Sheikh amani mauba nakupenda kwaajili ya Allah, hata kule kwenye kongamano Arusha nilivyo kuona nilifarijika sana, Allah awafanyie wepesi katika harakati zenu.❤
@swahibujuma98884 жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu sheikh wangu kiukweli nakupenda sana kwaajili ya Allah maana hupindishi pindishi unanyoosha kabisa na hivi ndivyo inavyotakiwa.Allah idumishe Mahaasin TV
@luqmansumbwa81904 жыл бұрын
Aamin aamin shekh wetu allah akuzidishie mema mazuri na akupe umri mrefu uzidi kutoa darsa
@ashurasaidi30384 жыл бұрын
Jazakaallah khayra Allah akupe umri mrefu uzid kutupa elim
@hasanaatutv70784 жыл бұрын
Shukran sana anko wanguu maashaallah
@hawaamohammed66874 жыл бұрын
Naam weweuzunguki unapasuaaa Jipuu Allah akuhifadhi babayetu waimani
@o.aniomani94774 жыл бұрын
Mashallahbbayau💕👍🌹
@yasriyasin58682 жыл бұрын
mashaallah mudir wangu sheikh aman mahuba
@faulianmkumbo35024 жыл бұрын
Jazakumllah khayran sheikh naomba ufanye mihadhara mbalimbali ya ukumbusho
@abuubakarathman28294 жыл бұрын
Allah akubariki shkhe aman mauba
@kaalylawbraaza39753 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie wema
@amirybeka96024 жыл бұрын
shukran sanaaa sheikh kw ukumbusho.
@newtowntvjavaboy46662 жыл бұрын
Maashaallah
@tashasuraj13113 жыл бұрын
😀😀😀❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mashaallah I love this
@sandrineakingeneye51624 жыл бұрын
Shukran ya Sheikh
@nusralilobwa47524 жыл бұрын
Shukrani kwa ukumbusho
@alijuma802 жыл бұрын
Maa shaa Allah ❤️❤️❤️❤️
@yahyanuhu13793 жыл бұрын
Mashallah shehe wangu
@tanzaniaone24 жыл бұрын
Na vipi kuhusu Anae hitaji kusilim haipo katika mambo hayo manne muhimu kuyaharakisha?