"Bro ebu nyamaza" was humbling😂😂 pluto stayed quiet for the rest of the video
@VaneRizikiАй бұрын
Amevunjwa miguu🦵 shingo🧣na spinal chord 🤣🤣 Siku mutaskia I'm in a relationship huyo si Mimi aki😂😂
@mumbi_006Ай бұрын
Pia mimi niligive up ukiskia Niko Kwa relationship jua tu ni rumors hakuna kitu kama hio😂😂😂
@Barkemohamed-d1sАй бұрын
😂😂😂🤔🤔🤔🤔nani amenotice huyu dem anaongea kama yule mrwanda wa juzi...ule aliachwa na jama wa jaba ..kama wenotice io mnipee likes bana..the real fans wangapi🙋🙋🙋♂🙋♂
@RozzieJackАй бұрын
😂😂😂😂😂Bana,,,
@shiiclaire7304Ай бұрын
Alikuwa mburudi😂
@victoriamwongeliАй бұрын
Pluto tangu akosane na fel anasantize madem pekee 😢😢😢hii si fare
@henry_tom029Ай бұрын
I think tungekagua mamba ya bioz,,, there is no way mzee anaweza kaa 3 months bila mamaaa😅😅 iyo nmekataa🙅♂️🙅♂️anyway nipewe haki yangu like tukisonga
@esthermuthama34Ай бұрын
Chaly; niwache kazi tukae kwa nyumba? Dem; eeeeh Chaly; alafu tukule nini? Dem; tukulane 😂😂😂😂😂
@TheeecentricАй бұрын
😂😂
@harrietkambua1399Ай бұрын
😂😂 nipitie please ❤️❤️
@wilfredmacharia6940Ай бұрын
😂😂
@KarenusNafulaАй бұрын
@@esthermuthama34 taja dondoo ya maneno hayo
@WairimuMwaniki-p3vАй бұрын
Eeiii!😅😅 Wee! Huyu dem......
@mugurethuo2587Ай бұрын
Nobody absolutely nobody Mercy: sikuwa uji😂😂😂😂 Saa hizo ndio mawhuot
@JoeMbithiАй бұрын
Aslay "Mapenzi yana wenyewe sisi wengine tuache show tutazikwa wazima wazima😂😂😂😂😂"hits hard fr
Wah mapenzi wewe 😅😅and she's looked innocent 😂akh Kenya hii
@petermasila9106Ай бұрын
Huyu boi anashangaa nini na siku hizi kuko hivo😂hawa ndio wako
@NorahGatwiri-co5zqАй бұрын
Yaan ata ukipatwa ukimwanga usikubali umekuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lkni uyu dem ni kma hayuko swa ama ajakunywa dawa za wazimu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saumuwakesho4717Ай бұрын
Uku nje mnadate akina Nani 😂😂😂 uyu dem kwani hayuko sure ghaki😂😂😂
@benardmuasya2919Ай бұрын
Pluto ukipata couple kama hii 😢 unasaidia tu hapa dem akili iko at rest 😂 Hamuoni dem kiasi ni mwendawazimu 😂😂 partly okay partly mentally handicapped
@MaryannAgoi-c9cАй бұрын
😂😂😂😂😂😂Kbsaa
@MaryNyambura-o3kАй бұрын
Comment yenye nilikuwa natafuta
@GoEunbeol_049Ай бұрын
Hapana ni vile ametense , kushikwa ukicheat si kitu rahisi hivyo...😅😅😅
@chartieechartieeАй бұрын
What do you expect after miezi tatu bila kugwarwa😅😅
@SharonOthuneАй бұрын
Pluto looks much cooler alipo ambiwa bro hebu nyamaza 😂😂😂
@RamjaanAli-u7tАй бұрын
Charly ; bro hebu tuliaa Pluto aki class ulikuwa good boy ukiambia keep quiet 🤐 unakaa kmya vzri
@NellyFavourАй бұрын
Small KZbinrs tupitiane tugrow pamoja
@Patricianyaga-di4izАй бұрын
Sanitize ya leo kuna uongo,unakaa mwezi tatu bila kitu 😅😅😅😅alafu ngari huyu jamaa anadanganya ngari zi
@dorrybossy1233Ай бұрын
Wueh medulla oblongata ya huyu dem haipo sawa kabisaaaaa!!
