SHEIKH FARID HADI IFAHAMU ARAFA SAHIHI ALOIFUNGA MTUME S.A.W NA SWAHABA ZAKE

  Рет қаралды 6,104

EL-BAHSAANY TV

EL-BAHSAANY TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@Sebola-j4l
@Sebola-j4l Жыл бұрын
Sawa sawa , mashaallah
@MussaSimba-cu7oy
@MussaSimba-cu7oy Жыл бұрын
Masha Allah shukran saana sasa ukweli tumeufaham
@salumjuma9072
@salumjuma9072 Жыл бұрын
SHEKH FARID ALLAH AKUWEKE SALUM MAQURAN
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 Жыл бұрын
Shukran Sana Sheikh....iko wazi sana
@alidochi2889
@alidochi2889 Жыл бұрын
Maasha Allah Maneno Qalla Wadalla
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Maashaallah shekhe
@AbuuzuhairMuhammad
@AbuuzuhairMuhammad 4 ай бұрын
Safi sana shkh
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
Mashallah umemalizia vizuri..mtu afate mcmamo anaoamini muhimu hataoki ktk mila
@maulidisaid5475
@maulidisaid5475 Жыл бұрын
Mashaallah Sheikh Farid kwa maelezo yaliyonyooka kwa kweli wenzetu hufata mkumbo kwa maslahi yao binafsi
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Maelezo yaliyonyooka!!! Mbona hakuzigusa Hadithi za mtume kabinya kimyaa. Uwezo mdogo Kwa hili haliwezi arudi Kwa mashekhe upya akasome. Huyu nisiasa zaidi.
@username62v723
@username62v723 Жыл бұрын
​@@kitosioHadithi gani?
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Teknolojia wajipumbaza!!
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 Жыл бұрын
Mashaallwa
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Shehena
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Sheikh umeongea sana lakin mm suali langu ni 1: Vile mukipeana taarifa kuwa mwez umeonekana sehem fulan Tanzania au Kenya au popote afrika mashariki kupitia sim au tv jee utaratibu huo ndo uliokuwepo miaka mia iliyopita kabla ya teknolojia? Na km sivyo mumetoa wap?
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Huyu Shekhena hapa atubie kwanza. Anakula KIAPO ovyo
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Tuwe wenye kufaham shekh katumia aya na tarekh ya mtume na kasema sio maneno yake na ukiona ni ya haki we fuata km sio fanya moyo wako ulipotulia .
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
@@mohammedmfamau43 Sawa katumia aya lakin je hiyo aya imetaja kila nchi na mwezi wake? Au hiyo tarekh mbona wanaifanyia kazi kwenye muandamo wa kimataifa tu? Kwanin mwez ukionekana nchi za karibu wapeane taarifa kupitia redio au tv au simu ndio ilivyokuwa zamani hivyo?
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 4 ай бұрын
Kishki ameyamaliza yote hayo
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 4 ай бұрын
Alhamdullah
@AbdulMajid-v1i
@AbdulMajid-v1i Жыл бұрын
Sheikh huwezi kuikwepa Technologiya kumbuka sharia pia inazingatia hilo Kanuni ya kisharia inasema: لاينكر تغير الأحكام بتغير الأزمان
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 Жыл бұрын
Technology kuturahisishia leo kupata mawasiliano ya haraka sio dalili wala kigezo cha kua arafa ni moja kwani uwezekano wa kupeleka taarifa ktk miji zama za mtume na maswahaba ulikuwepo lkn hawakufanya kwakua mtume alishawafundisha waislamu kufuata miandamo ya mwezi na km ingekua usahihi ni kufunga arafa ya maka basi vipi mtume awache kupeleka habari za muandamo ktk miji ilhali kuna siku 8 kabla ya siku ya arafa?
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
​@@abumuhammadmbwana3964hiyo ni kwa sababu uislamu haumkalifishi mtu ila habari zikija hutakiwi kuzikataa
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
*****
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Ndio kishakwambieni hayo sio maneno ya ustadh farid fuateni huko mioyo yenu ilipotulia kwa kwani kuna ugomvi?
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Ndgu yangu usione km wewe umefikiwa na teknoloj8a ukaona kila binadamu km wewe .dunia kubwa kuliko unavodhani. Huo mtandao tyri ushakutia imani km kila mtu km wewe lkn haiko ivo kuna wanadam wala usitoke znz kwenda mikoani hawana smart phone wala Ving,amuzi we ushambiwa usifate kwakuwa ksema faridi,lkn pia sheikh kasema ukiona moyowako umetulia huko unokofata basi bakia huko.na allah atakylipa kw Nia yako !!
