Nielewavyo mimi yauumi arafa ni neno la kiarabu sasa tafsiri ni yauumi ni siku na arafa ni kutambua au kujua sasa kuna neno jengine linaloonesha kisimamo hapo na jee hii hija ni faradhi jee inamnasaba gani na hii suna tufungayo sisi? Mashehe mnanama katika hili lakini wallahi thoma wallahi Allah ataubainisha umma kilichojificha
@maawymuhammad6779 Жыл бұрын
Nauliza swali na nataka huyo abuu hashim ajibu!!! Je ikiwa lau mimi ntafunga nane yangu ambayo ni tisa ya suudiya je kufunga na siku ya mbele ni haramu? Na je siku ya kusimama mahujjaj ikiwa sawa na tarehe kumi yangu je ntafunga trh 10? Abuu hashim THINK BEFORE YOU TALK!!!!!
@username62v723 Жыл бұрын
Wakati wa Mtume (s.a.w), watu wa Tanzania wakijua vipi mwezi umeonekana Makkah?
@ngomberayebuhure8780 Жыл бұрын
Walijua kwa kuambiwa na watu wa huko ulikoonwa.Karibu kwa swali la baada ya Jawabu hili.
@HamadAlly-ki8lr Жыл бұрын
Halafu pia kipindi cha mtume hapakuwepo na jina Tanzania
@username62v723 Жыл бұрын
Waliwambia vipi?
@username62v723 Жыл бұрын
Jee waliambiwa vipi watu wa Nchi nyengine kama Sham, Masri na kadhalika ambao walikuwa washaislamu wakati huo?
@username62v723 Жыл бұрын
Ikiwa tufaate Mwezi wa Makkah, tufanye Mwezi umeonekana Makkah wakati wa Mtume (s.a.w), watu wa Sham na Masri wakipati vipi habari na wakati ule kulikuwa hakuna Simu, Whatsapp, Telegram, Fax, Telex?