Inna lilah wainalilah rajuun Allah ampe kauli thabiti na Allah amsamehe makosa yake na tunamuomba Allah awarehem wanavyuo wetu walio tangulia mbele ya haki Allah ajalie makaburi yao yawe miongoni mwa mabustani ya peponi amin amin.
Innalillah wainnailahi Rajuin, Allah amsamehe pale alipokosea
@twalibkhamis79095 ай бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جنانك
@daarularqammkaku1535 ай бұрын
Mwenyezimungu ampe kauli thabit sheikh wetu 😭😭😭
@FaridaKaduguda5 ай бұрын
Mbona muft amekuwa mwarabu hivyooo 😮😮. Au anakunywa maji mengi😮😮
@elimikanamadrasa54905 ай бұрын
umenitangulia kuuliza swali hilo
@ArafatiSalim5 ай бұрын
Allah amrehemu shekhe wetu
@ZuhuraAthuman-u2i5 ай бұрын
Innalillah Wainna Illahi rajiuun😭Allah ampe kauli thabit huko mbele za haki
@iddpika6635 ай бұрын
Wallah inna lilah wainna ilayh raajiuun ,
@MwajumaMsechu5 ай бұрын
Innallillahi wainnallillah rajgh uun mwenyezi mungu kampenda zaidi
@MaulanaSufi-j4h5 ай бұрын
Innalillahi wa innaa ilyhi raajiuun😢😢😢
@hanifa91535 ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajioun😢😢
@muftishaban.a.musamombasak65775 ай бұрын
Aamin Ya Rabbal Aalamiina ALLAAH atamueka peponi
@alimbarakmselem84675 ай бұрын
Inna Iillahi wainnna ilayhi rajiun
@rabomunde35505 ай бұрын
Innalilaahi wainnaailayhir Raajiun
@IbraFareed5 ай бұрын
إنا للّة وإنا إلية راجعون
@AllyKarama5 ай бұрын
Allahuakbar allahuakbar😂😂😂,mufti wetu unanitia imani sana kwa maneno yako allah akulipe
@MansourKabuhaya5 ай бұрын
Imani gani, usipate Imani inaposomwa qur'an tukufu, eti maneno tu ya mufti yakutie imani? Huo ni unafiki miongoni mwa unafiki
@sheikhanasser47145 ай бұрын
Allah Andika kwa herufi kubwa Allah Shukran
@mohamedhamismagoraonlinetv4595 ай бұрын
@@MansourKabuhayaKwakweli watu wapumbavu kama nyie kwisha ni taabu sana maana mnazaliwa kila kukicha. M'Mungu mwenyewe kasema kumbusha kwa hakika ukumbusho unawafaa waumini. Sasa mufti kakumbusha na mtu kawaidhika sijui hata umetokea wapi kenge wewe kuja kumtukana huyu mtu.
@ashrafally1443 ай бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459kaka hawa mawahabi wanafundishwa chuki tu sasa hv na siyo Elimu ya kumjua ALLAH na Mtumie wake (S.A.W) yan wajua kama mayahudi ama manaswara kwa namna walivyo na chuki juu ya Waislam,, ALLAH awafungue vifua vyao na awatie hekima na maarifa Inshaa ALLAH
@maryamsulemani20245 ай бұрын
Inna lilahi wanna inalayhi rajighuni 😢
@Nachboyz-j2q5 ай бұрын
😢 poleni sana Wana arusha pamoja na matejo ngarenaro yote
@AdamRajab-xd3zg5 ай бұрын
Asante
@MazagaMbogo5 ай бұрын
Shekh mti mkavu alikuwa mtu wamaana sana yeye kamsomesha shekh husein wamduli nashekh husein kamsomesha shekh wangu
@MiriamAziz-z5t5 ай бұрын
INNALILAHI WAINA ILAYHI RAJIUUN.
@MussaKarim-fo8uh5 ай бұрын
Innalilaah wainna ilaih rajiun
@kitosio5 ай бұрын
Huyo ndio Bahari ya Elimu wa Tz.
