zikutoke
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 23 күн бұрын
INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
@a.katunzi5815
@a.katunzi5815 20 күн бұрын
Msiba gani?
@AllyShabani-py3rg
@AllyShabani-py3rg 24 күн бұрын
Mungu ampokee shekhe wetu
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m 22 күн бұрын
Maashallah
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 күн бұрын
Masheikh waliofanya kazi kwa bidii sana kuchafua uislamu huku wanajinasibisha n mtume salallahu alayhi wasalaam huku hawafuati alichokifundisha mtume n alichokifanya yeye mtume wetu sasa basi nynyi kwa haya mtafute majibu kwa Allah mumechafua dini sana kwa kila hali bidii mnayo
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 22 күн бұрын
Nawe MOLA Akuhidi Kwa Kuisafisha Dni. Huna Unachokijua Zaidi Yakupinga
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 күн бұрын
@@nurdinmfamau3493 mkichafua tunasafisha kwa ukweli n mtaumwa sana na bidaa hzo zenu
@AllySibila
@AllySibila 22 күн бұрын
Tatzo la kusoma dini ukubwani ndo linalokusumbua
@AllySibila
@AllySibila 22 күн бұрын
Tatzo la kusoma dini ukubwani ndo linalokusumbua
@AllySibila
@AllySibila 22 күн бұрын
Tatzo la kusoma dini ukubwani ndo linalokusumbua
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 25 күн бұрын
Allah Akbar. Masheikh wanaondoka. Fitna inabaki
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 24 күн бұрын
Mwislam badala ya kujiombea dua na kufanya matendo wema, mumekalia eti karama akuletee shekhe fulani, kwa kujidanganya hamujambo
@MAIMUNAABDALA-m4u
@MAIMUNAABDALA-m4u 23 күн бұрын
Hawa mawbii wan laan kweli kabsa
@fatmakitundu9454
@fatmakitundu9454 22 күн бұрын
TUMEAMRISHA UKITUFIKA MSIBA TUSEME WOTE NI WA ALLAH NA KWAKE TUTAREJEA NA SI VINGINEVYO. UNATAKA NDIO HIVYO HUTAKI NDIO HIVYO. HAYO MENGINE SI PAHALA PAKE.
@AbbySule-un3xg
@AbbySule-un3xg 26 күн бұрын
Mapenzi makubwa yaliyoje
@taurehassan7399
@taurehassan7399 26 күн бұрын
Mawahabi hapo waumia vbya sna,akicfiwa mwanachuoni km hv
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 26 күн бұрын
Usitafute choko choko kila pahala shekh ... haifa kutafuta maneno maneno hizo ni sifa za wake zetu maalim
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 26 күн бұрын
​@@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd sufi kafariki katamka shahada na yupo peponi, alipofariki MUWAHAB (JINA LA BANDIA SALAFY) ilimshinda shahada na kafa KIBUDU kafiri. Tunasubiri wengine.
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 25 күн бұрын
​@@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd Bora hata usingejibu, maana ulivyojibu imeonyesha wazi kuwa maneno yamekuchoma, kisha usiwe na tabia ya kukasirika kasirika hizo ni sifa za dada zetu.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 22 күн бұрын
Ndio wanachuki mbaya dhidi ya uislamu
@kimpuro112
@kimpuro112 26 күн бұрын
Masufi (matwarika) kwa uwongo hawajambo
@Abdulkareemmakala
@Abdulkareemmakala 26 күн бұрын
Jitazame sana unaweza hata kuwa Wewe ndo umezaliwa kwa uongo
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 26 күн бұрын
Lete ukweli wako na ushahidi wako
@ryobojuma3450
@ryobojuma3450 26 күн бұрын
Mnajua ss waongo basi tuachieni vipindi vyetu kuangalia kama hamna cha kujifunza kwa walimu wetu.
@NasrahMakunga
@NasrahMakunga 26 күн бұрын
Kwanini utenge muda wako kwa kusikiliza na kukoment video ya watu waongo??jichunguze wewe huwenda ndo mwongo,Allah akusameh
@swalahudinmohamed2666
@swalahudinmohamed2666 25 күн бұрын
58. Na wanao waudhi Waumini wanaume na wanawake kwa maneno au vitendo, bila ya wao kufanya makosa yoyote, hao basi wamebeba migongoni mwao mzigo wa ule uwongo wakuwadhania wao, na inakuwa wametenda dhambi iliyo dhaahiri
@AllyShabani-py3rg
@AllyShabani-py3rg 24 күн бұрын
Wewe muhabi soma kwanza tajeni mazur ya Mareham wenu kwanini upinge shekhe anayosemaa
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 21 күн бұрын
Yule sharifu mlosema alimuambia maiti mbona hujasilimu mait akafufuka akatamka shahada kisha akafa mara ya pili ati kwanini asitokee akamuambie mti mkavu akakaa akawausia kisha akafa mara ya pili? Nilisoma kwa masufi lakin niliwakimbia kwa uongo wao mkuu wa kutisha mmoja alinisimulia kisa ati zamani mungu ati alikuwa anaonekana (mimi kipindi hicho ni mtoto nasimuliwa hayo) ati akaalikwa na mja wake mmoja mchamungu akaita watu akafanya karamu kuwa Allah atakuja kwenye hafla hiyo basi wakat anaandaa vyakula akaja maskini holehale muda was dhuhur ati wakat mwenye karamu anachukua udhu chooni akawa maskini yule ana viraka mchafu anaomba maji ya kubywa ati akamchotea na kopo la chooni maskin akanywa yeye akaenda akaswali dhuhri mwenye karamu ile wakat huo anasubiri ati mungu