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
ila upande wangu mm Arafa iko wazi tufate Saudia kutokana na technology tunaona live...ila kuhusu ramadhan kila mtu afate mcmamo wake
@ahmeda-6420
@ahmeda-6420 Жыл бұрын
Jee ndo Alivofubdisha mtume hivo tukiona Live au tuangalie mwezi hio Live ipo kisheria?
@el-bahsaanytv985
@el-bahsaanytv985 Жыл бұрын
Sasa ingelikuwa hakuna Teknilojia jee ???
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
@@el-bahsaanytv985 kama hamna technology ndio tungekya kizamani
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
الله يعلم
@el-bahsaanytv985
@el-bahsaanytv985 Жыл бұрын
@@aliy3303 katafute kitabu usome usilete maono yako ambayo hayalingani na waliofanya juhudi kuandika vitabu vya elimu Maana ulipoanza tu kusema kwa upande wako dhahir inaonesha kama una lako rohoni hujakusudia kujifunza ASANTE KWA UJUMBE WAKO NA ENDELEA KUFATILIA CHANNEL YETU KWA MAWAIDHA MBALI MBALI
@jumasalafi9886
@jumasalafi9886 Жыл бұрын
Kwani shekh faridi huyo imam shafi au Ahmad au maaalik anasema Nini kuhusu muandamo wakufuata nchi nyengine?
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Huyu sijui alipewa nini mara hii. Kila mtu anamshangaa na KIAPO juu. Msiba mkubwa. Sh. Kasimu Mafuta kawaona wengi wanaoitwa mashekh lkn daah tutafika wapi.
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Aah!! Huyu siku hiyo kakurupuka 100%. Ishu Hana hoja. Hadithi hakuzitaka. Tena asiachiwe huyu atapotosha. Abanwe. Sh. Msellem na Mohd Bachu wamuekee kitii Moto na jopo lako. Ikitajwa May day wanakubali lkn wanapinga hili ktk dini.
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc Жыл бұрын
Shekh kwan muft anatangaz mwez hatumii tecnologia???,,,, inna lhalala bayn wainna lharaam bayyin
@alimaulid9543
@alimaulid9543 Жыл бұрын
Kwanini sheikh faradi unafunga mwezi ukionekana dodoma au mwanza au pemba kwanini msifunge mpaka uonekane unguja kwasababu hiyo ndio asili naomba jibu hapo. Naungana na wewe ikiwa kila mji utafunga kwa muandamo wake lakini ikiwa tunapewa taarifa kupitia redio kuwa umeonekana pemba kigoma na tunafunga sioni tofauti na wanaofunga wakisikia umeandama mji wowote duniani
@Sebola-j4l
@Sebola-j4l Жыл бұрын
Zanzibar na Tanganyika ni nchi tafauti ipokua mwajichanganya tuu
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Sasa shk farid hata hapa tanzania hapo zanzibar na mwanza kwanini wanafuatana pamoja sasa, wakati hakuna teknolojia ilikua hakuna uwezo wa kupeana tarifa..mche allah shk usifuate muandamo hata wa hapo mwanza au kigoma kwasababu ukifuta utakua umefuta teknolojia mche allah...
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Sio mwanza chukulia hapo pemba ila alivofahamisha katumia tarekhe ya mtume tabiina na aya za qur an na sio maneno yake.kwaiyo utangalia wapi pa kufuata.
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
@@mohammedmfamau43 sio mm hata yy na kama yeye ndio wasifuate hata hapo pemba kwasababu wakifuata itakua wamefuata teknolojia
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Jibu kwa dalili hadis zipo sio jibu waleta masala ya teknolojia wewe jipumbaze
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Kwani bila ya teknolojia ungeona wapi km mwezi umshaonekana Saudia au saivi watu wamesimama arafa?
Building the Ultimate Workout Tracker with React Native & MongoDB
3:59:34
Build a Realtime Chat App in React Native (tutorial for beginners) 🔴
3:49:50
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 806 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 91 М.
SHK ABDULQADIR ALIPOULIZWA KUHUSU ARAFA NI MOJA AU KILA NCHI NA ARAFA YAKE
8:24
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
4:50
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 14 М.
Fatawa Za Ulamaa kuhusu siku ya arafa
10:31
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 5 М.
MWANAFUNZI WA SHEIKH NASORO BACHU ATOA USHAURI MZITO KWA MTOTO WA BACHU
20:59
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 806 М.