@Dolphinebosibori-um7giАй бұрын
🤣🤣🤣 pluto ety bro uko sure huyu dem c shotiwire bythaa nikama kajielewe haka .mmh hadi boy akubuy gari surely watu mnatoa wapi maboy kama hawa wapi n wengine cjui tunadat magaidi ooh my loondiii l wander 🤣🤣🤣🤣🙆
@JaneLeah-xu7ssАй бұрын
😂😂😂niue
@Shifa-os7stАй бұрын
Nipewe huyu boy 😢😢😢 pluto nipee connections😢😢
@faithwayua368520 күн бұрын
Eeeeeei🙆Mercy amesema ni uongo😭😭mforgive tu
@patohproАй бұрын
Pluto:Bona unacheat wewe Her: Hapana siko shule Pluto: uko sawa kabisa😂 Her:eeh .........😂😂😂😂😂😂😂
@AnnitahshiroohАй бұрын
Huyu anadrive watu crazy😅😅😅😅alafu ati ako sawa na hako shulee😂😂😂
@barakacampbell1421Ай бұрын
Lakini huyu jamaa ameumia 😢😂😂alimbuyia adi gari ...eeeei
Pluto leo umeoatana na chizi aky😂😂😂😂😂nimecheka kama mjinga sai naosha ukuta😢
@jemimahnafula9457Ай бұрын
Pluto 😅😅😅hawa umetupanga.huyu dem hata hizo macho zake zinaona steering mbili mbili😂😂😂
@aadyalovipoesuzyАй бұрын
Huyu Dem Ako sawa mentally kweli....I'm even wondering Huwa anadrive watu ajy coz waahh she seems not well
@asmahomar6463Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nsameee tu
@-km3ghАй бұрын
True mimi nimeona hivyo since mwanzo
@rachelmuch5788Ай бұрын
Ni Bangi mob na miraa
@NdindaMuthiani-s4oАй бұрын
May be akue hajui Kiswahili poa... Hajasoma
@barakacampbell1421Ай бұрын
Anawadrive crazy😂😂
@yusufferuz7129Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣wakulane huyu dem hayuko serious
@feleshaatelloАй бұрын
Huyu dame ako normal kweli????? Weeee😅😅😂😂😂
@YvonneKairu-q5uАй бұрын
Dem anaongea kama robot 😂😂😂
@tali.ban_Ай бұрын
😂😂😂slow motion
@neliuskabura1689Ай бұрын
Usiniue😅😅😅ata nashangaa huwa anadrive aje😢
@mentor_KevinАй бұрын
😅😅😅😅
@JozuineАй бұрын
Planning attention watu wangu juu kukosa time ya mercy ndio akaskia kithinyaku,,,,😂😂😂😂ata kama n wewe watu wanakulana utadu na kambosho kako kudunda😅😅😅😅
@rasnyambu9868Ай бұрын
The way pluto is listening to them na ka mic innocently 😂😂😂
@marynguthi1290Ай бұрын
Akiwa amekazia kicheko 😅😂
@rasnyambu9868Ай бұрын
@marynguthi1290 yes😅😅😅😅
@annngure1279Ай бұрын
😂
@LilianCute-Ай бұрын
Tukulane😂😂😂 Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏🙏
@harrietkambua1399Ай бұрын
Done 👍 nipitie please ❤️❤️
@millycateАй бұрын
Mungu nisamehe Pluto ndio amefanya nicheke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MercyNjeri-l2nАй бұрын
N Pluto amenyamazishwa hvyo n huyo jamaa😂😂😂
@SamiraseifAlfan-ph4keАй бұрын
Et simchit vile nachit kdg 😂😂😂😂 aki akili hamna kbxaa😢
@freddymahlobah1878Ай бұрын
Usiniache si mimi😅😅😅...ni pluto anadanganya wah
@IrenekatuumweshmweshАй бұрын
Kuna mtu mwingine anaona vile pluto anapreted aoni 😂😂😂
@VanadiumPlatinumАй бұрын
Usiende kazi tukulane 😂😂😂
@aishahahmeddy9288Ай бұрын
Pluto... Unacheat? Dem.. Kidogo tu😅😅😅
@faithnafula1061Ай бұрын
Kwani boy alikuwa anavaa kamisi 😂😂😂juu mbona hasau Dem Kama kamisi
@KarenusNafulaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂lakini sisi madem tuko na shida ati atoshoki😅😅😅😅😅😅😅
@thisfar4011Ай бұрын
Nimekumark 😅
@KarenusNafulaАй бұрын
@thisfar4011 lakini siniukweli🤣🤣🤣🤣
@thisfar4011Ай бұрын
@@KarenusNafula wewe unatosheka? 😅
@KarenusNafulaАй бұрын
@@thisfar4011🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sina
@thisfar4011Ай бұрын
@@KarenusNafula aaah na unafanya nini bila Mimi buana
@TeresaAwasiАй бұрын
😂😂😂😂weee hii nayo ni kali mathare kwan muliachilia student wenu
@RuthnjeriMwangiАй бұрын
Life ndio imefanya dame akae hivo. Hii ni bangi 😅😂😂😂
@MaryMwaura-l1qАй бұрын
Ata vnye huyu dem anaogea aki🤣🤣🤣ayuko sawa
@EuniceNjoroge-kb6izАй бұрын
Mercy ako na hadi gari 😂😂😂
@rosewanjukiАй бұрын
Huyu dame kuna line inaachilia ama ni uongo inamchanganya😂😂😂😂😂 team 💪 helloooo