@majaliwamussa13435 ай бұрын
Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun
@SimonMashauri-q5z5 ай бұрын
Inalillah wainailayh raji'gun
@NasserMchiu5 ай бұрын
Binafsi Ndio Kwanza Namsikia Leo Huyu mti mkavu
@SadamOmary-r3c5 ай бұрын
Inalillah wainalilah rajiun
@ShabanOmar-w3b5 ай бұрын
INA LILH WAINNA ILAIH RAAJIUUN MUNGU AMLAZE PHALA PEMA PEPON SHEH WETU
@mustwafathabiti29785 ай бұрын
innalillahi wainnailaihi raajiuuuna
@allynjuga38155 ай бұрын
Inna Lillah wainailaih rajiuun
@FauziaAbdinoor5 ай бұрын
Allah ampe kaul thabit ampeleke Janet fildaus
@GhalibLindi5 ай бұрын
Harunery, hata kama una chuki nae, Fanya hekima angalau kufariki kwake, alianzia iblis kutokumuheshimu nabii adam
@DaemiIsmaily5 ай бұрын
Inalillah wainalilah rajuun
@FaridaKaduguda5 ай бұрын
Kuwa muft raha mpk maiki unashikiwa? Mpk hotba ikiisha hyo mbaba mkono utakuwa na ganzi🙄🙄🤔
@KimimbiHerbal-yx5ce5 ай бұрын
Acha husda, Nww somesha wanao wafike hapo
@ashrafally1443 ай бұрын
Huu Uislam tunako elekea tutapigana vita kubwa sana kwa ajili ya vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana yeyote,, ALLAH atuondolee chuki iliyo ndani ya nyoyo zetu baina ya Waislam na Waislam na atuongoze katika njia iliyo nyooka Inshaa ALLAH
@MaisaraFikirini5 ай бұрын
Innalillah wainailaih rajighun
@BabySheni5 ай бұрын
Àmina
@S.SWarfa5 ай бұрын
Sheikh Mkuu naomba nguzo ya 3 yaani Zaka muifanyie kazi hizo ni haki za watu. Zaka ilianza wakati wa Mtume Muhammad SAW ilipofika wakati wa Umar ibnu Abdiaziz kila mtu alikuwa akitoa zaka hakuna aliyepokea zaka la zilifanya mambo ya maendeleo.
@AhmedGuyo-sl6sf5 ай бұрын
Innaa lillahi wainnaa ilaihi rajiuun
@AllySalim-o7s5 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajughun kwakweli nimelia San tu
@yusufuheri65245 ай бұрын
Inauma asikwambie mtu
@travellertraveller45055 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun😢😢😢
@ArafatiSalim5 ай бұрын
😂
@AbdallahBakar-oc3ue5 ай бұрын
Mashekh wasasa pesa tu
@omaryramadhani66645 ай бұрын
Vipi tena shekhe anasafirishwaa kweli masufi shida.
@RamadhaniBakari-n7w5 ай бұрын
Huji fahamu unatakiwa kusoma ujue
@RamadhanMkilind5 ай бұрын
Mshamba huyo hana ata elimu ya mwanafunzi wangu wa mwisho
@mustwafathabiti29785 ай бұрын
yani hawa wahabi ujinga umewakaa wanataka kukosoatyuu
@ashrafally1443 ай бұрын
@@mustwafathabiti2978uwahabi n mzigo mzito sans,, ALLAH atuepushe Inshaa ALLAH
@adamnguvu10205 ай бұрын
Huyo hakuwa mwanachuoni bali alikuwa DARUWESHI AU MTU MWENYE QARAMA
@RamadhanMkilind5 ай бұрын
Kwan nini maana ya mwanazuoni
@Harunery5 ай бұрын
Wanachuoni wa kisufi hakuna faida yyte toka kwao,Allah awasamehe walioyangulia na awaongoze nyinyi mlokua hai kuifaham tauheed na sunna
@naimasheikh30555 ай бұрын
اذكروا محاسن موتاكم ama hii hadithi huijui ama ni chuki za nafsi na ushabiki.waislamu amkeni badala ya haya ya kuingiliana manhaji zenu angalieni yatakayo saida umma. Wewe ushawaingilia masufi hapa jiulize je watawacha. Sidhani sababu hayakuanza leo haya na hata baada yako yatakuwepo kwa hivo wewe fanya wajib wako wakutafuta kusema mema na kuacha kuingilia watu na yao sababu hautabadilisha chochote.من كان يؤمن بالله و اليوم الاخر فليقل خيرا أو ليصمت
@princesaha32625 ай бұрын
Hakuna faida vipi??
@princesaha32625 ай бұрын
Hawafundishi elimu ???
@ibrahimrajabu87225 ай бұрын
@@naimasheikh3055 hatufundishwi kuwa na adabu mahali pa msiba mtu anaongea yasohusu msiba Allah asitufishe tukiwa na utovu wa adabu na wenye kedi
@ZubeirHussein-b7f5 ай бұрын
Mawahabi Nanyi Hakuna Faida Yoyote Zaidi Ya Kufosi Majambo Yenu Twariqa Ndio Mpango Mzima Nadunia Bila Twariqa Hamuna Chenu Zaidi Ya Nusu Vikanzu Nakufuga Yasio Fugika
@BabySheni5 ай бұрын
Amina
@habibumsabila9385 ай бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Alikua ni mcheshi na mkarimu sana nilibahatika kumtembelea kwake nilistafidi sana. Allah amrehemu sheikh wetu
@Rahima-kv6mn5 ай бұрын
Innalilahi wainnailayihi rajiun 😭😭
@omaryjumbe14v85 ай бұрын
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuj
@hassannusura2785 ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun
@HashimYahaya-hd3zm5 ай бұрын
Innalilahi wainnalyhi rajuun
@ShabanOmar-w3b5 ай бұрын
😂
@habibumsabila9385 ай бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Alikua ni mcheshi na mkarimu sana nilibahatika kumtembelea kwake nilistafidi sana. Allah amrehemu sheikh wetu