aje na hakumuona hadi usiku akamuambia mbona hukuja akasema mie ndio nilikuja ukanipa maji na kopo la chooni nikanywa!!! Hawa maSufi wantisha uganga ushirikina uongo na kusifu kupita kiasi kuasi sunna za mtume S. A. W waNachukia sana sunna na watu wa sunnah sisi mawahabia mtuchukie ila wanenu watajua haki maana hata sisi tulikuwa na waalimu na walezi walokuwa wanatutia ujinga wa kisufi leo hatupo nao Allah awarehemu na awasamehe ks hurum yame huenda ulikuwa ujinga tu kama ukosef was elimu walipotezwa na Wa kabla yao wakafa mkengeni wakiwa wameuvaa shingoni mkenge huo. Allah atuongoze sote na awaongoze hawa wanaojiita masharifu nao waone haki na madaaruwaysh na wale wanaopaa na ungo usiku walokiwa wanatudanganya zamani wanadai wanaenda Makka bila ndege halaf ukiangalia passport zao zina muhuri wa uwanja wa ndege wa Dar na Jeddah na jina la ndege walosagiria mpaka kiti namba na Allah anawaona kwa urongo wao
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 25 күн бұрын
Masufi mnajua kupanga mambo na nakupamba watu dah hajafikia sifa hizo mnazompa
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p 23 күн бұрын
Wewe unapewa wahyi mpk useme hajafikia huko au unataka nani aseme ujue kafikia huko
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 күн бұрын
Imebaki baada ya kuzika wajengee kaburi na waanze ibada zao hapo Hawa ikiwa kaburi la mtume salallahu alayhi wasalaam halikulindwa wangeenda hapo kufanya shirki zao huko mtayaona bado mapema
@RamadhanMkilind
@RamadhanMkilind 22 күн бұрын
​@@hassanWanjikuMungu anasema na kila baadhi ya dhana nipotovu kuwa makini usije ingia motoni kwa ushabiki wa kipumbavu
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 22 күн бұрын
@@RamadhanMkilind Allah subhannahu wa taala awaongoze juu nynyi wengi hamjui mnafuata mikao tu kwa upumbavu n kutotaka kujua dini yenu imekataza yapi n imeamrisha yapi kueni makini hii dini tuliachiwa safi nanyi mnachafua
@AllySalim-o7s
@AllySalim-o7s 21 күн бұрын
Wee muhabi jiheshimu bhas
@AllyKiduka
@AllyKiduka 24 күн бұрын
Mashetani ni wengi unamwambiaje sharifu muongo?
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 22 күн бұрын
Mpaka inafika kiama Uislam Safi utabaki na maneno ya Mtume Muhammad (aleihi salatu wasalam) Mambo yenu hayo yakumsingizia Mtume na kuzikana vyumbani kisha muje muabudiane hayawezi kuwa uislam. Mutapotosha wajinga na urongo wenu lakini watu wenye akili wanatambua bidaa zenu. Mtume munaejisifu nae hatowaangalia siku ya kiama.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 22 күн бұрын
Haya ya kuabudiwa vijana wa kiwahabiya wengi ndio kauli zao wanaabudu wanasema nn sasa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 21 күн бұрын
​@@mhusinigau3231 HAO wamekula mashonde ya IBN baaz hawajielewi tena😂😂😂
@nassorokoba9161
@nassorokoba9161 23 күн бұрын
Ukiona mtu anasema lolote basi kapata kasikiliza kwanza kaelewa sasa kanuni kaambiwa Kila kitu apinge sasa NDIO kapinga
@ayuburashid9083
@ayuburashid9083 26 күн бұрын
أستغفر الله من هذا البغي
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 25 күн бұрын
قل "أستغفر الله" لذنوبك لا لذنوب الآخرين. وإذا أردت أن تستغفر الله لذنوب غيرك قل "أستغفر الله للمؤمنين والمؤمنات.
@yasinimuna3570
@yasinimuna3570 26 күн бұрын
Wewe unayosema sharifu mwongo wewe ni mwehu
@swalahudinmohamed2666
@swalahudinmohamed2666 25 күн бұрын
* 58. Na wanao waudhi Waumini wanaume na wanawake kwa maneno au vitendo, bila ya wao kufanya makosa yoyote, hao basi wamebeba migongoni mwao mzigo wa ule uwongo wakuwadhania wao, na inakuwa umetenda dhambi iliyo dhaahiri
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 25 күн бұрын
Kataa jambo kwa hujjah sio unakurupuka tu kama umetoka usingizini
@mussaissa6796
@mussaissa6796 25 күн бұрын
ULAANIWE WEE KIBWENGO.KINAKUKERA NINI MTU KUSIFIWA WEMA WAKE IBILISI MKUBWA WEWE!!
@AllySalim-o7s
@AllySalim-o7s 21 күн бұрын
Wahabi nyie mnashida gani na muridu embu fateni yenu bhas
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 25 күн бұрын
Allah Akbar. Masheikh wanaondoka. Fitna inabaki
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 25 күн бұрын
@@alhilaltvonline MASHEKH KILA WAKIPUNGUA, FITNA ZA MAWAHABI NDIO ZINAPATA NAFASI
MAZISHI YA SHEIKH SALUM MUBARAKA MTI MKAVU NGUSERO MKOANI ARUSHA.
20:09
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН
ASKOFU WA DINI YA MOWAR ROHO AAHIDI KUSILIMU.
33:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 3,9 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 250 М.
MAZIARANI KWENYE MAKABURI YA WAASISI WA AL MADRASATU TADHAMUN 1446 H
27:50
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 6 М.
SAYYID MUTAMAN AKIMZUNGUMZIA SHEIKH SALIM MTIMKAVU
15:07
Kiungiza TV
Рет қаралды 2,5 М.