@AyudryNataliaChepzАй бұрын
😂😂😂😂 likes kwa hii i guess huyu alisahau gate ya mathare she is not normal
@shantelblessings9432Ай бұрын
Hawa ni kabila wa wapi nacheka naisha😂😂😂😂huyu dem achinjwe xmas jamani au alitoroka mathare
@AndrezmaАй бұрын
Ati nilikubaia gari😂😂😂.....been trying so hard kupee hii show the benefit of doubt but weewhhh hope its not scripted
@BethKemunto-h2qАй бұрын
Pluto tumeambiwa unyamaze😂😂😂😂ukatii😂 this got me rolling
@janefferndungwamutua1678Ай бұрын
Pluto zima hiyo 😂 moto 🔥 nikutabue 😅😅😅
@danmadola9410Ай бұрын
Kula place huu fika pia ww unakuwa fala kiasi😂💔
@JacintanabweraАй бұрын
Upcoming KZbinrs kujeni hapa tupitiane pia sisi tugrow pamoja 😂😂😂
@danbestwamalwa7735Ай бұрын
Niko hapa let's go
@JacintanabweraАй бұрын
@danbestwamalwa7735 done nipitie pia
@kadeblessdyce8548Ай бұрын
Huu dem ni chizy🤣 huu boy achukue gari yake atafute mtu akona akili mzuri😂😂
@lydiamwangi9421Ай бұрын
Pluto ameshikilia kicheko walai 😅😅😅
@ماريامحمد-ذ8جАй бұрын
Dem anakaa njulinga juu anajibu swali kama hayupo hapo 😂😂 Plutoo jama anataka kugeuze kibao kwako
@NorahGatwiri-co5zqАй бұрын
Mnajifanya hamujaona hapo kwa ebu niagalia 😳😳😳😳😳then boom tunachana hapa
@GEOFREYMBAKAАй бұрын
Kulinuka ikabidi nimeingia😂😂😂😂huyu Dem hayuko normal😂😂😂😂😂
@DrillersfamilyАй бұрын
Ameachwa akiwa paralysed 😢
@LeahWanyonyi-x7fАй бұрын
Huyu Dem upstairs Kuna shida,eti ndio najifunza😂😂😂
@BettyPetty-cn3tb18 күн бұрын
Uyu dam ni fyatu aki😅😅wanaume uwa wanajionea mengi aki janam
@dianerdittoАй бұрын
Ukishikwa hata mpo kitandani ni kukataa mpk mwisho, confuse the enemy 😅
@aishahahmeddy9288Ай бұрын
May God protect the gal hayuko sawa.. . How does she even drive the passengers
@Blessed-shiru1Ай бұрын
Ckua uji mimi😂😂
@JoshuKe-b5rАй бұрын
Huku nje mnadate kina nani😅😅😅
@kennar012Ай бұрын
This girl is not mentally okay. Huyu ni short wire anafaa aangaliwe akili. Alafu tena huwezi wacha such a young woman for 3 months na ungoje asikucheze. Bro run away huyu ni mjinga
@MitchelleImaniАй бұрын
But Pluto...."bro huoni kama huyu dem ni short wire?"😂😂😂😂😂lakini sio yeye
@AliceCharo-wz9ozАй бұрын
Him..Untka niache job tukule nn Her ..Tukulane 😂😂😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti ka fala hdi mwarabu ameshangaa
@VictorBaya-r1kАй бұрын
Utafukuzwa amba😂
@AlvinVladmirАй бұрын
Msee Ii Nairobi ua tunasifu iko na mafala vidaa zote ... Nairobi ni ya mambuzi..kwanza madem hawajachanuka woiii
@Kelvinmokaya004Ай бұрын
Bro umeamua kututusi😂
@JaneLeah-xu7ssАй бұрын
Khai adi akibaiwa gari😂😂😂mm ata baiskeli sijabaiwa😢
@shaniavirginia8699Ай бұрын
Hawa watu hununuliana gari wako wapi sasa😂😂😂😂aki na hawakai madooh alafu uyu dem anakaa aje sasa kwani haradanishi😂😂😂
@antony_.d-r8bАй бұрын
Pitia napitia back
@shaniavirginia8699Ай бұрын
@ nimekupitia but Mimi Niko poa sina dream ya kua youtuber😂😂😂
@antony_.d-r8bАй бұрын
@shaniavirginia8699 thanks aki
@rasnyambu9868Ай бұрын
Huyu dem haezi nibeba na gari...anakaa kupark gari vibaya..
@NextNext-p1wАй бұрын
😂😂😂
@CarolineMwangi-p8vАй бұрын
Aaaiii 😹😹😹
@ThomasKavooАй бұрын
Anaeza park kwa Musium..muonekane kwa news😅😅
@eunicewangui97628 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@ThomasKavoo
@SusanKioko-p8m20 күн бұрын
Kumbe pluto unatii aty broh nyamaza 😂😂😂😂na ananyamaza kabisa
@MarrieBeibyАй бұрын
Ndo kufika🥴🥴nkae wapi😐😇🤗
@austinethemaster1Ай бұрын
Kalia mtungi pale kwa corner karibu na mlango...ndani kumejaa😂😂
@FaithMuthoni-o8uАй бұрын
Si kwa ubaya but mtu akidate si aangalie ana date nani😢😢😢
@DemwafacebookteamАй бұрын
Pluto hii si fare bona unasantize madem pekee ama unafanya revenge ju ya fel😅. Pluto. Bro uko na kitu ya kusema Mercy. Mimi siyuko shule😅😅