Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant ____
Пікірлер: 9
@MarkazYahyaBinMaiini Жыл бұрын
Masha allah Jazaka allah khayra Allah akuhifadhi sheikh wetu
@mrkassim-zw1vy3 ай бұрын
Mashaallah maalim Alla akudumishe katika afya njema tuendelee kuipata faida daah subuhaanallah
@mussayahya172611 ай бұрын
Allah Atuongoze
@abuuhamidanasurdin4408 Жыл бұрын
Maashallah walillahilhamdu sheikh amezivunja shubha za watu wa maulidi . HVO ndugu zangu waislamu tufunguke tufungue akili zetu tuzielekeze ktk dini ya Allah tuache mkumbo na kufuata kwa matamanio
@aminaabduli-c8h Жыл бұрын
Naam
@khamisjuma9516 Жыл бұрын
suFI ilikua wakitulisha vitango mwitu,ila kwa sasa walillah lhamd,haki imetufikia Allah atuthibitishe kw hili na jengine,
@nurujuma9117 Жыл бұрын
Barak Allah fikh!
@Alrisaalaturrahmahislamiccente2 ай бұрын
halafu shekh othman maalim pia yeye kafanya ghushi(triks)kufurahi sawa lakini vipi na kwa mtindo upi?au utaratibu upi?
@Alrisaalaturrahmahislamiccente2 ай бұрын
wallahi huyo shekh walid anafanya ghushi katika aya. aya inahusu wale makafiri ambao walikua wakimuudhi na kuzuia dini ya uislam isiendelee jee wanaopinga maulid wanazuia dini?? jee wanamuudhi vipi mtume???