Sheikh barahiyan upo vzur xana Allah akupe umr mref uzd kutufahamixa napenda xana muungane na kassm mafuta ajl ya Allah
@zaitunimuhammad85463 жыл бұрын
Allh akuongze ww uliye waita ahlu sunna mawahabi mama hauelew unach kisema , shekhe kuwa na Subra allh atakulipa. Inxhllh
@wk35605 жыл бұрын
Sahihi sahihi Sahihi!!! Shekhe ujue matumizi ya hilo neno “kisahihi”. Usiseme tu.
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu heri sasa kama sisi waislam tunapingana na waislam hamuoni kuwa mnawapa nguvu makafiri waone waislam hawana maana
@abalkaram7865 жыл бұрын
MAKHAWARIJI NI WEWE SHEIKH BARIHIYAN NI NYINYI MAWAHABI NDIO WATU WA BIDAA MSIZUNGUSHE ZUNGUSHE MKAJITIA MOTONI....HALAFU IYO HADITHI HUIJUI UNAISOMA SIVYO HUNA MPANGO BANAAA.
@hasanalihasani32365 жыл бұрын
Jamaa unachuki kuliko maelezo daaa khatar Allah akulipe
@quran._00135 жыл бұрын
masufi na twarika na wengineo ndio watu wa bid'a kumanisha (wazushi) Ama kama wamanisha watu wa bid'a kumanisha wanaopinga bid'a sawa lakini hao mnaowaita mawahabi si wazushi
@abuhasnaynhasnayn5344 жыл бұрын
Abdulhamid Abalkaram hujui chochot
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Muwahabi (masalafi) hawakanyagi ardhi yoyote ila watainajis kwa fitna zao
@zanzibaronlytv3470 Жыл бұрын
boss ondoa ivin sina ktk hospitals au pharmacy zako, ili masalafy (ansar sunna) izidi kutangazwa
@salehaljadidi82063 жыл бұрын
Huyu ni Kiongozi wa Al Qaida Tanzania. Anajulikana mpaka Marekani.
@swalehemrombo93012 жыл бұрын
Saleh Al ajadid...Jitahidi ulimi wako uwe ni salama kwa muislam mwenzio hata km mnatofautiana ki misimamo na mtazamo.!
@salehaljadidi82062 жыл бұрын
@@swalehemrombo9301 kweli ni member of ISIS Tanzania Branch. Anajukikana. Mwambie aende Marekani kama yeye mwanaume kweli.
Kunachizi mmoja anauliza kwamba heti kwanini sisi waaislam hatuelewani huyu hjaelewa nazani nikwasababu ya uvivu wakusoma waislam tunaelewana ispokua atakaetoka katika mafundisho ya mtume akazusha ibada anazojua yeye kwa maslahi ya tumbo lake hatutomfuata itakua kajitenga mwenyewe na sio kwamba waislam hatuelewani sawa
@hassanakida37393 жыл бұрын
Shukran Sheikh ila hapo kwenye uwalii sjaelewa vzr kat ya kaka wa wa Dada na watoto wa Dada kuwa watoto ndo wanaofaa kuwa mawalii?
@ur4meAnwar5 жыл бұрын
جاء في حديث أن رسول الله ﷺ قال: "من كفر مسلمًا فقد كفر" Mtume wa Allah amesema mwenye kumkufurisha Muislamu yeye amekafiri. Sheikh Nurdin Kishki ni katika Ahlul sunna wa jamaa Nurdin Kishki Tosha
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Mhh dini imepata wacha Mungu
@hamisjuma85245 жыл бұрын
MashaAllah
@shammusfredy41585 жыл бұрын
Hamis Juma ,,,Huna ujualo wee njaa tu inakusumbua, wewe shehe gani mambo madogo mpaka usome kwenye karatasi, huna kitu kichwa kibovu Mwalimu wako ni Google Kwenda zako wee mshihiri mbovu
@abalkaram7865 жыл бұрын
Sheikh NAKUONA WAZI KUWA ELIMU YAKO NI CHANGA....TAWASSULI INAKUSUMBUA UPO KIWAHABI ZAIDI MAANA HUTAJI AHLI SUNNAH WAL JAMAA UNATAJA TU PEKEE...MASHEIKH WA KIWAHABI TU.
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Abdulhamid Abalkaram unamjua au unasema tu
@amanzifood65374 жыл бұрын
Povu linakutoka
@xalamlutfih60144 жыл бұрын
@okey
@hasanalihasani32365 жыл бұрын
Hao hao mnao waita mawahabi wamepigwa vita saana lakini bado Allah amewapa nguvu hadi sasa wamekuwa ni chachu ya maendeleo ya waislamu Tanzania pia kuutambua uislamu sahihi
@rajabumzuwanda75055 жыл бұрын
Hasanali Hasani sio tuna waita ndio jina lao na wameleta xhaxhu gani zaidi zaidi ya vurugu
@abalkaram7865 жыл бұрын
HUNA KITU BANAA.
@salumrashidabdullashmely25585 жыл бұрын
Barahayawany
@abalkaram7865 жыл бұрын
LAKIN NYINYI MAWAHABI HOJA ZENU ZA AWALI ILIKUWA KILA KITU MTUME HAJAFANYA MLIKUWA MNADAI SHIRKI...
@quran._00135 жыл бұрын
Sheikh ((الكذب حرم)) badilisha maneno yako hakuna hata mmoja kati ya hao mawahabi amesema ni shirki NItafutie audio au video uniambie kama utapata wamesema kuwa kile ambacho mtume صلى الله عليه وسلامhakufanya ni shirki Sheikh utatafuta paka uchoke
@saulomsangi52372 жыл бұрын
achawehu wewe bidaah zimekujaa tuu
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Maibadhi niwatu wa dalili, na dalili zao hazipingiki
@rajabumzuwanda75055 жыл бұрын
Itafika mahala mtafahamu2 haifai kumkufurisha kila aliyetamka shahada mbili
@xalamlutfih60145 жыл бұрын
Unaitkidi Qur'an no maneno ya watu au ya الله ?
@husseinmohamed67235 жыл бұрын
Xalam Lutfih maneno ya Allah yasiyonashaka hata nukta,najua kuna kitu umekaririshwa
@xalamlutfih60145 жыл бұрын
@@husseinmohamed6723 kama dini uliyonayo ww ni kukariirshwa endelea kubishana katika mitandaoni na majibizano yasio natija katika dini yako na ww katika ss vipi unapingana na hadithi za mtume na vitabu vya Allah katika dini na sio katika utashi wa sheikh wako wala utashi wa mwanadamu yeyote hata mm na ww tujifunze dini kufanya kilicho na radhi za Allah na sio mwingine
@aliabdalla47082 жыл бұрын
wewe bara hayawani huna mpango kasome kwa maibadhi